LIVE |HATIMAE TUMEANZA UJENZI NYUMBA YA BINTI WA DARASA LA 6 ALIYEZALISHWA NA KIBAKA MKABAJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

КОМЕНТАРІ • 269

  • @mariamdjae9825
    @mariamdjae9825 3 роки тому +26

    Mashallah , Zahir Allah akupe nguvu zaiidi ya kusimamia wanyonge. Nivizuri sana pesa use unazipokea ww umeona unajua nn kinachoemdelea, na ungemuambia Mama Hugo MTT wake wa kiume ajipe nafasi yakusimamia mafundi akisaidia kazi iyende haraka badala ya kulipa vibarua yy ajitolee awaombe hats rafiki sake kumsaidia hapo kazi itakwenda haraka hapatakua na ujanja wa fundi kama kwa bibi na babu

    • @happynosa3816
      @happynosa3816 3 роки тому

      Waaleikum msalam asante kwa mawazo yako nayaunga mkono M/Mungu akubariki

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 роки тому +36

    MashaAllah zabibu tunakupenda mdogo wetu badilika Sana mtoto nzur wewe Allah awalinde Timu maxmamu

  • @sharifahamisi9812
    @sharifahamisi9812 3 роки тому +9

    Maa shaa Allah uyu kaka ana wakipekee kabisa sijawai kuona Allah akulinde nakila shari kaka yangu akugungulie kila lenye kher Amiin

  • @aishasaluom681
    @aishasaluom681 3 роки тому +7

    Mashaallah kaka zahir mungu akusimamie uzidi kusaidia watu wasio jiweza na wagonjwa pia from 🇴🇲🇴🇲

  • @fahadfahadmaabadmzee7437
    @fahadfahadmaabadmzee7437 3 роки тому +12

    Mashaallah Mashaallah Mashaallah Allah Atawajalia Kila La Kher Timu Maximum Tv👏

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 роки тому +2

    Nampend uyu mtt zabibu mashaallah kabint kazur kwel 👏👏👏mung atawasaidia iyo hali yakimaisha itaisha tu inn shaallah kwauwezo wa Allah 👏

  • @aishaaboud4406
    @aishaaboud4406 3 роки тому +13

    Mashallah
    Mungu akuhifadhi kaka Zahir 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @khdijahalmudhairb2147
    @khdijahalmudhairb2147 3 роки тому +7

    MashaaAllah Zahir Allah akulinde kila shariii akulipee fiduniya wafil Akhera

  • @happynesskibona2679
    @happynesskibona2679 3 роки тому +7

    Jamani huyo mtu aliyetoa hiyo pesa Mungu amjalia mabaraka tele mbaka ashangae ee Mungu mpe huyo aliyetoa hizo pesa Baraka zote Mungu amsaidie tuu

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 роки тому +6

    Maashallah mungu azidishie kila lakheli yaarabi wapate chumba NA sebule NA wazidishe bidii ya biashara yaarabi 🙏🙏🙏🙏

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 роки тому +9

    Mwenyezi Mungu awezeshe hii familia istirike.

  • @estherponda790
    @estherponda790 3 роки тому +8

    Amin,Amin mungu awajalie team maximum tv

  • @ilhamahmed7907
    @ilhamahmed7907 3 роки тому +8

    Ma sha Allah kaka mungu akujalie umri mrefu🤲🤲

  • @aishafarah2456
    @aishafarah2456 3 роки тому +12

    Mashallah Allah akuzidishie kwa kila ulicho toa

  • @jawadyrasheed6880
    @jawadyrasheed6880 3 роки тому +16

    Hyu mtoto mwnye vdonda mdomon basi atumie vidonge vya vitamin B complex au ale mboga za majani kwa wingi basi itamsaidia inshallah..

  • @peninahmutonyi4973
    @peninahmutonyi4973 3 роки тому +9

    May God bless you bro Zahir and maximum team

  • @gaudensiajohn7047
    @gaudensiajohn7047 3 роки тому +3

    Barikiwa sana Kaka zahiri na team yako yote mungu awajalijalie afya ya roho na mwili ili muendelee kuwasaidia watu wenye matatizo maana bila nyinyi sisi hatuwezi kuwajua

  • @khalossalim213
    @khalossalim213 3 роки тому +2

    Alietoa kwa niaba ya familia hii mungu amjaalie kila la kheri 🌹

  • @fatumakassim716
    @fatumakassim716 3 роки тому +7

    Mashallah mungu azidi kuwaweka wote

  • @mariambakari996
    @mariambakari996 3 роки тому +4

    Kaka zahir unaupendo sana mungu akujaalie yaani hadi wao wenyewe wanajihisi furaha

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 3 роки тому +2

    Mashaallah mungu awajalie kila atuwa kaka zahir kwa kazi yako mzuli

  • @massym9813
    @massym9813 3 роки тому +4

    Good work napendasana zahir unavyo chapa kazi mwenyezi Mungu akulinde Sana Kaka🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @allamki2661
      @allamki2661 3 роки тому +1

      Mungu akupe nguvu kaka zahor yakusaidia wanyonge

  • @3azxtv843
    @3azxtv843 3 роки тому +4

    Khadija
    Mashaallah kaka zahir Allah akupe nguvu

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 роки тому +1

    Mungu awabariki wote mliomchangia, Mungu akuweke Zahir

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 роки тому +4

    Masha Allah.ilaa tyusimlaum sna zainab juu bdo yko na kili z kitt hvyo hvyo mama komaa nae

  • @bukheitaadrus3377
    @bukheitaadrus3377 3 роки тому +4

    Mashala zaka lahu kher mungu akujaze meme shala

  • @kolokotimba614
    @kolokotimba614 3 роки тому +1

    ndugu muna fanya jambo zuri sana huu ndiyo umoja wetu mungu awabariki kwa hayo munayo jitolea amina

  • @galary8688
    @galary8688 3 роки тому +4

    MASHAALLAH MASHAALLAH 💓💓💓💓 MUNGU AWAONGOZE KKANGU INSHAALLAH

  • @halithhali8038
    @halithhali8038 3 роки тому +3

    Masha Allah My bother Zahiri mungu akulinde

  • @mishiathmani6055
    @mishiathmani6055 3 роки тому +6

    MashaAllah mungu awajalie afya team maximum na wote wanao toa chao kidogo amin

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 3 роки тому +4

    Mashallah zahir mungu akuweke mdogo wangu jpo bdo tuko na huzuni😢

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 роки тому +6

    Ungekwenda nae kununua hayo matofali wasije wakampora hizo pesa

  • @neemadeule2735
    @neemadeule2735 3 роки тому +2

    Mungu akupe nguvu zahir na baraka tele pamoja na hao wanaojitolea si jambo dogo ni upendo mkubwa mno mungu awaogezee upendo🙏

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 3 роки тому +3

    In sha Allah Allah akusimamie my brother Zahir

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 3 роки тому +1

    Kaka zahiri الله atakulipeni, ww ni mtetezi wa wanyonge, na ikimpendeza mungu mbeleni uwe kiongozi serekalini. Inshaa الله.

  • @pettyjongera1295
    @pettyjongera1295 3 роки тому

    Hongera sana,,,,Mungu akabariki kazi ya mikono yenu

  • @mamoulovecherry5121
    @mamoulovecherry5121 3 роки тому +3

    MashaAllah tabarakallah Allah awalipe kwakila atuwa

  • @Aminaamina-cg8sf
    @Aminaamina-cg8sf 3 роки тому +14

    Allah awalindena kilabaya juu yenu ila awajalie afyanjema NA umri mrefu inshaallah

  • @faridaali149
    @faridaali149 3 роки тому

    Mashaallah allah akuzidishie moyo uwo uwo kkngu

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 роки тому +1

    Magufuli mdogo ndani ya ubora wake
    Hapa kazi tu kazahir

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 3 роки тому +3

    Mashaallah kaka mungu akupe maisha malefu akuondoshee na usda na mabaya ya ulimwengu

  • @taibataibah3009
    @taibataibah3009 3 роки тому

    Mashaallah Allah akuzidishie lnshaallah

  • @aishajeanine3552
    @aishajeanine3552 3 роки тому +3

    Masha'Allah Mungu awabariki sana

  • @maryamkhalifan8466
    @maryamkhalifan8466 3 роки тому +5

    Mashallah hongra kaka

  • @kuruthumusaidi1645
    @kuruthumusaidi1645 3 роки тому +4

    Mashaallah kila hatua dua 🤲

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 3 роки тому +9

    Najua una kazi nyingi Zahir vitu vilivyobaki uende nae ulipe wewe usimwachie pesa wasije wakamzulumu

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 3 роки тому +3

    Mashaaallah Allah Awajaalie kila la kheri

  • @elizapanga3874
    @elizapanga3874 3 роки тому

    Mungu akulinde my Zahir 💗💗💗💗

  • @roseatieno6691
    @roseatieno6691 3 роки тому +1

    Jamani Zahir is a God sent son . Habari ya Hawa mlifika sawa ? Mungu ataendelea kuwabiriki nyote watatu .

  • @zeddydaqueensy4612
    @zeddydaqueensy4612 3 роки тому

    Kaka zahir Allah atakulipia kwa mema unao wafanyia watu

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 3 роки тому +3

    Mashallah mungu awabaliki awasimamie katikakila jambo

  • @stymewert7681
    @stymewert7681 3 роки тому

    Manshallah hakika mungu nimwema

  • @mariamselemani5208
    @mariamselemani5208 3 роки тому

    Masha Allah mwenyezi mungu awajalie maisha marefu Maximum tv wote kwa pamoja

  • @aminafaru6066
    @aminafaru6066 3 роки тому +3

    Allah awabariki sana jmn kila kwenye zito awafanyie wepesi

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 3 роки тому +5

    Mashaa Allah kila aliye toa mola atamlipa in shaa Allah

  • @fettyharoun1333
    @fettyharoun1333 3 роки тому +3

    Mashallah my brother allah awalipe inshallah

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 3 роки тому +2

    mashaallaah Mungu awaongoze insha Allah

  • @salmasaid8521
    @salmasaid8521 3 роки тому

    Mungu azidi kukupa nguvu Zahir uzidi kutenda mema na kuhamasisha watz

  • @aliabdoul6172
    @aliabdoul6172 3 роки тому +1

    Asalam mwalekum warahma tulhahi wabarakatu haliyako kwakweli sijawahi ona mtu mwenye huruma kama wewe allha ndiye atakaye kulipa mimi nafatiliya sna vipindi vyako san ni raiya sa Burundi mungu akupe umri mrefu uzidi kutenda mema🇧🇮

  • @khadijamusa8084
    @khadijamusa8084 3 роки тому

    Allah asimamie hii familia hongera kaka zahir

  • @zbabyjmo3657
    @zbabyjmo3657 3 роки тому

    Mashaallah kaka Zahir Mungu Akupe nguvu kwa hili na Yajayo Amiin

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 3 роки тому

    Mashallah Hongera kaka najiandaa kuja Tz

  • @mesajuma4843
    @mesajuma4843 3 роки тому +1

    Masha Allah

  • @user-eg1dr6so4c
    @user-eg1dr6so4c 3 роки тому +2

    Jamoon huyu zabibu mzuri maa sha Allah

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 3 роки тому +1

    Zahir naomba uwe kaka yangu wa hiyari' Nakupenda sana Zahir ALLAH Akujaalie umri mrefu

  • @umunafisa7060
    @umunafisa7060 3 роки тому

    Allah akubark kaka katika kaz zako pamoja na kundi lako lote
    Na mnaojitolea Allah azid kuwafungulia na ss ambao hatukubahatika katika hili insha allah Allah atuezeshe na ss tujumuike papmojpa

  • @rahmambonde2389
    @rahmambonde2389 3 роки тому +1

    Umechoja jamani kaka zahir pole allha akupe nguvu na uendelee kua na moyo huohuo.

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 роки тому +1

    Alhamdulilah 👏👏

  • @uktyaminahsadalah6074
    @uktyaminahsadalah6074 3 роки тому

    Mashaallah kk zahir nass wengine tunajifunza kupitia kwenu maswala ya ujenz asanten sn mungu awabarki na awasimamie🙏🙏

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 роки тому

    Tuko pamoja kaka zahir 🤝🤝🤝🤝kwauwezo wa Allah tutamaliza nahii family itakuwa pow kbs kwauwezo wa Allah inn shaallah

  • @dalianakerefu490
    @dalianakerefu490 3 роки тому

    Mungu wazidishie waliotoa mjengee kaka simpo mamaetu ili huko mbele michango ikisumbua wawewapetata Pa kujistir

  • @SsAa-by2ty
    @SsAa-by2ty 3 роки тому

    Good 😍

  • @nurahyusuph9771
    @nurahyusuph9771 3 роки тому

    Kak zahir ww na team yako nawaombea uzima Siku zote nawapenda san🥰🥰🥰🥰mung awabarik san

  • @lucysamson9525
    @lucysamson9525 3 роки тому +1

    Dah

  • @mussahassan8604
    @mussahassan8604 3 роки тому +1

    Bro zahir mm sina chakuongea ila nakupa hongera tuseme ishaallah

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 3 роки тому

    Hongera sana kaka zahri

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 3 роки тому +1

    Kwani izo tofali zilizo apo azifai kutumika mana tofali nyingi zengetumika wakapata ikangawa rumu mbili

  • @zinabotnzani1492
    @zinabotnzani1492 3 роки тому

    Mashallah hongera sana kwa kazi nzuri

  • @ahlamnasser5703
    @ahlamnasser5703 3 роки тому

    Mashallh Mungu akuzidishie Kaka Zahir 😊

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 3 роки тому +1

    Nimechelewa jamani Kwa siku nzima Mungu ambariki aliyetoka .....mama kuwa unajitanda unavyo fanya interview kifua chote kiko nje

  • @yassirhalimamohammedmohamm5913
    @yassirhalimamohammedmohamm5913 3 роки тому

    MashaAllah unanifurahisha mungu awe nawe zahiri

  • @zaynabali6109
    @zaynabali6109 3 роки тому

    Mungu akubariki kwa yote 🙏🙏tenda wema uende zako malipo utapata kwa mungu🙏🙏🙏🙏

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 роки тому

    MaashaaAllah
    Maximum team Allah awaongoze zaid

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 роки тому

    Mungu mbele kwa kila hatua,nawaombeni Wana Maximum tuchange kwa dhati ili hii familia iweze kujengewa nakuishi kama sisi kwenye nyumba yao zuri.Biblia inasema "kwa yeyote anaye msaidia anakopesha MUNGU naye atakulipa mbele ya ahera/mbinguni💕❤️💪🌞🙏🇰🇪.

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 3 роки тому

    Mashallah atahajuwi kama baba yake nitapeli

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 роки тому +6

    Alaf mrejesho wa babu piaa.tunamiss kuona wanaedeleaje.

  • @chizifresh6133
    @chizifresh6133 3 роки тому +3

    Uyo mtoto kana furaha 😍

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 3 роки тому

    Masha Allah brother zahir nami nilikua naomba wafanyiwe hivyo

  • @shabaniguma8696
    @shabaniguma8696 3 роки тому +7

    MashaAllah

  • @mwajiranimesalimu5509
    @mwajiranimesalimu5509 3 роки тому +5

    jamani zahir plz napenda kuja kuishi tz lkn kwa ajili ya kilimo yani ndo ndoto yngu

    • @0712939973
      @0712939973 3 роки тому +1

      Karibu sana una ndoto kama mm mi naish tz ila napenda sana kilimo na ufugaji your welcome,mbarakafaki@gmail.com

    • @mwajiranimesalimu5509
      @mwajiranimesalimu5509 3 роки тому +1

      Ahsante ..nitafika kwa uwezo wa Allah

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 роки тому +1

      @@0712939973 karbun. sana tz ufugaj kwa mjesan karbun tunawakaribisha na kilimo pia

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 роки тому +1

      @@mwajiranimesalimu5509 ishaallah karibu sana tz

  • @reginangore433
    @reginangore433 3 роки тому

    Brother Zahir, siku zote nakuombea mungu siku zote akurahisishie maisha na akupe uhai

  • @fatmaalaufi9073
    @fatmaalaufi9073 3 роки тому

    Mashaalwah zahir na kundilake Allwah atakulipeni kheri

  • @asinakassim1548
    @asinakassim1548 3 роки тому

    Mashaa Allah tabaraka Allah kaka -Zahir

  • @samialindo524
    @samialindo524 3 роки тому

    Wekakamungu atakuli ishallh nakupenda bule sokwakujitolea ivo kakangu mungu atakulipa ishallh

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 3 роки тому

    Polen kwa mitihan mnayopitia MUNGU ataweka njia pasipo na njia🙏

  • @naamohamed1042
    @naamohamed1042 3 роки тому

    Zahir waambie wawe makin ktk kutizama ujenzi mafundi wanapenda sana kupiga cement wawe makini

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 3 роки тому

    Hongera sana Mungu awasimamie

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 3 роки тому

    Mungu awahifadhi wasiibiwe.tu.mungu awabariki wahisani

  • @mwanahawaomarimashaka197
    @mwanahawaomarimashaka197 3 роки тому

    Mashaa Allah nimefurahijeee👏👏🤲

  • @prettynayally2177
    @prettynayally2177 3 роки тому

    Kaka zahir allah akujalie afya njema subrah na moyo wenye furaha kila siku