Mke wa Pascal Cassian anaeteseka kitandani "msimuache ateseke"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 127

  • @salomessmart9814
    @salomessmart9814 3 роки тому +5

    Mwanamke mwenye hekima,mwanamke mwenye upendo,mwanamke mwenye huruma, mwanamke mwenye uvumilivu,hakika wewe ni mwanamke unaestahiri kuigwa n MUNGU Akubariki sana

  • @salarytz6911
    @salarytz6911 5 років тому +30

    Yan huyu mdada ni so cute jaman angekuw hamnazo nao alishambwaga jamaa

  • @modesterdavid8500
    @modesterdavid8500 5 років тому +14

    Pole sana Dada Mungu atamponya maana Mungu hajawahi kushindwa na hatokaa akashindwa atpona

  • @johnrogath1066
    @johnrogath1066 5 років тому +9

    vzury sana dada mrembo na mvumilivu! Mungu aibariki familia yako dada

  • @sarahwawuda7638
    @sarahwawuda7638 5 років тому +19

    Dada nimekupenda una moyo wa huruma kwa mumeo...MUNGU amponye

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 5 років тому +5

    Makonda Mungu akutunze. Mungu nakuomba umponye Pascal, mrejeshee tena afya yake na sifa na utukufu vikurudie wewe Baba Mungu

  • @victorianbenardnachenga6839
    @victorianbenardnachenga6839 5 років тому +6

    Huyu dada ana karama zote za kuitwa mke mwema...Mungu amponye haraka Pascal Cassian na aibariki familia hii kwa mafanikio, afya na uzima..!!!

  • @jacqulinejoseph6286
    @jacqulinejoseph6286 5 років тому +2

    Pole sn Dada na maombi ni muhimu mpeleke kanisani kwa suguye atapona kanisa lipo kivule matembele ya pili ucangalie dini sisi zote Mungu ni mmoja

  • @rolandjacob2086
    @rolandjacob2086 5 років тому +3

    Mungu akikupa Mke ni Mke kweli sasa jichukulie ww mwenyewe yakukute km haya uone km atabaki nawe Dada mungu awe nawe akubali sana pia tunaomba namba zenu ili hata MTU akiwa na chochote asaidie

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 6 місяців тому +1

    Hakika wewe ni mke mwema umejaaa hekima🙏🙏🙏🙏

  • @hassanimpota5209
    @hassanimpota5209 5 років тому +29

    Nimeona changamoto nyingi, zinawakuta wasanii endapo wakipata matatizo ya kiafya, wanakua wanaomba wasaidiwe, ninashauli kiundwe chombo cha kutunza baadhi ya mapato yao, endapo kama litamtokea tatizo iweze kumsaidia, nampa pole sana ndugu yetu jamaa yetu, PASCAL mungu ampe unafu kwa alaka.

  • @claramutagwaba2211
    @claramutagwaba2211 5 років тому +1

    Dada nimekupenda una Imani,Mungu awaongoze,amponye jamani maan waliponywa waliokuwa na haja ya kupona.Mungu ni mwema atakuvusha kwenye hili pito nakuombea Mungu azid kukupa moyo wa kuvumilia na kutokukata Tamaa,afungue milango ya wasaidizi kwako pia tunajua daktar mkuu ni YESU..Bwana Yesu asimame Nanyi we ni mwanamke shujaa,hongera sana Mungu akutetee mpate kuvuka salama

  • @salomessmart9814
    @salomessmart9814 3 роки тому

    Unajua huyu Mungu hachunguziki njia zake unaweza ukapitia jaribu zito,kumbe wakati anataka kukuinua,so tumshukuru Mungu kw kila jambo liwe jema au baya,Amina

  • @Saidi1581
    @Saidi1581 Рік тому

    mungu akubariki sana dadaangu mke wamtumishi Paschal cassian from 🇨🇩🇨🇩

  • @fredyjohn5599
    @fredyjohn5599 5 років тому +6

    Pole watanzania wezetu Pascal casian Na luge mtahaba mungu mtenda miujiza atawaponya

    • @rehema2018
      @rehema2018 5 років тому

      Fredy John RIP Ruge mutahaba

  • @adelaidedaycareprenurseryk6324
    @adelaidedaycareprenurseryk6324 5 років тому +34

    MAKONDA, MAKONDA, .MAKONDAAAAAA MUNGU AKUTUNZEEEEE SANAA. Mimi Mwl. KILOMBERO SUGAR MOROGORO. TUNAONA YOTE UNAUOYAFANYA MUNGU PIA ANAONA.

  • @jeremiahkinyanjui8565
    @jeremiahkinyanjui8565 5 років тому +1

    Nakushukuru dada yangu kwa kujipa moyo na kusimama na mmeo😥😥 Pascal Mungu anakupenda

  • @alicemussa1266
    @alicemussa1266 5 років тому +2

    Yesu akupe faraja darling tunamuombea Mungu amvushe hapo alipo

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 2 роки тому

    Mungu akutiye nguvu, usijifikia kukata tamaa kwa hali yoyote Dada.

  • @lucasmsemwa2494
    @lucasmsemwa2494 5 років тому +2

    hakika wewe ni mke mwema sana angekuwa mwingini angekimbia tunakushukuru kwa kumpenda kaka etu,,,ubarikiwe sana dada

  • @violethmeja1848
    @violethmeja1848 5 років тому +1

    makonda mungu akubariki sana wewe kijana.

  • @alonemsole12
    @alonemsole12 5 років тому

    Daaaah we mwanamke Umelelewa nawazazi wenye kumjua mungu hata we unajua mungu mungu yu pmj nanyi

  • @owenomwanawayesu6961
    @owenomwanawayesu6961 Рік тому

    Huyo ndio mke mwema !Shukran

  • @janethmbogela9724
    @janethmbogela9724 5 років тому +4

    Makonda baba tunatambua uwepo wko baba mungu akulinde

  • @user-nq5fi5mz4y
    @user-nq5fi5mz4y Рік тому

    Da? Mungu wangu mungu wangu mungu wangu mponye mgonjwa wetu kwakweli

  • @ameniameni617
    @ameniameni617 5 років тому +2

    Pole dada mumeo atapona usikate tamaa

  • @ZachaBill
    @ZachaBill 5 років тому

    Dada una hekima sana, nawaombea kwa mwenyezi Mungu awajaalie uponyaji na afya kwa familia yenu.

    • @janengowi3011
      @janengowi3011 5 років тому

      Nimefurahi kusikia pascal amepata msaada Yesu atosha

  • @ashminhaabdullah4963
    @ashminhaabdullah4963 5 років тому +4

    Allah ampe uzima kwa haraka

  • @user-hu6po5ds9f
    @user-hu6po5ds9f 9 місяців тому

    In god we trust my sister....ww nimke sujaaa

  • @susansamson1099
    @susansamson1099 5 років тому +8

    Kumbe bado Hospital unatakiwa kujuana na watu. Mie nidhani watu wote wako sawa. Bila neno la RC ANGrozea ndani, mara ya kwanza karufishwa et asubiri miezi 6.

    • @dorothydavid3486
      @dorothydavid3486 5 років тому

      Susan Samson pole sana da

    • @susansamson1099
      @susansamson1099 5 років тому

      @@dorothydavid3486 pole ya nini? Ni hao wanyonge ambao ni majority.

  • @jajisamata7259
    @jajisamata7259 5 років тому

    Mungu ampe uponyaji Paschal Cassian

  • @angeluslijuja2413
    @angeluslijuja2413 5 років тому

    Daa makonda mungu akuinuwe

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 років тому

    Amen amen. Mungu awasaidie . amen.

  • @eliasfatiye9942
    @eliasfatiye9942 9 місяців тому

    kwa hilo makonda alifanya vizuli sana abalikiwe

  • @nasrahassan8102
    @nasrahassan8102 5 років тому

    Polen sana Dada yangu

  • @FatmaFatma-kt1or
    @FatmaFatma-kt1or 5 років тому

    Pole sana dada unaonekana mstarabu pia umepitia chanqamoto nyinqi pole aisee

    • @mimowewe9408
      @mimowewe9408 5 років тому

      Nendeni kwenye maombi jamani atapona

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 5 років тому +1

    Nice saying ni mwenye kujielewa abarikiwe sana

  • @mwanaishaissa6107
    @mwanaishaissa6107 5 років тому

    Mungu azidi kuwaongoza na apone

  • @neemasalum950
    @neemasalum950 5 років тому +6

    Dah jmn maskin tutakufa

  • @lightnessjoseph5608
    @lightnessjoseph5608 5 років тому

    Mungu akutie nguvu

  • @meckytushabe2525
    @meckytushabe2525 5 років тому

    Mungu nimwema atapona MTU wa Mungu

  • @timotheokatikiro4018
    @timotheokatikiro4018 5 років тому

    Polen xana ila mungu yupo pamoja nanyi daima

  • @nyekingobwire7993
    @nyekingobwire7993 5 років тому

    Poleni sana

  • @AnordyNyoka
    @AnordyNyoka 3 місяці тому

    Iloveee

  • @jojo_linkissabiny5238
    @jojo_linkissabiny5238 5 років тому

    poleni mungu atamponya jamani poleni sana

  • @HelbethMlelwa
    @HelbethMlelwa Рік тому

    Huyu mwinjilist Paskali mbona huwa anakemea sana mapambo na mke wake kavaa wigi?? Sijaelewa hapo au alikuwa anavaa hivyo zamani?

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 5 місяців тому

      Apoo Bado Aja Okoko bado Napia maranyingi Wanawake wengi Awajikubari utawaqmbia kazi bure na Wengi wamebata Neema Ya WAUME ZAO watumishi wa MUNGU ILA still wameya shikilia ,WAKOLAZI wailose Mbingu kisa Kumfurahisha Mwanaume

  • @jackiejackie1272
    @jackiejackie1272 5 років тому +1

    Afadhali kama ana watoto maana nilifikiri hana mtoto coz ingeweza kuwa ni ngumu

  • @asheryissa6100
    @asheryissa6100 5 років тому

    Allah awape nguvu Allah atamponya

  • @swaumhassan4429
    @swaumhassan4429 5 років тому +1

    Mwenyezimungu atamjalia atapona

  • @rosekimario8259
    @rosekimario8259 5 років тому +3

    Tatizo la baadh ya wasanii wanajiunga na mashirika ya kishetan ili wawe juu

    • @witnesskitinya6518
      @witnesskitinya6518 5 років тому

      Acha umbeya

    • @jackiejackie1272
      @jackiejackie1272 5 років тому

      Umemuona wapi kajiunga

    • @agripinaakhani7005
      @agripinaakhani7005 5 років тому

      ndio kwa sababu mwomekano wake tu hauna udhihilisho wa mguvu ya Mungu bali no kusaka pesa tu mbingu wanataka ma dunia wanataka ha ta huyu Gozibet kuna pale kama siluimba tu kama kutaka pesa c kumwakilisha Mungu.

  • @rebeccaasiyo4223
    @rebeccaasiyo4223 5 років тому

    Thank GOD kama amepata usaidizi

  • @amedeuskimario269
    @amedeuskimario269 5 років тому

    me pia nmefurah sana ka mkuu wa mkoa kaamua kumsaidia ndugu yetu tumwombee jmn mungu atamsaidia

  • @nasmafarmsltd9146
    @nasmafarmsltd9146 4 роки тому

    Jàmàñ shida hakuna aso pitia ila kila tatzoo lina njia ýàķè

  • @salmindarema3028
    @salmindarema3028 3 роки тому

    Pole

  • @estermlangwa9996
    @estermlangwa9996 5 років тому

    Pole sana Dada

  • @linahminja771
    @linahminja771 5 років тому

    Mungu u nae atapona

  • @nehemiambembela442
    @nehemiambembela442 5 років тому

    Mungu akupe subira dadaangu atapona tyu

  • @rajabuwiliam5854
    @rajabuwiliam5854 8 місяців тому

    Alie mfatilia huyu mwanadada baada yakuachana na mmewe tuonane

  • @sebastianmodest8735
    @sebastianmodest8735 5 років тому

    Pole sana kaka

  • @Ngongongalimedia
    @Ngongongalimedia 5 років тому

    Editor jitahidini kuedity makosa kabla ya kukiachia Hewan

  • @autofillsarauswege8197
    @autofillsarauswege8197 5 років тому

    mungu aingilie kati kwakweri

  • @sophicatesalim9757
    @sophicatesalim9757 5 років тому +1

    Pole dada

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 5 років тому

    Pole inshallah

  • @lulamsongande6346
    @lulamsongande6346 4 роки тому

    Kasiani hapo uling'oa chombo.

  • @maryclaralema2577
    @maryclaralema2577 5 років тому

    mungu atatenda ni lazima upone kaka

  • @glorianikiza92
    @glorianikiza92 5 років тому

    Pole mama

    • @ajuayekilendi178
      @ajuayekilendi178 5 років тому

      Mungu ampe maisha marefu mkuu wa mkoa jaman huyu kaka anajitoa sana

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 5 років тому +1

    Wigi mmeo anaumwa unatakaje

    • @neemangubesi3436
      @neemangubesi3436 5 років тому

      ISSA ALFANI ya.
      n ata simwelewi bola tyu angebana nywele

    • @aishamohammed3547
      @aishamohammed3547 5 років тому

      Majina ya issa leo sijui wameamka nakushinda miguu juu kichwa chini au nivipi maana rahaa kwenda mbele kwa maswali

  • @issazawadi202
    @issazawadi202 5 років тому +1

    HAWA NDIO WANAWAKE TUNAO WAOWA,MZEE YUKO HOI ATA SALUN AKUMBUKI,ILA MAMA YUKO SAFI WADI MUDA WA KUWEKA WIGI ANAPATA

    • @aishamohammed3547
      @aishamohammed3547 5 років тому

      Mbavuzanguuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂yani kwakaraha waleta raha😀😀

    • @jackiejackie1272
      @jackiejackie1272 5 років тому +2

      Ulitaka avae gunia ushaambiwa yeyw ndio anamhudumia angekuwa hamuudumii apo ndio acha ushamba wew

    • @fortnataangelo4805
      @fortnataangelo4805 5 років тому

      Huna akili ,ulitaka akae uchi awe mchafu kama kichaa,,,,?Kwa taarifa yako,, huyo ni mwanamke katika ubora wake, casian haiachi kumsifu Kila anapo ambiwa kuungumza, huyo ndie first aid yake, mpaka hapo alipo fikia, mlidhani WANAWAKE wa ukweli wameisha bado tupo

    • @issazawadi202
      @issazawadi202 5 років тому

      @@marrykyando3284 nyie ndio washamba kwa taarifa yenu,usafi wa mwanamke sio kuvaa mawigi,usafi wa mwanamke ni kuchamba,na aitumii dakika kumi,anaweza akachamba ata akiwa na mumewe,sasa unasema anamuudumia mumewe,mda huo wa kusuka masaa 12 na zaid ,mumewe anakaa na nanii,,kama anakwenda kazini,msaada anaomba wa nini,

    • @issazawadi202
      @issazawadi202 5 років тому +1

      @@fortnataangelo4805 @Marry Kyando nyie ndio washamba kwa taarifa yenu,usafi wa mwanamke sio kuvaa mawigi,usafi wa mwanamke ni kuchamba,na aitumii dakika kumi,anaweza akachamba ata akiwa na mumewe,sasa unasema anamuudumia mumewe,mda huo wa kusuka masaa 12 na zaid ,mumewe anakaa na nanii,,kama anakwenda kazini,msaada anaomba wa nini,

  • @rosekimario8259
    @rosekimario8259 5 років тому +1

    Atoke fremason atapona

  • @poschasbae9511
    @poschasbae9511 5 років тому

    Million 50 alizifanyia nini jamani muwe mnawekeza jamani mungu amponye

  • @signtv9848
    @signtv9848 5 років тому

    Anaumwa nn

    • @cossanwambura1065
      @cossanwambura1065 5 років тому

      Alipata ajali mbaya andika Ajali ya Pascal Cassian wa BSS

  • @petermwanyondo6459
    @petermwanyondo6459 5 років тому

    Mbona anaongea utadhani auguz

    • @jackiejackie1272
      @jackiejackie1272 5 років тому

      Kwa Yesu hakuna huzuni so ulitaka apige yowe ndio mjue anauguzq

  • @blacknature7637
    @blacknature7637 5 років тому +1

    Anaumwa Nini huyu mkaka ?

  • @angelherman5464
    @angelherman5464 5 років тому

    hio hela ya nywel umepata wapi? na mumeo anaumwa kama hivo i think twice

    • @rosepiere1857
      @rosepiere1857 5 років тому +1

      Ndugu yangu kuuguza ndo afunge malemba wigi lenyewe hata elfu hamsini haifiki acha hizo

    • @teddykassinde4608
      @teddykassinde4608 5 років тому +1

      Wigi alf 7 hata kumi haifik ndo awe rafu napo mtamsema mchafu

    • @teddymeela2791
      @teddymeela2791 5 років тому

      Unataka awe rafu il nn xx

    • @esmoon4465
      @esmoon4465 5 років тому

      Ulitaka achakae kama wewe ndo ujue ana xhida? Hata tunapo funga hatutakiwi kupauka na kuonekana wanyonge! Ili iweje xaxa? Wakujue kuwa umefunga wakucfu au!!! Acha wivu na uchafu pia,,

    • @elizabethmushi9064
      @elizabethmushi9064 5 років тому

      mshamba wewee #angel herman

  • @tanogalukanyaga6085
    @tanogalukanyaga6085 5 років тому

    mpeleke mwanza akapate maombi kwa mfalme zumaridi

    • @ericameshack62
      @ericameshack62 5 років тому

      Acha hizo kwani Mungu yuko kwa zumaridi? Cku zooote mbona Mungu kaendelea kumtunza? Mungu aliyemuokoa kutoka kwwnye ajali atamponya

    • @tanogalukanyaga6085
      @tanogalukanyaga6085 5 років тому

      @@ericameshack62 kwa mfano ningemwambia aende bugando ungesema hayo? sijakwambia kwenda hosp,kwa sababu najua ametembea sana,Mwisho wa siku nikwa zumaridi

    • @teddymeela2791
      @teddymeela2791 5 років тому

      Akil fup kama mkia wa kondoo

    • @tanogalukanyaga6085
      @tanogalukanyaga6085 5 років тому

      @@teddymeela2791 aminaaa

  • @lulamsongande6346
    @lulamsongande6346 4 роки тому

    X

  • @julianajchambala6954
    @julianajchambala6954 5 років тому

    pole sana