Niffer: Patrick Kanumba, Ni Mpumbavu, Niko Single Miezi mitano! Niki-cheatiwa najua. Part2
Вставка
- Опубліковано 20 вер 2024
- Tazama full interview ya NIffer hapa, Aongelea Post yake kuhusu Patrick Kanumba kuwa hawana mahusiano kama wengi walivyodhani, amekua Single kwa miezi mitano na anaomba apate mume ambae wakiwa wote hawatokuja kuachana!
Angalia Part 1 hapa: • Dah usimuone tu Niffer...
😂😂😂gonga like kama ww n mfukunyuku kama niffer kwnye mahusiano😂😂😂
Mashaallah Ana Akili Sana huyu Dada. Atakae jaaliwa kuwa mume wake basi atakuwa amebahatika Sana kuwa mke wake ❤❤
Team strong tunamuelewa sana niffer❤❤❤❤😊
Niffer Ni Binti ambae ana Maono mabinti wa Umri wake wengi wapo home hata maono Hawana💔🙌 MUNGU akuinue zaidi niffer 🙏❤️
Nampendaga huyu dada ma shaa Allah, Alazidi kukusimamiya kwa kill hatuwa Allahuma Ameen. Big love from Oman 🇴🇲 ❤
Amiin
Huyu dada yupo smart sana kiasi ambacho unaweza kuangalia interview yake siku nzima bila kuchoka. A very smart girl indeed 🥰
Huyu binti nilikuwa simwelewi.
Lakini kwa swala la kusali kwa kweli namwelewe sasa. Mungu akupatie mume unayemhitaji. Na muishi kwa jinsi unavyomwomba Mungu iwe.
Usiache kusali.😇♥️♥️🙏🙏
Duh!! Ndio tunajichiaga kwenye sala.
I enjoyed the interview alot .... i learnt alot from niffer ... i love her coz she is a husler
She is very smart upstairs👍
Nifferrr wewe ni role model kwa ladies wote 20’s mamaaaa💯 proud of u nifferrr mungu akulinde akuondshee hasaaad 👌 God bless u una big big big mindset definitely tunakupenda mno🥰🥰🥰🥰🥰
Dada you are sooo smart. The bad thing wanaume hawatak challenge za wenye akili.
She is very genius
Nmekuja kuangalia hii interview kwa mara ya pili girl u inspired me a lot 🙏 keep going sis 😍
Niffer umeweza mama Mungu akuinue zaidi ,huwez kupendwa na kila mtu
I just loved this girl...very intelligent and blessed. I wish the rumour with Ali Kiba is true. They can make a perfect couple trust me.❤
😂😂😂😂😂😂shwaaaaa
uyu mtoto ana akili, ila from dk 28:25 i can confess that akiendelea hivyo hivyo, she will be something else, in just around 6 yrs peke yake! congrats
Ommy nipe connection nakuahidi hatokuletea majibu mabaya 🇬🇧
Staki ku forward hii interview coz najiona mimi tabia matendo hadi maneno
Nampenda sn huyu binti Mungu amfanyie wepesi azifikie ndoto zake ❤😍
Ebwana hili bonge la interview, hyu dada nmempenda bure❤ anajielewa mno. Hatare🔥💥
Enjoy
Ni mfano wa kuigwa❤tunakupenda san
kama unaweza kuswali usiku baasi stara izingatiwe my sister Allah hafeez you
Uyu mtoto anakili sana❤
Niffer: "I love to look at you when you lie, I wish to see so I can know you better"
Chukua maua Yako Niffer 🥳
Naffer I really like u❤ keep pushing u be fine😊 focus in u life😊 mimi nakubali sana Niffer. I wish all the best. I hink all girls 👧they can leaning for u😊 kila laheri Niffer 2024. MUNGU dio kila kitu☝🏿
Huyu Dada kaongea sana kwenye biashara epuka sana kupewa mtaji na mtu kirahisi tu bila kujua sababu bora 200 zako hizo zitakupa mtaji mkubwa sana na utakuwa proud off hakuna Wa kukusimanga
Mashallah nakupenda sana dada from kenya 🇰🇪 mambo yako tuko sawa kabisa kuhusu mahusiano yaani vle vle
she is so smart...great interview. Interviewer pia unajua sana.
Thanks, enjoy
Nimependa. ...nimependa tena❤
Asante kwa kuniombea ..ngoja niachane na huyu nitakujia ...endelea kupiga dua. Mm na wewe forever
Nakupenda sana niffer nakuombea Kheri kwa Mungu
Wallah Niffer nakupenda sanaaa when you put God in everything you do Allah akuzidishie zaidi na zaidi baby sis
SO CLEVER...SO BEAUTIFUL #NIFFER ...Mwenyez Mungu akulinde maishani na akupe kija jema unalolipigania... LOVE U SO MUCH...🥰🥰
Asante sana mtoto mzuri Allah akuongoze maishani mwako❤❤❤
Aaamiin. Ila nlichogundua Niffer ana akili sanaaa masha Allah
Nampenda sana niffer she is so smart
Niffer very bright girl
She iz so brave
Anaemuona jenifer kanenepa gonga like apa😅😅
Yaan amevimbaaa
This young women inspired me alot...let's fights
I love you @niffer
Nakupenda bure niffer m/mungu akulinde kwa kila hatua unayopitia
Sjnaga tabia ya kucomment youtube but Niffer kwenye swala la mahusiano kaongea kweli kweli tupu! When your doubting abt something huwa ni kweli mara nyingi kinakua kinahappen! Alot ov what she said ni naked truth🙌
Si kweli
@@collinndabi1914 ni ukweli jaman
waooh nampenda sana niffa yupo openi sana pia kwass wasichana wengi tunamuangalia yeye katika upambanaji wake
Very genius girl love her keep it up
Really
Yani niffer nyie❤️ Nampenda Sana ananipa moyo Sana jaman she's my first role model Nakupenda Sana niffer
Una madini sana we mdada ❤❤❤
I just like niffer more after this interview ❤️❤️
I love you Niffer
@lilommy,bring more of such vibes ...kizazi sana.❤
Nimekupenda Niffer kwa akili uliyo nayo
Huyu dada ni mdogo Ila Ana akili nyingi sana compared na wenye umri wake ❤️
Akili sio umri huu usemi ulikosewava, akili, hekima na busara mtu huzaliwa navyo si umri unaeza kuta mtu ana miaka hata 45 lkn wa chini yake hata miaka25 akawa na mambo ya utu uzima kuliko huyo mkubwa.
@@mwitaagness455 very true, but most of wale wana umri wake hawakogo na akili ya hivi
Alhamdhullillah nimejifunza kitu kutoka kwa dadangu Nifer i really appreciate your inter view❤❤❤
Mpambanaji fran iv nakupenda
Ningumu sana kwa boys wa miaka yetu angoje sana angoje age iende kidogo (kwa ufukunyuku uwo) wachache sana
Interview n nzuri sanaaa sema angetumia kiswahili ingependeza zaid nimekuja kugundua ukichangamya lugha usiyoijua vizuri inamkata msikilizaji anayeielewa iyo lugha usiyoijua vizuri, na ww lily ommy punguza like like 😂😂
Haters
Like like🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu dada anajua bwana nampendaa
Niffer I wish ungeongea zaidi it the best dear
More blessed ma role model
MashaaAllah ❤❤❤Niffer umeongea vzuri xna fact
Safi sana. Got something in this interview 💯💯💯
Best interview 👏👏
Mzuka
Ni mara yangu ya kwanza kumjua na kuona interview yake, lakini nimejikuta nampenda tu
Ni vile nimeshangaa tu interview imeasha 😍 kwa niffer aseeh💫
Niffar nakupenda sana mwanangu uko vizuri
I love her so much ❤️❤️
Ni mmoja ya watu ambao napenda kumfatilia sijawah kosa interview yako kwakweli 💕💕💕💕💕
You inspired a lot❤❤❤❤❤
Master kabisa
Huyu n mm kabisaa when it comes swala la relationship 😢❤❤
Good interview
niffer, you are great, mungu akusimamie.
Great mind set
Safi nifa❤❤❤
Kwa hali hii, hutaolewa kwa ndoa unayotaka ya maisha.
nakupenda sana nakupenda sana nakupenda sana sana ,unanifanya niwe napambana sana mimi nakuiga wewe allah akulinde subira dada ang niffer wewe allah akulinde
Niffer nakupenda mno na nimejifunza kitu mamaa I really love u unajielewa mno❤❤
Niffar ww Ni mfano wa kuigwa❤️❤️
Speechless 🙌
Naomba uolewe na diara ❤❤❤❤
Maa shaa Allah
Niffer nimzuri mashaallh nakupenda ❤❤
Huyu mdada yuko very real, lakini hapo kwenye kutafuta asiyecheat nafikiri amuombe sana Mungu coz wasiocheat ni almost 5% lakini akitafuta anayempenda serious atampata na atafurahia maisha.
Kabisaaa
Kama kuna mwanamke asiye chiti.. basi amini kuna mwanaume asiyechiti... Ni ishu ya malezi na sala🚶
Kama una cheat Ni wewe tu.watu wana muogopa mungu wametulia na wake zao hawacheat afu Safi tu na life linasonga
Keep it up my Girl!
Nimejifunza vitu hapa shukran niffa
Huyu dada yupo smart sana 😍😍😍
Uanzishe basi motivation talk to young girls, the earlier the better, mwisho utakuwa unatoa consultation hata kwa watu watakaohitaji hudima yako na unacharge for the service. Go to schools and talk to girls.
I love you niffer , I would really appreciate to get marriage 💑 with you inshallah, please accept 🙏
she is very matured
Uyo dada ana jua kujieleza kwenye interview, yaani interview ime tulia vizuri mpaka mtu ana helewa kila kitu A to z
I Love Nifer aisee.
She’s 10😊
Nlijua ni me mwenyewe nafukunyuaga hadi naambiwa kuwa na mtu ni ngumu yaan ntakufukunyua hadi uuuuuuwiii
Mungu akupiganie namuelewa sana huyu binti❤️❤️❤️
Nimependa this conversation ❤🎉🎉
😂😂hivi why anamkana patrick kiasi hicho? Wakati bado ni wapenzi🤣🤣 Mimi sipendi Watu wa aina hii
Sisikii kizungu ila Niko kama nimeelewa sana ao kwaajoli ni Niffa. Nyiee ningepnda mwaka usiish kabla ajaolewa.
niffer is the best wallah....#maturity
Namfwatilia sana ananisaidia katika upambanaji ni model wngu❤
She's fire 🔥
If u want to be strong learn how to fight alone