CHADEMA HAITAKUWA MOJA 2025/HAWA WATU INABIDI WAVUMILIANE KWAAJILI YA 2030/HIKI CHAMA KINAELEKEA KU.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 83

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 18 днів тому +5

    lisu anafa sana anamusimamo

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 18 днів тому +3

    Tamaa za mbowe zinaua chama

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 18 днів тому +3

    Sisi tunaenda na Lisu hawe Dikteta au kawaida

  • @fatumahassanduale4701
    @fatumahassanduale4701 18 днів тому +5

    Tuliona ya mrema na TLP na mbatia na NCCR na sasa Mbowe na chadema,kama mbowe anayo akili akubali uchaguzi.

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 18 днів тому +3

    Akipita Lissu chama kinasimama na kinachukua dolla. Wanaokula Rushwa hata ccm wapo na kashawasema na wameshakamatwa lakini wapo. Mbowe anaweza kusalia na akawa mtu mkubwa kwenye chama na akimsikiliza Lissu mambo yanakwenda muswano guys. Akipita Mbowe kutakuwa na Mgogoro mkubwa mno ambao mpaka uje kukata chama kitakuwa na miss ya parts kadhaa,huenda kikawa sawa na ACT.

    • @IjumaaIjumaa
      @IjumaaIjumaa 17 днів тому

      Hawezi kuchukuwa nchi uongozi wa juu inaitaji hekma subra na kuvuliana lisu si mvumilivu anapapara angalia zito alivyokomaa kisiasa lisu awe makam asimamiwe hapo sawa au waziri mkuu kwa badaye

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg 18 днів тому +5

    Nyee ongeni mnavyojua chambueni huo uongo wenu lakini iwe mvua au jua tunaenda na Lisu popote pale atakapoenda

    • @haggaikinyau1395
      @haggaikinyau1395 18 днів тому +1

      Wewe ni mjumbe wa mkutano mkuu au unabwabwaja tu kwenye mitandao wakati huna nafasi kwenye vikao vya uchaguzi!!

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 16 днів тому

      Wakati ule mlisemaga kuwa zito ni msaliti Sasa na lisu je na yeye mtamwitaje

    • @iddkessy
      @iddkessy 16 днів тому

      ​@@Hussein-gx4quChama Cha Ukanda hichoo wataachiwa Chama Chao tuu

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 14 днів тому

      ​@@Hussein-gx4qutundu Lisu alisema Zitto kabwe ni msaliti, je na yeye ni msaliti??

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 18 днів тому +2

    Anaondoka anakufs au awe hai awe maiti tunamtaka tundu lisu

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 18 днів тому +6

    LISU ANAWEZA KUANZISHA CHAMA KIPYA NA NDANI YA WIKI MOJA KIKAWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI

    • @haggaikinyau1395
      @haggaikinyau1395 18 днів тому +1

      Ajaribu aone

    • @jamessoke4454
      @jamessoke4454 17 днів тому

      Kabisa

    • @veranlenard9184
      @veranlenard9184 17 днів тому

      Umepuyanga asee

    • @benedictmrisho1800
      @benedictmrisho1800 17 днів тому

      Msimdanganye. Muda uliobaki sio rafiki. Sio kwa bahati mbaya uchaguzi ulicheleweshwa hadi 21 January. Hapo ndipo alipopigwa bao. Wanasiasa hutegeana kete za ajabu. Siasa mchezo mchafu bila kutafakari hauwezi jua. Uchaguzi kuwekwa January mwishoni sio ujinga ni ujanja wa kisiasa. Bora ufanye mtihani umetulia kuliko uingie ktk mtihani umetoka kugombana na mkuu wa shule ukahama shule ingine na hakuna private candidate. Unaweza kuwa bora kwa kuwa shule yako ni bora.

    • @ClarenceHilaly
      @ClarenceHilaly 15 днів тому +1

      Ni kwer

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 18 днів тому +1

    Lisu anataka hata akitoka atatoka na kikundi kikubwa Cha watu. Ndo maana ya damaging siasa Kwa mda huu

  • @RobinsonKadogo
    @RobinsonKadogo 18 днів тому +10

    Lisu akitoka chadema naondokanae

    • @ValeriJummane
      @ValeriJummane 18 днів тому +1

      Mimi piaaaaa

    • @ISAACSHABANI-h1y
      @ISAACSHABANI-h1y 17 днів тому +1

      Tuko pamoja kabisa tuko na lissu

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 17 днів тому

      Akienda kaburini jee? Utaenda nae?

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 14 днів тому

      Akienda kufanya ushoga Ubeligiji unaenda nae??

    • @ahmedjaad4940
      @ahmedjaad4940 13 днів тому

      Lissu aje to ACT, Atakaribishwa kwa vigelegele

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 18 днів тому +2

    MBOWE akifa kesho CHADEMA itakufa? kwa nini tusiamini kwamba tunaweza kuwa na mtu dhaifu sasa badae akawa bora? MBOWE hatoishi milele je itakuwaje?

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 18 днів тому +1

    Chadema nichama cha wachaga na nichama chakikatoliki kiufupi nichama chakanisa huo ndio ukweli kataakubali

  • @reggie868
    @reggie868 17 днів тому

    Habari Jambo Tv, mtafteni na Yericko Nyerere muweze kumuhoji juu ya suala hili

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 17 днів тому

    JAMANI DUNIA NI MALI YA MUNGU SIO YA BINADAMU ACHA MUNGU awaongoze WATANZANIA kuelekea kwenye UKWELI sababu wanaoharibu NCHI yetu ni nyinyi wanasiasa na wanasheria

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 16 днів тому

    Hili jamaa bwege eti lissu anakiua chadema haya majitu manene hayanaga akili

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 17 днів тому

    Mwandishi mwenye maono ya hovyo tz ni huyu,acha ujinga bwana!Ndio elimu unayosema watanzania hawana kama ujinga huo.kamwagaaaa?

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 17 днів тому

    Kumbe mnajua siasa ni mchezo mchafu basi subirini matokeo ya uchaguzi na mjue wako wagombea 4.

  • @JacksonKavana
    @JacksonKavana 17 днів тому

  • @kumbushoally8456
    @kumbushoally8456 12 днів тому

    Hivi huyu mbowe ni nani kwa nini hataki kumuachia mwenzie?au ana mapungufu ya akili,amuachie simba wetu Lissu.

  • @AdilianiGeorge-j4n
    @AdilianiGeorge-j4n 15 днів тому

    Buroo uko sawa

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 18 днів тому +1

    Kana mdomo tu sana lakini jamani hata hiyo Siasa, kana porojo, kana piga kelele sidizokuwa na nguvu yeyote. Ni debe tupu. Aliisha kutoka. Yuko empty kabisa, Watanzania muwe macho la siyo Angeleno vedios za Kenya, mafuta Tundu Lissu ni kama Ruto mtaishia barararani. Mtalia kama Wakenya. Chungeni sana.

    • @GodfreyMwamaso
      @GodfreyMwamaso 17 днів тому

      Sasa wewe unataka tuandelee kuteseka na udharimu wa CCM na ufisadi?

  • @amanisalum1638
    @amanisalum1638 18 днів тому +5

    Hakutakuwa na Jinsi.Lissu hawezi kubakia CDM iwapo hatapata Ushindi kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa.
    Maana hawezi kubakia kama mwanachama wa Kawaida

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 17 днів тому

    Huyu hafai kuitwa mwandishi mwandamizi. Bado sana hana sifa hizo maana hata kujieleza hajui

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 14 днів тому

      Huyu anafaa kuitwa danga la mama yako mzazi sio mwandishi wa habari mwandamizi😂

  • @ELIACHOMOLA
    @ELIACHOMOLA 17 днів тому

    Mbowe achia na wenzio unaetaka kua kama mugabe

  • @Kiva1610
    @Kiva1610 18 днів тому

    Kwa mawazo yenu Tanzania hakuna watu wenye uwezo isipokuwa munaowajua nyie watangazaji.Yani Mungu kaumba watu wawili tu CHADEMA wenye uwezo wa kuongoza kweli?Tubadilike watanzania kwani tukipopata uhuru hao munaowasema walikuwepo mbona wenye uwezo wapo wengi tu.

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 18 днів тому

    Tunasubiri hitimisho tu kipasuke mala ngapi tutatoka nae hakuna siri tunasema live

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 17 днів тому

    Hapo ndipo mnapowajaza ujinga. Demikrasia ya kweli ni kushindana ukushindwa unaendelea na utii ktk chama. Mbona CCM mshindwa haachii ngazi ukiacha waroho na wakamiaji? Chama si mtu mmoja ni wanachama. CUF mbona hamkuijadili?

    • @AthumanAthuman-b6q
      @AthumanAthuman-b6q 11 днів тому

      Sasa wewe kwa akili yako unaona lisu na mbowe wanashindana kweli au wanabomoa?!!!!

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 18 днів тому

    Mawazo yako ni fivyu Sana

  • @RashidThomas-t1w
    @RashidThomas-t1w 17 днів тому

    Mbowe wamtoe tu hata kwa kumsimamisha kazi.
    Hafai, Mbowe yuko na Samia kisirisir, inawezekana anakula chochote kwa SAMIA. YAN ET
    Mbowe anamuandalia tuzo samia ya nn? Kwa kazi gan ya Samia?
    Kama sio uchawa?
    Mbowe HAFAI HATA SEC 1

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 18 днів тому

    Tunakiomba hicho Chama kife kabisa kimewateketeza watoto wajukuu vijukuu kwa kulushwa virungu vya polisi kwa kuwaandamanisha wKati watoto wao wako wanasoma Ulaya runaitaka Xcmtu iendelee

  • @BenKing-nn9gu
    @BenKing-nn9gu 18 днів тому +1

    Commitment ndiyo C ya tatu

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 18 днів тому

    Huyu mbowe alikula hela akamutosa Dr slaa kibaraka

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 18 днів тому

    Chama kineshakufa Ccm raha tu tunapeta daima

    • @GodfreyMwamaso
      @GodfreyMwamaso 17 днів тому

      Mnapeta wakati wananchi wanaishi maisha magumu wanakula raka moja maisha ya watanzania ni magumu sana na tatizo kubwa la umaskini huu umesababishwa na CCM

  • @YustoJohnfas
    @YustoJohnfas 17 днів тому

    Huyu jamaaa ni mwandamiz kweli??? Mbona uwezo wake unatia shaka?...chadema anaijua kweli,? Lissu anaibomia chadema kweli? Mbona haeleweki? Au chawa wa ccm? Mbowe ndiye MLA rushwa yy ndiyo anaondoka na compitant leader Lissu ndo atajenga chama.

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 14 днів тому

      Lisu angekuwa compitant baada ya uchaguzi mkuu 2020 asingekimbilia Ubeligiji 😂😂

  • @RamadhaniKawelea
    @RamadhaniKawelea 18 днів тому +1

    Tuta mfata lissu cup chama cha wachaga

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 18 днів тому

      Chadema nichama cha wachaga nani chama cha kikatoliki kiufupi nichama chakanisa kwahiyo kiufupi hakitufai watanzania huo ndio ukweli kataakubali

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 18 днів тому

      Sawa,lakini Mbowe na Lissu wote siyo wakatoliki ni walutheri​@@zaidiissa3714

  • @DaimaAndrew-l7m
    @DaimaAndrew-l7m 15 днів тому

    Mbna aelewek aaaaaa

  • @AliSaid-v4u
    @AliSaid-v4u 18 днів тому

    Na ende act

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 18 днів тому

    Faiza nenda shule tafadhali😢

  • @edsonkilatu5211
    @edsonkilatu5211 18 днів тому

    Hakuna uchambuzi hapo ni ramli

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 17 днів тому

    John leo umealika mtu muongo sana leo studio. Halafu eti anajiita mwandishi mwandamizi. Hii ina watu wanajiita wasomi lakini ni wapuuzi tu. Eti chama kitapasuka jee? Utakipasua weweee?? Waandishi uchwala hawa hatari sanaa. Yaani anawatabiria watu yeye nabiii? Nchi hii mwandishi makini namuona ni chief Odemba. Wengine wabangaizaji tuuuu...

  • @ezradaudi7024
    @ezradaudi7024 13 днів тому

    Hili zezeta kweli linaongea vitu gani??

  • @muhammadmpahi338
    @muhammadmpahi338 18 днів тому

    Hivi uchaguzi ni lini?

  • @edsonkilatu5211
    @edsonkilatu5211 18 днів тому

    Wakala wa mwamba

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 18 днів тому

    Anaonge nn huyu kwamba lisu anaende kuuwa chadema sababu anagombea. Sio mbowe alingangania madaraka kwa miaka 20 . Waandishi mnatuwakisha wanaachi mbona mko wapofu sanna

    • @mohamedpesambili9460
      @mohamedpesambili9460 18 днів тому

      Uwe unaelewa Kwanza kabla ya kuandika😄😄.Anaepambana na mbowe hua habaki chadema sasa kama lisu akiondoka chadema ataondoka na kundi kubwa la watu na chama kitapasuka kama NCCR na CUF

  • @KaidiMajengo-sv7dd
    @KaidiMajengo-sv7dd 18 днів тому

    Kinalowasa, membe,nyalandu,nawengine,walihama,ccm,baadaya,.......ccm,iligawanyika

    • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
      @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 18 днів тому

      Ccm ni chama kipo madaraka kukosa elimu ni mzigo mzito maishani
      chademu hakipo madarakani pumbavu wewe

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 18 днів тому

    Yaani kuna uchaguzi 2025 Wewe unataka waende 2030 !!! Mbona kuna ujinga humo kwenye fikra hizo ?

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 17 днів тому

      Ndio hapo Sasa ,buchwaa kubwa halafu mawazo zilo

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 14 днів тому

    Upo sahihi kabisa, tundu Lisu ndo anaenda kuua CHADEMA

  • @MagakaManyanya
    @MagakaManyanya 18 днів тому +1

    Huyu ni ccm. Maongezi yake ni bias

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 18 днів тому

      Kwanza anapata wapi haki ya kujadili yasuyomhusu !?

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 17 днів тому

    Lisu anakipeleka shimoni CHADEMA. Lissu ni dikteta mbaya sana sana. Muogopeni sana sana

    • @JohnMhogo-hd3fs
      @JohnMhogo-hd3fs 17 днів тому

      Lisu dikteta Zito kabwe alikuwaje Msigwa nae ilikuwaje nae na wengine wengi wakina silinde na wengine kibao nao je

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 16 днів тому

    Mbona unajikanyaga mara ana busara marq tqcticql mjinga wewe

  • @FrankEdson-l2o
    @FrankEdson-l2o 16 днів тому

    LISSU akitoka watabakia wajinga

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 15 днів тому

    Hata mimi namshauli mh. Lisu kama watamfanyia figisu namshauli ahamie ACT ili tuendeleze mapambano ya kudai haki.