KISHA MAFARIJI KWA FAMILIA YA MARCO MUIMBAJI WA ZABRON SINGERS UENEZAJI ILIENDELEYA NA DHIHARA YAKE.
Вставка
- Опубліковано 21 жов 2024
- #zabronsingers #uenezajigospelchoir #inaumiza
TAZAMA NAMNA UENEZAJI GOSPEL CHOIR ILIVYO POKELEWA NA KANISA LA GEZAULOLE MJINI DAR ES SALAM, KIGAMBONI, KISHA MAFARIJI KWA FAMILIA YA MUIMBAJI WA ZABRON SINGERS KAHAMA.
• KISHA MAFARIJI KWA FAM...
Marco plz wake up uone venye ulikua unapendwa na Dunia nzima, Kenyan SDA charch msituangushe plz, tufike kwa Marco
Heri kuiendea nyumba ya matanga, kuliko ya karamu. Mmefanya vyema ndugu zangu wa Congolese. Mungu atukuzwe kwa hilo. Mbarikiwee. Utamjua rafiki mwema wakati wa shida
Maranatha
ECCLESIASTES 7:2
It is better to enter a house of mourning than a house of feasting,since death is the end of every man,and the living should take this to heart.
The MOST VERSE that i really Cherish in my life🙏
😮Mwenyezi MUNGU awabariki sana kwa vile mmefanya utu mnzuri haswa kulingana na maandiko takatifu ya MUNGU😇🙏
Merci nous vous remercions beaucoup goma kwa upendo wenu muliyo onecha kwa famille ya marehemu mupokeye salamu zetu kutoka Congo
Mungu wa mbinguni awabariki sn kwa upendo wenu mlioonyesha kw hiyo familia
wimbo mzuri sana wenye ujumbe mkubwa mno, na ndichicho kilichomkuta ndugu yetu, sijui naupataje huo
Mungu Amubariki Sana Kwa Pendo muliloluonyesha Kwa wenzenu🙏🙏🙏🙏
Hakika Imani bila mate do imekufa, hii ni Imani hai tena kubwa, Mbarikiwe!!!
Hongereni kumchagua Yesu katika maisha yenu
Barikiweni sana Mungu awaongezee hio neema
Mungu awajazie Hilo pengo my brothers and sisters 🙏🙏🙏🙏 although it's too hard to swallow it only God
Mungu A wabariki
Uenezaji gospel kabisa Mungu ababariki sana❤❤❤
Mungu wabariki mzidi kuwa na moyo huo wa Upendo
Mubarikiwe loho nzuri❤❤
Mubarikiwe sana watu wamungu
Hawa watu wabarikiwesana
Yaaani mung azidi kuwabariki kwa moyo mzuri mlio nao
Tunaweza upata wapi huu wimbo wa pokea shukrani? Ni mzuri sana
Matendo yetu yata pimya muna heri nyinyi mumechagua fungo nzuri mubarikiwe sana ndugu zangu from Bukavu
Be blessed 🙌
Be blessed watumishi wa mungu
Very Hable family God bless u
Mbarikiwe jamani japo najisikia sauti ya Marko siamini kama imeenda mungu tupe mwosho mwema
Baraka kwao
Mungu awabariki😊
Yaani watu wanasafiri makilometer na na kilometers kutoka nchi ya mbali DR Congo hadi mjini Kahama Shinyanga Tanzania.je,wangapi wameshindwa kuja kuwafariji Zabron Singers? Na ni watanzania wa hapa hapa? Huu ni Upendo wa kweli na wa dhati kuliko kitu chochote kile.mbarikiwe sana katika jina la Bwana.Amen!
This is Love may God bless you all 🙏💕
Wewe wajua asubuhi nitokapo asubuhi nitarudi.Pokea shukrani.
The song is so nice.Jina ya wimbo pls
May God lead all the way 🙏
Mungu awabariki
Kwakweli inauma sana
Mimi imeniuma mpaka najiuuliza maswali, haswa ni nini hii mungu.
Uenezaji tunawashukurusanakwakitendo ambacomulikifanya bubarikiwenabwana sana tenasana natunawapenda
Balikiweni sana kwa ushirikiano wenu wapendwa
Ndabakunda cyane,Ababimbuzi choir murayizi?harimo umugabo usa nuwo ubanima mu ndirimbo y'umupfakazi,hari icyo baba bapfana?baririmba kimwe kd barasa,plz muzakorane indirimbo Yaba nziza.
Huu wimbo wa pokea shukurani uko kwa platforms tayari?😊
roho inaa uma kweri nikiona hii famiiriya
Amina
Amen Amen
😢😢😢😢😢😢 4:07 4:10
Nime wapenda bule jamani
Mauvaise qualité d'image
Check your phone camera
@Jeuneshumanitaires
Ile yote ni wivu .
Alakini Dunia
Muna ona wenzenu wana sifiwa , Wivu ikukome katika jina la Yesu