‘Wanawake wakiwezeshwa wanaweza, naona tutoke katika hizi kauli sasa.'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 чер 2024
  • 'Si kwamba tunaweza ni kuwa tumeshaweza'
    Alipata msukumo mkubwa kutoka kwa mama yake mzazi ambaye hakukubali utu wa mwanamke kudhalilishwa na kudharauliwa kuanzia ngazi ya familia.
    Cikay Richard ni mshauri wa masuala ya uongozi, Mtanzania mwenye ndoto ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii.
    Cikay Richard atakuwa mubashara katika Waridi wa BBC kuanzia majira ya saa nane mchana ambapo ataelezea umuhimu wa kuwa na elimu ya fedha binafsi, kazi na familia.
    #bbcswahili #tanzania #waridiwabbc
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

КОМЕНТАРІ •