Baada ya miaka 15 Mama akutana na mtoto wake Stellah ambaye walipotezana kwa miaka 15.

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 51

  • @abrittohpuertoricopappito
    @abrittohpuertoricopappito 4 місяці тому +1

    Hongereni sana mungu awabariki nyie mnaounganisha waliopotezana

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 4 місяці тому +6

    Clous mnafanya kazi kubwa sana na hii ndio tofauti yenu na stesheni zingine mtabaki juu mawinguni ,nimejikuta nalia

  • @RebecaMackenzi
    @RebecaMackenzi 4 місяці тому +5

    Stella anaonekana mnyenyekevu sana. Mungu akutunze❤

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 місяці тому +2

      Ana hofu ya Mungu na imeandikwa amtegemeaye Mungu haachwi ona kapata mume ambaye anamsaidia kulea wadogo zake, Mungu ni mwema

  • @SophiaShaban-uk4wm
    @SophiaShaban-uk4wm 4 місяці тому +2

    Mungu ni mwema!ila kuna wanaume wana Roho nzuri hyo ni zaidi ya mwanaume wa kawaida...kulea watoto wote hao aisee ni bonge la bwana

  • @DoreenDamaris-gq5it
    @DoreenDamaris-gq5it 4 місяці тому +3

    Hongera Stella kuwaleawadogo zako🎉🎉🎉

  • @merycianachangarawe8979
    @merycianachangarawe8979 4 місяці тому

    Jamani kazi yenu ni kubwa mno
    Mungu awalipe zaidi
    Ila.nina shida,
    Mdogo wangu yeye hataki kabisa mtoto wake kisa amepata mtu mwingine na hataki mahusiano yake yavunjike hivyobasi hataki mtoto wake
    Hii sijui tunasaidikaje jamani @cloudsmedia

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي 4 місяці тому +1

    Mwenyeez Mungu awasimamie Clouds hii sadaka inayotolewa kwa kukutanisha familia ni hazina kubwa kwa Allah ila wafanyakazi wa clouds mpewe hongera mimi ningelia kila wakati maana kila familia ikilia na mimi ningelia

  • @MariamWiliam-z8k
    @MariamWiliam-z8k 4 місяці тому +1

    Kiukweli niwapongeze crous pia ht watangazai wake wastaarabu waziri Wana adabu wanahoj kiungwana sio maimatha kajaa kejeri tupu nadharau. Crous mpo juu nawapenda sana

  • @WitnessWitness-e9c
    @WitnessWitness-e9c 4 місяці тому +2

    Tuiombee clouds isife mnatusaidia watz ktk mambo magum km aya ❤

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 4 місяці тому

    Kazi nzuri sana na ongereni mungu atawalipeni sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @omaryomary4356
    @omaryomary4356 4 місяці тому +2

    Stella mzuri atarii❤

  • @KaniOfficio-lk1rk
    @KaniOfficio-lk1rk 4 місяці тому

    Kiukweli nilikuwa nikisikiliza ledio mpaka mwili unasisi mka kiukweli Mungu awape maisha malefu pia ongeran kwa wale mulio pata mama au mtoto pia claudhi mwezi 1 hautoshi

  • @hassaniabdi3991
    @hassaniabdi3991 4 місяці тому

    Mpo vizuri sana kuwakutanisha wazazi na wtt waoo

  • @asiahlausy8460
    @asiahlausy8460 4 місяці тому

    Hakika Clouds mnapata thwawabu nyingi sana ❤ mchozi unanitoka tuu jamani

  • @yohanadeus1292
    @yohanadeus1292 4 місяці тому +2

    Nipeni Mie Prisca, jicho langu limeona kitu kwa Prisca

  • @josephinekokushubila1050
    @josephinekokushubila1050 4 місяці тому

    Mungu awalipe team clouds

  • @shakirasalehe
    @shakirasalehe 4 місяці тому

    Clouds nawakubali san

  • @azminasalehe9352
    @azminasalehe9352 3 місяці тому

    Sijui nalia nini jamani😢😢😢

  • @joshuanassary1880
    @joshuanassary1880 4 місяці тому

    Dah mungu awabariki clouds 😢😢😢😢😢

  • @yohanadeus1292
    @yohanadeus1292 4 місяці тому

    Clouds mbarikiwe Sana, awafanye kuwa wakubwa zaidi na zaidi

  • @IreneJoas
    @IreneJoas 4 місяці тому +2

    Uwiii nmeliaaaa

  • @EstershabanLyanga
    @EstershabanLyanga 4 місяці тому

    Mungu azid kuwabariki cloud's

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 4 місяці тому

    Mume hongera

  • @francismdima7249
    @francismdima7249 4 місяці тому

    The people station ndiyo hii

  • @supacklaizer7662
    @supacklaizer7662 4 місяці тому

    The people station aisee hii redio wekeni mbali na kila kitu

  • @SibomanaSaida
    @SibomanaSaida 4 місяці тому +1

    😢😢😢😢 ici kipindi ni tunalia nawao kwa kweli wanafanya kazi kubwa clouds

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 4 місяці тому

      😂😂😂yan najikuta nalia kila ninayoangalia

  • @mussamsemo3665
    @mussamsemo3665 4 місяці тому

    Yeah hii kitu ni nzur na mnafanya kaz kubwa clouds

  • @JumaDea
    @JumaDea 4 місяці тому

    Hii redio ni zaidi ya redio

  • @AnnastaziaDominick
    @AnnastaziaDominick 4 місяці тому

    Daa inauma sana❤❤

  • @HamisiForogo
    @HamisiForogo 4 місяці тому

    Hivi vipindi na jitihada kubwa za clouds media huwa nalia sana

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 4 місяці тому

    Mungu awatunze ni kher waliopotesana tu wanaweza kuwa natumaini la kuonana siku moja wataonana ss wengine walienda mazima😢😢😢😢😢

    • @tunkuh661
      @tunkuh661 4 місяці тому +1

      Mbaya zaidi tulishuhudia wakizikwa 😢😢😢

    • @enockmaige8936
      @enockmaige8936 4 місяці тому

      So painful

  • @NancyKazinduki
    @NancyKazinduki 4 місяці тому

    Maisha daaaa??????

  • @pendoanzigar3172
    @pendoanzigar3172 4 місяці тому

    dunia ina mambo

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 4 місяці тому

    Inasikitisha😭😭😭

  • @memoryngambi7570
    @memoryngambi7570 4 місяці тому

    Hiki kipindi ni kizuri ila kinavyonitoa machozi na vyenyewe sina mama wala baba ,kifo ni kibaya sana ,nami pia ningewatafuta jamani.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 4 місяці тому

      Mungu akutie ngumu, tuko wengi tuliondokewa. Ndo maisha .........

  • @AffectionateBakedCustard-nl5sf
    @AffectionateBakedCustard-nl5sf 4 місяці тому

    Jamani inauma

  • @maribahanyora8478
    @maribahanyora8478 4 місяці тому

    Hata kuwalea tu na baraka tosha

  • @alexbraysoni-oc4ng
    @alexbraysoni-oc4ng 4 місяці тому

    dah maisha haya

  • @BarakaJohn-qt5py
    @BarakaJohn-qt5py 4 місяці тому

    Atariii sana

  • @DoreenDamaris-gq5it
    @DoreenDamaris-gq5it 4 місяці тому

    Walipotezana vipi na wtt wake wote?

    • @wamburasungura6812
      @wamburasungura6812 4 місяці тому +1

      Wamama huwa wanakimbia familia alafu wanazuga sema wakifunguliwa ukweli wao watapata aibu

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 4 місяці тому

    😢😢😢

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 4 місяці тому

    😪😪🙏🙏🙏🙏🙏

  • @dianajohn6931
    @dianajohn6931 4 місяці тому

    Naliaga mnoooo

  • @asiahlausy8460
    @asiahlausy8460 4 місяці тому

    Hakika Clouds mnapata thwawabu nyingi sana ❤ mchozi unanitoka tuu jamani

  • @fettymkiny2339
    @fettymkiny2339 4 місяці тому

    😢