#TAZAMAl

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024
  • Hii ni taarifa ya shauri la maombi madogo ya jinai namba 1/2022 yaliyoletwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na Mleta Maombi hayo Wakili Peter Michael Madeleka dhidi ya Jamhuri maombi ambayo yanatokana na kesi uhujumu uchumi namba 40/2020 iliyoamuliwa kwa njia ya makubaliano Kati ya mshtakiwa na Mwendesha Mashtaka wa Serikali nje ya mahakama na kupelekea Wakili Peter Madeleka kutoa kiasi cha Tsh Mil 2 juu ya Makubaliano hayo na faini ya laki mbili kutoka kwa Mahakama.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

КОМЕНТАРІ • 3

  • @AloisMosha-uv2fu
    @AloisMosha-uv2fu 10 місяців тому

    Madeleka ndo wewe unajua Sheria Sasa ndomimi Sheria sijui mungu tuongonze

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 Рік тому

    Asante.kaka umeeleza bar sana

    • @AloisMosha-uv2fu
      @AloisMosha-uv2fu 10 місяців тому

      Hivi madeleka natumia bando langu kukusikiliza Sasa wewe unajua vifungu Mimi Sasa siniombe mnipunguzie azabu