🚨KUMEKUCHA HUKO MSIMBAZI | UKWELI WOTE KUHUSU AZIZI KI KWENDA SIMBA, NIMTEGO VIONGOZI WA YANGA
Вставка
- Опубліковано 8 лип 2024
- #mwambafive #mwambafivetv #mwambafiveonline
...........................................................
Wasiliana Nasi : +255755467901
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram / mwambafive
---------------------------------------------------------------------------------
Tiktok / mwambafive_
---------------------------------------------------------------------------------
Subscribe / @mwambafive
-----------------------------------------------------------------------------------
Copyright ©2024 M w a m b a f i v e All rights reserved - Розваги
Mta ingizwa sana mjini na Yanga Aziz atacheza tu Yanga subirni Yanga Day
KILA MTU ANAPENDA HELA HAKUNA MTU ASIYEPENDA HELA
WEWE NI MUANDISHI AU MSEMAJI WA YANGA UNAARIBU KAZI YAKO ACHA UJINGA
HUO NI UJINGA SASA ANAMWEKEA KIPORO NANI? HUKO NI KUPOTEZA MUDA
Yanga ni timu ya mapropaganda kuanzi mashabiki Hadi mabosi wa yanga wote wametafuta Kiki mtandaoni
Mpira ni mpesa my friend so fight to make money my brother
Hahaaaaa kama ameshindwa kumlipa Chama atamlipa Azizi kweli Kazima Hersi awaweke kiti moto Yani hakuna shida
So welcome msimbazi klabu la wana
Karib kk
Simba ni klabu kubwa kubwa zaid mbali na ukubwa pia inafocus mbali kuhux mafanikio ya mchezaji
Embu mashabiki wenzangu wa simba tusilishwe sumu na gongowazi hao majungu ni kawaida yao tokea inaanzishwa hio team hadi leo wanatengeneza uzushi baadae wakiwatupia simba kwamba wanahusika musiwaendekeze hao ni wafuga majini maarufu wanajulikana.
Wanataka watutoe kwenye njia lakini kwa sasa hivi tumeshaamka kitambo waacheni watwange maji tu
Sisi atunahaja naazizikii uyolaisi anamblandi azizik
Tatizo siasa nyingi
Angempa chama hizo pesa kwanza,
No propergand in Simba.
Huna akili mavi we
Povu lakutoka
We mtoto punyeto
Hajatuma ofa yoyote ile,,,Simba wanajitambua sana ,wanasimba hizo ni propaganda wanatafuta kiki hao wa yanga
Wewe Ni kibaraka wa yanga mavi ya popo wewe.
Mnaependa kudanganywa, halafu mashabiki wa Simba ni wepesi kudanganywa 😂😂😂😂😂
Achani uogo bhn mnapata sifa gani kusem uongo