Binafsi mimi ni mkristo lakini nimependa muungano wenu, Binafsi mimi ni Yanga, ila linapofikia suala la kupangilia maneno kwenye speech za heshima akama hizi Ahmed Ally uko vyema sana kaka. Hongera sana bro
Mashallah kwa wasemaji wetu wote 3 Mashallah mnajua dini nimeinjoi mno nimeludia mara kwa mara ♥️ ❤️ 💖 kuangalia sio mpira tu kumbe hd Quran ipo Alhamdullah
MashaaAllha Allah awaongoze hivyo hivyo siku zote za maisha yenu na atujaalie mwisho mwema nyie ni mfano wa kuingwa kuwa michezo sio adui bali ni sehemu ya maisha ya wanadamu
Hongelen sanaaaa ndugu zetu waislamu❤❤ lakini SI kwa ubaya naomba mtueleweshe apa Kuna baadhi wa mashehk wanapiga vita mpila wakisema mpila ni haramu 😢😢ila hapa wasemaji wa virabu vya mpila wa miguu hao hao ndo waamasishaji wakuu wa hili tamasha
Mpira ni ktk michezo na imeruhusiwa kabisaa bila shaka...changamoto inakuja tu pale ambapo watu wanajisahau muda wa ibada watu wapo bize hawaendi kufanya ibada....wanaume ni lazima kila muda wa swala wakaswali pamoja. Ukifika muda wa swala watu wasiendekeze ma mipira na michezo.
Ally Kamwe hujasoma Dini Kabisa acha kuvuruga acha wenzio Ahmed na Ibwe watupe vitu mimi ni Mwanachama wa Yanga nilikuwa simpendi Ahmed Lkn kwa hili kanikosha Roho yangu "Allah Hu Akbar" Takbeeerr Mashaallah Haji Manara Uko waku Ndugu yangu.
Sielew kiharabu ila huwa napenda sana Wakiwa wanaongea ndugu zangu Waislamu Najiksia Raha sana huwa natamani kufaham nikipata sehem ya kufundishwa tu nitafurahi sana nikikijua
Km umemsikia vizur ally kamwe usingesema waache ubinafsi kamwe amesema kuwa tukio hili Kwa mujibu wa muft tukio hili ni la watanzania wote sio Kwa waislamu tu
Hamed Ally uko vizuri Sana. Mm ni mkristo ila nimependa uwasilishaji wako WA Hilo Jambo.
Halafu eti umlete tena Manara hapa. Atawaweza hawa? Hawa wanajuana hata namna ya kutaniana. Hongera kwenu hashim ibwe, ahmed ally na ally kamwe.❤❤❤
Binafsi mimi ni mkristo lakini nimependa muungano wenu, Binafsi mimi ni Yanga, ila linapofikia suala la kupangilia maneno kwenye speech za heshima akama hizi Ahmed Ally uko vyema sana kaka. Hongera sana bro
Hongereni sana wasemaji wetu wa tatu . Kiukweli mimi ni Yanga damu tena Lia lia. Simba nzima namkubali sana Ahamedy Ally .
Mie ni Simba ila nawakubali woote kwasabab wameufanya mpira kuwa undugu kabsaaa
Sema una ipenda simba ila bado uja ichangamkia tu😂😂😂😂
Masha Allah Ahmed upo vizuri Mola akuzidishie Elimu ya Akhera
🎉🎉 binafs nawaelewa sana hawa watu zaid ahmmed ally huyu mwamba namkubaali
Mashaalah inapendeza sana wasemaji wetu wa tim zetu kubwa ni vijana wa kiislamu wanajua tena wanaijua dini yetu ya haki ya Uislamu
mashaallah, Huwa unajichetuwa tu lakini mtu miongoni wa watu m/mungu akuongoze sana uko vizuri sana Ahmad Ally
Mashallah kwa wasemaji wetu wote 3 Mashallah mnajua dini nimeinjoi mno nimeludia mara kwa mara ♥️ ❤️ 💖 kuangalia sio mpira tu kumbe hd Quran ipo Alhamdullah
MashaaAllha Allah awaongoze hivyo hivyo siku zote za maisha yenu na atujaalie mwisho mwema nyie ni mfano wa kuingwa kuwa michezo sio adui bali ni sehemu ya maisha ya wanadamu
Japo mie ni Simba Sports Club nataka niseme Ahmed Ally umezungumza vzr san Masha Allah
Mashaallah mashaallah mashaallah
Mmependeza wote watatu
ALLAH awajalie
Mash Allah tumefurahi kuwaona katika njia ilonyooka Allah awazidishie wote mloandalaaa tamasha hili
Masha Allah Jazakallahu khair Sharifu Ahmed Ally
Umetisha kaka👏👏🎉
Safi sana wasemaji wetu nimeipenda hii mwenyezi Mungu awape maisha marefu
Maashaallah maashaallah maashaallah, Allah awaongoze ❤❤❤
Mashaallah shekh Ahmed ally❤❤❤❤❤
Ahmed ally semaji letu umeupiga mwingi 🎉🎉🎉🎉
Takbiriii mashallah hemed
Mimi 💚💛lakin Ahmed Ali umeongea vizur Sana na qur'aN inaonekana umeisoma vizur nawito wako ni 🔥
Allah atakutangulia ahamedi aly
Mashaallah allah akuzidishie afya njema Inshallah ❤❤❤❤
Nimewapenda kweli wasemaji wetu mm simba damu ila nawapenda nyinyi mnavyo pendana cos uislamu unatuamrisha tupenda❤
Manshallah, inapendeza sana. Angejumuika pia Buchuti, duh, moto sana.
Mimi hawa watoto wananifurahisha sana Hajji manara haenei hapa
Mashaallah ❤ mmepndeza wallah
Mungu mwema mnapendeza ote kwa umoja 💪💪🔥🔥🔥
Maa shaa Allah
Ahmed aly weeeeeeeeeeeeee
Ahahahah ety michezo hyoo but all in all we proud of you guys GOD blessed you 🙏🙏🙏🙏🙏
Mashaallah semaji la CAF Ahmed Ally❤
Wasemaji wote mmeongea vyema sana nimependa barikiwa
Inshallah ostadh Ahmed ally
Maa shaa Allah Maa shaa Allah Maa shaa Allah Ahmed Ally hasbiya Allah
Mwalimu wa madrasa wa Ally Kamwe alikuwa ni mkali sana hakumaliza
Hongelen sanaaaa ndugu zetu waislamu❤❤ lakini SI kwa ubaya naomba mtueleweshe apa Kuna baadhi wa mashehk wanapiga vita mpila wakisema mpila ni haramu 😢😢ila hapa wasemaji wa virabu vya mpila wa miguu hao hao ndo waamasishaji wakuu wa hili tamasha
Mpira ni ktk michezo na imeruhusiwa kabisaa bila shaka...changamoto inakuja tu pale ambapo watu wanajisahau muda wa ibada watu wapo bize hawaendi kufanya ibada....wanaume ni lazima kila muda wa swala wakaswali pamoja.
Ukifika muda wa swala watu wasiendekeze ma mipira na michezo.
Mashallah nime ipenda thanaaa wazazi wezangu tuji tahdi kuwa somesha watoto wetu Allah Akibalu
So akibalu akbar😂
Allah awajaze kila lakheri
Hawa wasiekwe pamoja wallah😂mana utan wamezidish mpk mbele y mamen ya allah ila binafs nawapend😂and im proud❤❤❤
Hongera🎉ahmed ally
Ally Kamwe hujasoma Dini Kabisa acha kuvuruga acha wenzio Ahmed na Ibwe watupe vitu mimi ni Mwanachama wa Yanga nilikuwa simpendi Ahmed Lkn kwa hili kanikosha Roho yangu "Allah Hu Akbar" Takbeeerr Mashaallah Haji Manara Uko waku Ndugu yangu.
Takibir ya mama yako Kuma ww
@@amanisebastiani2827mbona matusi tena kwani hapa niwapi?? Unaikataa takbira au huijui maana yake
@@BakaryOmally ajui alifanyalo asamehewe tu
Hujalazimishwa kucoment kama unaona halikuhusu unaweza ukapita tu kuliko kutukana@@amanisebastiani2827
We mwenyewe hujàsoma kolowizard wewe
Ah mashallah kishki wa simba hkika umenifanya nikupende ahmed ali kumbe alipo kishki nawe upo
❤❤❤❤❤❤❤❤❤salama alemk
Mashalaa mungu awaongoze
bora hawa kuliko yule mzunngu wenu wakati wake umeisha mashallah allah awaongozee
Mashallah 🥰 hemedi ally maua yako kaka 🌹🌹🌹💪🏼
Ally kamwe kivurug saan❤❤❤❤
Wallah ahmed mjinga😂😂😂😂haez kuw sirious huyu sana akikaaa na ali kamwe😂😂
🗣️ Takibiruu
Hongra sana hamedally
Weeh ahamed weeh unabalaa wewe Mansha Allaah
Mashaalah mwenyezimungu awape mwisho mwema
Nimependa sana hili daah
Mungu awabark
Hii combination manara haiwezi awaache vjana tu wanawezana wenyewe hawa
Inshallah
Mwenyezi MUNGU awabariki
MashaaAllah❤❤
mashaallah semaji let la simba
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashaaallah ahmed
Sielew kiharabu ila huwa napenda sana Wakiwa wanaongea ndugu zangu Waislamu Najiksia Raha sana huwa natamani kufaham nikipata sehem ya kufundishwa tu nitafurahi sana nikikijua
sheikh Ahmed ally ameongea vzr baadae kaanza kuwasumbua wenzake msumbufu sana huy😄
Dar Uyu Ahamedy Aly Ninoma
Ila hawa jamaa nawapenda sana
Maashallah
Ila hawa jamaa wanafurahisha sana aisee
MaashaAllah
Allah atuongoze kua jumla ya watu wema
Ali kamwe hajui chochote jmn hata me namzidi
Semaji la simbanomaa sana
Masha Allah
isha alla
Hadhamin fadhilil Rabbi❤
Ally Kamwe mwaga vitu kijana wetu 🎉🎉🎉🎉🎉
mainshallah vijana wee tu
Manhallah
😂😂😂😂😂 wanachesha kweli hawa wat watatu Maa Shaa Allah awalinde nakila shar na husda za watu na majin
Mimi ni Mkristo, ila nimeshawishika kusikiliza hii adi mwisho, ila Ahamed na Ibwe nimewakubali mnaijua dini yenu, Kamwe yeye ni😂😂😂
Ibwe 🔥🔥
mashaalah
Ahmed ally na Hasheem ubwe mpo vizuri sio huyo wa ally kamwe
Kusoma dini mpaka uwe unajua kiarabu mbona mnakuwa washamba
Sio lazima@@JohnMgusi
Hongera zenu mnatisha
Takbirii
Mashallah
Wanapendana sana hawa watu mashalwahu.mashalwa azam mashalwahu
acheni ubinafsi waislamu ata wakristo wanapenda kuja kuona ila hatukaribishwi😢😢
Km umemsikia vizur ally kamwe usingesema waache ubinafsi kamwe amesema kuwa tukio hili Kwa mujibu wa muft tukio hili ni la watanzania wote sio Kwa waislamu tu
Ahmed ally is next level 😂😂
Nawaona comedyan wako vizur kuzungumzia neno la mungu hongereni sana ila mpunzuze utan kwenye mambo yanayo itaji usereos
Mi nilitaman sana Semaji letu la Yanga pia liking'ate kidogo jaman😋😋😋 ila angekuwa haji hapa nahusi angeongea kiarabu mwanzo mwisho😂😂😂
Hawa watu wawili nawakubali sana
Kweli kabisa tusimsau m'mungu
Ahmed Ally ni mwisho wa Matatizo, Amini kwamba..
Ahamedi Aliii.
Ishaahaall
❤❤❤❤❤
Ahmed ally ni comedian mzuri
hongereni sana jaman
Hawa vijana nawapenda janani
Ubayaaa ubwelaaa
Kila mtu Ana speach yake ndio maana wapo watatu kila mmoja aguse alicho weza kufikisha
Maua yenu 3,❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ila hawa jamaa wameuwaa na wafurahisha na vikomedi vyao