Jimmy na Sasali mtumike kunikutanisha uso kwa uso na Dr Elie napenda kuonana naye anisaidie kuliendea jambo lililo mbele yangu, Bwana afanye njia nipate kibali mbele yenu nifanikiwe katika ombi langu hilo
Watu wengi wange kuwa wanapata elimu kama hiyi watu wange badirika na kubadiri muinekano wa maisha mimi nilianza mfwata mwaka 2020 maisha yangu yaka badirika na pia watu huwa hawanielewi kwa jinsi naishi kwa sasa nimekuwa mtu wa furaha na amani sana
Dr Eli uko vizuri sana mungu akulinde tunaitaji watu wengi wa aina yako tanzania
Hakika Dr Mungu akutunze
Dr Eli Mungu akutunze wewe na chomoza tv Kwa kurusha kipindi hiki chenye mafundisho makubwa.nimejifunza mengi na nimevuka hatua kubwa mno
Asante chomoza Bwana Mungu Awabariki wote
God bless team chomoza
Mungu awabariki kwa wito mliopewa ni kweli hamstahili lakin utukufu kwake yeye kwaajili yenu
Asante san mungu ni mwema
Thank u dr elie sikustahili kusikia hili neno ila Mungu kaniwezesha mimi ni nan? basi nashukuru Mungu
Asante kwa mafundisho mazuri sana Mungu awabariki sana.
Mpo CONSISTENCY SANA. Hongereni & Mungu awe Rohoni mwenu daima. Asante Mungu, sifa kwa Mungu.
ni kweli kipindi cha siku nyingi.
Shukrani ni KUSOMA NA KUTAMBUA MEMA. tutapunguza makali ya hali ya upotofu tuliyorithi toka dunia hii
This is a parable kuwa watu wengi unaowachukia
Ulipaswa uwashukuru
Shida hazija sahau pa kwenda
Nice to see you doctor..
Woow,my God bless all of you,I love all of them
Mashaalah mashaalah ya Salam ya Salam ila ongezeni sauti
Jimmy na Sasali mtumike kunikutanisha uso kwa uso na Dr Elie napenda kuonana naye anisaidie kuliendea jambo lililo mbele yangu, Bwana afanye njia nipate kibali mbele yenu nifanikiwe katika ombi langu hilo
Unafiki😮
Sauti Iko chini sana tunashindwa kusikiliza vizur
Wew umejikita kuona mabaya tu
Cm yko kimeo mkubwa😂😂😂
@@RamadhanNuru-g9c ndugu unajua ujinga ulionao hautakuua ilà utakutesa sana. We alokwambia mtu kukosolewa ni ubaya ni nani?
Wewe unataka sauti gani bro mbona iko Sawa na tunaelewa
Wew unaakili
Sauti jamaniiiiii🦻🦻🦻🦻🦻
Kwani Paulo alikuwa anachunga nini
Garatia, Colintho, efeso , na thelolanike ?
Sauti iko jini sana jitahidini kuongeza
Kwa mabaya,sema nastahili,kwa mema sema sikustahili
But the voice is very low,pls brother Sam can you modify it?
The volume on "UNAFKI" 😢
Natamani dunia ikusikia siwezi muelezea mzazinwala rafiki
Watu wengi wange kuwa wanapata elimu kama hiyi watu wange badirika na kubadiri muinekano wa maisha mimi nilianza mfwata mwaka 2020 maisha yangu yaka badirika na pia watu huwa hawanielewi kwa jinsi naishi kwa sasa nimekuwa mtu wa furaha na amani sana
Daaah! Huyu jamaa anaongeaga vitu vikubwa sana.
Kwa nini sauti iko chini jamani. Tunaomba tatizo hili mjitahidi kulirekebisha.