Nilianza 2024 na uzuni baada ya mtumishi fulani kunilaghai sikuamini aki... nilitumia juhudi zangu anilipe wapi😢mwaka ukawa wa mawazo tupu....Ila ukiisha nimebarikiwa yote yalikuwa tamanio la mayo wangu Mungu ametimiza niko hapa kushukuru... Kutoka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 kazi nzuri sana
Hakika tukitafakari ukuu wa Mungu tangu mwaka ulipoanza January mpaka kufikia leo ni Neema yake tu imetubeba...acha tumshukuru Mungu kwa yote kwan hata tulivyokuwa January sivyo tulivyo sasa ❤❤🙏🙏🙏
Nimekuja kushukuru kwa Mungu namimi kwa kutimiza lengo langu moja la mwaka mzima kukutana na wewe kaka 🙏🙏 asante kwa kunifanyia kazi nzuri naipenda BUTATI MUSIC,,🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimefikiria jinsi mwaka ulivyoanza kwa changamoto za msiba na hatua nilizopitia kupata amani moyoni baada ya huzuni na vile unakamilika kwa baraka na furaha, kweli ni sifa na Shukrani tunashukuru Mungu Baba Ahsante. Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu🙏💝🎈
hongera sana Mtumishi wa Mungu ni muda muafaka wa kumshukuru Mungu kwa Mengi aliyotutendea hakika hatuna cha kumlipa Mungu atupe Neema tu ya kuendelea kumtumikia kwa uaminifu.
Thanks brother for your praises for me I believe my life will change soon hata ingawa familia yangu ilinikataa nikaamua kuja Saudi Arabia naye Mungu akanipa familia ya wakristo from Lebanon 🙏🙏🙏
Amen Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa wimbo huu mzuri ambao umekuja kwa majira haya ya mwisho wa mwaka hakika hatunabudi kumshukuru Mungu kwaajili ya yote aliotutendea

Amen hakika Mungu ni mwema sana
Waoo hongera kwa ushindi
Hakika MUNGU wangu asante🙏🙏🙏🙏 ujumbe mzuri sana ubarikiwe kwa mafunuo
Amen
Nimekuja kushukuru kweli shukrani zote ni kwa Mungu,hongera sana🎉🎉🎉
Ninashukuru sana MUNGU navukia mwaka nikiwa outside my country na hakika ni yeye aliniwezesha kufika huku asante sana MUNGU wangu
Amejibu Maombi yangu!Nasema asante Mungu wangu❤❤❤❤❤
Wimbo umeuleta wakati muafaka.mwisho wa mwaka tunamshukuru Mungu.hakika barikiwa mtumishi
Hakika tukitafakari ukuu wa Mungu tangu mwaka ulipoanza January mpaka kufikia leo ni Neema yake tu imetubeba...acha tumshukuru Mungu kwa yote kwan hata tulivyokuwa January sivyo tulivyo sasa ❤❤🙏🙏🙏
nimekuja kushukuru kiukwer nyimbo nzur sanaa na imeturia mnooo
Aniseti Butati wimbo Huu ni 🔥 fire
By @Kassiano kassebo
Apo sina cha kukudai umefanya so wonderful🔥🔥🔥💯
Nimekuja kushukuru kwa Mungu namimi kwa kutimiza lengo langu moja la mwaka mzima kukutana na wewe kaka 🙏🙏 asante kwa kunifanyia kazi nzuri naipenda BUTATI MUSIC,,🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amen Asante karibu tena
Nice song..nmekuja kushukuru Baba ASANTE
Imana ishimwe chane mwene wachu imana ilakoze chane
Kakika ni Mungu tu Leo KUWEPO hapa
Wooooow ni wimbo wa baraka sana 🎉🎉🎉
Ubarikiwe sanaaa mpendwa, Mungu awe nawe siku zoote mwanafunzi wangu😂
Mungu ni mwema sana 🙏 🙏 ASANTE YESU
Kazi njema... Barikiwa sana
Nimefikiria jinsi mwaka ulivyoanza kwa changamoto za msiba na hatua nilizopitia kupata amani moyoni baada ya huzuni na vile unakamilika kwa baraka na furaha, kweli ni sifa na Shukrani tunashukuru Mungu Baba Ahsante. Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu🙏💝🎈
Amen utukufu kwa Yesu 🙌🙌
Amejibu kwa wakati wake ulio sahihi🙏🙏🙏 from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kaka mungu akubariki sana hit song inabariki sana mdogi wako nakukubali sana mungu aendelee kukutumia sana kaka
Kazi Bomba sana mwana you have never disappoint at all.
Hakika katenda mengi mno ktk maisha yetu na familia zetu. Baba asante sana tunakushukuru mno
🎉🎉
Barikiwa zaidi aniset 🔥🔥🔥🔥 Amina Sana
🎉🎉
Niliomba umejibu, baba asante.....waooh good song, good music...Congole kaka
Hey madam Oliver
Wimbo mzuri kabisa!
hongera sana Mtumishi wa Mungu ni muda muafaka wa kumshukuru Mungu kwa Mengi aliyotutendea hakika hatuna cha kumlipa Mungu atupe Neema tu ya kuendelea kumtumikia kwa uaminifu.
Pastor simama nami Kwa maombi
Iko safiii kaka Mungu aendelee kukubariki tuko pamoja🙏🙏🙏
Amen amen
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Hallelujah 🔥 God has passed with me many difficult.hrt break.but in Christ Jesus I'm healed and i moved forward
Amen amen 🙌🙌🙌
Ongera kwako majina🎉
Nairobi imetufikia be blessed n kip it up
Msanii namba 1 na nyimbo namba 1
CEO asante kwa kuchagua BUTAT MUSIC PRODUCTION ukituchagua umechagua ubora😊😊😊
😂sawa
Nabarikiwa sana Aniseti. Wewe upungue. Yesu aongezeke sana
Amen amen
Mwana chini ya Bishop Jonas Obonyo ninashukuru # Kenya
Nimekuwa naishuga kwahamu sanaaaaaa
Mungu akubariki Sana kwa KAZI Nzuri hakika ni lazima nimshukuru huyu Yesu
Amen amen asante
Hakika wewe ni mtumishi wa BWANA
Hua nasikia upako nikisikia nyimbo zako one Roho mtakatifu alishuka ghafla ❤
Amen utukufu kwa Yesu
Nimekuja kushukuru kwa uloyatenda huu mwaka, kwangu ni miujiza baba Asante
Thanks brother for your praises for me I believe my life will change soon hata ingawa familia yangu ilinikataa nikaamua kuja Saudi Arabia naye Mungu akanipa familia ya wakristo from Lebanon 🙏🙏🙏
You are blessed my dear ,,may Almighty GOD be with you AMEN
Good job bro👏👏👏👏
HONGERA SANA MKUU!! UMEFANYA VIZURI MNO MUNGU AENDELEE KUKUPA MAFUTA NA KIBALI🎉
🔥 🎉 nakubali kabisa....Kenya tumeipata vizuri kabisa 👏 👏 👏
Ubarikiwe safi sana
Hakika ni wimbo nzuri, ubarikiwe saaana mtumishi.
🎉🎉 barikiwa SANA mtumishi WA MUNGU 🙏
Amen Asante sana
Be blessed may God take u higher n higher a good song n blessing one kip it up bro
Amen thank you 🙏
Ni wakati sahihi kabisa wa Kushukuru kwa yale ametenda Yesu ♥️🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kabisa
Barikiwa sana mtumishi
🎉🎉 kazi nzuriiii sana 🎉 Sema Nini Bro, hao wadada wano kuimbiaga corres uwe unawapa zawadi nzuriiii Sanaa, maana Wanajua Hadi wanakera 🎉🎉 Kiufupi Nawakubaliiii 💯💯💥🔥🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Asante sana
Mungu akulinde mtumish unanibarik sana na nyimbo zako🤗🔥🔥🔥
Amen amen
Very very good song mtumishi wa Yesu ,natamani siku Moja uimbe verse kwa kutumia sauti Moja you have a good voice
Amen zipo nyingi fuatilia
@anisetbutati amen amen mtumishi
Amina baba mungu azidi kukuinua zaidi ya hapo akupeleke viwango vingine, huna baya mtumishi wa mungu
Amen amen
Mungu wangu nakushukuru sana
Good job 👍
Be blessed 🙏🙏
Amen Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa wimbo huu mzuri ambao umekuja kwa majira haya ya mwisho wa mwaka hakika hatunabudi kumshukuru Mungu kwaajili ya yote aliotutendea
Amen amen asante
Kushukuru Ni Jambo muhimu,tunashukuru Mungu🙏🙏
Sana
Nime kuja KUSHUKULU baba Asantee Kaz ya baraka sana hv ni kweli 🔥
Amen amen
I agree with you dear artist and especially your gratitude to God. We say thank you very much to the Eternal for divine protection.
Amen
Powerful song 🙌🙌🙌
Nice vocal, video and message waooooo
Asante kwa wimbo wa hukrani nasi imekuwa shukrani yetu sote kwani amejibu❤
Kushukuru ni jambo njema ✅
Kabisa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hakika nimekuja kushukuru
Niliomba umejibu 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen amen
Kazi nzuri sana🎉🎉🎉
Good job all praise to lord 🥰🥰🌹
Ameni utukufu kwa YESU 🙌🙌🙌🙌
Amen amen
Hakika hakika
Tumekuja kushukuru Mungu aliyoyafanya🎉🎉🎉❤❤
Kabisa
@anisetbutati Barikiwa San mtumish wa Mungu kwa ujumbe mzuri
Powerful
Ninashukuru pamoja nawe
Amen amen
From Malawi I'm so blessed with this man his songs always inspire me greatly.
Thank you so much,🙏
Barikiwa Mtumishi.
Waaaaaaaah Kaka Hii Ni Moto Sanaaaaaaaa❤❤❤❤❤
Asante sana
Baba nashukuru Kwa Kila ulilonitendea,naomba huduma na mapato mapya mwaka mpya🙏🙏
Amen imekua hivyo
Nashukulu mungu🙏🙏🙏umefanya mungu nasem asante🙏🙏🙏🙏😢😢
Amen amen
Amina kazi nzuri brother nimekuja kushukuru
Asante sana
Kzi nzuri mno mno kaka...
Hongera mtumishi mungu azidi kukuinua
Amen Asante sana
Asante Yesu 🙏
Wooow GOD BLESS YOU ANISET BUTATI
Amen thank you
Ameen Ameen ubarikiwe sana sana
❤❤❤❤❤❤ asante baba
Utukufu kwa Yesu
Barbara kabisa msaani wangu nami najiunga nashkrani zako
Amen amen
Kazi nzuri sana kaka yangu Mungu akuinue zaidi.
Amen amen
Mungu akubariki wimbo unabariki saana ❤❤❤❤❤❤
Amen amen
Nimekuja kushukuru mungu Amina kubwa sana
Amen amen
Kazi njeema
Nice song kaka 🎉🎉🎉🎉🎉
From #Claudeofficial
ameni kazi nzur sana mtumishi
Amen amen
AMEEEEEN 🙏 yatupasa tumshukuru MUNGU 🧎🧎🧎
Ubarikiwe kwa kushukuru Mungu atende makuu
Amen amen
MUNGU akubariki sana kaka wimbo mzuri
Amen amen
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Amen amen
Great job . God bless you
Barikiwa sana
Mtumishi wa mungu nyimbo nzur sana
Asante sana
Tunayo Kila sababu ya kuimba wimbo huu hakika tuna Kila sababu ya kumshukru MUNGU
Ata na mie nimeshukuru kwa kazi njema kaka yangu
Amen amen
Balikiwa sana ujumbe umefika kwa wakati
Tunayo sababu ya kumshukuru Mungu
Kabisa 🙏🙏
Asante Yesu kufika Leo ni Neema ninayo Kila sababu ya Kushukuru
Hakika ni neema
Asante Mungu amejibu maombi yangu
Kazi nzuri saana kwaajili ya shukran
Amen amen