MAMA MKWE WA ZABIBU ATEMA CHECHE |MWANANGU KAMKIMBIA MKE WAKE |ANA WANAUME WENGI ARUDISHE MAHARI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 757

  • @maximumtvonline
    @maximumtvonline  2 роки тому +14

    chat.whatsapp.com/FCA6SAgkoMrEGkjCjJupI8
    JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP KWAAJILI YA TEAM SAD MOMENTS

    • @teddymwageni1763
      @teddymwageni1763 2 роки тому +2

      Mtoto wa nyoka ni nyoka jamani zabibu wewe badilika

    • @allamki2661
      @allamki2661 2 роки тому +2

      Uyu mama ana mpenda mkwe wake ..uyu zabibu hapendeki

    • @allamki2661
      @allamki2661 2 роки тому +3

      Uyu mama zabibu sio mkweli....na ndo mmana na watoto wake wameharibika

    • @allamki2661
      @allamki2661 2 роки тому +2

      Uyu mama zabibi..akose kubembeleza kapata mtu atamsitiri mwanae

    • @chiyasaleh4151
      @chiyasaleh4151 2 роки тому +3

      @zahir mama zabibu ni mjeuri, yy mwenyewe kamshindwa mwanawe lkn amlaumu mama wa watu, lazima umrekebishem zabibu awache kiburi

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 2 роки тому +22

    Masha Allah mama mkwe anaongeya vizuri,
    Huyu mama ana roho nzuri lakini zabibu atashinda kama hatobadilika,zabibu mchafu wa tabia

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 роки тому +35

    Huyu mama nimempenda sana yuko straight fowerd si kama mamake zabibu anaficha ficha vitu...In Sha Allah mola atawafanyia wepesi mmy

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 2 роки тому +4

      hataa mama zabibu huwa amifichi bali simuongeaji sana nampenda sana mama zabibu nivile tu maisha ilimugeukia special vile alipo uwezi juwa anaumwa nini ana stress mob

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 роки тому +15

    Mama mkwe yupo muwazi angekua muongo asingeongea na mama zabibu yupo

  • @munamuna4621
    @munamuna4621 2 роки тому +26

    Mashaa Allah mama mkwe anajitabua nimpenda bure ilove 💖 ❤ 💕 ♥ 💗 💓 💖 ❤ 💕 ♥ 💗 💓 💖 ❤ 💕 ♥

  • @thimayrahmuhammad1465
    @thimayrahmuhammad1465 2 роки тому +1

    Zabibu na mamake wavivuu na jeuri saa hii mm naona Zahir pia awachane nao cz too much now una wasaidia na Bado wako pale pale Kuna watu Wana hitaji sanaaaa kuliko hao

  • @janethmichael6306
    @janethmichael6306 2 роки тому +5

    akuna mzazi asieweza kumtetea mwanae awa wote wawili watoto wao wanamakosa kwakweli hapa tupambane na mama happy na bibi mimi niko uko kwa sasa awa wanaleta umama na mwana all the way from sa

  • @mamyssaladou
    @mamyssaladou 2 роки тому +8

    Mama Zabibu anajeuri sana kaka Zahir achana na huyo mama Zabibu na Zabibu wake mama Zabibu anafikiri Zabibu akirudi nyumbani kwao ata pata misaada tumewachoka mama mukwe namuelewa vizuri sana

  • @masanjaabasi8970
    @masanjaabasi8970 2 роки тому +18

    Weeeeeee mama zabibu tupumzishane nendeni kijijini mkalime tumewachoka siwenyewe maisha etu rungu zahiri acha kuendekeza awa watu ohoooooooo

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому +3

      Wengine wamefanya dili nakuona sote tuliomo humu hatuna familia zetu .Wa kusaidiwa ni Wazee yatima na wagonjwa. Hawa wenye kubeba mimba kwa viranga vyao wapike mandazi walee watoto wao kwani wao wana ugonjwa?si ni wazima wasituchoshe Masanja Abasi nakubaliana na wewe

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому

      @@sukariyao6537 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @amockkalinga1520
    @amockkalinga1520 2 роки тому +24

    Ila huyu mama nimempenda hana hasira Yani mama Alfani mcheshi mwenyewe

  • @rahmashaban4024
    @rahmashaban4024 2 роки тому +12

    Masha Allah mama mkwe wa zabibu mstaarabu itabidi zabibu ajilekebishe tabia yake

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 роки тому +20

    Mama mkwe hongera Mungu akubariki

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 роки тому +8

    Mama zabibu acha usenge bhana mwanao katoroka mara nyingi usimbambikie kesi mama wawapi

  • @amockkalinga1520
    @amockkalinga1520 2 роки тому +16

    Msameheni tu huyo mama naona nihasira tu hata kama alitamka kweli kwa mtazamo wangu huyo mama anampenda zabibu Sana kama Ni kweli anavyojieleza ila na yeye mama zabibu asimtetee mwanaye kama kweli anatembea ucku usiku kama usiku una mambo mengi Sana sio vizuri

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 роки тому +34

    Usimtetee mama zabibu haelewiki kabisa hapo akili yake yote inawaza misaada ndio nilichogundua hapo

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому +10

      Sio kwa ubaya lakini kuchangia kwa mschana mzembe mimi binafsi naona nikutaniana .Kuchangia kwa mgonjwa Mzee sawa lakini sio kwa vijana wenye nguvu za kufanya kazi wanajibemenda ili watumie watu kuwachangia .Inabidi waachwe wajifunze na makosa wanayoyafanya hakuna dezo kuna wagonjwa wazee na mayatima hao wanastahili msaada sio hawa mwana kulitafuta.

    • @batulimabewa6953
      @batulimabewa6953 2 роки тому +3

      @@leokamil6284 Tena mwenye akili timamu na anafanya makusudi hilo mimi pia napinga kama wanaumwa sawa lakini huo sio ugonjwa apambane na mkwe wake.

    • @gloryisaack9133
      @gloryisaack9133 2 роки тому +1

      Kweli kabisa,,mara aseme na hela ingine ya dirishani,,,mvivu na mzembe,,

    • @mariamgodfrey53
      @mariamgodfrey53 2 роки тому

      Kweli kabisa

    • @neemakilomoni4258
      @neemakilomoni4258 2 роки тому

      Umeona eeeh

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 2 роки тому +34

    Nahisi anafanana na mama Tarik yule wa ukorofi😂😂

  • @aishaathman7340
    @aishaathman7340 2 роки тому +5

    Mama mkwe yuko sawa sana. Si rahisi mama apende mkaza mwana mvuta bangi namna hii. Mama zabibu kua mpole mwanayo hana adabu

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 2 роки тому +13

    Manshallah mamamkwe yuko vizuri 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @nabu.barbim9219
    @nabu.barbim9219 2 роки тому +4

    Yn mama mkweee wang mtarajiwa akiwa km iviii mbn nitakuwa kipipaaaa maan yupoo verynice uyu mama zabibuu afai tena kusaidiwa maan ajielewi

    • @nigamo9645
      @nigamo9645 2 роки тому +1

      Kwakweli ndugu yangu mama mkwe yuko vizuri

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 2 роки тому +8

    malezi ya mama zabibu mabovu sanaa ndomaana watoto wake wapo mateja anawadekeza ataki wasemwe mama mkwe nimemuelewa sana ana msimamo na maamuzi kama mzazi

    • @neemakilomoni4258
      @neemakilomoni4258 2 роки тому

      Sana mama zabibu anaongea pumba kweli hataki mtoto wake asomewe maovu yake

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 2 роки тому +5

    Mama zabibu yake yeye misaada itabidi apigwe chini aangalie maisha yake tu maana anainekana kilaza

  • @wardahrasheed3947
    @wardahrasheed3947 2 роки тому +11

    Mama zabibu hana akili uvivu ndio unamsumbua mama mkwe ni mzuri sana Masha Allah

    • @neemakilomoni4258
      @neemakilomoni4258 2 роки тому +1

      Sana yy ndio analea huo ujinga wa mwanae alafu analeta jeuri

  • @sarahadam4535
    @sarahadam4535 2 роки тому +21

    Ushauri wangu mama mkwe achana na zabibu atakuchokesha..muachie halfani mwenyewe balaa lao..na pia wakapime DNA

  • @rachaelmapenzi8747
    @rachaelmapenzi8747 2 роки тому +8

    Mam mkwe anaonge point sana

  • @yasintajohn1189
    @yasintajohn1189 2 роки тому +4

    Big up kw mama mkwe yuko vyema... sema mama dhabibu ana kiburi saana na ana uvivu flan hi khaaa... dhabibu mwenyewe shida tupu Mungu amteteee

  • @inongee1141
    @inongee1141 2 роки тому +33

    Nimempenda huyo mama mkwe. Nimuelewa zabibu kashindikana kwao lakini kwa mama mkwe katulia.

  • @jasminealmasy9666
    @jasminealmasy9666 2 роки тому +5

    Na kama alitamka hvo huy kutokan na hasira mtoto zabibu ajielewi na atazalishwa sanaaaa maisha yenyew ya shida mtu unashindwa kujielew

  • @stellah3844
    @stellah3844 2 роки тому +19

    Ila huyu mama mkwe anaongea vinzr sana hata kama Mama zabibu aache ujinga na aache kujilegeza afanye biashara anawajukuu saiv na halipi kodi na aache kumtetea mwanae sana la sivyo siku si nying utaskia anamimba tena,,,,,Kaka zahir Mama Zabibu Afanye biashara ili ajifunze la sivyo atatia huruma kila siku,,,Anamshinda hata bibi wa miaka 80.

    • @jazeerajuma4746
      @jazeerajuma4746 2 роки тому

      Sio mimba tuu dear ukimwi nao

    • @nyaligwanyamizi8210
      @nyaligwanyamizi8210 2 роки тому

      Kweli kabisa mama zabibu yabidi afungue macho achangamke ajitume abadlishe malezi kwa watoto ama Sivo wajukuu watazidi na maradhi pia while ye hawezi kujituma

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 роки тому +7

    Mama kutetea watoto sio vizuri, mama mkwe eti toka ampate zabibu avuti bangi, sura inaonyesha.

  • @askaounga6456
    @askaounga6456 2 роки тому +15

    Zabibu msichana mrembo kweli lakini tabia mbaya

  • @rukaiyaahmadsuleiman3951
    @rukaiyaahmadsuleiman3951 2 роки тому +5

    Mama Zabibu mkorofi ila mama mkwe yuko vizuri kwa uono wangu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +3

    Maashallah huyu mama mkwe abaonekana anaroho nzuri na anampenda kweri zabibu

  • @tumainnkone2413
    @tumainnkone2413 2 роки тому +2

    Zahiri please usimtete mama zabibu me naona anapenda tu kuendeleza misaada mama mkwe yupo vizuri sema zabibu hajatulia angekua mama mkwe mwingine asingemhudumia kwa hizo tabia

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 роки тому +12

    Zahr unazingua ujue unambeba mama zabibu sijapenda

  • @mamadiva9684
    @mamadiva9684 2 роки тому +18

    Mama mkwe mzuri tena sana. Mama zabibu yuko very lazy! Hamshughulikiii zabibu. Mama mkwe hongera. Zabibu naye hana adabu

  • @lathifaa860
    @lathifaa860 2 роки тому +20

    Mama mkwe Allah akulide una.upendo kabisa wape mam mkwe

  • @faridaalshabibi9226
    @faridaalshabibi9226 2 роки тому

    Nashukuru sana nilizaliwa kwenye dini ya kiisilamu huzai mpaka unaolewa sasa maisha gani hayo kuzaa bila kuolewa na binti anachanganya wanaume na shukuru mungu mimi muisilamu

  • @متنخ-ط3ه
    @متنخ-ط3ه 2 роки тому +6

    Mamamukwe uko Sahihi Sana Nimekipenda saana

  • @askaounga6456
    @askaounga6456 2 роки тому +17

    Uwezi peana mtoto kwa jambazi, Mama
    Mkwe mzuri kweli

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 роки тому +1

      Sn Tena yupo vizur ila mama zabibu ndo mpuuzi nawanae

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 2 роки тому +3

    mama mkwe ubarikiwe..jamani sipati Mama mkwe kama huyo😍😘😗😙

  • @imanifrancis8381
    @imanifrancis8381 2 роки тому +11

    Mama Zabibu hana msimamo wa kulea mtoto,amezubaa sana

  • @salmaalrawahy3326
    @salmaalrawahy3326 2 роки тому +10

    Kaka zaher nmecheka wallh watu wazima wapo kama watoto hvo wanavyobishana wallah sjawah but nampongeza mama fani Kwa kumtunza mkwewe jaman anaenda kumpikia kiugal kitepetepe na kithupu weee had raha

  • @khneesajumaa2052
    @khneesajumaa2052 2 роки тому +9

    Mama mkwe nimempenda sana lkn mama zabibu jilekebishe yajue mapungufu ya mwanao zabibu

  • @teehassan4731
    @teehassan4731 2 роки тому +4

    Mama zabibu daah umetia aibu tunavyokuchukulia na tabia yako Subhanallah inaonekana... Mpole lkn hufai fanya kazi saiv acha kutia huruma

  • @ibumajaamillah3195
    @ibumajaamillah3195 2 роки тому +1

    Mama Masha'Allah anakitambua Ana roho nzuri kwa yote anayoeleza ila mama zabibu hapan nahisi kama Ana makosa hata hap anambiwa wawekwee wamalize tofauti hataki

  • @halimamimarich3799
    @halimamimarich3799 2 роки тому +1

    MashaAllah uyu mum inlaw yuko vzr sana...I wsh ningepata mum inlw km we😢😢😢😢me vile nampnda mum inlw wngu ila sina bahti kwa kweli😭😭😭😭😭😭ila naomba Mungu amjlie iman anione km mwanae

    • @ishaomari2232
      @ishaomari2232 2 роки тому

      Inshaallah kipenzi usichoke kumuomba Mungu

    • @halimamimarich3799
      @halimamimarich3799 2 роки тому

      @@ishaomari2232 Amn thm Amn...swa dadngu kipnz cha mie

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 2 роки тому +3

    Mama zabibu unakosa apo kuwa mpole jamani zabibu akili Hana na mama zabibu kuwa mpole mwanae aelekezwe jamani uyu mama wa mume anaakili jamani anaonekana anahekima na akili jamani ila mama zabibu kaa na mwanao jamani mwambie maisha yalivo jamani

  • @zuuzuundotterz4032
    @zuuzuundotterz4032 2 роки тому +3

    zahir unamtetea sana mama zabibu wakati mama zabibu ajielewiiii alafu naisi msumali mmoja umetoka kichwani kwa mama zabibu

  • @hendrycomonsiwenga1128
    @hendrycomonsiwenga1128 2 роки тому +4

    Eti mwenyewe rasta zake! 😀😃😆😁😅🤣😂😄

  • @lathifaa860
    @lathifaa860 2 роки тому +8

    Mashallah mama mkwe Allah akulide

  • @lydiajohn8945
    @lydiajohn8945 2 роки тому

    Hongera mm mkwee upo vizuri

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 роки тому +1

    Naomba namba ya huyu mama nimempenda

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 2 роки тому +7

    Mama Zabibu acha kiburi mama yetu, Umewalea wtt vibaya kwa ufupi wtt wako wamejilea vile wanavyotaka, Zabibu kaharibika na bange na malezi.

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 2 роки тому +2

    Nimemuelewa sn mama mke wallah. Shida iko kwazabibu jmn uyu mtt sijui ananini mbona anasura yaupole mtaratibu ichi kiutundu jmn anatowa wapi yan zabibu jmn🤦‍♂️🤦‍♂️😥😥

  • @hidayamwinyi974
    @hidayamwinyi974 2 роки тому +11

    Mmh eti mzazi huwezi kumkataza mwanao kama anaishi na mwanamke ..wee mama muogope Mungu kemea zinaa na wasiofunga ndoa hawapaswi kuitana mke na meme

    • @nabu.barbim9219
      @nabu.barbim9219 2 роки тому +5

      Ndoman kasemaa alimwambiaa katoe baruaa kwaooo mama amekemeaa vizur t angeekuwa mtt wakikee kwel angeemkany lkn wakiumee uwezi mchungaa

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 2 роки тому

      @@nabu.barbim9219, Sikm haezi kumchunga, wazee waliowengi wanaona fakhari wtto wao wakiume kuwaona na w'ke.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 2 роки тому

      Hidaya Mwinyi. Mm ndio nawashangaa hapa mijitu mizima baada ya kukataza wtto wao ndio wameshikilia mkewe, mkwe wangu, mawifi zake, shemegi. Ujinga mtupu!

  • @sylviermuhonjah8411
    @sylviermuhonjah8411 2 роки тому +9

    Zabibu na family yake sasa hivi wana nyumba mengine wajitegemee Kuna watu wengi huko nnje wataka misaada.

    • @bimkubwaali1605
      @bimkubwaali1605 2 роки тому +1

      kabisa tena watukome wazaliane hukko watushughulishe na sie washatulia tudiscuss mambo ya maana tushamalizana nao. wapigane tu. wagonjwa wengi wanahitaji misaada yetu.

    • @mwanakhatib5825
      @mwanakhatib5825 2 роки тому

      @@bimkubwaali1605 huyu mama zabibu kifupi hawataki wanajuwa zahiri utawasaidia lakini ipo siku atawakumbukat zabibu ni muhuni sana

  • @salmaamiry7674
    @salmaamiry7674 2 роки тому +2

    Mama zabibu muogope mungu zabibu anautoto gani mpk atoroshwe khaa kaa na mwanao vizuri laasivyo atabeba mimba tena

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 2 роки тому +4

    Kaka zahiri wewe ni mtu mzima kama uyo mama alisema iyo mimba mpe chale ni kwasababu ya hasira ata Mimi ningesema bwana iyo familiya ya zabibu ni kichomi jamani kunavitu apo avipo sawa ila hii yote ni ugumu wa maisha wenzetu wa masaki awana migogoro ya stail hii jamani

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 2 роки тому +3

    Ngoja Azae tu hyo zabibu mtamjuwa htawakimbia hyo msichana muongo Sana na mama zabibu muongo Sana anamalezi mazuri kaka Zahir hyo mama zabibu Hana penda msaada sio kijituma.

    • @tatotato506
      @tatotato506 2 роки тому

      Kabisa tena anajua tu atapata msaada ivi ajiuliziatasaidiwa adi lini

  • @veradiana6294
    @veradiana6294 2 роки тому +27

    Mama Mkwe wetu ni mpole

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 2 роки тому +3

    Mama zabibu anamatatizo zahir huyo mkwe kajieleza vizuri.. Unalea mamtatizo kuwaendekeza mama zabibu lea family yko mkwe Ananmapenzi na zabibu
    Hakuna michango kila siku . Inaudhi hata kma ni wewe hali ya mama mkwe pia duni zahir muelewe huyo mama

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 2 роки тому +12

    Mtoto asikii huyu zabibu jamani loh kuzaa sio kupata jamani

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 2 роки тому +2

    Mnmhu Astaghfirullah laadhwim Allahu yaalam 👏

  • @hancymasudi8415
    @hancymasudi8415 2 роки тому +1

    Kak dhaili mungu akutangulie akupemaisha malef

  • @fsaad5116
    @fsaad5116 2 роки тому +6

    Jamani huyo zabibu hajatulia. Jamani mbona sielewi. Mtu akichubwa ndio huwa mke . Siwafunge doa halali . Dhambi tupu

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 роки тому +5

    Zabibu mwenye rasta zake 😃😃😃😃😂😂😂😂😂 masha Allah mama kapendwa sna...

  • @inongee1141
    @inongee1141 2 роки тому +7

    Mama zabibu aache kuwekelea vinyongo kumbuka huyo zabibu alivyo kuwa anamsumbua, ni bora huyo mama mkwe anakusaidia. Huyo zabibu alikuwa hata anakupiga leo unajisahau mmmh

    • @masanjaabasi8970
      @masanjaabasi8970 2 роки тому

      Nashangaa 🤣🤣🤣 kwa zabibu gani?😏😏

  • @فاطمةسعيد-ث2ق
    @فاطمةسعيد-ث2ق 2 роки тому +5

    Nimempenda mama mkwe 😍😍😍😍

  • @sas7728
    @sas7728 2 роки тому +16

    Mashallah mashallah mama mzuri😍😍

  • @rachaelmapenzi8747
    @rachaelmapenzi8747 2 роки тому +3

    Umleavyo ndivyo akuavyo uyo mama zabibu anafichaficha ya mwanae haongei ukweli

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 2 роки тому +7

    basi wewe mama ndio pekee unaweza mufanya zabibu akabadilika hongera sana mungu aluongezee maisha marefu nimekuelewa nampenda sana mama zabibu ila awache stress na umujuwe mungu 🙏🙏🙏

  • @nancyhassan8290
    @nancyhassan8290 2 роки тому +1

    Alafu huyu mama mkwe mkimuangalia jamani anafanana na nani,, 🤔na yule mama alotrend na mbona haongei😏, mbona hacheki,,🤣, ukorofiiiiii 😜.....

  • @deborahrehema5819
    @deborahrehema5819 2 роки тому +19

    Nilikuwa naomba nimuona mamake mkwe
    Duuh mama support huyo binti asije regret for the rest of her life
    Zabi congratulations 🥳 sana siwezi ku judge ila kukuombea tu hii curse isiendelee

    • @luluamin1388
      @luluamin1388 2 роки тому

      Deborah Rehema there's no curse here. You talk of not judging yet you are mentioning curses. So vizuri kusema familia ya watu iko na lana. Umechunguza ya kwako?

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 роки тому +14

    Zabibu anamkubali sana Charles na inawezekana hiyo mimba pia ya huyo huyo Charles kazi yake ana wapakazia watu wengine

    • @daathuma7843
      @daathuma7843 2 роки тому +3

      Kwa sababu mwenyewe pia alichanganyikiwa hajui ujauzito una miezi mingapi huenda ikawa ni Charle ndio mwenye mtt

    • @roseatieno6691
      @roseatieno6691 2 роки тому +1

      Imeona eee ? Zabibu huyo jamani

    • @irenemwakalinga4350
      @irenemwakalinga4350 2 роки тому

      Mwanamke akikupenda anaweza kukupa mtoto hata sio wako na asipokupenda anaweza kukunyima mtoto wako pia

    • @fighterm7708
      @fighterm7708 2 роки тому

      @@irenemwakalinga4350 kukuka mtoto sio wako huo ni upendo ?

  • @nasiraidid5861
    @nasiraidid5861 2 роки тому +2

    Harafu anamfoss mtu kukubali kitu lol! Kaazi kweli kweli lakini ndio waandishi wa habari wa kiafrika

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 2 роки тому +2

    Zabibu anaonekana mama huruma jamani yaani vovote sawa tu yaani awezi kujisimamia kabisa yaani anatakiwa apate mwanaume shehe aliyemzidi umri yaani

  • @joycenicodemus.2232
    @joycenicodemus.2232 2 роки тому +1

    Duuh 😲😲nilijua Mama ana miaka 60 kumbe ana miaka 40 maisha magumu Sana kweli

  • @winnermariah
    @winnermariah 2 роки тому +2

    MAMA MKWE YUKO STRAIGHT ILA Zahir unamtetea Ma Zabibu, afu Ma Mkwe Ni Mama Bora jamani

  • @mariampascol2204
    @mariampascol2204 2 роки тому +2

    Zahir usimtetee mama zabibu ajielewi ma mkwe ana mpenda zabibu ndo maana ana mkaripia hakuna mtu ana penda mkwewe achukuliwe na mwanaume tofauti na mwanae bwana mama zazibu ajielewi

  • @ashfajuma8170
    @ashfajuma8170 2 роки тому +6

    Leo mkwe wake zababu kanifurahisha pasday tena anaitamka kwa vishindo

  • @fadhilarashidi5184
    @fadhilarashidi5184 2 роки тому

    Huku kuwasaidia kunawatia kiburi mumejenga nyumba wachieni maisha yao

  • @asmaathmani440
    @asmaathmani440 2 роки тому +3

    Mama Zabib hajui kulea watoto ndomana wana muherereza shaur yake Zabib atamjazia dunia hapo

  • @mishysuyya9821
    @mishysuyya9821 2 роки тому +3

    Zabibu hana adabu mama ake ndio anamlea vibaya

  • @dottojafet9153
    @dottojafet9153 2 роки тому +4

    Kaka zahir,achana na Zabibu huyo alishakubuhu,saidia watu wengine wenye uhitaji,huyo tumemchoka.

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 2 роки тому +1

    Mama mkwe Mungu akutunze maneno yako yana hekima na.busara ndani yake nimekupenda bure.

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 2 роки тому +3

    Mama Zabibu amechoka halafu ana stress sana mchukulieni tu ,zabibu amemchokesha mamaake

  • @marianakapeller4699
    @marianakapeller4699 2 роки тому +3

    Tuwe wa haki mama zabibu hasira za zabibu za umalaya , tabia zake mbaya anataka kummalizia mama halfani, tumekua na mama zabibu kwa muda jamani hata kama tunampenda tuwe wakweli wote ni watanzania, mama zabibu ana kinyongo na kiburi kama mwanawe tu

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому +8

    Hy atojua baba wa mtoto maana anawachanganya wanaume kwa wkt mmoja

  • @aishaathman7340
    @aishaathman7340 2 роки тому +4

    We mama zabibu wewe usilete ujuaji. Zabibu alikushinda kitambo hadi ukawa umemuachia zahir aongee naye. Leo hii wamtetea nini.

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 роки тому

      Ningempata mama mkwe kama uyu nahisi na mlangoni nisengepita🤣🤣maana yuko peace sn mashallah Allah akutuze mama yangu

  • @halimamwai7835
    @halimamwai7835 2 роки тому

    Mwenyezi Mungu atupe vizazi vyema InshaAllah

  • @beatricenjau2792
    @beatricenjau2792 2 роки тому +3

    Mama Zabibu! you know clearly your daughter is a trouble maker; insteady of patching up with her mother-in-law to take off your burden, you are bringing a commotion. Mother-in-law is so understanding.

    • @nyaligwanyamizi8210
      @nyaligwanyamizi8210 2 роки тому

      It's a reality. I support zabibu's mother in law. She also very hard working. She even has a daughter in secondary school which zabibu's mom never tried that because she is lazy.

  • @safaasaid7514
    @safaasaid7514 2 роки тому +14

    Huyu mama zabibu ameoza ibadan haaa mwanao amezaa hujapika hata uji wewe mama ukoje

  • @jasminealmasy9666
    @jasminealmasy9666 2 роки тому +1

    Huy mam mkwe nmemuelew

  • @slicehamfrey3504
    @slicehamfrey3504 2 роки тому

    Mhhhh pole mama wenimuvumilivu

  • @ms.thomas2888
    @ms.thomas2888 2 роки тому +4

    Mama Mkwe tumekuelewa Mama Zabibu jitume Usitegemee misaada tuuu
    Zabibu ni tatizo

    • @ms.thomas2888
      @ms.thomas2888 2 роки тому

      Maximum achaneni na Zabibu na familia yake.. Tusaidie wenye uhitaji
      Hawa wamejengewa nyumba hawajisogezi
      Mnawalea waacheni
      Wameshindikana

  • @ashamwalabu2998
    @ashamwalabu2998 2 роки тому +2

    Sokweli uyo mm zabibu nae naipenda kumtetea mwanae

  • @lynalyna3968
    @lynalyna3968 2 роки тому +1

    Watu wahache kuchanga hyu mama zabibu ni ovyooo full stop,kashazoea zahiri atamuoji wtu watamuonea huruma,Mama mkwe konki

  • @azizaabeid2055
    @azizaabeid2055 2 роки тому +3

    Huyu mama mkwe anaongea sana hapo hajulikani muongo nani mkweli nani mungu tuongolee watt wetu na zabibu ipo siku atakuwa mtt mwema kwa uwezo wa mungu siwezi kuongea sana kuhusu huyu zabibu zaid yakumuombea Dua na kuwaombea wanangu ulezi mgumu hakuna anaeweza kulea tuwaombeeni sana watt Dua na kuwatolea sadaka ipo siku wataacha yote haya kwa uwezo wa mungu

  • @lissadee9009
    @lissadee9009 2 роки тому

    Uyu mama zabibu uyu angekuwa na hela sijui ingekuaje 🙌

  • @swaumuramadhani7889
    @swaumuramadhani7889 2 роки тому +2

    Pasideyi, 😅😅😅😅ila mama nimempenda bure