hii nyimbo ni kali saaana...huyu mtu ni mbunifu sana; mix ya taarabu, zouk, bongo fleva na ucongo kidooogo!.... nimekupenda bure Isha Mashauzi, muziki kama huu ukipewa nafasi utafika mbali sana
Isha Mashauzi, sauti yako jinsi unavyo uimba huo wimbo full ma-feelings hongera sana ndivyo mwanamuziki anavyotakiwa kuwa. Yaani iwe Rhumba au Tara-dance wewe ndiye malkia mpya Tanzania na East Africa. Bila kusahau watu wa studio na wapiga ala ktk wimbo huu wanastahili sifa kubwa pia.
wala hana mpinzani...mwache ajisifu popote...huu ndo nauita mziki mzuri,,mashairi yapo kwenye mpangilio,sauti usiulize yaan kila kitu safi..thank u madam for the amazing music unaotupa
the way you move the lips and eyes u make me wonder.....alaf huyu comedian he is doing his work...good message quality video...improve on the locations.....the video made my day keep it up
Naikubali Sana hii nyimbo
Jaman kusema kwer aisha mim nakupenda sana tok moyoni natamani ata kukuoa
2024 hapa
Nipo dear ❤
Nmerud tena kuiskilza 2023
Thanks welcome
Kama bado unatazama 2020 gonga like zaku tosha
Leo trh 15/11/2020 npo naburudika cjui ww
From 254 kama unacheki hii ngoma sahii .gonga like
Green the best merody ishaalah mashauz mwanamke wakujiamin nakupendag sana mwaaaa
❤❤❤ yn anajua mbk anajua Tena naupnd Sana kauimba kwa hisia bigup
Nakupenda Sana Isha mashauzi,,Napenda Sana Nyimbo zako zoteee adi nmepagawa na Nyimbo zako
Umenigusa walahi!!!!! Mwanamke una maneno matamu sanaa
Jaman mm napenda apo kweny kiitikio t❤❤❤
Isha naikubali sana hii song hongera yako❤❤❤
Mungu amfedheheshe anaetaka kututia ubaya
ISHA maa shaa ALLAH nakupenda bila kipimo ALLAH akulinde
Mashasllah sauti kama inatoka ndani ya maji
Nakupenda Sana isha jamn natamani xku1 nije nikuone live
Kweli we ni Queen ❤
Still rocking 2023 🎉
duuuuh dada we ndo best kwangu hujawai niangusha huwa napenda kila kazi yako
Mia mia
2000000
POLE SANA KWA KUFIWA MAMA BI AISHA RAMADHANI MANGORO ALLAH AMPE KAULI THABIT MAMA YETU
Mkali dd
Huyu dada yuko juu sana
Wow najiamini kwa raha zangu
Kweliii dada mwanamke kujiamini
sitaki mimi mwengine kwake bby nimeshafika ooh...sitaki maneno hata wayalete na maneno mapyaaa......Patamuuuu hapo😎😚
daaaa hatareee lyk did song miaka mia
Aisha Yusuf
Swadakta
i love this mimi sio mtu wa taarabu illa nilivyosikia hii nimeipenda mpka mmekuja kuitafta huku nice
Alfage Mnangwa utofautiani namiii.
Kweli sipendi taarabu lkn apa amenipata
Mm kokot kamb ilimladi nafs yngu imeridhika
Penda sana isha mama hasa hii jiamn
❤❤❤❤❤❤. I enjoy meaningful musisic. Keep it up.
hii nyimbo ni kali saaana...huyu mtu ni mbunifu sana; mix ya taarabu, zouk, bongo fleva na ucongo kidooogo!.... nimekupenda bure Isha Mashauzi, muziki kama huu ukipewa nafasi utafika mbali sana
Nyimbo nani kama mama naikubali sana
Mnaosikiliza 2024 mko wapi?
Isha Mashauzi, sauti yako jinsi unavyo uimba huo wimbo full ma-feelings hongera sana ndivyo mwanamuziki anavyotakiwa kuwa. Yaani iwe Rhumba au Tara-dance wewe ndiye malkia mpya Tanzania na East Africa. Bila kusahau watu wa studio na wapiga ala ktk wimbo huu wanastahili sifa kubwa pia.
bonge la nyimbo
Imeweza mrembo❤
Masha allah nakupenda zaidi yani lakusema sina kwa vile umepangiliya nyimbo yako basi naomba urafiki
Dah! Nyimbo zuri sana
Nakupenda xn dada hii nyimbo mda huwa inapa furaha
We mdada kiboko....MWE!
Kweli jiamini umetisha sana mama una kipaji cha ajabu
apo sawa mpenzi mashauzi .....kujiamni umeimba poa sana
Noma sana
Congrats mamy, Nice song with sweet voice.
Nimeamini kweli majuto ni mjukuu
Toka unatoa ngoma yako yakwanza nilikupenda mbaka sasa bado nakupenda
Nyimbo tamu adi balaaaah ivoo
Naipenda Sana hi❤❤
Nakupenda sana❤❤❤
nakupenda dada angu unamaneno matama sana
wala hana mpinzani...mwache ajisifu popote...huu ndo nauita mziki mzuri,,mashairi yapo kwenye mpangilio,sauti usiulize yaan kila kitu safi..thank u madam for the amazing music unaotupa
Upo good
Nyimbo tamuuuuuuuu
In mzuri huyu Dada hata hajajichumbua
Yaani nakukubalisa una melody flani yaani nikisikia najisia amani mno ,kazi nzuri sana jamani
❤
2023 bado nausikiliza na ninaupenda hatareeeee🥰🥰🥰🥰
Sipigi tena miluzi nukta nishaitia,kutangatanga siwezi vyote wanipatia,penda sana isha
Nakupenda sana
Hange usitoke kwenye taarab,thank for your nostalgic song
queen of the best modern taraa dance. hahahaa wataisoma ausio.
wewe tayari mwenxio kakiokota..............asante sana isha mashauzi damu yangu nimekuelewa sana
Yani haujawahi kukoseyea hata siku moja
wow penda sana isha
nice
Isha,naona sasa umeanza kuwa nje ya taarab music
Daaaaahh isha, wanipaa rahaaa,na ukweli tupu
Nakupenda bureee
Napendag uyo comedian anavyocheza🤣🤣🤣
Weweeee❤️❤️❤️💃💃
Jamani nikisikia nyimbo hizi naipata faraja sana
Waah sauti nyororo maneno matamu na yenye funzo muhimu nakupenda bure taarab rhumba.mama maaama
Kama huyu wimbo kaandika yeye , mm kwa mara ya kwanza nina kubali kwamba anatisha sanaa,
Congratulations Mummy Unajuwa
isha isha..jamani nakupenda sana dadangu..you make me go crazy. ..nikisikiza nyimbo zako..kudos sana
Nakupenda bure
Woyoooooooooo👌👌👌👌👌👌
Nakupend san wew
Aaah! ww ulikitupa mwenzia tayar kaokota. Shikamooo Ishaaa unaukonga moyo wangu.
wimbo mzur sana dada
Nimeipenda sana
waaa umetisha kinoma noma hatariiiiiiii xanaaaaaa
isha jengo aloshutiya mb dogi naww unashutia hilo hilo inamaana ulikosa jengo longine jaman
Chukua 100%
Ivi isha unajua kama unajua kuimba
who still think that this song still is the best 2017....penda wewe baka basi tuu
💋💋💋💋💋💋💋💋
Jaman huyo ulie mtilia nukuta mm najikuta nacheka tu navtuko vyake" nice mysister
wew kiboko yangu
Safiiiiiii Ishaaaaaaaa napendaaaa Sanaaaaa kaz yakoo
wataelewa tuu mwisho wa siku ur rockin Dada mashauzi
Ongeraaa
Hapo tu ndo unanimaliza mtoto wa kiume
Jaman hii njimbo napenda kuickiliza pind Niko na my husband wangu
Hallo twendee nalo mama salute
nakupenda sana isha mashauzi
raha ya radhaaa.......! umenikuna ishaa
sitaki mwingine baby Mimi kwake ndo nimeshafika asante sana isha mashauzi nimekuelewa sana damu yangu
Video imeendana na nyimbo...my favorite song
Sidui kitu nikukwabia gnimbo sauti mugou akuhifadi naroho mbaya inchallah
Kweli nipukuchuliwe tu
Pambe tyu👌👌👌👌
nakukubali you are my best taarab musician that lobe to hear your songs keep it up siz
kama bado unaangalia 2019 gonga like
Nice my Daer
Dada ukovizur
Naupenda sana huu wimbo
Jerry Baba bado unashayne
2023💪
Mama ongera sana maana ni bonge la song....uwaga nikisikiliza unanikumbusha mbali ya sana....BIG UP MAMA
Napenda msauti wako ukitaka njoo tufanye kazi by (kanioga chief Co.Ltd)
Mashauzi angeuza zaidi angeimba nyimbo kama hizi, mchanganyiko wa Taarab na lingala,raha jamani
Ndio maana sana mashauzi kwa ujumbe mtamu
Unajitahidi sana dada....endelea kukaza buti game bado ngumu!
Nakupenda bure mummy
the way you move the lips and eyes u make me wonder.....alaf huyu comedian he is doing his work...good message quality video...improve on the locations.....the video made my day keep it up
JACKSON TESHA
She’s beautiful that’s why
Nice song....big up mashauzi,mashaallah
Nìce
😍😍😍 nimeshindwa chakuandika ila big up madame
Nakukubali sana dada wa mie big up napenda sana nyimbo zako