Mkuu safi sana kwa masomo yako Nimeyefuatilia yote mpaka leo 17. Nina swali naomba utupitishe - makanisani kwetu tunatumia powered mixer je? Unaweza kuunganisha cross over na amplifier - Ni namna gani sahihi ya kuunga output kwenye speaker 3 yaani 2 mid full range na bass 1 double
Mimi naitwa Ndabirabe Evariste kabisa niliskia solo lako kabisa endelea kudufundisha solo lako kabisa ni nzma niliskia kama mtu anawaza kubata kitabu Sawa naweza kukipata aje? Mimi naeshi Burundi
Napenda hiyi somo from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Amina
Engineer you never disappoint, kazi safi, endelea kutuelimisha 👏👏
Unawezaje kujua sauti ya music kuwa ni ya ubora wa juu
Uko vizuri sana Mwl wangu
Samahani solo ilikua somo
Mkuu safi sana kwa masomo yako
Nimeyefuatilia yote mpaka leo 17.
Nina swali naomba utupitishe
- makanisani kwetu tunatumia powered mixer je? Unaweza kuunganisha cross over na amplifier
- Ni namna gani sahihi ya kuunga output kwenye speaker 3 yaani 2 mid full range na bass 1 double
mkuu nashukuru. tunapataje hicho kitabu huku moshi
@@danielmweta4762 nitext kwenye WhatsApp
How can I get a the book you authorized.in Kenya.
How can I get this book I'm in kenya. Kakamega County
🙏🙏🙏
How can I get your book....I'm kenya kakamega county
You can Send Money through MPesa Number plus Transport Cost...we can send through Dar Express or other Buss from Dar es Salaam to Nairobi
Mimi naitwa Ndabirabe Evariste kabisa niliskia solo lako kabisa endelea kudufundisha solo lako kabisa ni nzma niliskia kama mtu anawaza kubata kitabu Sawa naweza kukipata aje? Mimi naeshi Burundi