Mtia nia na wamama waliomsindikiza mgombea makamu mkiti bawacha taifa nawapongeza kwa hotuba nzuri. Mmeonesha ukomavu siyo wale wanagombea kiti kwa kutangaza sera za kumchafua mkiti wenu ili achaguliwe kwa uongo. Hakika huyo mama anafaa uongozi ana busara.
Ila uchawa umekuwa mwingi sana ndani ya chadema
Ulipo tupo Mwakimomo wetu❤❤❤❤❤
Mtia nia na wamama waliomsindikiza mgombea makamu mkiti bawacha taifa nawapongeza kwa hotuba nzuri. Mmeonesha ukomavu siyo wale wanagombea kiti kwa kutangaza sera za kumchafua mkiti wenu ili achaguliwe kwa uongo. Hakika huyo mama anafaa uongozi ana busara.
chawa kama chawa, unajitahidi sana!!