Am a Tanzanian living in Uganda and make no mistake if the judgement will not be biased this Ugandan group must give the winner 🏆 they're so freaking talented
Gonna be really interesting i see 2 gentlemen there making it to top 10 Really talented Am from kenya been following bss since dem days amd this one gonna be really interesting and exciting Lots of love from 254 🇰🇪
Bss kwenye youtube hawawajali kabisa wateja wao.. unakuta tukio limetokea mwezi wa 11 linawekwa mwezi wa 12 youtube.. jitahidini kubadilika tukio likitokea jpili basi jtatu weken mziogo youtube
Usichofahamu ni mkataba na sponsor wao mkuu startimes amewabana kuachia content kwa muda mmoja kwake na yy... Ili apate viewers kama sponsor mkuu wa show coz bila yeye no BSS yy ndo anaweka Hela mzigo uonekane so vumilia ndugu
This year i see Uganda ndo inachukua kikombe wakali ni wengi Uganda 🇺🇬 labda kuwe na kaubaguzi ka kombe lazima libaki nyumbani 😀 Celine Dione am your fan ❤️❤️❤️💪🔥💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥
I love karaoke and see people sings. Out of AGT and The Voice, Bongo Star Search is Going to be reaching all Africa.. I'm proud of you guys Madam, Salama and Master. Your a true definition of Music industry influencer and innovators. May God Bless you and. Give you long life so we can see more...
Mna comment kumbukeni waTanzania tumefunzwa heshima kwa wageni upendopia so msimuukimu sana master J & Salama wanaupendo tu sisi uwaga tunapenda sana wageni nidesturi yetu waTanzania true
nadhani ni kwa sababu ya ugeni tu kuns namna wamekuwa upole hata ukisikia kimombo shida ndo hawajui kumwambia mtu u dont know how to sing?? aaaa uongo bhana
sorry to say this everyone down here. mmejigunza mini kuhusu kazi cha sasa cha mwanaume, meen wa kazazi hiki wamekuwa soft sana, hii inaonesha due malezi na makuzi yasivyo mtengeneza mtoto wa kiume kutojiamini na kutosimana katika nafasi yake ya ushupavu na uimara, pole kwa kazi hiki cha kwetu men .
@westcijosh alitakiwa awe anajua. Mtu kasoma shule level za IST, Vyuo Marekani ila anatuonea kwenye kiswahili Chetu tu. Alitakiwa atunyanyase nankizungu 🤣🤣
I have noticed how Madam Rita and Salama have improved their English Language.. I love everything about this show, next year I would lave to try the auditions here in Kenya. I love the show❤ from Kenya❤
Tatizo hana passport na ni mkimbizi. Tanzania ina sheria ngumu za uhamiaji..hii wangeifanyia kenya maana kenya hawana vikwazo vingi ,easafrican yeyote ywaeza enda kenya bila passport awe tu na kitambulisho cha inchi yake anayotoka Africa masharik
Music is the Language, even if you can't hear the words you can still feel the Melody. The one Who sang about His Mother failed to put Feelings into His Song
Oyaaa huyu alovaa white trouser jamaa ni mtu mmbaya sana i repeated mara 10 kumsikiliza huyu jamaa hafai kabeesa yaan😂😂😂 mziki mzuri yaan haukeri i feel ashashinda huyu jamaa ni too much…. Anaimba hadi ananitoa machozi msenge huyu hana adabu… kuimba tu kuoga aaaaahhhh😂😂😂😂
Am a Tanzanian living in Uganda and make no mistake if the judgement will not be biased this Ugandan group must give the winner 🏆 they're so freaking talented
Gonna be really interesting i see 2 gentlemen there making it to top 10
Really talented
Am from kenya been following bss since dem days amd this one gonna be really interesting and exciting
Lots of love from 254 🇰🇪
Yaan hadi nimelia hyu kaka mwenye lasta kuimba wimbo wa bushoke... Hakika Old is Gold
Safi sana mnaziba pengo la TUSKER PROJECT FAME
Bss kwenye youtube hawawajali kabisa wateja wao.. unakuta tukio limetokea mwezi wa 11 linawekwa mwezi wa 12 youtube.. jitahidini kubadilika tukio likitokea jpili basi jtatu weken mziogo youtube
Usichofahamu ni mkataba na sponsor wao mkuu startimes amewabana kuachia content kwa muda mmoja kwake na yy... Ili apate viewers kama sponsor mkuu wa show coz bila yeye no BSS yy ndo anaweka Hela mzigo uonekane so vumilia ndugu
Yaaani wewe mteja wao unawapa nini yani kutaka vya bure afu vije muda huo huo 😂😂. Nunua star Times upate ya muda huo huo
Baba mkataba unasema maonesho kwanza startimes,star Swahili chaneli ,baada ya hapo ndo unakuja UA-cam
@@michaelkisselar5691siungi vingine but uningalia watu wanapiga pesa
hii biashara mzee ...kanunue startimes
Uyoo Mdada anaimbaa ngoma ya Celine ni nomaaa
Mno. Ni mnoma sana yaani sana.aje TZ amu competent Ruby
Duuuh waganda mna balaa nimewanyoshea mikono so many talents yaani sio poa mijamaa inajua sana kuimba hasa hiyo yenye magitaa
The guest judge is judging so professionally ila Hawa wabongo wetu sasaaaa😅😅😅😅
Tanzania mtu pekee ana uwezo wa kujaji kwa weledi ni Hermy B yule aliyekuwa jaji Tusker Project Fame kutokea Tz
Coz he is logically fit, @@trueexplorer894
Nice show! Congratulations Uganda
Master J Kila kitu TRUE😂😂😂😂
I so proud to see my country is going far for music industry ni star search
Hongereni Sana mumeenda extra miles
Mungu azidi kuwasimamia
Awa wanatuchanyanya watz jmn wachen uko uko😂😂bora ata kenya🎉
This year i see Uganda ndo inachukua kikombe wakali ni wengi Uganda 🇺🇬 labda kuwe na kaubaguzi ka kombe lazima libaki nyumbani 😀
Celine Dione am your fan ❤️❤️❤️💪🔥💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥
I love karaoke and see people sings. Out of AGT and The Voice, Bongo Star Search is Going to be reaching all Africa.. I'm proud of you guys Madam, Salama and Master. Your a true definition of Music industry influencer and innovators. May God Bless you and. Give you long life so we can see more...
Kwa hivi vichwa vitano toka uganda ....bongo man wajipange sana
Na bado hatuja
Wasikia wa kikenya ..
What I love from Ugandan youth is that they know their culture and are real compared to other participants from other countries in East Africa.
What culture ?
Mna comment kumbukeni waTanzania tumefunzwa heshima kwa wageni upendopia so msimuukimu sana master J & Salama wanaupendo tu sisi uwaga tunapenda sana wageni nidesturi yetu waTanzania true
I will vote gor ugandan from the beginning
Yani master J zile coment zake shwaaaa🤣🤣🤣
Chezea kingereza wew😂😂😂
😂😂😂😂
Bora ht J huyo salama sasa
nadhani ni kwa sababu ya ugeni tu kuns namna wamekuwa upole hata ukisikia kimombo shida ndo hawajui kumwambia mtu u dont know how to sing?? aaaa uongo bhana
Yes ugeni tu wasije onekana awapendi ndugu zetu,,ila master jey msomi awez shindwa kingereza bana wanajua hao@@momnayrah9368
Am happy with my country Tanzania i like uganda so much
Watanzania tunaendelea kuibeba East Africa... na haturingi❤
wakenya wasione hiiiii😅
tuko na makasiriko yetu sai..usituanze
😂😂what's this??
Celine, rasta🔥🙌
THE WINNIER WILL BE FROM UGANDA
Mr True
Marthaaaaa where have you beennnnn🤩🤩🤩🤩
Wow Martha May ❤
When you see Judge Salama take out her phone to record, just know you going no where 😂😂😂😂
Madam Rita tunawafatilia kutoka bja tunakuomba Burundi 🇧🇮 iwe next vipaji kibao
Mtafikiwa soon
Alieimba nyimbo ya bishoke 👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤎🤎🤎🤎🤎🤎🤎
Kingereza hakina ukali
Mwenye rasi jmn anajua anajua tenaaa❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Aah bongo hawachukui huu mwaka😂😂😂
Extend the territory to reach out DRC there are lot of singers, Rwanda and Burundi
Tanzanian please work hard 🙌🏻🙌🏻🙌🏻. Ugandans are on fire!
Beyond Boarder 🔥🔥🔥🔥🔥 Bongo to the World
Rasta mwenye gitaaa dah ni fire.
He’s amazing
🎉🎉🎉🎉
yeah that mf can sing he is good
Singing like Celine she is very talented woman
Kweli tz masihara meng aa mi naon wote jamn wako vzr❤❤❤
Tanzania michuzi mingi, watu huko mambele wametulia
Rasta kauwa kabisa yaan...tabasam la rasta mimi hoii❤
Kama umemwona mastar J kapiga juisi ya madame Rita akijua ni yake afu akapotezea gonga like chap
Sijaskia huku masta akisem imba kiswahili hujui English 😂😂
Moses kolola tuko na Wewe mpaka mwisho my friend you are the best I wish you will be a winer of season 15
Master j. English inakupiga chenga kidogo mkuu. Njoo uwakosoe wa Bongo to huko wewe tembea na yes or no
😂😂😂😂
Na anapesa kuliko wewe😂
Mwanetu Leo kawa mpole......ngeli sio mambo yake
Kkkkkk
Kanywea kama sio Yeye,,Kaz yake Kusema "yeea" "me too"
😂😂😂😂😂
Karibu mombassa kenya pia muone vipaji achana na nairobi
Atutaki wajeuli😂😂😂😂😂
Daah.. we raia 😂@@SeverinoLuis-j1h
@@SeverinoLuis-j1hhalafu mnasema nyinyi ndio wenyeji wa kiswahili na huo "ujeuli?" 😂😂
I love the guy with dreads aloimba deka he is really something nmemuangalia Mara kumi
Japo sijafikia hapo ila nakubaliana na unachosema kwa hisia tu za mbali
Kenya ndo hatupendi ujinga kujeni huku 😂😂😂😂😂
Dah! Master J kumbe hajui kiingereza na hamniambiii? Anadandia tuuu,me too nyingiii kuliko bar maid
Hahaha uganda kuna machizi totaly bora tanzania yetu
Machizi wapo kila sehemu ni platform tu kapewa lini
Ugandan Celidion veryfied
OSMO BOY MUSIC approved this from kenya
Kenya ndo Iko wapi vile
The lady with black oooh ma God🔥🔥🔥🔥
sorry to say this everyone down here.
mmejigunza mini kuhusu kazi cha sasa cha mwanaume, meen wa kazazi hiki wamekuwa soft sana, hii inaonesha due malezi na makuzi yasivyo mtengeneza mtoto wa kiume kutojiamini na kutosimana katika nafasi yake ya ushupavu na uimara, pole kwa kazi hiki cha kwetu men .
Team Martha May🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂 kumbo mnakuwa active kujudge Tz tu, mkienda nje mnakuwa mabubu Master J😂
Have also noticed that😂
😂😂😂
Yaani Wana adabu zote sijaona kumkejeli mtu😂
😂😂😂😂
Hawajui English Sasa lazima wawe bubu😂😂😂
Yaani Judges leo wametulia😂😂😂, Kizungu balaa sana...Hamna yale mashambulizi ya Master😂😂, Yaani hana Nguvu kabisa.....
The girl who sang Celline Dion song ni wa moto
Celine dion on fire🔥
Master J kasoma A class education ila kukosoa kwakizungu mwanzo mwisho kama bongo anashindwa 😂😂😂😂. Kapoaaa
😂😂😂😂 si kupenda kwake kizungu kilikuja na MELI😂😂😂
mster J hajui kuongea ngeli ile kiivyo
@@CatherineNzeki huyu kasoma shule level za IST. Ila huku kapoaaa. Ngoja sasa tuone za Dar atakvyotutesea ndugu zetub😅
@westcijosh alitakiwa awe anajua. Mtu kasoma shule level za IST, Vyuo Marekani ila anatuonea kwenye kiswahili Chetu tu. Alitakiwa atunyanyase nankizungu 🤣🤣
tuliza
The one who sang Celine Dion's song she's fire 😮
Uganda bado sana
Alie imba ka Celine Dion 😊❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
I have noticed how Madam Rita and Salama have improved their English Language.. I love everything about this show, next year I would lave to try the auditions here in Kenya. I love the show❤ from Kenya❤
Do you know tho origin of madam Rita?? Dear say about salama but not madam Rita dear
Madam rita baba yake ni mzungu kama ulikua hujui😂
Yeah sure they have improved
We nae ni Kama hiyo English ni ugali wa sukuma kusema mnashiba mkiongea mfyuuuu
@salhawaziri1668 ahahahahh mie nmemshangaa itakuwa hamjui vzr madam Rita an kiufupi kakurupukq
Master J Kuna wakat anataman kusema kitu ila anaamua kukaa kimya.. namiss zile fujo zako broo
Hahaha
Hakuna waimbaji hapa 😅😅 hata kwaya ya huku kwetu wakikaa kwa stage wataonyesha kitu😅
Kumeanza kuchangamka😂😂😂😂😂
Mwaka huu mshindi wa bss atatoka uganda anae bisha tubert
Huyo Celine Dion ndo mshindi hata msimu huu Tanzania hakuna wa kumfikia huyo dada tuache unafiki
huyooo mdada kajuaaa afu saut yakeee haiboi
The man with guitar 12:50 is incredible.😮
bss sio fair play ule MCONGO yuko vizuri saaaaanaaaa mbona akupita😮😮😮😮
Tatizo hana passport na ni mkimbizi. Tanzania ina sheria ngumu za uhamiaji..hii wangeifanyia kenya maana kenya hawana vikwazo vingi ,easafrican yeyote ywaeza enda kenya bila passport awe tu na kitambulisho cha inchi yake anayotoka Africa masharik
Uganda wapo serious sana 🔥
Guys you have talents just trust yourselves
Mina Ally ... upo vizuri 🎉
Bongo star kujeni Burundi mshie ugani only is not fair come to Burundi pleas twa wapenda udugu wetu wa Tanzania ❤
Ivi burundi wanaongea kiswahili
Ndio wanaongea @@khamoshmikidadi618
Wanajuwa@@khamoshmikidadi618
@@khamoshmikidadi618Ndio tena sana tu
@@khamoshmikidadi618Eastafrican Countries
Huyu Michael Jackson wa Uganda ni moto sana
Rasta man na Celine Dion 🏆🏆
Music is the Language, even if you can't hear the words you can still feel the Melody. The one Who sang about His Mother failed to put Feelings into His Song
I can't believe wamemuacha aliyeimba kikongo jmn that man anajua sana and he has the look😢
Haha majaji wetu bongo mnakua mnawaumbua vijana.. huko naona thank you nyingi.. Master j kimya hivyoo..
A guy with guitar, who sung Nerea was 🔥
Salama yupo vizuri english
Mukuje na kwetu burundi tuko tayari kinoma sana
jamn mkongo 🙌🙌
😂😂😂😂😂Ila LUGHA MASTER J ANADAKIA KWA MBELE TUUUU ANYWAY NLKUWA NACHEKA TUUU😂😂😂😂😂
Aseeh nimeamini Tanzania tunajuwa mpaka tunakeraah halafu haturing
Nikajuaa UGANDA watakuwa serious 😂😂😂
They are so seriously 😣,,ila master j 🙌🙌
welcome to kenya 🇰🇪 we're waiting for you bss❤❤❤
They have done audition already
Kenya mnakiburi sana mtasubiri sanaaa
@@jovinmancomedytzhawa judges wenu kwanza waje auditions za English kanairo😂😂
Oyaaa huyu alovaa white trouser jamaa ni mtu mmbaya sana i repeated mara 10 kumsikiliza huyu jamaa hafai kabeesa yaan😂😂😂 mziki mzuri yaan haukeri i feel ashashinda huyu jamaa ni too much…. Anaimba hadi ananitoa machozi msenge huyu hana adabu… kuimba tu kuoga aaaaahhhh😂😂😂😂
Uganda are too much🔥🔥🔥
Rasta your the winner
MBONA KAMA UGANDA NDO INATOA MSHINDI, TANZANIA SIJIONI 😢
Pls madam mwakan usipoteze pesa tena za safar 🤣
Kuna vitu master j, anashindwa ku judge kwasabab ni kingereza anasema tuu yes ya kinyongo😂😂
😂😂
Very true. Kizungu kazi kwake
😂😂😂Nmecheka kwa nguvu mbn Uganda wanachekesha jmn
Bongo Star Search kumbe mlipanda kipepeo kwenda Uganda😂😂. Hamna Boeing 😂😂😂
Mimi ni mtanzania lakini wauganda 🔥🔥🔥
Salama kawa mupole😂😂😂
Uganda hongereni ila wa Tanzania ni fire
Ugandan top five is my favorite