KOREA KASKAZINI YATUMA MAJESHI URUSI, MAREKANI YATHIBITISHA UVUMI ULIOKUWA UKIENDELEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 4 години тому +2

    Marekani watulie dawa ifanye kazi vizuri,marafiki kusaidiana ni kitu kizuri,sawa na wao wanapoisaidia Israeli

  • @aloicyemarawiti7156
    @aloicyemarawiti7156 3 години тому +1

    Naomba mulete hao wanajeshi na uku chadema wana tutesa sana

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 2 години тому +1

    Sikuzote jilaniyako akivamiwa na maadui na wewe ukikakimya basijua wakimalazakwake anaefwata Ni wewe kwaiyo ni lazima kupambana kwapamoja kuonyesha umojawenu safi Sana Korea na Russia uraaaa

  • @RashidBusanya
    @RashidBusanya 4 години тому +1

    Inafurahisha sana Tena sana

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 7 годин тому +2

    Habari njema hizi,God bless russia 🇷🇺 ❤

  • @sbboymkaliofficial9108
    @sbboymkaliofficial9108 7 годин тому +5

    Kwani Kuna kosa gan mbona NATO mnapeleka jeshi lenu kule Ukraine ubaya ubwela TU 😂

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o 6 годин тому

      Urusi hari mbaya

    • @achawanunetv1167
      @achawanunetv1167 5 годин тому

      Ni nani aliye kudanganya?​@@GeorgeElias-p5o

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 3 години тому

      ​@@GeorgeElias-p5oMashoga na wafuasi wao ndio hali mbaya,

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 7 годин тому +2

    Kama ni kweli marekani na NATO watakinyea

  • @NassourJuma
    @NassourJuma 4 години тому

    wao ndo wanaona ajbu ee

  • @zachariamakoba8368
    @zachariamakoba8368 7 годин тому +1

    Noma na iwe noma tu

    • @Juma-e8l
      @Juma-e8l 7 годин тому

      Weather niweke uongo 😂😂😂😂😂

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 7 годин тому

    Wanajichekesha wenyewe bhana... Wapo Kwa mafunzo!!!!😂😂😂😂

  • @theempire4058
    @theempire4058 6 годин тому

    Hii vita haiishii leo wala kesho tumebaki kuwa mashabiki wa urusi na nato ila sio mashabiki wa wale wanaokufa hapa katikati bila hatia, ukraine aliyevamiwa anaomba msaada marekani na aliyeanzisha vita nae anaomba msaada,

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 4 години тому

    Kama katuma ndio vip sasa Korea pekeake ametuma jeshi wanajinyea mbona wao mashetani NATO zaidi ya nchi 30 zinatuma jeshi na siraa na bado urusi inawalambisha mchanga. NATO waache ushenzi wakae mkao wa kuliwa dawa iwaingie shenzi

  • @johnmike6059
    @johnmike6059 5 годин тому

    Nyie nao acheni upuuzi na propaganda za uongo marekani asinitishe vip kitu kisichomuhusu

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 4 години тому

    Mbona nato mmepeleka wanajeshi

  • @zachariamakoba8368
    @zachariamakoba8368 7 годин тому

    Mbona wao wamejaza wanajeshi ukreine sema putini anawanyoosha huko, ama kweli mkuki kwa nguluwe Ila kwa binadamu mchungu

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 5 годин тому

    Haya wacha tuonee,prooo Russian team, pamoja na London, Berlin,na Washington itafahamikaaa muda sii mrefuu😂😂😂

  • @ZahorSalum-h9q
    @ZahorSalum-h9q 5 годин тому

    Aaaaa .wanaenda kufuzana tu nawao km hv mnavofuza.nyy.wahuni .wezenu.😂😂😂😂

  • @razackndeze-pv5bm
    @razackndeze-pv5bm 4 години тому

    Mbona hamjaripoti wanajeshi kutoka nchi za magharibi wanaopigana upande wa Ukraine?!!?

  • @Mundhir-z5w
    @Mundhir-z5w 3 години тому

    U

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 6 годин тому

    Sass Marekani mbona yupo Ukraine na Ulaya majeshi yao yanappinga na Urusi a wakumuachia Ukraine apigane Marekani ni wapumbavu tu

  • @AbasiShabani-lw2fd
    @AbasiShabani-lw2fd 7 годин тому

    Sasa shida iko wapi yaaan marekani yeye anapeleka vikosi vingapi na washirika wake huko Ukraine acha wapigane tumjue nani mbabe

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 7 годин тому

    Hata Mato hawafichi

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o 6 годин тому

    Urusi hari tete

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 7 годин тому +1

    Kama ni kweli marekani na NATO watakinyea