Dr.Ipyana UMEKUA NAMI // NIMERUDI KUSHUKURU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 433

  • @faithwairimu6373
    @faithwairimu6373 18 годин тому +127

    Wakenya wenzangu MPO? gonga like tukisonga, Nani ameomba Kwa Siri kama Mimi? nimepewa magonjwa yote nikiwa mgonjwa lakini hajaruhusu nikufe, I thank the almighty

    • @themarajungle1982
      @themarajungle1982 16 годин тому +1

      I’m here this man is a blessing

    • @faithwairimu6373
      @faithwairimu6373 16 годин тому

      @@themarajungle1982 he rily is, maombi Ya Siri ameyajibu kwangu huyu mungu

    • @Lavi_Grace
      @Lavi_Grace 12 годин тому

      Tupo
      Such a powerful song ❤

    • @faithwairimu6373
      @faithwairimu6373 12 годин тому

      @@Lavi_Grace huyu mungu Ni mwaminifu hawezi tuacha tuaibike, Yan ata siamini ameniondolea magonjwa sugu, nilikua Sina tumaini, nimepewa majibu ju mwili umeisha, yangu ilikua kuomba Kwa Siri lakini saii ameniponya Kwa wazi, tumaini amenipatia tele, Nina kila sababu yakumshkuru

    • @patiencedali2721
      @patiencedali2721 3 години тому

      We can't miss Dr Ipyana wow 🔥

  • @DainessBilegeya
    @DainessBilegeya 16 годин тому +84

    Unasoma comment hii naomba Mungu akufikishee 2025 ukiwa salama😢

  • @dianadidi6037
    @dianadidi6037 18 годин тому +52

    Wekenya mko
    Let's thank God ijakua raisi bali nikwa nehema yake may God have mercy on us in Jesus
    Love Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 dear God remember Kenya for mercy

  • @beckiechepsiror8028
    @beckiechepsiror8028 17 годин тому +45

    This is a testimony,I started 2024 on a rough point, I had no job and our dad battling cancer, a series of chemotherapies but today I testify that the Lord has walked with us.Granted me a job and our dad is doing very well. God has nullified all the negative reports we got from the oncologist.

  • @eagtnkuhunguccentre
    @eagtnkuhunguccentre Годину тому +1

    Nimebarikiwa sana na huu wimbo

  • @chrismfalumesupernatural3346
    @chrismfalumesupernatural3346 19 годин тому +65

    More love from Burundi 🇧🇮 nipeni like hapa🎉 mtu wa kwanza kutoka Burundi 🎉🎉

  • @dennismakatian
    @dennismakatian Годину тому +2

    Even before I finish watching and listening to Dr ipyana's worship I give likes to them, because he comes out with true worship and praise 🙌🏻

  • @JastFinancial02
    @JastFinancial02 18 годин тому +41

    Mnaosikiliza huu wimbo mzur like hapa 🤲🙏

  • @silviagustavo416
    @silviagustavo416 19 годин тому +16

    Mungu akubariki #DrIpyana nyimbo zako ni IBADA 🙏

  • @presenternoah
    @presenternoah 19 годин тому +16

    Last Friday of 2024,, Umekua nami Umetembea nami,Nimerudi kushukuru MUNGU wangu 🔥🙌🏽

  • @LilianMassaga-kn7fh
    @LilianMassaga-kn7fh 12 годин тому +16

    This year was a tough one,was engaged in a car accident and come out alive with no injuries,few months later,my parents house burnt,i thought i had friends but i was left alone,my landlord asked for the rent the same day that the house got burnt,my husband was taking his masters and things were tough,my daughter needed school fees,i had no one to talk to people thought i would ask them for money na kila mtu alikaa kimya,i turned to God,i told God my worst fears and disappointment,i told him i was alone,He came through,i don't know how He did it but everything passed,nimerudi kushukuru,umekua nami,umetembea namii🙌🙌where would be without you Jesus😊

    • @tafaemachimbiz6276
      @tafaemachimbiz6276 3 години тому

      Hallelujah Hallelujah Hallelujah 🎉🎉🎉🎉Praise God

    • @daphinenjoki5175
      @daphinenjoki5175 16 хвилин тому +1

      Glory to God🥹🥹..He is all we have..And impossibilities he makes them possible .I thank God with you

    • @LilianMassaga-kn7fh
      @LilianMassaga-kn7fh 9 хвилин тому

      @@daphinenjoki5175 I'm in profound gratitude 😊

  • @tafaemachimbiz6276
    @tafaemachimbiz6276 3 години тому +3

    Anyone else from the UK watching and being blessed by this ministry?

  • @Stevensele
    @Stevensele 18 годин тому +19

    Nimeomba sana Kwa Siri machozi😭😭😭 mengi sirini Leo umekuja adharani Umenijibu Kwa Ujasiri
    Nimerudi kushukuru 🙏🙏🙏❤️❤️

  • @ElishaJastin
    @ElishaJastin 18 годин тому +13

    jina la bwana lihimidiwe hakika amekua nami tangia kaniumba mpaka leo yuko pamoja nami 🙏🙏🙏🙏

  • @ezrayavanijosias
    @ezrayavanijosias Годину тому

    Asante yesu kwa uliyonitendea mwaka huu umenisaidia katika mengi. Hata ammbayo hayajakamilika nakushukuru kwakunipa nguvu ya kuyaanza, yatakamilika kwa nguvu zako na kwa wakati wako ulio sahihi.

  • @SarahClement-iu3pb
    @SarahClement-iu3pb 19 годин тому +14

    Mungu azidi kukuinua mtumishi 🙏🔥

  • @TheRufasFamilyKenyaOfficial
    @TheRufasFamilyKenyaOfficial 3 години тому +1

    ALL GLORY TO GOD

  • @sharonachieng7897
    @sharonachieng7897 19 годин тому +10

    Umekuwa na mimi
    Umetembea na mimi Mungu wangu
    Even though this year has been tough
    God has been faithful❤🙏

  • @polinesnyaboke6522
    @polinesnyaboke6522 6 годин тому

    Thanking God for all seasons.it is well.

  • @YonahJoseph-w6l
    @YonahJoseph-w6l 19 годин тому +9

    Hakika umekuwa nami kwa mwaka 2024 naamini utakuwa nami mwaka 2025.... Asante Yesuu

  • @kisakim5660
    @kisakim5660 15 годин тому +9

    Haijalishi 2024 ilikuwaje kwangu Mungu umenitendea mengi lakini bado umenipa pumzi hadi muda huu sikustahili kabisa NIMERUDI KUSHUKURU MUNGU WANGU🙌🙌🙌

  • @gracehendrish5314
    @gracehendrish5314 18 годин тому +11

    Mungu wanguu

  • @mariamassawe9760
    @mariamassawe9760 2 години тому

    Dear GOD! Hakika sifa na utukufu pokea BABA moyo wangu umejawa na SHUKURANI 😌UMENIPONYA baada ya kuteseka na ugonjwa usiyojulikana for 3years wengi walisema mwaka huu ni mwisho sintakuwa mzima lakini MUNGU hukuacha kuwa nami NAKUSHUKURU sana kwa UPONYAJI BABA umeniepusha na ile ajali nikatoka mzima bila kuchubuka popote hakika wewe ni mwema kwangu umenipa nafasi YESU NAKUSHUKURU haya yote umetendena kwa UPENDO🙏🏾NIMERUDI MWANAO KUKUSHUKURU NASEMA ASANTE MUNGU WANGU🙏🏾

  • @ipyanamwaisekwa8209
    @ipyanamwaisekwa8209 19 годин тому +9

    Nawezaje kunyamaza kwa yote umefanya, Umefanya hili, umefanya lile, Umekuwa nami, umeenda nami 2024, Nimerudi kukushukuru Mungu wangu!
    #dripyana 🙌🙌🙌🙌

  • @faithkibiku2017
    @faithkibiku2017 19 годин тому +13

    Anthem ya 2025 we entering 2025 grateful, with a thanksgiving song on our lips. Asante Dr Ipyana 🎉🎉🎉

  • @hildaalfredy2609
    @hildaalfredy2609 2 години тому

    Asante umekuwa nami 2024
    MUNGU WA BABA YANGU YESU KRISTO nakushukuru.

  • @PeterAnyimikisyeKalinga-ou5so
    @PeterAnyimikisyeKalinga-ou5so 19 годин тому +12

    Umekuwa nami toka January mpaka December hii,umeniokoa na mengi nipo hapa kushukuru 🙏🙏🙏

    • @nerimajuma2526
      @nerimajuma2526 19 годин тому

      Thank you Jesus...nimerudi kukushukuru kwa yote ulionifanyiaa 2024🎉🎉🎉

  • @liltunes829
    @liltunes829 12 годин тому +3

    How Faithful is my God!! I can’t explain it, I simply marvel at how great He is!! Thank you Jesus!! My Lord and Saviour🙌🏾🙌🏾🙌🏾More Grace Daktari!!

  • @emmanuelmdaile155
    @emmanuelmdaile155 19 годин тому +6

    Tupo hapa ni shukrani tu ndo tunachojua mungu wangu 😢❤🙌

  • @yehusonga624
    @yehusonga624 19 годин тому +11

    Last and Best Moments of 2024 must end with this Prophetic Thanksgiving song to our Almighty GOD

  • @brightnessmlay8429
    @brightnessmlay8429 18 годин тому +11

    Umekuwa nami u.etembea nami.Nimerudi kushukuru MUNGU wangu😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
    For all you have done 2024 am so thank full.Such unexplainable things Marvelous GOD.👏👏👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @evamtokoma9801
    @evamtokoma9801 19 годин тому +7

    Mungu umekua mwaminifu sana kwangu,asante kwa baraka zako kwa mwaka 2024🥺🙏🏽.
    Nmerudi kushukuru Mungu wangu🙌🏽🙌🏽

  • @MaryLisutsa
    @MaryLisutsa 13 годин тому +6

    Mungu nilipokea repoti ya daktari na kila MTU akaniacha ,niliowaona watanisaidia na pesa niende hosipitali waliniambia hata HAO wako na mipango nyinyi ya pesa hawaezi kunisaidia lakini mungu wangu haujaruhusu niwe kipofu ,mungu nashukuru 😭😭😭😭😭

  • @oluochmercy5716
    @oluochmercy5716 18 годин тому +7

    Wacha nishukuru jamani alikonitoa ni mbali.i shed many tears in secrecy 😢😢 but on 6th Aug he wiped them 🎉🎉🎉🎉.He is God!

  • @emanuelbayyi7354
    @emanuelbayyi7354 2 години тому

    umekua nami toka mwaka umeanza mpaka sasa ni december nimerudi kushukuru Mungu wangu. si kwa nguvu zangu wala jitihada bali kwa uweza wako na neema yako. NIMERUDI KUSHUKURU MUNGU WANGU🙏

  • @VeronicaMlelwa-v3i
    @VeronicaMlelwa-v3i 17 годин тому +4

    Pamoja na yote ninayopitia Bado MUNGU umekuwa nami🙏🙏🥺.
    Àsanteh BABA

  • @kennedyashiaya2760
    @kennedyashiaya2760 12 годин тому +3

    I thank God for His grace and mercies.... He has been so awesome to me, He has kept me and i believe in 2025 He will be taking me to another level. I will forever lift your Holy Name Lord my God

  • @praygodtumsifu5428
    @praygodtumsifu5428 19 годин тому +11

    Nimeomba sana sirini umenijibu hadharani 🙌🙌
    Glory to God almighty

  • @doreenharold1725
    @doreenharold1725 19 годин тому

    Nimerudi kushukuru Mungu wangu🙏🙏

  • @MissGee-ro6ej
    @MissGee-ro6ej 19 годин тому +7

    Asante Yesu kwa neema hii ya wokovu umetupa. Hakika nasikia furaha sana kuokoka na kutembea nawe Mungu wangu. Kama sio Yesu Israel na aseme sasa🙌🏾❤️❤️ Haleluya🎄🎄 Merry Christmas and Happy New Year watu wa Mungu.

  • @Janeth_Saukiwa
    @Janeth_Saukiwa 19 годин тому +7

    Uwiiiiiiiiiii 😢😢😢😢😢 siwezi kueleza 😢😢😢😢😢

  • @feddyngalula6557
    @feddyngalula6557 Годину тому

    Par cette chanson je viens dire merci a mon créateur pour tout ce qu’il a fait dans ma vie, quand les ennemis complotent contre moi a ce moment qu’il m’amène de succès en succès, nikupe Nini Mungu wangu? Niko apa kushukuru Aksanti kwa yote! Wa Congo Tupo???

  • @Maureen967
    @Maureen967 13 годин тому +3

    Umekuwa nami in 2024. God you are faithful 🇰🇪🇰🇪

  • @ZachariaMwakiposa
    @ZachariaMwakiposa 19 годин тому +6

    Ni zamu ya Nchi kupokea Moto .......🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @VictorExcellence.
    @VictorExcellence. 17 годин тому +4

    2024 bwana umekuwa nami, umetembea na Mimi. Narudi kukushukuru

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 18 годин тому +6

    Umekuwa nami toka January hadi December Asante Yesu🤲🧎‍♀️❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎉❤

  • @AmboyeJoyous
    @AmboyeJoyous 16 годин тому +3

    Amenivika vazi la furaha, ame niondolea huzuni ....i've every reason to say Thank you Daddy... Siwezi kusimulia🙏🙏

  • @rebeccakisale
    @rebeccakisale 19 годин тому +4

    Mungu wangu, nashukuru Kwa yote🙏🏾, Asante Kwa kunifanya niwe Mimi🙏🏾

  • @samjtv8852
    @samjtv8852 14 годин тому +2

    Kwa hakika Mungu umekuwa mwema kwangu 2024.
    Asante Yesu

  • @NeemaBoniface-q4j
    @NeemaBoniface-q4j Годину тому

    Mwe Mungu amenitetea inawezekana nisingekuwa hivi ni mkono wako Mungu umenibeba🙌🙌🙌

  • @TelesinaSinai
    @TelesinaSinai Годину тому

    Ahsante sana MUNGU kwa Neema ya Uhai Bwana,,,nimerudi kusema Ahsante kwako Bwana🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🙏🙏🙏🙏

  • @joycemuthui3515
    @joycemuthui3515 18 годин тому +5

    What a song!!!!
    😭😭😭😭😭
    A grateful heart.
    Thank you Daddy.....
    Thank youuuuuuuuuu
    For your faithfulness, my God.

  • @pendomangi8400
    @pendomangi8400 18 годин тому +2

    Wimbo mzuri wa kumalizia mwaka. Kwa kweli Mungu amejibu maombi kwa ujasiri na matokeo yameonekana hadharani

  • @detectivefavour7911
    @detectivefavour7911 16 годин тому +5

    May he be uplifted.May Dr ipyana never lack .youve been helping our souls grow in Christ .I backslided but Dr gives me an encouragement to move on with God.nimerudi kushukuru❤❤❤

  • @LazarusFrancis-z5s
    @LazarusFrancis-z5s 18 годин тому +4

    Mungu. Wangu. Nimerudi. Kushukuru. Mungu. Wangu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @juhudimlimakifi-fo7hu
    @juhudimlimakifi-fo7hu 18 годин тому +4

    Siwezi kueleza MUNGU alivyonipigia from January to December 😢😢. Mbarikiwe nyote mvuke salama piah

  • @JacksonfaustineFaustine
    @JacksonfaustineFaustine 57 хвилин тому

    Wimbo tunaoingia nao mwaka 2025 huku tukishukuru kwa kua pamoja nasi sote na kutulinda katika mwaka wote 2024🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇😭😭

  • @florencenduta3541
    @florencenduta3541 17 годин тому +1

    You are clothing with a garment of praise unaondoa huzuni ndani yangu
    Nimelia sana sirini leo nikiwa na wewe peke yetu leo umekuja hadhalani umejibu kwa ujasiri

  • @rufusalicia9787
    @rufusalicia9787 3 години тому

    ABBA Father as I celebrate my birthday today 28/12 nimerudi KUSHUKURU ,THIS FAR YOU'VE BOUGHT ME. Umetembea nami umekuwa nami.I DECLARE and DECREE this is my year of TRIPLE BLESSINGS 33 🙏

  • @SarahJames-x8q
    @SarahJames-x8q 15 годин тому +3

    Ooh! wow 👌 kama umewahi kuona MUNGU akitenda kwenye maisha yako endelea kumtukuza na kushukuru kwa neema yake

  • @jackymtinangi5903
    @jackymtinangi5903 17 годин тому +2

    Sifa na Utukufu ni kwako Bwana...Thank You Lord for your Goodness🥺🙏

  • @shanealivitsa5883
    @shanealivitsa5883 7 годин тому

    Thank you lord ,Nmerudi kushukuru maana 2 yrs in saudi ,nmekua nikipeleka bosses wangu hosi wako na magonjwa makubwa eg corona etc naishi hosi nayo Mungu wangu ni nani mm ni mzima na pia nashukuru nmepata shamba yangu despite kuwa rejected na kila mtu .MUNGU asante kwa kuwa mwalimu wangu and be blessed Dr lypana🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽💜💜💜🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @kadenyikigalu8280
    @kadenyikigalu8280 11 годин тому +2

    THIS FAR IS GOD... THANK YOU GOD❤️🙏🏿🙏🏿🙏🏿..🇰🇪🇰🇪🇰🇪 LIKE

  • @EmmanuelKiprotich-f2k
    @EmmanuelKiprotich-f2k 4 години тому +1

    "Wishing you a morning as cheerful as your smile." "I thank Almighty every day for this beautiful friendship we share." ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @albrightodhiambo4952
    @albrightodhiambo4952 18 годин тому +4

    Wow!!!! This is very powerful. Dr. Ipyana never disappoints. Spirit lead worship. Lord we thank you for 2024

  • @EsterMgana-r2q
    @EsterMgana-r2q 11 годин тому

    Nimeonaaa mengine ukifanya ,, mengine sijaona ukifanya lakn nimekuja kukushukuruu Mungu wangu 😢🙏

  • @peacennko2003
    @peacennko2003 19 годин тому +5

    ❤Wa kwanza lazima.
    Nasikia UPAKO wa MUNGU ❤.
    Ribosikayamando...

  • @MchomvuLydia
    @MchomvuLydia Годину тому

    Umekuwa na mimi umetembea na me ninakushukuru Mungu wangu nakupenda Yesu wangu Asante kwa kila kitu Bwana

  • @teresiahkimundui4589
    @teresiahkimundui4589 14 годин тому +3

    Nimerudi kushukuru, Mungu wangu🎤🎻🥁......Tunashukuru hata hapa Kenya.

  • @geecap785
    @geecap785 19 годин тому +5

    UMEKUA NAMI UMETEMBEA NAMI NA UNAENDA NAMIMI 2025
    MUNGU WANGU NINAKUSHUKURU 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @TENDEGA
    @TENDEGA 12 годин тому

    To God be the Glory 🙏🙏🙏

  • @AmaniPerez
    @AmaniPerez 18 годин тому +4

    The GRAND IBADA, all the glory belongs to you my 👑 King, the wonderful counselor, the mighty God, everlasting father, prince of peace

  • @isaackamando8484
    @isaackamando8484 3 години тому

    😭😭😭😭😭😭 Ee MUNGU machozi haya si ya kuomba lolote bali ya kusema Asante kwa ajili yako kwetu

  • @ruthiethuku.3166
    @ruthiethuku.3166 14 годин тому +2

    Mungu wangu asante.. Nimerudi kushukuru, umekuwa mwaminifu🎉🎉❤

  • @jacklinemilka
    @jacklinemilka 19 годин тому +6

    🙌🙌🙌🙌siwezi kueleza

  • @annewanganya1683
    @annewanganya1683 16 годин тому +2

    Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Mengi umefanya Mungu wangu siwezi sema yote lakini nimekuja kushukuru. This far you've brought me Asante 🙏

  • @YUSTERKIBONA
    @YUSTERKIBONA 19 годин тому +4

    Ooo halleluyaaaaaa!
    Asante Mungu Kwa yote, nawezaje kunyamaza Baba yangu umzuri wewe.
    ♥️♥️♥️♥️♥️♥️💯💯💯💯🙏🙏

  • @IsackDominiko_
    @IsackDominiko_ Годину тому

    Arikaprasiketaya mantoriyaenaba, I have Come to Say Thank You Lord 😭🙌🏻

  • @muenisue.07
    @muenisue.07 7 годин тому +2

    Thank you lord nimerudi kushukuru , Started the year with no job ending it with one . glory to God

  • @HeritierbahatiUchindi
    @HeritierbahatiUchindi 2 години тому

    Mungu atu vucha mwaka huu kwa amani nasala kabisa parce-que'' ce le Dieu tout puisant

  • @HappinessAhia-ey1lq
    @HappinessAhia-ey1lq 10 годин тому +2

    More respect to Hod Almighty who made you with so uch a talent.
    You're blessed.
    Watching from Washington USA

  • @Dmarciekasupuu.
    @Dmarciekasupuu. 10 годин тому +1

    For all the prayers we made in tears you answered in public. I thank you dear Jesus

  • @emmamnzava9372
    @emmamnzava9372 19 годин тому +3

    Amen. Utukufu kwa Mungu. Na hivi ndivyo tunavyoimaliza 2024 kwa shukrani

  • @honolinalyimo8003
    @honolinalyimo8003 14 годин тому +1

    God Thank you for 2024, either nimepata au la! Nmechekaa au la! Lakini uko nami nyakati zotee🙏🏼🙏🏼

  • @giftobote01
    @giftobote01 14 годин тому +1

    Glory to God Hallelujah

  • @paulotanaki958
    @paulotanaki958 19 годин тому +2

    God ,umekuwa NAMI umetembea NAMI ,am amazed ,thank you my LORD

  • @JoyeuseNizigiyimana
    @JoyeuseNizigiyimana 12 годин тому

    Mungu wangu upewe sifa maan tumeomb mengi kwasir umekuw nami umetembey nami mwaka mizim asante Mungu wa Bwana yetu Yesu Christ uhimidiwe. Atakaye som sms hiyi Mungu akufikish mwak 2025 ukiwa salam na familia yako yote

  • @AthamanRamadhani
    @AthamanRamadhani 32 хвилини тому

    Kama unahitaji kumwabudu Mungu ww sikiliza tu nyimbo za huyu mtumishi

  • @margrethphilipo9187
    @margrethphilipo9187 18 годин тому +2

    Thank you Lord for 2024 it wasn't easy without You

  • @marionwanjiku4226
    @marionwanjiku4226 13 годин тому +1

    Mungu Wangu asante Kwa vyote Na shukuru Kwa 2024 .Iam great full😭😍

  • @velarynzilanimichael4772
    @velarynzilanimichael4772 18 годин тому +2

    What a timely song😢😢 God bless you sir we love you

  • @francisjumason2354
    @francisjumason2354 19 годин тому +2

    Dr. Ipyana all I can say is may God continue using you more and more....❤

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 17 годин тому

    Namerudi kushukuru Yesu kwa yote ulionifanyia.

  • @carolinebiwott8115
    @carolinebiwott8115 7 годин тому

    Thank you almighty for being with me in 2024🎉🎉😢

  • @JohnThomas-s7l
    @JohnThomas-s7l 19 годин тому +2

    Ooooh umekuwa namiiiiii ✝️❤️

  • @silasafrisa7883
    @silasafrisa7883 11 годин тому

    Mungu, umekua nami, umetembea nami..... oh, Papa.. your son is very grateful 🙏

  • @vailethpallangyo2081
    @vailethpallangyo2081 Годину тому

    Umekua nami nimerudikushukuru Mungu wangu 😢🙌🧎‍♀️

  • @nuruobukhumi
    @nuruobukhumi 19 годин тому +2

    Nimerudi kushukuru Mungu wangu ,,indeed He has been faithful to us God bless you daktari

  • @kadenyikigalu8280
    @kadenyikigalu8280 11 годин тому +1

    Powerful worship , ANTHEM OF YEAH 💯@Dr.Ipyana ❤️🔥🔥 more Grace 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @cindyedwin1703
    @cindyedwin1703 17 годин тому

    Umekuwa nami,umetembea nami numerudi kukushukuru Mungu wangu 🙏🙏