KUHAMIA DP WORLD KWA WATUMISHI WA BANDARI TPA DAR ES SALAAM KWAHITAJI MAAMUZI SAHIHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 111

  • @jabilmusa7569
    @jabilmusa7569 7 місяців тому +4

    Fellow hongera sana kwa kutoa elimu sasa ni imani yangu watumishi wa babdarini watafanya maamuzi sahihi.
    MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI SANA

  • @sudijackson2932
    @sudijackson2932 7 місяців тому +1

    Hongera saana mtaalamu kwa kutoa elimu nzuri kwa masirahi mapana ya taifa, kiukweli umetoa mchango mkubwa saana na umewasaidia pia wafanyakazi wa TPA kufanya maamuzi, Mungu akubariki saana...By Sudi Mmarekani

  • @alexandernkwamah5905
    @alexandernkwamah5905 6 місяців тому +1

    Very right. Ila kujiamini ni nguzo kubwa. Anayeenda ajitume tu. Watanzania tuelewe dunia inapenda kupanda viwango. Professionalism. Msiogope. Jifunzeni.

  • @samwelmfugale5593
    @samwelmfugale5593 6 місяців тому +3

    hongera sana kwa ufafanuzi

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 6 місяців тому +2

    Hivi kama nchi tulishindwa wapi kusisiiza nidhamu ya kazi ili kuongeza ufanisi, leaders remained lookwarm and compromising. Leadership problem ndio inaliangusha taifa hili na sio waajiriwa. Utashangaa mwarabu akiingia nidhamu itarudi kwa kuwa tutafanya kazi while someone watching you. Na ukizembea wewe ni nyumbani tuu. Hakuna cha msalie mtume. Pengine huu utaratibu mpya utatufundisha kitu. But tumepoteza kitumuhimu sana kama taifa

  • @AllyFaraji-r4y
    @AllyFaraji-r4y 6 місяців тому +4

    Hapa ndipo anapo kumbukwa Wakili msomi MWABUKUSI aliwatetea watanganyika mpaka makahmani leo tunanza kuyaona na bado tutona mengi na tutasikia mengi sana SUBILI TUWONE

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 7 місяців тому +4

    Mama keshauza bandari yetu ya tanganganyika

  • @hurumampesha5005
    @hurumampesha5005 6 місяців тому

    Great presentation

  • @PhilibetLadislaus
    @PhilibetLadislaus 7 місяців тому +2

    Tz sawa na mwanamke anayeongozwa.lazima akubali na matokeo ya ujauzito ni lazima pia akubali nashangaa wanaosifu mambo ya Dp world

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 6 місяців тому

      Wewe hiyo elimu yako kijiko kimoja waeza jua maana ya uekezaji kweli!?????

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 6 місяців тому

      Acha waekezaji waje waekeze hii tz haiuziki hakuna mtu anaeweza kuuza watu wake.......sematuu watanzania mazuzu wanafuta maneno ya akina mwabukusi halafu na wao wan futa mkiatu ....hao ni Wana siasa tz tuko salama waekezaji wakaribietu tuibadilishe Tanzania

    • @jesaminzo
      @jesaminzo 6 місяців тому

      ​@@abuushakiraddausiy8666unaandika mara mbili mbili maana yake huelewi hata unachoandika, ushabiki uliojaa udini ndani yake

    • @DodomaTanzania-r5z
      @DodomaTanzania-r5z 6 місяців тому +1

      ​@@abuushakiraddausiy8666kwahy magufuli aliyekataa bandari kuwekezwa nae hana akili ila wew na huyu mama ndo mna akili sana!
      Unaposema mwabukusi ni mwanasiasa je vp nae mama samia sio mwanasiasa? Makame mbarawa nae sio mwanasiasa ?
      Acha ukuma wew bandari inauzwa ww unaona raha

  • @mukrimkhalfan2604
    @mukrimkhalfan2604 6 місяців тому

    Asante sana fics kwa kutuelimisha

  • @dahirgaraar360
    @dahirgaraar360 6 місяців тому +1

    Mmmh mwekezaji haongezi ajira anapunguza hao ndiyo wasomi wetu hilo nalo somo.
    kwamba mwekezaji anakulipa unavyo deliver
    Serikali ni kulipa tu mpaka unastaafu ni kweli haijalishi hata kama hauna delivery ya maana
    Hiyo ni nzuri kwetu watanzania mmh
    Kweli yafaa tuwe tunachati wakati wa kazi kwa raha zetu na tunalipwa tu.
    Hiyo nimeipenda ya mtaalamu wetu mzalendo
    Safi sana

  • @stewartbisanda1269
    @stewartbisanda1269 7 місяців тому

    Well said brother....usiache mbachao kwa msala upitao🤝

  • @bwiremgonya1394
    @bwiremgonya1394 6 місяців тому

    Ajira ni msumari☝️
    Noted

  • @bwiremgonya1394
    @bwiremgonya1394 6 місяців тому

    Win- win situation.
    "Mtaa unawakaribisha".

  • @nyambwirobakari9436
    @nyambwirobakari9436 6 місяців тому

    Ndio maana makamba husema ili uwe msomi lazima uwe umesoma minaki. Safi Sana my classmate nguhulla

  • @eliyfo9753
    @eliyfo9753 6 місяців тому +1

    Lakini hili swala lakupunguza watu lilizungumzwa kuwa dp world atapunguza ajira mlipinga sanaaaa nakusema ajira zitaongezeka saiv baada ya kuwapa hao dp world mnasema mwekezaji lazima apunguze watu kwa ajili ya kupunguza gharama za uendeshaji nyieeee😢

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 6 місяців тому +1

    Mambiwa bandari inauzwa, mkashupaza shingo. Msikubali kwenda Dp world. Mtakosa kazi, subirini mafao yenu kutoka serikalini.

    • @stewartmlanga1263
      @stewartmlanga1263 6 місяців тому

      Maana ya kulipa bandari DP world ni kwamba kazi walizokuwa wanafanya sasa zitafanywa na hao wawekezaji. Wakibaki TPA watafanya KAZI zipi?!!. Huu ni MTIHANI mgumu SANA.

  • @maguosenior7809
    @maguosenior7809 6 місяців тому

    Kwanini Dp Word isichaue watumishi inaowataka kwa number inayoitaka kutolka Port Authority.Wasiwasiwasi ni kua kama number yatumishiki wataotaka kuhamia Dp Word ni kubwa si hasara kwao?

  • @wenslauslugenge8847
    @wenslauslugenge8847 7 місяців тому

    Constructively said.

  • @jesaminzo
    @jesaminzo 6 місяців тому +2

    Kuna mtu anaitwa Mbarawa kutuambia ajira zitaongezeka aliamua kuwalisha matangopori watu wa kijani wakawa wanatuzomea tuliokuwa tunahoji

  • @majaliwawilson9372
    @majaliwawilson9372 7 місяців тому +1

    Kwaio hapa kwa taalifa hii tuwamin tuwaze kuona nijic gan tulidanganywa kwani tuliambiwa tunawekeza ili ajila iongezeke kauli yako inatuonesha ulikuwa plopaganda Sasa kunasababu yakuwamin uwekezaj ?kwani baada yakuongeza wafanyakaz watoke mtaani hapa tela tunawapuguza pia walioko ndan tuliambiwa hakuna atakae achwa hapa dp teal inatafuta sababu yakuwaajil wanao wataka kwani hao wafanyakaz wasipo enda dp huko tpa wakibak watabak kufanya Nini wakat Kaz teal kapewa mtu hivo nikujiandaa kupewa lidadac maana hawazalish wanakaa wanafanya Nini hiindio Aflika

  • @ismailmustafa-wf6nx
    @ismailmustafa-wf6nx 7 місяців тому

    Nice mr nguhulla

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 6 місяців тому +1

    Spika Tulia ametuingiza kwenye shida ,kwa kuupitisha Mkataba wa Dpw,ulaniwe wewe spika ,angalia mlitudanganya ati ajira zitaongezeka DPW wakianza kazi,sasa watumishi waTPA (Bandari) watafukuzwa kazi wengi

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 6 місяців тому

    Hivi tulisikia vibaya kwamba wataongeza Hajira au maana yake niNini huo husemi nivyema mkawapa Elimu watanzania mab wengine watashindwa kuelewa hajira zitaongezeka kivipi?......Elimu please

  • @projectusmakwaya7895
    @projectusmakwaya7895 7 місяців тому

    Aise

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 6 місяців тому

    MH

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 7 місяців тому +1

    Ni muda utatupa jibu, kama rent itakayolipwa na DPWorld ikiunganishwa na makusanyo less matumizi ya PTA kipi kitatupa faida zaidi. Hesabu hazisemi uongo.

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 7 місяців тому +2

    Dp anakwenda kijigital hawezi chukua hilo tpageng ndo ajira robo mkopo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 місяців тому

    Kwanini wahamie Dp world badala ya kubaki kwenye ofisi yao ya Tanzania acha wafanye kazi wastaafu kwa heshima

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 6 місяців тому

    Akili za wizi ndio nyingi sio za ku endelea rasilimali zetu

  • @yassinrajabu6511
    @yassinrajabu6511 6 місяців тому +1

    wafukuzwe tu iliwaje mtaani waendeshe bodaboda😂😂😂😂

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 6 місяців тому

    Nyie watumishi wa TPA msiondoke kwenda DPW bila kujua mikataba yao ,vinginevyo bakini Tpa

  • @joshuatituslusinde1260
    @joshuatituslusinde1260 6 місяців тому

    Haya ndio matokeo ya uwekezaji

  • @ogossygassayachacha6988
    @ogossygassayachacha6988 6 місяців тому

    Sector binafsi ndo engine ya uchumi kwa sasa Duniani kote,tuache siasa ..

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 7 місяців тому

    Jamani aliyeelewa anieleweshe, kwani kuna serikali ya Tanzania na Omani huko kwenye bandari moja au ikoje hii ,mi naona makundi mawili yaliyokaa kijanjajanja lakini muda ni Mwalimu mzuri

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 7 місяців тому

    Muhuuuu

  • @rayakhalfan3328
    @rayakhalfan3328 7 місяців тому

    Kweli kabisa muda unahitajika

  • @ibrahimmaulid2704
    @ibrahimmaulid2704 6 місяців тому

    Hapo elimu kubwa ya Sheria inatakiwa kutolewa kwa hao Wana bandari uzalendo utumike hiyo ni management contract system hapo T P A ATABAKI KAMA PROJECT NA D P W ATAKUWA KAMA CONTRACT MANAGEMENT SO D P W ATAWAPA OPEN CONTRACT AU? HAPO UZALENDO UTUMIKE KUWAOKOWA WANABANDARI😢😢😢😢😢😢😢

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 6 місяців тому +1

    Wafanya kazi wengi wa T.P.A.ni wahuni

  • @ibrahimmaulid2704
    @ibrahimmaulid2704 6 місяців тому +1

    Hapo inatakiwa T P A AWEKE WAZI MKATABA WAKE NA D P W AWEKE WAKE PIA MEZANI DP W POLICY PIA IWE OPEN NA TPA NAE UWE WAZI KWA MASLAHI MAPANA YA WANABANDARI TUSIKURUPUKE TUKAJIJIDIMIZA WANABANDARI WANASHERIA WAZALENDO WASAIDIENI WANABANDARI😮😮😮😮😮😮😮

  • @frederickshayo2566
    @frederickshayo2566 7 місяців тому

    Wanaambiwa waresign TPA, na kusign mkataba wa DP world immediately... Je mkataba wa DP world tayari uko wazi. What if nika resign TPA leo, kesho nikapewa mkataba wa DP world wa mwaka mmoja pekee. Hatma yangu ni ipi..

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 6 місяців тому

    Mkumbukeni Mwanasheria Msomi Mwabukusi hamkumwelewa sasa mtamwelewa. Tulia ni chanzo cha hao watumishi wengine kufukuzwa kazi bandarini, Mwarabu ataweka maroboti wa kufanya kazi ,

  • @JumaRamadhani-hf3cm
    @JumaRamadhani-hf3cm 6 місяців тому

    Mataifa yote duniani yaliyo e.ndelea yalitumia vizuri rasilimari watu wake kwanza

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 6 місяців тому

    24:53

    • @jamesbayo1910
      @jamesbayo1910 6 місяців тому

      RAISI. SAMIA KWELI. AMEUZA. BANDARI. NA WA BUNGE. WAKAPIGA. MAKOFI. LEO BANDARINI. DP.WORLD LEO. INAINGIA MKATABA. NA WATUMISHI WENGINE JE. TANZANIA. ITAWAPELEKA. WA PI? WATUMISHI HAO. HIKI. NI KILIO. KINGINE. KWA WATAZANIA. JE? WAPIGA. MAKOFI. WABUNGE. HILO. MUMELIONA.??

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 6 місяців тому

    Unalaumu nn mbona mwabukusi mwanasheria Msomi aliwaambia mapema? Lakini hamkumwelewa, acha sindano ingie vizuri ,na bado mtasema tu.

  • @davidanselmo4041
    @davidanselmo4041 4 місяці тому

    Hii wageni ndo tuombe kazi

  • @oscarmnyawami6667
    @oscarmnyawami6667 7 місяців тому

    Moto umeanza kuunguza.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 6 місяців тому

      Chama cha wafanyakazi TPA kaeni mchambue mbivu na mbichi

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 6 місяців тому

    Mi napita tu

  • @babajaden3525
    @babajaden3525 7 місяців тому

    Waje huku private sector waone mziki wake!!mimi nimeingiziwa pesa kwenye mifuko ya kijamii mitatu psssf,nssf,zssf wakati toka nimeajiriwa sijawahi acha kazi na nikiugua masaa yanapungua rikizo napewa mara mbili kwa mwaka yaani siku 14 mara 2 siruhusiwi kulalamika wala kuhoji kuongezwa mshahara kwa sababu ziwe za kitaifa au kibinafsi
    Hahaaaaaaa karibuni PRIVATE SECTOR UNALIPWA UNACHOKIDELIVER

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 7 місяців тому

    Haon DP world walio wahonga kwa mikataba ya wizi ee dili limekamilika wenye nchi hawajasikilizwa

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 6 місяців тому

    Bunge walipitisha kwa kishindo hawakulijua Hilo fumbo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 місяців тому +1

    Ama kweli nchi imeuzwa kwa warabu Wafanyakazi wa Tpa ndiyo wanakosa haki zao kweli Munguinglia kati swala hili

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 7 місяців тому +1

    SIO LAZIMA KUFANYA KAZI BANDARINI KUNA VIJANA WAMEMALIZA VYUO VIKUU HAWANA AJIRA HAO WALIOPO WAPEWE KIINUA MGONGO WAPISHE WENGINE WANALETA WIZI WANALETA UFISADI

    • @martedimohamed6327
      @martedimohamed6327 6 місяців тому

      Kweli wapishe wengine kazi yao wizi tu nchi inataka maendeleo watu wezi bandarin kipind chote walivyokuw wanaiba km hawajafanya maisha bas watafute kaz nyengine

  • @joachimedifon9919
    @joachimedifon9919 6 місяців тому

    Mimi nadhani Kuna kificho Kwa chini hapo. Unaniambia nichague TPA au DPW wakati hujamiambia sera za ajira za DPW hujamiambia?
    Tuambiwe DPW inatofautianaje na TPA Kwa wafanyakazi kuhusu maslahi ya sasa na ya kesho kwa mfanyakazi.

    • @ondieckotoyo1143
      @ondieckotoyo1143 6 місяців тому

      Nimeshindwa kuelewa hoja unasimamia wapi anatetea Dpw au wafanyakazi wa tpa na majukumu hayo amepewa na nani

    • @ondieckotoyo1143
      @ondieckotoyo1143 6 місяців тому

      Je kwenye mkataba nafasi ya wafanyakazi mkataba umesema nini kama hawakuongelewa basi mkataba Una mapungufu,

  • @beastforever734
    @beastforever734 6 місяців тому

    Wale masheikh wapo wapi walisema tuna ukosoa mkataba wa dp world kwa sababu rais ni muislamu hamkutaka kusikiliza hoja za msingi haya sasa mbona saiz hamjitokeze kuongea

  • @ruwaichijoseph5946
    @ruwaichijoseph5946 7 місяців тому

    Kwishinie watanzania kusoma mmefeli hata macho hayaoni na Bado

  • @rehemashabaniameen
    @rehemashabaniameen 7 місяців тому

    Usiache mmbachao kwa msala upitao 😂😂😂😂

  • @rashidmussa9661
    @rashidmussa9661 6 місяців тому

    Haaa Sasa TPA wakabaki na WAFANYAKAZI wasiyo na kazi watawalipa bila kazi au wahamishiwa sehemu ambayo haina kazi Kama ilikuwepo ilikuwa haina mfanyakazi siku zote hao watakabakia TPA watakutana na lidanda tu usiwe mnafiki

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd 6 місяців тому

    uyu mama kakosa wa kumshauli vizuri, ili diri la bandari alijakaa powa kabisa ipo siku Wana nchi watachukuwa Sheria mkononi bandari italipuka moto mkari Sana, chochonde viongozi msilazimishe maji kupanda mlima, watu walisha elimika wengine niwatalamu kuzidi atanyie mulioko madarakani.

  • @charleslukumai7875
    @charleslukumai7875 6 місяців тому

    Huyu mtaalm hovyo kabisa. Anafikiri watu wote mazuzu. Tangu lini casual laborer akawa mwajiriwa. Casual laborer aweza kwenda popote kutafuta ajira. Mwanjiriwa, anakuwa na mkataba, na hao wanaozungumziwa, wana mikataba na TPA. Acha kudanganya.

    • @josephmchila6467
      @josephmchila6467 6 місяців тому

      Yuko sawa,hiyo barua hujaisoma ndo maana upinga

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 6 місяців тому

    Tunapambana na chadema

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 7 місяців тому

    Sidhani kama DPW watahitaji wafanyakazi wote hao wa bandari ya Dar.
    TPA wanataka kuwaondoa kijanja kwa sababu wafanyakazi wataohitajika wanaweza wasizidi robo yao.

  • @JOSEPHMwakipesile-n7l
    @JOSEPHMwakipesile-n7l 6 місяців тому

    Hatuwataki hao wawekezaji /bora kubaki na umasikini wetu na badari yetu /machimboni tumezoea sululu

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 6 місяців тому

    Mbona umechelewa, wakati debate iko hot hukuongea, mnaongea nini leo . Acha mambo yaendelee.

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 7 місяців тому

    Kazi imeanza hapo bado dp world hajaset class ya wafanyakaz anaowataka hahaha

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 6 місяців тому

    Dp world ifukuze 2 watu wote ile marobort yafanye kazi

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 6 місяців тому

    Mwaka haujaisha,upumbavu wao umeanza kuonekana

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 6 місяців тому

    Iendelee kunyesha tuombe panapo vuja.Wayumbisheni tu.

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 7 місяців тому

    Ushauri wangu ni huu.
    1. Kama wewe ni Kijana, hujazidi miaka 40, au 45 hivi, unafanya kazi ki Sasa, yaani unajifunza Kila wakati, una uwezo wa kuwasiliana vizuri (yaani kutandika kwa kutumia Computers na kwa kuongea), na una uwezo wa kujifunza zaidi, basi chukua uamuzi wa kuacha kazi TPA na kuajiriwa na DPW hapo hapo
    2. Kama wewe ni mtu mzima, una zaidi ya miaka 40 au unakaribia kustaafu, lakini tunafanya kazi kizamani; yaani huna uwezo mzuri wa kutumia Computers na kuwasiliana kiteknolojia, na pia huna uwezo wa kujifunza mambo mapya na. namna mpya za kisiasa za kufanya kazi, basi Baki na TPA.
    Nawakilisha

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 7 місяців тому

      In the first place watumishi waambiwe wanaondoka TPA kwa makubaliano gani na wanajiunga na DP WORLD kwa makubaliano gani???What are the terms??

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 7 місяців тому

      @@adelinelyaruu3036terms wameambiwa wao ndani ya TPA. Wanalipwa mafao yao. Sisi hatuzijui tulioko nje

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 7 місяців тому

      @@adelinelyaruu3036 kwa mujibu wa barua kazi hiyo imekuwa ikifanyika kwa wiki kadhaa tayari. Ila sisi 3rd parties huku nje hatuzijui hizo terms, na kwa kweli hazituhusu.

    • @sylvesterkalagila4459
      @sylvesterkalagila4459 7 місяців тому

      😅​@@adelinelyaruu3036

    • @jesaminzo
      @jesaminzo 6 місяців тому

      Najiuliza; ina maana TPA itakuwa na kazi zake tofauti na DIIPII WEDI?

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 7 місяців тому

    Hivi Wewe Kweli Ni Mtanganyika?Msomi Kama Wewe Nilitegemea Unaulizia Kwanza Je IGA Imefutwa?????? Au Ni Kwa Namna Gani Tumeafiki Na Huo Mkataba Na Mwaarabu????Waarabu Wanaotegemea Technology Ya Mzungu!!!!!!.Ni Uamuzi Sahihi??????

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 6 місяців тому

    Hakuna cha mwekezaji wala nini ni uhuni mtupu

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 7 місяців тому

    Mlidanganywa DP WORLD itaongeza ajira hapo tunaipata.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 7 місяців тому

      Hakuna aliyedanganywa. Kampuni haziji kutengeneza ajira. Sio Kazi yao. Zinakuja kufanya kazi kwa ufanisi, na hiyo ndiyo Ina determine idadi ya wafanyakazi. Kadri Dunia inavyoenda mbele, matumizi ya mashine yanaongezeka, na matumizi ya misuli yanapungua!. Imekuwa hivyo tangu Industrial Revolution, miaka ya 1700s!

    • @abdulpagali7476
      @abdulpagali7476 7 місяців тому

      Ni suala la mtumishi wa TPA kutumia busara na utashi wake kuamua kwenda DP World akafanye kazi kwa ufanisi na kulipwa maslahi mazuri au abaki TPA aendelee kuchati na kutegemea ujira mdogo, kudokoa au magendo. Watumishi waadilifu na waaminifu waliotayari kufanya kazi DP World na kuongeza tija, faida na gawio kwa wana hisa wake; vigezo muhimu kwa kampuni ya biashara. Kama watumishi waliopo TPA hawako tayari kuajiriwa na DP World, basi mchakato utafanyika kuajiri watu wenye, sifa, ujuzi na uzoefu unaotakiwa.
      It's my sincere hope that M/s DP World will execute its activities and strategies objectively to attain it's expected goals, including labour productivity, financial profitability and generally the improvement of Tanzanians' well-being. May God-the-Almighty bless DP World, TPA and the entire Tanzanian society. Let's say Insh'Allah.🎉

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 6 місяців тому

    Chadema walipiga kelele wakaonekana ni wajinga.
    Mbowe aliongea akiwa ujerumani kuwa bandari inauzwa watu hawakumuelewa Sasa acha waelewe Kwa vitendo.

  • @ezekielmlay8219
    @ezekielmlay8219 6 місяців тому

    Sawa mtaalamu, wapewe muda nani analipia gharama za kusubiri.
    Nivizuri watizii tujue hatupendi kazi ila kurundikana na kufanya kazi kwa maringo badala ya kujituma.
    Hapo tuanze kujifunza uzuri wa ajira za serikali na ajira za binafsi kinachoangaliwa ni bidii na uchapakazi.
    Naona tanesco, mamlaka wa maji na taasisi nyingine zifuate mkondo huohuo. Pia kule mwendo kasi kesho nako machozi ni hayo hayo.
    Watizii tuchape kazi kulinda ajira zetu na kuleta mapinduzi ya uchumi nchini kwetu

  • @babajaden3525
    @babajaden3525 7 місяців тому

    KINAPO NICHANGANYAGA MIMI KWANINI MARAISI WANAITA WAWEKEZAJI NA KUWEKEANA MIKATABA YA MIAKA 30,90 WAKATI YEYE ANADUMU MWISHO MIAKA 10 HAWAONI WANAINGILIA AWAMU ZIJAZO KULETA KERO

    • @jesaminzo
      @jesaminzo 6 місяців тому

      Ana uhakika wa kukaa miaka 30 naye

  • @frankcharles9209
    @frankcharles9209 7 місяців тому

    🫡

  • @prospersumka3853
    @prospersumka3853 6 місяців тому

    Watu weupe wanatumia akili zao kwa kuadvancy sana inaitaji akili kubwa sana kujua mtego wa fundi

  • @jaberalyafei274
    @jaberalyafei274 7 місяців тому

    Mgosi mgosi hapa wapo watanza nia wakifanya kazi wakajenga na kua na mashamba huko kwetu w😢ange baki na woga unanitia wewe yasinge miliki chochote Leo si u aona wengine hata kuinua mgongo hajalipwa miaka ishirini tafadhali waache usitie fikra mbovu wacha wakubali wanufaike tafadhali sasa wako huko na watoto wao bado wako huku wanafanya kazi acha upuuzi

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 6 місяців тому

    Ameongea mambo mengi bila kusema la.maana wala jipya! Barua iko clear wala haina maswali!

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 7 місяців тому

    Tunaomba DP wachukue na mradi wa gas ili wauwekeze kwa ufanis Zaid

  • @jaberalyafei274
    @jaberalyafei274 7 місяців тому

    Tafadhaldhali punguza porojo wewe hujaishi huku hujui kitu kabisa

  • @eliyfo9753
    @eliyfo9753 6 місяців тому

    Wakati wa swala la ajira linasemwa na Waziri kuhusu ongezeko la ajira hukujitokeza kulisemea hili kuwa hakutakuwa na ongezeko la ajira bali kupunguzwa kwa waajiliwa leo ndo umetoka chuoni kulisomea hili swala?muwe na aibu wasomi wetu

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 7 місяців тому

    Acheni Ulaghai Mumeiuza Bandari Kwa Mwarabu.Huu Ni Ujinga Mkubwa Sana.Hii Ni Aibu Kubwa.

  • @ogossygassayachacha6988
    @ogossygassayachacha6988 6 місяців тому

    Sector binafsi ndo engine ya uchumi kwa sasa Duniani kote,tuache siasa ..

  • @akbarkisamo8392
    @akbarkisamo8392 7 місяців тому

    🥲