SAKATA LA NGORONGORO KABUDI ATIMBA, ATAJA MAMBO MANNE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024
  • Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amewasihi wakazi wa Ngorongoro mkoani Arusha kuendelea na shughuli zao za kujenga Taifa, huku akiwasisitiza kutunza na kulinda amani ya nchi yao.
    Profesa Kabudi ameyasema hayo leo Ijumaa Agosti 23, 2024 alipokuwa akizungumza na wananchi kutoka kata 11 zilizopo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha katika eneo Oloirobi, Kata ya Ngorongoro na kuwakumbusha kuwa wao ndiyo wenye mamlaka kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 8.
    “Nchi hii ni yetu sote, Watanzania wote tuko sawa, nchi hii imejengwa na Baba wa Taifa (Hayati Julius Nyerere) kuwa taifa moja, Taifa la upendo, Taifa la amani, Taifa la umoja na Rais wetu Samia Suluhu Hassan anasimamia misingi hiyohiyo. Nchi hii ni moja, Watanzania ni wamoja tunaweza kufanya yote kama Watanzania, sisi wote Rais ametutuma tuje kwenu mimi na kaka yangu William Lukuvi (Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri-Sera,Bunge na Uratibu,) ametutuma tuje kwenu ninyi wananchi wake watu wake anaowapenda sana, ameomba muwe na amani, muwe na utulivu.
    “Ibara ya nane ya katiba yetu inasema wazi kabisa mamlaka yote ya Serikali yanatoka kwa wananchi na wananchi ndiyo ninyi mliokusanyika hapa, na inaleza kuwa kazi kubwa ya Serikali ni kuhakikisha ustawi wa wananchi, rais wetu mpendwa yupo hapa kuhakikisha kuwa ibara hiyo inasimamiwa na ninyi mnahaki,” amesema Prof Kabudi.
    (Imeandikwa na Faraja Masinde)

КОМЕНТАРІ • 250

  • @aronmtui597
    @aronmtui597 2 місяці тому +15

    Viongozi mnahitajika kuwa na hofu ya Mungu kwa sasa Mungu ameanza kutenda

  • @hipolitenestar9207
    @hipolitenestar9207 2 місяці тому

    Kazi IPO tz ukifikiria vzr utaona mioyo ya viongozi ilivyo tofauti na wanannchi ila tunapo kwenda sio muda unafiki hautakua na nafasi ,,, mungu tufanye tuwepo wakati haki na ukweli vitakapo tamalaki

  • @RashidShinza
    @RashidShinza 2 місяці тому

    Mama samia hongela kwakuteua hao walio aminiwa na mtume magufuli nape na makamba kuwaludisha mungu Ali chukia

  • @Khamis_Waya
    @Khamis_Waya 2 місяці тому +1

    Tunahubiriwa amani mahala ambapo pananyimwa haki. Nikujazwa hofu tuuuh hamna kingine. Ikitupendeza watanzania tutahitajika kusoma ili tujue haki zetu za msingi. Mungu ibariki Tanzania🇹🇿 Mungu ibariki Africa🌍

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 2 місяці тому +6

    Yan mm na huzinika sana ninapo ona mambo kama haya Viongoz wakristo lazima tuwe na hofu ya mungu tusimamie haki pasipo kuangalia udini tusilegelege.

  • @doctormitishamba
    @doctormitishamba 2 місяці тому +9

    Sasa fikiria kama watanzania wote wangekua kama masai hakika tanzania iingechangamka

  • @msongojumbe486
    @msongojumbe486 2 місяці тому

    Mh. Mungu umesahau

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 2 місяці тому

    Mungu ampe nguvu lais wetu kiujumla mama anafanya kazi nzuli Sana sema wasaidizi wake ndo wanamwangusha Asante mama

    • @ordafabian5172
      @ordafabian5172 2 місяці тому

      Kuandika tu huwezi eti lais ndo nini

    • @MasanjaNyanda-p1w
      @MasanjaNyanda-p1w 2 місяці тому

      Ampe nguvu ili aendelee kuonea na kunyanyasa watu wanyonge eti huna haya

    • @BraxedaDomina-xn4zc
      @BraxedaDomina-xn4zc 2 місяці тому

      Tumechoka muda ufike aondoke

  • @jalaryababilasi1562
    @jalaryababilasi1562 2 місяці тому

    Vigeugeu Kumbe nimeamin tukishirikiana Bila uoga tutawabadilisha Awa viongoz wanafanua wao afu kama vile hawajayafanya wao

  • @RahimRashid-u9j
    @RahimRashid-u9j 2 місяці тому +31

    Anawapenda angeuza ngorongoro kwa waraabu

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 2 місяці тому

      Acha uongo kijana

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 2 місяці тому +1

      WAPOTOSHAJI MNAZIDI KUZALILIKA NA CHUKI YA UDINI 😢😢😢😢😢😢

    • @amaniabdi9755
      @amaniabdi9755 2 місяці тому +1

      Kama ingekuwa Vatikani usingesema,Mbwa usietumia ability yako kila kitu Milele amina.udini unawasumbua.Nchi hii ni ya Dini tofauti,utake usitake utaongozwa na kila Dhehebu,kwa Sasa ni Mwislamu kesho utakuja kuongozwa na Sabato.

    • @justardzelphine6526
      @justardzelphine6526 2 місяці тому

      Vatican hawafanyagi ulanguzi wa namna hii​@@amaniabdi9755

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 2 місяці тому

      @@amaniabdi9755 KAKA USIJISUMBUE WANAJULIKANA HAWA WANATOAGA MAPOVU HALAFU WAKINYWA MVINYO WANAKOROMA MPAKA PAPA AWAAMSHE TENA TUKIO JINGINE

  • @Martin-w2l9p
    @Martin-w2l9p 2 місяці тому +12

    Profesa chuoni panakufaa zaidi kuliko huko wanapokutuma, utashusha hadhi yako.

  • @BabaDon-n5g
    @BabaDon-n5g 2 місяці тому

    Mungu ni wawote na vyote ni vyake

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 2 місяці тому +1

    Poleni sana wamasai haki itapatikana tu

  • @DorkasKamau
    @DorkasKamau 2 місяці тому

    Goodness

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 місяці тому +6

    je mustakbali wa maisha yao imo wapinwakat ata chakula hakipelekwi

  • @mwenjumakanyemka
    @mwenjumakanyemka 2 місяці тому

    this nation

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 2 місяці тому +20

    Chawa promax

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 2 місяці тому

    Adui wa wananchi ni wanasiasa

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 2 місяці тому

    Rais wetu hongera kuwateua hawa ndg wawili. Watakusaidia. Taifa linahitaji amani kipindi hiki sbb jamii imebadilika sn hivyo tusipuuze na kuwapa wasiotutakia mema kama Taifa sbb ya kuharibu Taifa letu. Mama tusaidie kujenga Taifa lenye usawa kwa wote sio siasa za majukwaani tu...Tuna imani kubwa na wewe kama Mama

  • @ONESMOMOLEMOWO
    @ONESMOMOLEMOWO 2 місяці тому +2

    Isiwe ni siasa tu mnajuja kudanganya wananchi
    Wananchi wanamtaka samia mwenyewe kwann yeye haji

  • @DeusJackson
    @DeusJackson 2 місяці тому +1

    Tanzania wasukuma tu ndo wanamaamuzi ya haraka na hawataki siasa kwenye haki lakin sisi wamasai tunakybali halaka muno hatakama niuongo tubadilike ili tupewe haki bora hata ningemuina hapo ditto biteko ndo ningepata hata matumaini bz anahofu ya mungu na haki

  • @WillbadBeda
    @WillbadBeda 2 місяці тому

    Acheni uwongo mungu yupo kuna siku maji na mutafa yatajitenga

  • @ndimuelias6183
    @ndimuelias6183 2 місяці тому

    Kama nchi yetu ina wasomi wa hivi basi tuna safari ndefu sana ya kufika huko tuendako

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 2 місяці тому

    Chawa kubwa

  • @anthonymandia-j6w
    @anthonymandia-j6w 2 місяці тому

    Tumshukuru Samia kwa kushuka na kunyenyekea kwa kutambua nguvu ya wananchi.
    Pia kwa kutambua umuhimu wa Wazee, Taaluma na Uzoeufu ktk mambo ya Utawala.
    Atambue Chawa wanampoteza na wa Maslahi Yao si kwa Nchi. Awe makini na Wezi na Wapendwa RUSHWA maana ndio chimbuko la Uharibifu.

  • @LamayaniZakayo
    @LamayaniZakayo 2 місяці тому

    Loye mmm

  • @irenedaniel8692
    @irenedaniel8692 2 місяці тому

    Kwani kipindi vijiji vinafutwa hawakuwa na taarifa adi leo wameona wanainchi wameandamana ndio wanajitokeza kujidai wapo pamoja ??? Hii haipo sawa no aibu kuwa na viongozi wa namna hii.😢

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 2 місяці тому

    Uongo promax

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl 2 місяці тому

    Hii nchi sijui ina watu wana matatizo gani. Sa izi wamejiunga na jeshi la wana haki et

  • @MASSEYMEDIA-1
    @MASSEYMEDIA-1 2 місяці тому +13

    TUPEWE HAKI YETU WATU WA NGORONGORO , SIO WANATUMWA HALAFU WANAENDA KUTUDANGANYA BUREE HALAFYU BADO WANATUTOA HUKO NYUMBANI KWETU 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @wadeelegbogun3015
      @wadeelegbogun3015 2 місяці тому

      Yaani kweli kabisa, wamasai msikubali kudanganywa

  • @emmanuelmwakyembe5582
    @emmanuelmwakyembe5582 2 місяці тому

    Dah😂😂😂😂😂😂😂hii mzee wangu naona aibu mimi

  • @LegiusMwelela
    @LegiusMwelela 2 місяці тому +3

    Hoyo naye anadanganya aliefuta vijiji alijiamulia?

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 місяці тому +1

    Matapeli hawa ccm wameanzisha wenyewe leo wanajifanya wanatatua matapeli wa kubwa nyeeee

  • @bonifacekalima5273
    @bonifacekalima5273 2 місяці тому

    Kama kawaida yaake Mzee wa kusifia viongozi,namkubali kinoma toka enzi zile mzee kutumbua majipu

  • @mustaphabussinescenter4127
    @mustaphabussinescenter4127 2 місяці тому

    😢😢😢😢

  • @victordanistan7470
    @victordanistan7470 2 місяці тому

    Si wangeshuka tuu kwenye magari wakaongea vizuri na Wamasai huenda wangechunjiwa na Mbuzi ....

  • @johnmsabaha7399
    @johnmsabaha7399 2 місяці тому +1

    CHAWA CHAWA! CHAWAPROMAX

  • @JeremiahMwakanyamale
    @JeremiahMwakanyamale 2 місяці тому

    Majibu tujayapata,,je wanaondolewa au la!!! Maana iyo sio hivhivi,kunawaswas mkubwa mwalabu ashatowa pesa zake..ko nikigugumizi wafanye Nini' kulizma.

  • @josephmlazier1391
    @josephmlazier1391 2 місяці тому

    CCM tumeisha ikataa maana haina Nia nzuri dhidi yetu wamasai kabisa yaani tunanyanyasika tukiwa kwetu na serikali uko

  • @ShalomNissitv
    @ShalomNissitv 2 місяці тому

    Mwogopeni Mungu.kwani mlikuwa hamuoni wanavyozuia huduma na chakula.

  • @jastinmodest8073
    @jastinmodest8073 2 місяці тому

    Masikini wanashindwa hata kuongea na wakaeleweka Mungu wetu ni mwaminifu ukombozi uko mlangoni

  • @josephatlaizer1964
    @josephatlaizer1964 2 місяці тому +2

    Kwann unasisitiza amani kuliko haki?

  • @ElizabethJulius-s6i
    @ElizabethJulius-s6i 2 місяці тому +2

    Kila mwenye hofu ya MUNGU na anaye ishi akiwa hai apige gharama ya hawa ndugu zetu wanavyo umia,je,imeandikwa wapi kwenye maandiko ya MUNGU mateso haya,unajisikiaje wewe unaye kula na kulala,mwanao akiugua wamtibu,haitoshi jion kabla ya ku lala una hakikisha watu wako wote wapo ndan na ni salama,je hawa stahili nao kuwa kama sisi? Je,ni haki ipi inayo tetewa Sasa,neno la MUNGU Lina sema haki huinia Taifa maana yake kuumia Kwa watu wa ngorongoro kunatu husu makabila yote Tanzania,kwajinsi tulivyo oana na kuoleana.tuisikie sauti ya MUNGU watu wa ngorongoro waachwe huru waendelee na majukumu yao.kama sisi tunavyo endelea na majukumu yetu,na hii ndo Amani yetu sote amen.

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 місяці тому

    Wahala.msomera kuna watalii? Kama tuna tunza mila msomera mmewapeleka to do what exactly??+

  • @cosmaskamugisha5918
    @cosmaskamugisha5918 2 місяці тому

    4R tunaomba kuona zinafanya kazi hapo, waziri wa tamisemi Mchengerwa Yuko sahihi kabisa Kwa mtu yeyote muelewa na anaitakia mema nchi hii, mh. Mchengerwa goon goo goo!

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 2 місяці тому

    Kosa kubwa viongozi wanaotangaza amani wakati wanakanyaga haki kulinda amani kwa bunduki na risasi unakanyaga haki ndio hayo wakati wa arap moyoi na Nyerere vilikuwepo hivyo kupotea watu lakini walikuwepo kina kambina kubishina pamoja na mabishano sheria Kali na bunduki na risasi lakini watu hawakuacha kudai haki zao

  • @shadrackhelemani346
    @shadrackhelemani346 2 місяці тому +1

    Kwer kabisa

  • @AlexChawe
    @AlexChawe 2 місяці тому

    Mbona mmezuia huduma za kijamii kama kuzuia chakula ,madawa,elimu na Barabara huo ni usanii

  • @KimbuluMabina
    @KimbuluMabina 2 місяці тому +3

    Uongo mtupu mbona mmeuza ngorongoro?

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 2 місяці тому

    Kwasasa Mungu wako ni yupi muheshimiwa Kabudi?

  • @williamfrancis8724
    @williamfrancis8724 2 місяці тому +2

    Hubiri HAKI ndiyo tunda la Amani

  • @DaudLucas-qj3mp
    @DaudLucas-qj3mp 2 місяці тому

    Simuwaache watu wakae maeneo yao yaasili hakuna kitu kinauma kama kuondoka sehemu unayoipenda kwa lazima

  • @johnmlangi6890
    @johnmlangi6890 2 місяці тому

    Wananchi tumechoka na WanaSiasa laghai (Deceitful Political Leaders. "We've had enough from Conmanship Politics). Sasa mnasimamia dhuluma, unyang'anyi & Kupoteza Wananchi wasio na hatia, bali kusimamia Haki"!

  • @amosjoseph7241
    @amosjoseph7241 2 місяці тому

    Alafu MTU Bila haibu anamtaja mungu, kweli?

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa 2 місяці тому

    Tusicheke na ccm

  • @YunisRichard
    @YunisRichard 2 місяці тому

    Kama ni yetu sote mbona mnawafuza wamasi ngorongoro kwa faida ya nani

  • @GoodTeck90
    @GoodTeck90 2 місяці тому

    Siasa buana kama wazimu vile .....na wale ambao mlishawaumiza kwenda Msomero, tena kwa kuwahamisha kwa nguvu, Samia hakuwapenda !!??

  • @Gilbertnyanda
    @Gilbertnyanda 2 місяці тому

    Maasai huyu alitolewa jalalani ni chawa mbwa komaeni na msimamo wenu m 4:29 4:29

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 2 місяці тому

    Lukuvi, Kabudi na Makonda ndo wanadiplomasia wa kutatua hili tatizo? Hapana. Sioni mwenye diplomatic skills kati ya hawa. Probably angekuwa Mangula na Kinana.

  • @bahatishitindi
    @bahatishitindi 2 місяці тому

    Huwezi kutaja neno bila kumutaja samia

  • @HemedKiama
    @HemedKiama 2 місяці тому

    Wamasai msikubali haya ni matapeli,prof mzima unakua chawa unamsifia bibienu,hivi ccm mmelogwa,Mh aisee mmechoka,mtuachie nchi yetu na bibi kwenda!..

  • @mutalemwajohanes-kx9dj
    @mutalemwajohanes-kx9dj 2 місяці тому +2

    Acha kujidhalilisha Mweshimiwa MAHUBIRI HAYO HAYAFAI KWA LOLOTE

    • @GeorgeSikazwe-mm7nn
      @GeorgeSikazwe-mm7nn 2 місяці тому

      Kabsaa yan hyu mzee angebaki nyumban t..anachoongea na mada hysuka havifanani

  • @wemamtundu7906
    @wemamtundu7906 2 місяці тому

    Sioni kama anaongelea hoja au kutatua tatizo la hao Raia, naona anapiga kampeni vile, maana issue ni kutatua tatizo. Hii Ardhi si yetu wote, alie tupa hii Ardhi ni Mungu na alitupa buree kabisa, ila katika dunia hii hakuna haki isipokuwa ,,MUNGU TU

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 2 місяці тому

    Mbona mnawapiga wapinzani wacha wananchi wajitetee

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o 2 місяці тому +1

    Maneno mengiiii profesa uchwara aliyesema magufuri amemtoa jalalani

    • @emmanuelsimon545
      @emmanuelsimon545 2 місяці тому

      Matuc yann ndugu yangu kwan hawa ndo wamefuta vijiji bt huyu professor Kama unamdharau pole ila hasira hazisaiidii kila mtu anaona si sawa wamasai kuondoka hapa nikutafta ufumbuzi wapate haki zao cyo matuc

  • @ObadiahMutambo
    @ObadiahMutambo 2 місяці тому +19

    Wamasai wamelogwa tiari ..kama mamlaka ni ya wananchi huyo alie futa hivyo vijiji alijipangia kutoka nyumbani kwake?acheni propoganda achi hizo MUNGU anawaona wenye mamlaka mnanyanyasa watu

    • @prospervedasto4366
      @prospervedasto4366 2 місяці тому +2

      Huyo alofuta kwanini naye asifutwe kazi?!?

    • @BoniphasLukas-c3c
      @BoniphasLukas-c3c 2 місяці тому

      Away wasenge Kaz yao niuchawa kusifiya usenge kwakua wao wanapewa vyeo wananeemeka wao na fsmiliya zao kenge hao wanawapiga saund Aman gan watu wamefutiwa huduma zote kama wanyma​@@prospervedasto4366

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 місяці тому +2

      Ana kifua kikubwa

    • @PotinSoya
      @PotinSoya 2 місяці тому

      Atakua alipanga na familia yake kufuta vijiji

  • @YohanaJulius-j8p
    @YohanaJulius-j8p 2 місяці тому

    Mama yako must go

  • @samsonogunde4508
    @samsonogunde4508 2 місяці тому +1

    Hawa Wamasai Leo wakipoa kesho watalipuka, Serikali kuweni makini hao Wanafanya Siasa Tu.

  • @RahimRashid-u9j
    @RahimRashid-u9j 2 місяці тому +13

    Tunasubiri kampeni tudai bandari

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 2 місяці тому

      Tumesahini tayari mkataba auvunjiki apa

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 2 місяці тому

      Amka usingizini utajinyea

    • @Gadielrussia
      @Gadielrussia 2 місяці тому

      @@mosesnyelo1380 nani kalala apo sasa

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 2 місяці тому

      BANDARI ZIMEUZWA 😢😢😢😢😢😢😢😢😢WAPOTOSHAJI WATU WANAKWENDA MBELE

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 2 місяці тому

      Sawasawa..watasema tu!!!

  • @nellychamba1507
    @nellychamba1507 2 місяці тому

    Tz ni nchi tulivu aswa pale viongozi wanapo wajali na kuwaheshimisha watu wake, bila hivyo viongozi watajikuta wanaiaribu hii nchi, utawala bora siyo kuwafanya wananchi kuwa chapati kugeuzwa kila leo, wafanyeni watu waishi kwa utulivu! Ni ushauri natoa

  • @pidiusDominick-qi7nl
    @pidiusDominick-qi7nl 2 місяці тому +1

    Akuna upendo hapo

  • @raymondwankyo8670
    @raymondwankyo8670 2 місяці тому

    Awamu ya sita imekubalika?

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 2 місяці тому

    Maneno mengi ya nini,semeni mlikosea

  • @AbdullahKilindo
    @AbdullahKilindo 2 місяці тому

    Maliasilini pamoja na wananchi wa asili

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako 2 місяці тому

    Ngoja mpate kura muanze kuleta vingine tena

  • @deogratiaskatinda9232
    @deogratiaskatinda9232 2 місяці тому

    Mungu kamwe hachezewi! Kuna maigizo yanayofanywa na CCM kwa muda mrefu. Na kama upunguani wa akili kwa haya yanayosemwa na hawa viongozi wanaosema "wametumwa na Raisi". Swali langu, hayo yaliyofanywa na Waziri wa Tamisemi yalikuwa sahihi? Kama hayakuwa sahihi je Waziri kwanini mpaka sasa hajaachia ngazi? Je, Raisi mwenyewe anachukulia poa wananchi?
    Kila kitu kina mwanzo na mwisho.

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 2 місяці тому

    Acha uongo we mzee

  • @RobertMgore
    @RobertMgore 2 місяці тому

    Pamoja

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 2 місяці тому

    Mh!😢

  • @edgarmbegu1974
    @edgarmbegu1974 2 місяці тому

    Sasa Kabudi ndo kasema nini?

  • @RajabuLanda
    @RajabuLanda 2 місяці тому

    🎉fyekeo ukowapi jamani kunann hapo iri tusikirize upuuzi huwo

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 2 місяці тому

    Acha uwongo

  • @davidjohn8908
    @davidjohn8908 2 місяці тому +2

    Atamke kama tangazo la kufuta vijiji limeondolewa,

  • @noelyhaule5695
    @noelyhaule5695 2 місяці тому

    Point ipo wap

  • @JacksonMahende-ho2wb
    @JacksonMahende-ho2wb 2 місяці тому

    Toa mwelekeo wanaondoka au waishi hapo ngorongoro

  • @ZawadyKaoneka
    @ZawadyKaoneka 2 місяці тому +2

    Mambo ya muhimu wanatumwa chawa😂 simba na yanga inapigwa cmu😂 kabudi kabudi kabudi😮

  • @deokibona2835
    @deokibona2835 2 місяці тому +2

    Hata hawamuitikii, wamegundua hakuna la maana anaongea zaidi ya kuja kuwapaka mafuta Kwa mgongo wa chupa. Yaani watu wawe na amani wakati wanaporwa ardhi yao na kufukuzwa!

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 2 місяці тому

    Siwapendi wanasiasa na sipendi siasa huyu ni mtu wa serikali na na nyie mnao nyanyasa watu na kuwaua wamasai alafu unaleta maneno ya kinafiki kwa sababu ya yakutengeneza upatikanaji wa kura kwenye uchaguzi

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 2 місяці тому

    Promax ndo nini?

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 2 місяці тому

    Duuh ccm mna kazi na watu wa ngorongoro kuna nini uko 😮😮

  • @johntheophil1676
    @johntheophil1676 2 місяці тому

    Ustawi which,ustawi what, ....

  • @samsonogunde4508
    @samsonogunde4508 2 місяці тому

    Vichwa Maji

  • @damsonmgalula
    @damsonmgalula 2 місяці тому

    Kabudi hivi kweli hii ni awamu ya sita? Umikaa peke YAKO ukajiuliza na kujijibu jibu litakuja hilooo. Sasa hapa umeongea kitu Gani??? Tundijua hiooo uchaguzi umekaribia mmegundua kua mmekosea mnarekebisha makosa yenu.

  • @ChukiMjinga-jw2ql
    @ChukiMjinga-jw2ql 2 місяці тому

    Kosa wafanye wenyewe na majibu ni wao wanatoa😂😂😂wao

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 2 місяці тому

    WANAFIKITU WOTE HAWA,HIZO AMRI ZOTE ZAKISHENZI ZILIZOTOKA ZIMETOKA SERIKALINI,KWAHIYO NIWALE WALE BOBOTU JINGI

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 2 місяці тому +1

    Siasa za Tanzania za kijinga saaana, ati leo nchi ni watu wote, mamlaka eti niyawananchi ushenzi kabisa, aliyepanga kuwahamisha hao watu ni nani? Ni Ninyi wenyewe, leo mnawambia eti mnawapenda saana, bila kelele za watu hasa wanasheria, na sauti ya wapinzani, Yaani mnatufanya sisi wajinga kiwango hicho kweli daaah Inaumiza saana, Semeni tulikosea mtusamehe maisha yaendelee sio, tunawapenda saana.

  • @Gadielrussia
    @Gadielrussia 2 місяці тому

    kwan mkiacha kumtaja uyo bibi mtafukuzwa kazi

  • @aretasiwilliam
    @aretasiwilliam 2 місяці тому

    Unafiki haulipi

  • @MiriamOllemoita
    @MiriamOllemoita 2 місяці тому

    Majibu ya kisiasa siyo majibu

  • @AlexNjelekela-e6e
    @AlexNjelekela-e6e 2 місяці тому

    Danganya to2 ya profesa aliyeokotwa majalalani