Ingekuwa mimi ndo f,mbowe ningewafanyia sherehe wanachadema tarehe mojawapo kabla ya uchaguzi,, sherehe ya kujiuzuru na kuwakabidhi kiti chao cha uwenyekiti kitaifa na kumkaribisha lisu na kumuunga mkono kama wanavofanya mataifa yaloendelea kidemokrasia,, mboe angefurahisha mioyo ya wanaharakati na wapinzani maelfu na maelfu na angependwa sana kuliko sasa.
Mbowe hawezi kushinda,labda afanye hujuma,,na atasaidiwa na ccm kwa maslahi yake,,hapo ndipo CDM itamfia mikononi...angalien alama za nyakati jmn.....mbowe hawez tena
Hakuna kunzisha chama kingine tunaenda Lisu ndani ya chadema. Tuanajua ccm mnatamni Sana hilo lakuhama chama litokee.
Umeongea vizuri sana
Ingekuwa mimi ndo f,mbowe ningewafanyia sherehe wanachadema tarehe mojawapo kabla ya uchaguzi,, sherehe ya kujiuzuru na kuwakabidhi kiti chao cha uwenyekiti kitaifa na kumkaribisha lisu na kumuunga mkono kama wanavofanya mataifa yaloendelea kidemokrasia,, mboe angefurahisha mioyo ya wanaharakati na wapinzani maelfu na maelfu na angependwa sana kuliko sasa.
Lisu juu
Mbowe alijieleza sana tu siku ile alipowakusanya waandishi wa habari,labda muelezaji hukuwepo tu😂
Tunamtaka lisu jamani cchindechonde
Mbowe hawezi kumushinda Lissu
Kama hujuwi hata Magufuli hakushinda 2020 zidi ya Lisu. Huyo ni Topman acheni polojo zenu.
Pokea tano zangu, mimi Darasa la saba nimemuelewa Lissu. Sio aliyetutoa mbali, na malalamiko yake.
Hii mitandao ukiisikiliza juu juu unaweza kufikiri Tundu Lissu anaweza kumshinda Mbowe lakini uhalisia hauko hivyo. Ni porojo tu
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
lisuuuuuu
Sababu za yeye kwanini anagombea tena atazisema mbele ya wapiga kura ktk mkutano mkuu