“PUUZENI UZUSHI BANDARI INAFANYA KAZI SAA 24, UPENDELEO NI KWENYE SUKARI TU” MKURUGENZI BANDARI DSM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @AloneChuga
    @AloneChuga 7 місяців тому +4

    R IP JPM,kazi zako zitadum kizazi hata kizazi.

  • @annycarmly9232
    @annycarmly9232 7 місяців тому +1

    Kazi ipoo.. yan hii serilali n ngumuu

  • @dorismzumbwe8921
    @dorismzumbwe8921 7 місяців тому +2

    Itajulikana tuuuu......

  • @matikowambura7657
    @matikowambura7657 7 місяців тому +1

    Bado mtasema mkiambiwa mtishia watu

  • @deogratiaskatinda9232
    @deogratiaskatinda9232 7 місяців тому +1

    Ngoja tusubirie tuone, kwani mara nyingi tunadanganywa!
    Na mara nyingi huwa kuna tatizo kubwa pale nguvu kubwa inapotumika kukanusha jambo fulani.

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 7 місяців тому

    Bandari haiwasaidii watanzania,ni ufisadi tu, RIP JPM

  • @yusuphharuna9437
    @yusuphharuna9437 7 місяців тому

    Meli inakaa mwezi mzima haijashusha mzigo wake ni kazi gan zinafanywa hapo mi sijaelewa maana meli kibao hazijashusha

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 7 місяців тому

    Kupuuza ni ngumu kwa watoto waliozoea kudanganywa maana kuna uongo mwingi kwa wavaao suti pia kuna uongo wa wavaao kaptula na uongo uliotakaswa na kupewa jina la uongo mkweli wa kitaifa sasa hapo uongo ni nini na ukweli ni nini?

  • @mgulwapiencia
    @mgulwapiencia 7 місяців тому

    The time will tell, let us wait and watch

  • @faharikhamisi3091
    @faharikhamisi3091 7 місяців тому

    Kweli watu wanalalamika mizigo aitoki

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 7 місяців тому

    Bandari haitusaidii watanzania,za ya hao mafisadi, RIP JPM

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 7 місяців тому

    Time will tell nchi nyingi za Africa walitemwa Ila tumekuwa waongo mpaka shetani nafuu😂

  • @SGVBnewsSAMWEL
    @SGVBnewsSAMWEL 7 місяців тому

    Kiufupi mamlaka za bandari zipambane kutoa kasoro zilizopo na sio kusema malalamiko ya watu kuwa ni uwongo

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 7 місяців тому

    Unafagilia kweli kama tanesco kuwa umeme hauta katika

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 7 місяців тому

    Nigeria wapo mtaani

  • @McheshiOnlineTv
    @McheshiOnlineTv 7 місяців тому

    Adeeee

  • @salmanmagwe222
    @salmanmagwe222 7 місяців тому

    Bado tuna akili na tabia ya KIJAMAA vichwani mwetu,hii ni enzi ya watu kujituma kufanya kazi,kusubiri serikali ikuajiri au ikupe pesa ni mambo hayapo duniani ila yapo kichwani mwa watanzania wakijiaminisha kuwa serikali itawapa kila kitu.

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 7 місяців тому

      Ndugu NI selekali ipi ya kumpa mt kila kitu NI selekali ipi ya kumpa mtz Maisha ?ikiwa hata yaliyo wajibu wao Kwa wananchi wameshindwa kusimamia balabala maji umeme miaka 60ya uhulu NI changamoto tunakutana hapa tz wananchi Wana msafala wao na selekali ina msafala wake ukisema watz wanaitegemea selekali iwape kila kitu mfano kitu gani na imewahi kufanya hivyo mwaka gani? Acheni zalau watanzania hupambana Sana lakini selekali gandamizi mazimgila sio lafiki

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 7 місяців тому

    🤣🤣🤣🤣 jamaa ana hasira

  • @thabitiseapower4499
    @thabitiseapower4499 7 місяців тому

    Fagilia ule

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 7 місяців тому

    WABONGO WAPUUZ SJUI NAN ALIWALOGA MTU HANA TAALIFA ANAROPOKA TU ANACHO JISKIA HAWA WATU INATAKIWA WACHUKULIWE HATUA

    • @KhalfaniSaidi
      @KhalfaniSaidi 7 місяців тому +2

      Na wewe ukiwemo kwa sababu unapingana na changamoto za raia wenzako wa nchi hii uchawa ndio unao waponza nakuendekeza matumbo yenu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 місяців тому +1

      ​Point ❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 7 місяців тому

      NI wapuuzi kweli maana wanapolwa. Iasilimali zao na kuibiwa mchana kweupe huku wanashangilia na kuwasifu wakuu Kwa kuupiga mwingi NI wapuuzi hawana uzalendo wamejazwa akili za kichawa chawa Bola mkono uende kinywani akili oooo