MAMA MKWE AONGEA |MWANANGU KAUWAWA KWA RISASI |PANYA ROAD |ZABIBU MSIBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @noors7030
    @noors7030 Рік тому +13

    Pole sana zabibu hi ni radhi ya mama . Uliamua kuwasikiliza watu baki kulikuni mmko aliekua akikutakia mema walau kuishi kihalali na huyo umtakae. Alikua akiumia Allah amrehimu na Amsamehe mathambi yake🤲

    • @aminaali792
      @aminaali792 Рік тому

      Ameen yaa Rabbi 🤲🏼

    • @maryjonh311
      @maryjonh311 Рік тому

      Laana ya Mama iyo bado itawatafuna katubu

  • @janeisrael1003
    @janeisrael1003 Рік тому +46

    Kweli mzazi ni mzazi yule ulikuwa unamwona wa muhimu nakumwacha mama yako mahututi ukimwona ndo wa muhimu Sana Naye kaondoka inaumiza ila pia nifundisho kubwa kuwa usicheze na masononeko ya mzazi na laana

  • @puritymghoi1634
    @puritymghoi1634 Рік тому +24

    Mzazi akikataza kitu ni muhimu umusikize sana ,,,mama zabibu alisema mwanawe hawezi olewa huko na hivyo ndio ilivyokuwa so heshima kwa mama aliyekubeba miezi tisa idumu

    • @hadijahadijaminchande4604
      @hadijahadijaminchande4604 Рік тому

      Yaan nakusema akirud sober kamwambia kijana harudi kwako mh mtihani wallah mazabibu hata km maradh pia alikua anasoneneka sana

  • @salmamusa2527
    @salmamusa2527 Рік тому +15

    Zabibu unamskiza na kumpenda mama wa mwenzio na wako ulimtenga ukamuuwa kwa kusononeka roho..kweli kila kifo ni njia ya kila mtu lkn ww umechangia kifu cha mamako..malipo ni hapa duniani..Mungu apigwi kwa fimbo ulipa kwa zake njia..hiyo familia awakumpenda mama Zabibu coz alikua akisema kweli..Zabibu tia akili sasa..Allah awesemehe wote walio tangulia.. Innalillah wainna ileyhi rajiun

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 Рік тому +56

    siamini kama huyu kijana hayuko tena inauma jamani waah basi tumuombee tu kwa mungu ndiye ajuwae zaidi wanadamu tunaweza tolea mtoto wa watu maneno mabaya kumbe wapi may his soul rest in peace 😭😭😭🙏🙏🙏pole sana mama kwa kumpoteza mwanao tulikuwa tunasema unaongea sana una mapepe kumbe ndio kuongea kwako waah uchungu 🙏🙏🙏

    • @faridaf3923
      @faridaf3923 Рік тому +1

      Kweli kabisa😭

    • @samiraabdimahamed4449
      @samiraabdimahamed4449 Рік тому +2

      Kweli kabisa

    • @narlt229
      @narlt229 Рік тому +3

      Nimeumia sana huyu kijana jamani!! Pole kwa familia
      Umesema sahihi

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 Рік тому +2

      @@narlt229 Achaa tuu 🤔😥

    • @narlt229
      @narlt229 Рік тому +6

      @@ayshamahariq6665 kijana kama huyo anaondoka halafu anaacha mtoto mchanga huyo mama inaonekana kalia sana mpaka kavimba sura. Hilo tukio siyo jepesi

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 Рік тому +16

    Hongera kazahiri kwa kutaka kujengea makaburi yote mawili, kweli unamoyo wapekee mungu kakupa zawadi ya moyo nzr ambao sis wengine hatuna .

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 Рік тому +8

    Mzazi kama mzazi silahisi akubali kma mwanae anamatukio ya ajabu mungu atunusuru na vizazi vyetu

  • @jackismaily4754
    @jackismaily4754 Рік тому +26

    Dah inauma sana tena mnooooo 😭😭😭nimelia sana dah mungu awape faraja wote maskini hakuna cha kuhukumu anae hukumu ni mwemyezi mungu peke yake 🙏

    • @jenniferfungo2424
      @jenniferfungo2424 Рік тому

      Yaan mi Kama Mama imeniuma nimevaa kiatu Cha huyu mama hakinitoshi

    • @rahimalewe2835
      @rahimalewe2835 Рік тому +1

      aki inaliza wallah nimelia pia mm😭😭😭

    • @barakakusa7606
      @barakakusa7606 Рік тому

      Na wanaouliwa na panya road nao wanaumia zaidi ya hapo.

    • @zuwenatabu9176
      @zuwenatabu9176 Рік тому

      Utamuweza zabibuu???

    • @eunicefalex4403
      @eunicefalex4403 Рік тому

      Kumbe marehemu mama zabibu anaijuwa hii family vizuri

  • @ladyr.hamsini2311
    @ladyr.hamsini2311 Рік тому +22

    ALLAH atusitiri na vizazi vyetu ,jamani😭😭😭sote tumetokwa kwake na sote tutarudi kwake,Allah awape subra familia yote kwa msiba huu mzito 🤲

  • @maulid1950
    @maulid1950 Рік тому +11

    Ukitokea kwenye familia ya kimasikini Tanzania usipopata bahati ya kusoma ukiwa kijana wa kiume nchi yetu inakupeleka mojakwamoja kwenye kundi la waharifu 😭😭 yaani kama auna kazi rasmi ni mtihani Kwa vijana wa kitanzania 😭😭 Inauma 😭😭🇹🇿🇹🇿😭

  • @claudiabakisa8052
    @claudiabakisa8052 Рік тому +25

    Asante kaka Zahir kwa kutuletea Habari hii. Mwenyezi Mungu akujaalie afya njema na maisha marefu. Amiin❤🙏

  • @sofiakimvula4168
    @sofiakimvula4168 Рік тому +6

    Mama Sema ukweri kuliko kuficha ili MUNGU amsamehe, napia achana na zabibu kwasababu mamaake ajarizia na uking'a ng'ania unaweza kukutana na mabalaa

    • @saumjuma958
      @saumjuma958 Рік тому

      Huyu mama alikua hampend mama zabibu anamshikilia zabibu kama mwanae

  • @claudiabakisa8052
    @claudiabakisa8052 Рік тому +21

    Maskini mama Alfani. Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi kwa wakati huu mgumu.

    • @reginamihiga4977
      @reginamihiga4977 Рік тому

      Wakati mgumu gani wakati wao waliuwa mwanafunzi

    • @athumannyungundileki9799
      @athumannyungundileki9799 Рік тому

      Hakuna Cha mungu kumfanyia wepesi wala nn apambane na hali yake achen kutetea ujinga nyie huyo mama ukimsikiliza kwA makini unagundua kabisa huyo mtoto wake alikua na tabia za kishenzi

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 Рік тому +15

    Duuu masikini kiukweli inahuzunisha Sana Kama kweli alikuwa panya road Askari wamefanya kazi yao kiuhalali maana hawa watu sio wa mchezo wakikuvamia wanakumaliza Kama walivyommaliza yule binti wa chuo.Pole Sana mama kwa kumpoteza mtoto wako Kama sio panya road ameonewa malipo ni hapahapa Mungu atalipa kwa Askari wote walioshiriki kutoa uhai wa kijana wako. Mungu aendelee kukutia nguvu ktk kipindi hiki kigumu ulichonacho.R.I.P

    • @asiyaamoury8556
      @asiyaamoury8556 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣🤣😍😍😍😍😍👋👋👋👋👋

    • @gracemsalila7735
      @gracemsalila7735 Рік тому +1

      Kabisaaa sahihi

    • @waukweelinikkon6555
      @waukweelinikkon6555 Рік тому +1

      Kweli kabisa aiseee, panya Road ni hatari ,natamani wakamatwe woote na wawauwe, maana kufungwa haisaidii wakitoka wanaendelea tena na kuumiza watu,yaani wanatuchosha mnooo,

    • @mwanduelizabeth2282
      @mwanduelizabeth2282 Рік тому

      @@waukweelinikkon6555 kabisa ni wa kuogopa hawa watu.

  • @entie-re23be
    @entie-re23be Рік тому +41

    SINA USEMI Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema sisi tuliobaki Amen Amen

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 Рік тому +22

    Wee pole sana mama Alfan it's painful to loose a child haijalishi ni njia gani au kafanya nn mwenyezi Mungu akujalie wepesi moyo utulie 😢

    • @ummiali8084
      @ummiali8084 Рік тому +1

      Kabsa hata mimi nasema hivi awe alikuwa au hakuwa hakuna mama ataskia vzr km mwanae kauwawa

    • @aishadaba7045
      @aishadaba7045 Рік тому

      Ameen

  • @familylove5417
    @familylove5417 Рік тому +22

    Mama zabibu alikuwa sahihi kumbe dah subhannallh zabibu muombe mungu sana ndugu yangu

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 Рік тому +4

    Zabibu kamuacha mama kamkimbilia mume, namume mwenyewe kashaondoka , mungu kakupa mtihani mdogo wangu ujifunze mdogo wangu pole kwayalio kukuta

    • @eunicefalex4403
      @eunicefalex4403 Рік тому

      Huyu mama nae anaongea kibabe kibabe San ajui kuongea kama Mwanamke jamani

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 Рік тому +31

    Zabibu kweli kapatikana jamani, nafikiri anapitia haya ili ajifunze, unatakiwa uwe na hofu ya Mungu,mama ako amekufa akiwa na huzuni juu yako, kwa kweli inahuzunisha mnooo,zabibu ubadilike mdogo wetu.mi nimeshtuka kweli kuona halfan naye ametuacha.

    • @ummiissaabdulissaabdul8117
      @ummiissaabdulissaabdul8117 Рік тому +1

      kabisa zabibu ili ni funzo na nisomo hakuna kama mama alidharau mamaake akiw hai leo hii ayuko ulimwenguni ndio atajua umuhim wa mamaake mungu atuongozer vizazi vyetu yarab mana huu nimsiba juu ya msiba

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 Рік тому +1

      Hakika dada hujakosea malipo nihapahap dunian akhera hesabu

    • @Sarahrose-ol6co
      @Sarahrose-ol6co Рік тому

      Zabibu Afanye halaka kuomba toba maan mama alikufa na kinyongo na hakuwa kalibu n mama aende tu kumuomba msamaha mama yake kabla hayajatokea makubwa maan mzazi!! Laan ya mama!! Mh

  • @arlife9489
    @arlife9489 Рік тому +2

    Poleni kwa msiba mungu atusitiri NA vizazi vyetu. Huu si wakati WA kumpa maneno ya kuumiza zabibu bado mdogo Sana NA madawa ni janga baya. Mungu atusamehe wote. Pumzikeni marehemu wetu.

  • @nancyhassan8290
    @nancyhassan8290 Рік тому +22

    Dah, jamani, msiba unauma mno haijalishi alie kufa alikufaje, poleni sana, tena pole sana Zabibu, mwaka huu umepata pigo kubwa sana, Mwenyezi Mungu akupe uvumilivu.

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 Рік тому +1

      Mama akikataa jambo jamani tusikieee anaona kila baya lililo mbele ya mtt wake ila zabibu hakusikiaa mama kajaribu kumtenganisha kwa kila njia mpaka SOBA KAMPELEKA MWANAE AWE MBALI HA HIZI FANI! Sasa kamchukuwa kaondoka nae kabisaa

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 Рік тому

      @@ummySheikh72 kweli kabisaa! Hii inamaanisha kweli mama hakumtaka kabisaa mkwe wake huyu aisee! Daah wapumzike kwa amani!

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 Рік тому +25

    Zabibu mitihani imeanza, innalillahi wainna illah rajiuun

  • @eashaeasha9776
    @eashaeasha9776 Рік тому +12

    Hapa ndio napata jibu ndio maana juzi zahiri juzi alimpost alfani tukafoka humu kua kwann anawapost akasema tutulie tutaelewa kumbe kafariki😭😭😭😭😭😭

    • @wemakalama6458
      @wemakalama6458 Рік тому +1

      Hata mie sikuelewa mwenyeezi mungu atusamee lwa kweli

    • @everlyneiminza5722
      @everlyneiminza5722 Рік тому +1

      Na zahir aliandika tu vizuri headlines but watu hawakuielewa bwanawe watu walifoka adi nilikua nasoma tu comments nashangaa tu hivi hawa watu hawaoni hapo juu🤔🤔🤔

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 Рік тому +2

    wallah maoni yangu mm ni zabibu aondoke apo achukuliwe akaanze maisha mapya mana hapo mazingira mazur hapana na atakua mzungukaji zaid jamani wamuache mtoto wa mwenzao uenda anako kwenda akabadilika bado mdogo atakaa hapo vipi jamani mungu nissmehe yarab aniongozee kizazi changu yarab

  • @nanadady7408
    @nanadady7408 Рік тому +32

    Ni kweli msiba unauma ila hizo ni duwa za
    Mama Zabibu na siku za mwezi ni 40 inalilah

    • @janemuthoni723
      @janemuthoni723 Рік тому

      Kabisa na kama pia huyu mama alichangia kifo ya mama Zabibu kwa mawazo au chochote lazima utalipa tu na utaonja huu uchungu

    • @asiaali1124
      @asiaali1124 Рік тому +1

      Mtihan tu

    • @zabubamudy126
      @zabubamudy126 Рік тому +3

      punguzeni maneno makali jamani roho ya hueuma iwaingie hatujui mwisho wetu

    • @svt3
      @svt3 Рік тому

      Nana Dady: na mama zabibu kufa ni duwa za nani?🤔🤔

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 Рік тому +1

      @@svt3 Yaani watu wamekazana laana ya mama laana ya mama acheni kumchosha Zabibu, Laana gani kwani watu huwa hawakosani wasituchoshe my

  • @hadija846
    @hadija846 Рік тому +5

    Asante sana ndugu yangu Zahiri kwa kumpiga maswari ya nguvu mama wa panya road naona mtoto wake alikuwa ni katika mabosi waliokawa wanawatuma panya road maana panya road wenyewe bado ni watoto wadogo

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 Рік тому +58

    Innallillah wainnaillah rajion! Ila roho ya mama zabibu haikumpenda yule mtt kaondoka nae ili mwanae awe salaama! Aminini Mama zabibu atakuwa na Amani aliko maana hakumtaka kabisaa huyu mtt hakuwa salaama! Kabisaaaaaa kaondoka nae! Huyu mama anakawaida ya kumtetea mwanae kila siku anaweza pia kuwa panya road. Wamemtaja wenzie waliokuwa wote ktk matukio tuache kutetea watt wakiwa wabaya

    • @fatmamsiliwa8485
      @fatmamsiliwa8485 Рік тому

      Kweli

    • @nurenashakur240
      @nurenashakur240 Рік тому

      Kweli

    • @Hahaha-yf4ug
      @Hahaha-yf4ug Рік тому

      🤣🤣🤣🤣

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 Рік тому +3

      Anamtetea sana mwanawe anaona kaonewa

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 Рік тому

      @@fatmamansour676 uangalie uso wake hauna hata huzuni hata chozi nafsi yake inamsuta maana anajuwa mwanae alichokuwa anafanya. Nafsi yake haiusapoti uso wake na mdomo wake wa uwongo! Yeye kasaidia mwanae kuwa vile na zabibu kuzidi kukosa adabu kwa mama yake! Mama zabibu kashindwa kuwaweka mbali alipokuwa hai ila kaondoka nae hizo FANI! Mama zabibu kafurahi huko aliko kwasasa maana wamechangia kumuwa kwa uchungu yule mama. Malip Duniani Akhera hesabu.

  • @lastborn7810
    @lastborn7810 Рік тому +47

    Mama zabibu Amekufa na kinyongo kwa hii familia😢 Allah akupe subra zabibu

    • @happymchomvu6766
      @happymchomvu6766 Рік тому +1

      Ni ukweli Aki😭

    • @aminaam281
      @aminaam281 Рік тому +4

      Pia kauli ya mama zabibu nanukuu, mwanangu akitoka soba sahau zabibu kurudi kwako tena ila kwa kuwa watu wanapenda mabavu ndo hayo

    • @nooor1120
      @nooor1120 Рік тому

      @@aminaam281 kwavile aliona akitoka soba itarudi akili yake atakuwa msafi lkn ndio hivyo tena km tulivoona.

    • @user-jz8sj5us1h
      @user-jz8sj5us1h Рік тому +1

      Nikweli😭😭😭zabibu pole yake

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 Рік тому

      Kwani alikufa muda sija fuatilia💔💔💔💔💔

  • @eashaeasha9776
    @eashaeasha9776 Рік тому +11

    Mie sina la kusema Ila poleni Sana na wengine tuna watoto twa waombea dunia kila CK wawe watoto wema yarabi 😭 huyu mama anajikaza Sana ana Hali mbaya daah

  • @teehassan4731
    @teehassan4731 Рік тому +3

    Inalillah wainailah rajiun! Zabibu mdogo wangu sikulaumu lkn ulion mama yako hafai marehem anafaaa Subhanallah kiko wap? Mungu akusameh na atusamee na ss tuwasikilize wazaz wetu jmn kwa Hali yeyote Ile

  • @mamakeaisha4926
    @mamakeaisha4926 Рік тому +32

    Zabibuu amepigwa na kitu kizito kwa umri mdogo alionao.... Mama na mume wanakufa kufatana.... Mola awarehem inshaallah

    • @gracebilahibilahi8069
      @gracebilahibilahi8069 Рік тому +6

      Lana ya mama zabibu hiyo. watajuta. Tena bado

    • @shamsamuhammad3677
      @shamsamuhammad3677 Рік тому

      hii nilaa kweli jmn dunian unapanda ulicho kivuna

    • @user-wk1ix1gm1p
      @user-wk1ix1gm1p Рік тому +4

      Asiye sikia la mkuu huvunjika mguu , sasa kakosa kote , pigo ndani ya pigo , sasa mama mkwe wake kama anampenda kweli ndo aanze majukumu ya kumlea

    • @irankundanouriyath6748
      @irankundanouriyath6748 Рік тому

      Nabado gisi arikuwa hamsikirizi mama yake sijuwi ataishije

    • @eyabdimaha3698
      @eyabdimaha3698 Рік тому

      @@gracebilahibilahi8069 muombee mema hakuna mkamilifu

  • @kadulathumani7517
    @kadulathumani7517 Рік тому +14

    Kwa kweli ni mtihani mkubwa Kwa family zote na jamii. Tuwaombee dua wenzetu na jamii nzima. Dunia yote imehariibika. Vijana kuharibika Kwa juhudi na malezi mema huenda wakabadilika Inshallah

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 Рік тому +24

    Inalillah wainalillai rajiuni mbele yake nyuma yetu 😭😭😭😭😭

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 Рік тому +6

    Inna lillah Wainna Ilayhi Raajiuun. Mungu amrehemu amlaze mahala pema peponi. Poleni sana wafiwa wote. Jamani ktk kuweka comment tusimseme maiti. Hatujui vp kafa na Mwenyezi Mungu ndo anayehukumu. Shukran

  • @claudiabakisa8052
    @claudiabakisa8052 Рік тому +4

    Alfani anasikitisha. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema na amsamehe makosa yake.

  • @munaelmimohamed9912
    @munaelmimohamed9912 Рік тому +23

    Zabibu should just go home and raise her siblings and change her ways

  • @neemakimario693
    @neemakimario693 Рік тому +22

    Duuuh jmn 😭😭😭😭 imeniuma sana kwakweli RIP Fani..pole mama Fani Mungu akutie nguvu

  • @faridaf3923
    @faridaf3923 Рік тому +18

    😢😢😢😢jamani mungu wangu😭😭😭😭pole Zabibu mdogo wangu, kiatu chako siwez kukivaa😭😭😭 ila jamani mama nimama , wenye mama zenu walio hai jitahidini sana kuwarizisha wazaz🙏🏼🙏🏼

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 Рік тому

      umesema ukweli kabisaa nasi tuzidi kuwaombea mama zetu wapumzike kwa amani

    • @aminaabdalla9949
      @aminaabdalla9949 Рік тому

      Hiyo ndio picha zabibu alone ndio mwanzo waradhi zamama kumpiga

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 Рік тому

      @@judithmelvinealuchio8968 mbona xielewe jaman🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️😢😢😢😢😢😢😢

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 Рік тому +3

      @@ayshamahariq6665 yani hata mimi nimeshangazwa na hiki kifo cha Alfan aki hadi basi tu 🙏🙏🙏

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 Рік тому +1

      @@judithmelvinealuchio8968 Allah atupe mwisho mwema🤗🤗😭😭😭😭

  • @faridadondo2103
    @faridadondo2103 Рік тому +16

    Subhanallah polen ila mlimdhulum mama zabibu akitetea haki ya mwanae kuwa hii familia haifai Sasa duwa zake mungu atazilipia aliumia saan ila zabibu hili nifunzo nabado km walikuw wanachekelea kufa Kwa mama zabibu

    • @MohammedAli-rh5si
      @MohammedAli-rh5si Рік тому

      Una ushahidi km walichekelea acheni kujipa majukumu ya Allah kutoa hukumu kwani zabibu ndio alimpa ukimwi mama yake alikufa kwa kutokubali matokeo

    • @faridadondo2103
      @faridadondo2103 Рік тому

      Kwan ukimw sihoma km homa zingin
      Naww ulijiaje km alikuw na ukimwi ?
      Msongo ndy umemuondoa nasio kuumwa ww huyo kijan walikuw wanamkingia kifua mara ngapi amewekwa ndan

    • @faridadondo2103
      @faridadondo2103 Рік тому

      Amesh kufa tuangalie mengine Kila mtu ajipange ataenda vp bas

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Рік тому

      @@MohammedAli-rh5si yaani mm huwa nashangaa tunalea watot wenyewe vibaya tunasingizia wengine wameshika mama zabibu mama apple mpk wanakera.

  • @iptididapaaaaambe2sam900
    @iptididapaaaaambe2sam900 Рік тому +11

    Daaah zabibu ndio atulie Sasa akiangalia mama hayupo bwana hayupo. Huyo ndio alimpotosha zabibu

    • @saumjuma958
      @saumjuma958 Рік тому

      Mmmh mama yake Aliku akiumia hakumsaidia mama yake ss atayaona

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 Рік тому +8

    Aiseeee nipigo kubwa sana Kwa zabibu kampoteza mama na Mume aisee so sad😭

  • @ashaali1324
    @ashaali1324 Рік тому +1

    Inma lillah waina illah rajuuan Allah amsemehe makosa yake Mpate subra wazee wake . Zabibu bora ahame apo asikae bora zanzibar akabadirishe maisha kidogo hiyo ni mitihan mikubwa mama na mume atarudi Zahir bora washaur

  • @tatumakadara5793
    @tatumakadara5793 Рік тому +3

    Inna lillahi wa inna ilaihi rajioun. MUNGU akupe subira mama Khalfan. MUNGU atustiri na kuviongoa vizazi vyetu.
    Zabibu MUNGU amekuonesha mtihani katika maisha yako.Hivyo , sasa unatakiwa UKUWE uangalie ulipotoka,ulipo na khatima ya maisha yako.
    MUNGU anakupenda Zabibu jitahidi ubadilike umrudie MUNGU. In sha Allah kwa uwezo wake.Utashinda na kufanikiwa.

  • @nicerjoseph2904
    @nicerjoseph2904 Рік тому +38

    Zabibu mapigo ya mama ayo pole mdogo wangu😭

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 Рік тому +7

      Kabisa Ali muacha mama ake akahiari aendeleze zinaa yarabi tusamehe wajawako

    • @neemalucas464
      @neemalucas464 Рік тому +1

      😭😭😭😭

    • @zakhiamsuya4922
      @zakhiamsuya4922 Рік тому

      Kiukweli kunachakujifunza hapa aisee maneno yamzazi yananguvu kubwa sana

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 Рік тому

      Tumuombeeni mungu zabibu awachane na uhuni na bangi, Yarabbi tunusuru na vizazi vyetu vijavyo inshaallah. Amin

    • @janetahmed6948
      @janetahmed6948 Рік тому

      Huo zabibu analaana mnoo sijui na hao watoto wake ataishi vip huo si atawatupa huo

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 Рік тому +35

    Rest in peace Alfani, aijalishi ulikuwa mwizi kweli, au ulijiusisha na panya road!! Au ulikuwa na tabia mby kiasi gn... Itoshe tu kusema imeniuma pumzika Baba!!!!

  • @dativaalphoncealphonce6029
    @dativaalphoncealphonce6029 Рік тому

    Mama mwenyew anaonyesha kabisa alikua anajua mwanae panya lodi Polis ahsante kwa kazi nzuri maana wengine tulishawaza kuama jiji sababu yao

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 Рік тому +11

    nimekosa cha kusema waah Zabibu ushaakuwa mjane mapema pole sana mungu aweze kuwafariji na family yote🙏🙏🙏

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 Рік тому +76

    Kama alikuwa ni panya Road kwel au mwizi basi alikuwa anastahili hichi kilichotokea ...wanaumiza sana watu kwakweli hili liwe funzo..waliambiwa wakiwakosa police waende hospital
    Mtu huwezi tajwa tu kama huusiki au hujawah fanya ichi kitu..kumbe police walikuwa serious
    Kama mama lazima amtetee mwanae kwakuwa ni mzazi lakini vijana au watoto wetu wanafanya mambo ya ajabu sana...anavyosema alikubali kubadilika inamaanisha alishawah kufanya mambo haya ya uhalifu..mtu kama sio muhalifu police mara kwa mara alikuwa anaenda kufanya nini?yaan nimeshawahi kuvamiwa na vibaka njian kiasi tu waniue yaan wezi/vibaka wana roho mbaya sana yaan

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 Рік тому +12

      Walikuwa wakinyang'anya watu ndo mana mama zabibu hakumkubali mana matukio wakaifanya na zabibu pamoja

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 Рік тому +11

      Sasa akamatwe mtu alafu auawe bila kushtakiwa?

    • @fatmamansour676
      @fatmamansour676 Рік тому +7

      @@johnkiimbila6799 wakipelekwa kisha Wa natolewa ndo hufanya matukio zaid hii wao walikuwa yule bint ndo mana na wao wanauwawa

    • @zuweinamohamed2073
      @zuweinamohamed2073 Рік тому +10

      Allah atupe mwisho mwema in shallah...tusijaribu kuhukumu sisi hata kama alikua mbaya Allah ndio anaejua yaliyopo katika nyoyo zetu Mwenyezi Mungu awasameh makosa yao waliotangulia mbele ya haki na si atupe mwisho mwema na vizazi vyetu

    • @mboso6597
      @mboso6597 Рік тому +2

      @@zuweinamohamed2073 Amiini Ishaallah

  • @nicerjoseph2904
    @nicerjoseph2904 Рік тому +8

    Pole kwa familia kumbe fani ni panya road dah😭
    Tatizo siku hizi police wakikamata panya road ni wanauwa tuu wazazi muwe makini na watoto wenu kama unamuon mwanao anaenda njia sizoo mkanye abadilike sikuhizi wanakufa kama kuku 😳😳

    • @makrinamakrinahahahahadah4629
      @makrinamakrinahahahahadah4629 Рік тому +1

      Tatizo wanuwa sana binadamu wenzio bila uluma mwenyezi mungu atustili vizazi vyetu yarabby

    • @jasminjumanne4157
      @jasminjumanne4157 Рік тому

      Watoto wenyewe awasikii ndugu wewe kuna mtoto mtaani kwetu anasoma kidato2 muhumi huyo bange mtu wazazi wanaongea mpka wanachoka wameamua kumuacha2

    • @mussaabobakar7537
      @mussaabobakar7537 Рік тому

      Saf sana kuwauwa vzr mana hawa washez panya rod

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 Рік тому +2

    Inabibidi ufanyike uchunguzi wa kina kabla ya kukamatwa watuhumiwa Mana bila Ivo inawezekana wakapotea ata wasio kuwa na hatia

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Рік тому

      Mungu atunusuru na familia zetu yaani itachanganywa na watu kunyanganywa mali zao kama yale ya kijana wa Mtwara huko tuendako sipo kabisa.Isije tengenezwa nchi ya kusadikika maana mara kuna watu hupotea hawaonekani mara wengine huokotwa baada ya kutekwa hatari sana

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 Рік тому +6

    Pole mama khalfani, pia unamoyo wakujali sana

  • @jacquilinenoah949
    @jacquilinenoah949 Рік тому

    sizungumzi kwa ubaya ila uyu mama kiukwel anajua matukio ya mwanae anaficha....pil kama kwel alikuwa panya rodi ni kwel hiyo ni haki yake maana wanakatisha maisha ya watu kwa tamaa zao za kipumbavu...asiefunzwa na mama hufunzwa na ulimwengu panya rodi kwakwel popote walipo wauwawe haina jinsi mama pole🙌🙌🙌🙌

  • @rachealbandeke4848
    @rachealbandeke4848 Рік тому +6

    Zabibu pole sana 😢maman hauna na mume hauna???? Acha sasa utaona maana ya maman 😢😢dunia itakufunza adabu

  • @munakhamis982
    @munakhamis982 Рік тому +2

    Uyu ni mzaz hawez kukubal kuwa mwanae ni alikuw muovu
    Pole sana mama mzaz
    Pole Zabibu hii dunia bwan muwe mnasikiliz wat wazma yaan mama Zabibu Angeliona ili tukio cjui angekuwaje mmemsononesh sana mama wa watu japo maradh yalichangia na mung alitak liwe

  • @francisrobert9652
    @francisrobert9652 Рік тому +3

    huyo hakuwa katika tabia nzuri ulimkanya sana na.kumsaidia sana katika maisha yake na mzazi alilijua hilo

  • @fatemafatema8581
    @fatemafatema8581 Рік тому +2

    pole sana zabibu umepitia wakt mgum Sana mama Haun na bwana Haun ni huzun Sana

    • @halimamnyati9311
      @halimamnyati9311 Рік тому

      Ukomee kiranga kwisha umekosa mwana na maji yamoto

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 Рік тому +5

    Pole Sana kwa yote Mwenyezi Mungu awape nguvu awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la Yesu Kristo aliye Bwana naMwokozi wetu ameeeen

  • @reginasawe3356
    @reginasawe3356 Рік тому

    Chanzon cha yote haya n bangi na madawa ya kulevya. Ukianglia zabbu utukutu kutosikiliza mzazi n kwa ajili ya bangi.... Panya road wengi wavuta bangi na madawa ndio maana wanauliwa tu. Hvyo sober hpo ihusike sana... Poleni familia ya maximum kwa misiba mizito zabibu pole sana

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 Рік тому +6

    Poleni sana kwa wakati mgumu Allah awape nguvu inshallah poleni sana

  • @naphisaolouoch5993
    @naphisaolouoch5993 Рік тому +1

    Zabibiu mungu anasababu anataka ugeuke geuka zabibu ulee mwanao ww ni mschana mrebo sana na bado mdogo sana utapata mume utaolewa ila badilika

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 Рік тому +4

    Kwakweli watoto wezi wanatuumiza sana wazazi🥲🥲🥲

  • @sazanahussen6715
    @sazanahussen6715 Рік тому +2

    Jmn sio tunatetea watoto tu niuchungu sio kila anaeuwawa ni panya rodi jmn acheni kuua watu hovyo 😭😭😭

  • @janemuthoni723
    @janemuthoni723 Рік тому +3

    Ghaiii waaaa 😢😢😢tena???ukiona hivi ni Mungu anatenda kulipisha,hawa pia ndio walichangia kifo cha mama Zabibu juu ya mawazo,mtaisha pole pole ni mthubu dhambi zenu sasa but pole sana

    • @juliennenzeyimana3274
      @juliennenzeyimana3274 Рік тому +2

      Dada muludie mola wake unakoseya sana .Allah njo anajuwa peke yake hukumu ya mwanadamu.kira nafsu itawonja mawuti

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Рік тому +1

      Mnakosa lakusema sasa kafa siku imefika mujiulize mama zabibu hakuwa na familia mbona familia yke wakat wa kuumwa hamkuiona mmeshika mama wa watu tu nyinyi mnajua maisha yao walikua vp ondoeni mambo ya kipumbavu kuzania watu.

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 Рік тому +2

    Huyu mama amekua na tabia sana ya kumtetea kijana wake tangu mwanzo sura yake yenyewe haieleweki ahsante sana polisi kwa kufanya kazi yenu mmefanya kile kinachowastahili panya road na zabibu laana ya mama yake itamtafuna mpaka kieleweke.

  • @verociousagnerus9793
    @verociousagnerus9793 Рік тому +8

    Askari kazi nzuri endeleeni hvyo hvyo piga kabisa...mungu atanisamee kwakweli wapigwe tu

    • @hadeelahmad7463
      @hadeelahmad7463 Рік тому +1

      Mungu akusameh

    • @eashaeasha9776
      @eashaeasha9776 Рік тому +2

      Usiseme ivyo maana haijulikani kama kwenye tukio alikuwepo au walimshuku nasie pia wazazi tuwe na hakiba ya kuongea kama nikweli Sawa ila kama sio kweli ina sikitisha

    • @tatotato506
      @tatotato506 Рік тому +3

      @@eashaeasha9776 kweli tena tusimuukumu sana tuwaombee watoto wetu wasienatabia mbaya

    • @eashaeasha9776
      @eashaeasha9776 Рік тому +1

      @@tatotato506😭

    • @millicentwesonga7006
      @millicentwesonga7006 Рік тому +5

      Kama wewe ni mzazi usiongee hivyo na kama haujakua mzazi siku moja utakuja mzazi. Tuwaombee vijana sana maanake sio wote wanauliwa Wana uhalifu. Wengine ni kuzingiziwa.

  • @mamuuyahaya8997
    @mamuuyahaya8997 Рік тому +1

    Subuhana Allah zabibu kapata pigo hakumjali.mama kamkosa na aliemganda kimapenzi jaman jaman Allah anatisha

  • @user-le9lb8oc8d
    @user-le9lb8oc8d Рік тому +13

    Subhanaallah huyu kijana kafa masikin ,Rip alfani jamn 😭😭😭😭

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 Рік тому +3

    Huyu mama alikuwa anamtetea sana mwanae badala ya kumuonya aache wizi

  • @wahidadangote9611
    @wahidadangote9611 Рік тому +6

    Binadamu sio kitu jamani Allah amor kauli thabit Alfani na amfanyie wepesi Zabibu na mama Alfani😭😭

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 Рік тому +2

    Mbona kama laana ya Mama zabibu alimuumiza sana mama aaake😪😪😪

  • @shamzone388
    @shamzone388 Рік тому +3

    Subhana allah
    Allah awajalie subra juu yenu
    Amin...
    Zabib ndugu yangu mafunzo hayo umepata umekosa mama na mwamme kwa wakati mmoja ...
    Tubia kwa mungu uwalee watt wako na ndugu zako

  • @fatmasinde8596
    @fatmasinde8596 Рік тому +1

    Ilo ni fundisho kwa watoto wasio sikiliza wazazi wao aya zabibu amekosa Mama amekosa Mume..,Mume nae kutomsikiliza mama ake na zahir yamemkuta na muonekano wake ulikua wa kihuni sana so lzm aonekane panya road but Pole Mama..

  • @juneydeatakujadaimondomar5549
    @juneydeatakujadaimondomar5549 Рік тому +7

    Tustaghfiru Kakazahir ila huyu mama si mtu mzuri Ila Alla yupo

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 Рік тому +1

    Halfani kafishwa 😭😭inalillah wainaillah rajiun poleni sana na msiba imeniumiza

  • @saadamohammed3426
    @saadamohammed3426 Рік тому +4

    Naombeni zabibu aende znbar asitake kummaliza maana mama zabibu hayuko radhi aende kwa mama khalfan

  • @carolynemkutano8086
    @carolynemkutano8086 Рік тому +2

    Pole sana zabibu, ni bora tu uenda ukaishi kwenu.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +6

    Inalillahi wainailahi rajuun. Subuhanallah😭😭😭mtihani polesana mama Alfani

  • @joharikitundu
    @joharikitundu Рік тому +4

    Ndio tujuye mungu fundi.Yote ni mifano yetu tukio hai

  • @elizaeliza4369
    @elizaeliza4369 Рік тому +5

    kichaa anachekesha kama hatoki kwenye familia yako ,poleni wapendwa

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 Рік тому +2

    Kama alikuwa Panya basi wanasumbua sana. Ila pole mama mtu

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 Рік тому +4

    SubhanaAllah 😭😭😭😭😭😭😭 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️yaan xiamin😭😭😭 Allah Amuondolee dhambi zake 🤗 atupe mwisho mwema🤗💔

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +2

    Mama zabibu kaondoka na Mtu wake sababu hakumtaka kwa maelezo kiwa ndie anaemuharibu mwanae jamani msisikie mtoto anatuma.

  • @janethmalaika5241
    @janethmalaika5241 Рік тому +3

    Kwanini huyu mama anamtaka sana zabibu kwa haraka haraka ukimuangalia hata sura ya uchungu hana au bado yupo na mshtuko haamini

    • @mariammbodze2649
      @mariammbodze2649 Рік тому

      Huyu mama ataka akae na zabibu ili amuuze kwa wanaume kwa manufaa yake binafsi juu ata mama zabibu alikua anajua hilo kua huyu mama anafanya zabibu udanguro ili wapate hela

    • @tatotato506
      @tatotato506 Рік тому +1

      @@mariammbodze2649 amuuze mkamwanae tena sio vizuri punguzeni zambi

  • @daynesakulu3169
    @daynesakulu3169 Рік тому +1

    Pole sana ,Alfani ame fariki ? Oh Mungu Tanzania ime kuwa Inchi ya mauwaji kama Congo,poleni Tanzania kwa kupata matatizo hiyo ya mauwaji ya mara kwa mara.

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 Рік тому +3

    Mmmmh jaman jaman, huyu kaka kaniuma Mimi😭😭😭 mweee kifo n fumbo Kwa kwel tujiandae hatujui siku Wala saa, ee Mungu nijarie mwisho mwema🙏🙏

  • @liliansafari3091
    @liliansafari3091 Рік тому +2

    Kwenye kumsaidia mama zabibu sijui mungu ndo anajua tukumbe mdogo ake zabibu ALISEMA hakuna aliyekuwa anakuja kumsaidia

  • @neemagowi7692
    @neemagowi7692 Рік тому +8

    lnalillah wainalillai rajiun mbele yake nyuma yetu kama siamini vile😭

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +2

    Innalillahi wa inna ilaiyhi Rajiuun 🤔 Hapa Kuna hikma Flani Yani hakuna Anae weza kujuwa na kuelewa ispokuwa wenye hikma Mungu analipa jamani 🤔 Astaghfiru Llah Subhanallah 😭😭 Zabibu Mungu anakuonesha kama yeye njo mwenye nguvu ulijuwa uta Enjoy kumbe Unabaki na majuto ee Mungu tujaalie mwisho mwema kwani Dunia si chochote 😐😐😧 Zabibu Rudi Kwa Allah 😭😭😭

    • @wemakalama6458
      @wemakalama6458 Рік тому

      Umeona mbali jirani

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 Рік тому

      @@wemakalama6458 Yani Zabibu alivyo mkejeli mama yak nakumuona si Wamaaana Leo sijuwi yupo muhali gani? Tenda wema nenda zako

  • @anisabodle1178
    @anisabodle1178 Рік тому +14

    May Allah grant him a place in jannah

  • @nooor1120
    @nooor1120 Рік тому +1

    Pole mama msiba wa mwana una uma sana ,mmungu akupe subira.

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому +3

    Innalillah wainnah illah lajoun.. Daaaaa zabibu mdogo wangu aise kiatu chako KINANIBANA MNO mama, mume

    • @leahvenas4140
      @leahvenas4140 Рік тому

      Hayo ni malipo maana malipo ni hapahapa duniani mlimtenda Sana mama zabibu

  • @ashantyjojo5298
    @ashantyjojo5298 Рік тому +2

    Dooooooo aiseee nimeumia sanaaaaa jaman dunia hiii jaman wazazi ni wakuwasikiliza sanaaa

  • @zuhurayassini2714
    @zuhurayassini2714 Рік тому +6

    Zabibu sasa huu ni muda wa kujifunza. Mama una na bwana una

  • @thaniyasimai
    @thaniyasimai Рік тому +2

    Ama kweli mama ni mama asiyemtunza mama Hana maana

  • @josephjohnmagesa8256
    @josephjohnmagesa8256 Рік тому +5

    Vijana acheni kutumia madawa yakulevya mnawatesa wazazi jamani 😭😭😭😭ona mama anaongea anaamajonzi

  • @chani_tayra_official1860
    @chani_tayra_official1860 Рік тому +2

    I'm sorry fr your lost but wew mama umemuumiza mama zabibu sanaaaaa amekufa kwa kinyongo chenu mungu sii asumani malipo tunalipa apa apa 😞😞😞😞

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 Рік тому

      Haswaaaaa malipo nihaphap akhera hesabu

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 Рік тому +4

    Jaman mbona ivi?😭😭😭😭Allah asaidie jaman ss wenye watoto wetu wa kiume😭😭😭

  • @rehemalontinaremysaleh7807
    @rehemalontinaremysaleh7807 Рік тому +1

    Mungu atuurumie sana na vizazi vyetu mama ni Mama jmn mmeniliza njamani ni huruma sana .R.I.P MAMA ZABIBU NA ALFA

  • @aishaomari944
    @aishaomari944 Рік тому +4

    Ya Allah tujaaliye vizaz vyema ewe molawang 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @wahidadangote9611
    @wahidadangote9611 Рік тому +1

    Innalilahi waina illahi rajiuni.Tumuogopeni Allah jamani .Mama Zabibu alienda lakn alikua na kinyongo na Zabibu Kwa sababu ya hii familia.Allah atupe mwisho mwema