EXCLUSIVE : IMEVUJA SAUTI YA AHMED ALLY AKIDEKA KIMAHABA KWA MREMBO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 60

  • @ElyasIsack
    @ElyasIsack 19 днів тому +5

    ALAFU DIVA YEYE ALILALAMIKA KINA LIL OMMY KUMPA INTERVIEW EX WAKE
    Lakini Ona Interview Yake Inavyotaka Kuharibu Ndoa Za Watu.

  • @SHUKURUMahiki
    @SHUKURUMahiki 17 днів тому +1

    Alichokifanya huyu Diva kwa Ahamedy sio sawa

  • @SmilingBirdwingButterfly-yq3he
    @SmilingBirdwingButterfly-yq3he 11 днів тому +3

    Sionagi faida ya vitu kama hivi ila mngeniuliza mm kuwa nimelala na nani ningekwambia nakusuburi wewe uje nilale na wewe

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 19 днів тому +2

    Ila watangazaji hapo hapanana kabisa ndoa na iheshimiwe kuna muda wa kazi na muda wa mtu kuwa na familia

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 15 днів тому +2

    Semaji😂😂😂😂😂

  • @WicklifePhares
    @WicklifePhares 5 днів тому

    Nifikishieani taarifa kwa luludiva mwambie nampenda sana hasa ile tatuu yake jaman

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 15 днів тому +1

    Ishu binafsi siipendi mambo yakijinga sana. Hamna vitu vya kutujuza??

  • @YogweMwakulola
    @YogweMwakulola 3 дні тому

    Ningekua Ahmed mm ningeshika nikijua naulizwa ujinga nakata na mtusi juu staki ufala kama huo mm mnaniuliza mabo ya ndani kisa

  • @angelludgery7016
    @angelludgery7016 19 днів тому +3

    Mwenzako unaimba nae kwaya😂😂 Sema MKE WANGU

  • @Joycekwolola7
    @Joycekwolola7 11 днів тому +1

    Mlikuwa mnataka kujua Nini haswa Kuna mda hamujielewi wee mtu na mkewe kalala mnapiga sm mgumdue Nini?

  • @wilsonjaphet5547
    @wilsonjaphet5547 19 днів тому +9

    Sasa mnampigia mtu kalala na mke wake 😢😢 so vizuri

  • @aluteonlinemedia5574
    @aluteonlinemedia5574 19 днів тому +2

    Duuuuh😅😅😅😅

  • @wadantz123
    @wadantz123 19 днів тому

    😢yoooh mnawapa mitihani wake za wenzenu jmn namna hiyo mke akute unaongea na cm namna iyo

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow 19 днів тому +2

    Ana wake 2 Ahmed Ally

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 19 днів тому +1

    Angekuwa na mtoto wa mama kimbo kingewaka😂😂😂

  • @magrethmalobola5470
    @magrethmalobola5470 19 днів тому +1

    😂😂😂😂😂ila Ahmed

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 8 днів тому

    Huyu diva anaonyesha ni yumo

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 19 днів тому +1

    Ahned ally miyeyusho sana😅😅

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 19 днів тому

    Ahmed Aly ndo ndo no 1

  • @YuyuMp-d8y
    @YuyuMp-d8y 19 днів тому

    Kawa wa toto vile😢

  • @CollimsBella
    @CollimsBella 16 днів тому +1

    Katika watangazaji wa kisenge n diva , acha kumuaibisha msemaji wetu

  • @wilsonandlea8614
    @wilsonandlea8614 9 днів тому

    Mmezingua

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 15 днів тому

    Hizi Kazi ndipo zinapokuwa ngumu haswa

  • @salmamwinyimvua2069
    @salmamwinyimvua2069 18 днів тому +1

    Ila ahmed hapatokuja kutokea semaji simba kama ili aiseee jituuuuu bingwaaaaaa kabisaaaaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @empafricatv
    @empafricatv 19 днів тому

    😂😂😂😂😂 ila Ahmed

  • @ZainabuHemed
    @ZainabuHemed 19 днів тому

    Mbona munataka kualibu ndoa za watu ss mkewa akiona munamtengenezea mazingira gani muwe na mipaka naivo vipindi venu

  • @GidionSarehe
    @GidionSarehe 9 днів тому

    😬😬😬

  • @user-ud4hu6xe1c
    @user-ud4hu6xe1c 18 днів тому

    Asa mnachekacheka nn

  • @EmilyAlph
    @EmilyAlph 19 днів тому

    Semaji langu limepatwa Leo 😂😂😂😂

  • @SamiraseifAlfan-ph4ke
    @SamiraseifAlfan-ph4ke 9 днів тому

    Mnapenda kumtafuta mtu la rohoni nyiee😂😂

  • @aminasalim8708
    @aminasalim8708 19 днів тому

    Sasa kinachekesha nini awa watangazaji kma wamezidiwa

  • @jennyDeusi
    @jennyDeusi 19 днів тому

    Anasauti tamu

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 19 днів тому

    Mbona agi wa simba simwoni?mbona mo yy hafungiwa

  • @PaulMwakyusa-vz7ee
    @PaulMwakyusa-vz7ee 19 днів тому +1

    diva hana adabu sasa jamaa amerara na mke lkn anaongea utumbo tu jinga Sana😒

  • @EmmanuelPantaleo-i3r
    @EmmanuelPantaleo-i3r 10 днів тому

    Mwamba anaguna tu

  • @yohanamwaja8444
    @yohanamwaja8444 14 днів тому

    Huo niujinga

  • @estonsaimon6671
    @estonsaimon6671 10 днів тому

    Kwani hata ivyo navyo anatakiwa kuvisemea msemaji hawa nao bhn

  • @mariamabdallah9847
    @mariamabdallah9847 19 днів тому

    We diva acha ujinga

  • @yohanamwaja8444
    @yohanamwaja8444 14 днів тому

    Wewe acha utoto

  • @elinathanbanka5485
    @elinathanbanka5485 19 днів тому

    Unamkiss mtu ambaye kakuambia kalala na mke wake huu c uvunjifu wa aman ndan ya ndoa jaman

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx 15 днів тому

    Hamna mtu apo

  • @emanuelshilla6368
    @emanuelshilla6368 19 днів тому +2

    😂😂😂😂😂

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 19 днів тому

    Usenge huo duuh

  • @Official83640
    @Official83640 19 днів тому

    Hivi km ni mume wa mtu si tayr ushaharibu ndoa yaani watangazaji wengine bwana hamfikirii kwann

  • @allykambi7687
    @allykambi7687 15 днів тому

    Wachonganishi na wachenzi kabisa

  • @rbayoub1181
    @rbayoub1181 19 днів тому

    Mtu kalala na mke wake halafu unaleta utumbo

  • @HawaMohamed-ug1sb
    @HawaMohamed-ug1sb 19 днів тому +1

    Ila semaji 😂

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 19 днів тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻leo kabanwa semaji 🤣🤣

  • @LilianBitwale
    @LilianBitwale 19 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 19 днів тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @allenwales2681
    @allenwales2681 19 днів тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 19 днів тому

    😂😂😂😂😂