Mbowe huwezi siasa,tupishe tunamtaka Lissu kwasasa"Chadema wamtupilia mbali mbowe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 21

  • @KeregeKitonga
    @KeregeKitonga 2 дні тому

    Safi sana uko vizuri mheshiwa lema.

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni 2 дні тому

    Lisu anatosha Mungu tusaidie

  • @mathewpaul629
    @mathewpaul629 День тому

    Huyo sio Lema...

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 2 дні тому

    Wale waliotaka kuondoa maisha ya Mheshimiwa Tidu A. Lissu na Mungu akakataa kwa sababu Tundu Lissu kuna kazi kubwa Mungu amempangie ya kuwakomboa WaTanzania kama sio waTanganyika !! CHADEMA BILA KUJALI NANI NI NANI HUU NI WAJIBU WENU WOTE, LAKINI KUMBUKA SHETANI YUKO,!!

  • @JacksonNyaikoba
    @JacksonNyaikoba 2 дні тому

    Safi sana maelezo hayo

  • @NtuliSuzan
    @NtuliSuzan 3 дні тому +1

    Siwezi Endelea kupigwa chadema Tena kura kwa upuuz huu unao Endelea

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 3 дні тому +1

    Kwakweli mbowe apumuzike tu amwachie lissu miaka 21 kaongonza chama imetosha.

  • @MsuyaMapuga
    @MsuyaMapuga 2 дні тому +1

    Muda umefika mzee pumzika tunahitaji siasa ngumu kwa sasa

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 3 дні тому +1

    Kila zama na kitabu chake. Zama nyingine ising'ang'anie zama nyingine ni kukosa maarifa. Nilimpenda Mbowe kwenye zama yake, sasa apewe mwingine.

  • @Ranaimuye
    @Ranaimuye 2 дні тому

    Lissu atueleze ikiwa Mbowe alikuwa hagombanii uenyekiti angekuwa anatueleza nini atafanya.

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 2 дні тому +1

    Chama ni cha familia ya mtei,mbowe ni mkwe.

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 2 дні тому +1

    Lisu lisu🐓

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 дні тому

    Mimi sina imani na chadema.Sera hakuna zaidi ya kufikiria matumbo yao tu.
    Chadema h aiwezi kuleta kazi wala mamilioni ya hela.Lissu ni mgonjwa wa akili pia kimwili.atakufa kabla ya siku zake😢😢Risasi mwilini na madawa kibao😢😢

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya День тому

      Kagoma kama kagoma, mawazo yako tu ni kagoma kagoma ya kiccm

  • @StivinPasco
    @StivinPasco 3 дні тому +1

    Mbowe apumzike jamn

  • @YohanaSanga-t8d
    @YohanaSanga-t8d 2 дні тому

    Nirisu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 дні тому

    Acheni propaganda.Kura itaamua.

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 2 дні тому

    Chadema mnamambo ya kijinga mnaita shule tulizo soma yeboyebo