🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA EDGAR SEHEMU YA 9 - JUNE 20

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 чер 2024
  • 🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA EDGAR SEHEMU YA 9 - JUNE 20
    Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
    Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
    -
    Follow Us On:
    INSTAGRAM:
    Efmtanzania:
    TWITTER:
    Efmtanzania
    FACEBOOK:
    Efmtanzania:

КОМЕНТАРІ • 29

  • @LazaroHaule-tr5cl
    @LazaroHaule-tr5cl 15 днів тому +5

    Dada vero unajua kusimulia nakupenda sana dada ang

  • @AngelAlex-oj5yc
    @AngelAlex-oj5yc 15 днів тому +4

    Unakipaji Cha kuelezea vizuri mungu akutunze da vero

  • @user-uu6ei1ys3k
    @user-uu6ei1ys3k 15 днів тому +5

    💔💔💔💔💔Hi Dunia inasiri zito sanaaa😭😭😭😭

  • @fatumakyengya45
    @fatumakyengya45 11 днів тому

    Hongera Sanaa da vero unakipaj cha kusimulia🎉kwa kweli

  • @fora2009
    @fora2009 15 днів тому +2

    Mungu ni mwema

  • @fatumakyengya45
    @fatumakyengya45 11 днів тому

    Unajua kuuvaaa uhusika Dada Vero

  • @MinaeliMbonea
    @MinaeliMbonea 12 днів тому

    😢duuuuh kunawatu wameyapitia

  • @user-uy4cu1yq2w
    @user-uy4cu1yq2w 15 днів тому +1

    Kilichonifurahisha saana Kwa Edga ni kufanikiwa kutoroka ..mie ni joy nipo kigambon gezaurole

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 15 днів тому +3

    Wa pili leo

  • @AidaBiabato
    @AidaBiabato 15 днів тому

    Mh MH simlinzi minzuri xinatisha na kufundisha na thjifunze vitu hapo Mana hayo nikama SoMo kwetu sisi walimwengu MUNGU aendelee kukulinda sanaa

  • @maryjohn1235
    @maryjohn1235 15 днів тому +1

    Edga angalia

  • @DeodathaMasoud-uo9jf
    @DeodathaMasoud-uo9jf 15 днів тому +1

    I♥♥ Dada veronica

  • @MwM-bh5cc
    @MwM-bh5cc 12 днів тому

    Dada veronica nakupenda nipo Oman nqkusikiliza❤❤

  • @alicemahega3591
    @alicemahega3591 13 днів тому

    Napenda similiz umenibamba❤

  • @zeyanaalgheithy6561
    @zeyanaalgheithy6561 15 днів тому +1

    Habari yako da veronika

  • @SekelaKibasa-lf7ek
    @SekelaKibasa-lf7ek 15 днів тому

    Kwani vuna deil imeishia wap jamn😢😢😢

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 15 днів тому +1

    Kurogwa huko mwamaume kufagia kupika kuosha vyombo mmmmm

  • @user-jo5ig8ww1b
    @user-jo5ig8ww1b 9 днів тому

    Duuh 🙄🙄

  • @khorima
    @khorima 15 днів тому +1

    Edgar atake au asitake Tano gezewa muda.

  • @hadija_makange
    @hadija_makange 15 днів тому

    Daaah nimejikuta napigwa nabutwaaa

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 15 днів тому

    Kumbe hata mwanamke mwenyewe hakuwa mrembo nadhani alikuwa kama dudu

  • @PamelaKagisa
    @PamelaKagisa 15 днів тому

    Veronika unakipaji kikubwa sana sijuhi huwa unajijuwa?

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 15 днів тому +3

    Duuu aisee kuchinja kuku anaempenda ni 1 ya kafara kwamanuwizi namchinja huyu kuku naempenda nahuyu mme wangu awe kama kuku wangu niliemchinja

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 15 днів тому

    Simulizi nyingi zinatisha sana, ni za kweli? Nimeanza kufatilia simulizi miaka 7 iliopita, huwa naishi kwenye hizi simulizi.

    • @mariamufadhili9245
      @mariamufadhili9245 14 днів тому +2

      Huwa unaishi kwenye hizi simulizi miaka saba halafu unauliza kama ni za kweli wakati kila siku Da vero anakiri ni za kweli

  • @user-ct8om8jw3l
    @user-ct8om8jw3l 15 днів тому

    😂😂😂😂 ww kaka umemwambia nn da velo ad kasema kesho

  • @deboramnkeni-kd9yw
    @deboramnkeni-kd9yw 15 днів тому +2

    Bas mie wa 6 bora

  • @naomicharles5444
    @naomicharles5444 15 днів тому +1

    Basi me wa tatu bora😂