Me nimejifunza kupiga beat saiv nataka nikimaliza chuo nifungue studio ya kurecord. Kwangu imekua rahis sana kujifunza na kufanya hii kitu. Napiga beat balaa kwa fl pamoja na kwamba pc imekatika screen but nimekua adicted wa kupiga beat. Napenda afro beat na hip hop…. Kama za metro booming 🔥🔥🔥
Mimi nimsanii natafta natafta mgonga beat niwe natumia baazi ya biti zake then tunaweka kama mkataba kwamba kazi zikianza kulipa tunaangalia tunalipana vp tunakuwa tunasaidiana you tube natumia jina la DINEO TZ
Hongera kaka kwa maelezo mazuri yanayoeleweka kabisa 💯/, mimi nina swali kidogo je ili upate vifaa vya kuanzia unatakiwa uwe na kiasi gani cha fedha ambayo utaweza kupata vifaa ambavyo vinahitajika hatua ya mwanzo ya vifaa,,?
kwa vitu ambavyo ni vipya kabisa ukitaka kuwa na vyote nilivyovitaja hapo KWENYE VIDEO kasoro chumba tu .... walau uanzie na 4M..... KWA STANDARD STUDIO KIT..... UNAWEZA PATA CHINI YA HAPO KAMA UNATAKA KUNUNUA VITU USED (2.5 - 3M)
Ni masomo mazuri sana..Mwalimu wa Muziki, mie nina bajet ya kununua HEADPHONE kwajili ya kufanyia Mixing na Mastering. Je, ninunue Headphone yenye Sifa gani Kionvozi? Maanake sina Monitor Speakers
kuna headphone nyingi nzuri kulingana na mfuko wako .................. ukipata M Audio, AKG, KRK ,senhanser ni brand nzuri kuna AKG kuanzia range ya 200k na kuendelea depending na model ... naweza kukutumia baadhi ya model kwa whatsapp
@@tidbit-v12Nampango wa kufungua Local studio Vijijini Ila Mm sio producer nipo interested sana Na Muziki Naomba Unisaidia Nichukue vifaa Gani Specifically Ili nivinunue kabisa Producer ntatafuta Nikikamirisha vifaa...
q 24 in soundcard ina option kadha ambazo watu wanazipenda .. eg inakuwezesha kuconnect speaker zinazotumia av cables kitu ambacho sound card nyingi zinasupport only jack connector (kubwa) lakini pia bei yake imepoa pia pia e.t.c ..... personaly sound Quality ya sound yake sijawaaahi isikia lakini naona watu wanaiwinda kweli
Upo vzr bro ❤
Unajua kujieleza ukaeleweka Bro big up
Shukrani kaka. Amazing masterpiece, especially hapo pa skills. More ❤from Nairobi
karibu sana kaka
Habari , kaka naomba mawasiliano yako. Kuna vitu nahitaji kuvifahamu
Me nimejifunza kupiga beat saiv nataka nikimaliza chuo nifungue studio ya kurecord. Kwangu imekua rahis sana kujifunza na kufanya hii kitu. Napiga beat balaa kwa fl pamoja na kwamba pc imekatika screen but nimekua adicted wa kupiga beat. Napenda afro beat na hip hop…. Kama za metro booming 🔥🔥🔥
Habari njema hii... keep your focus....na zaidi ya hapo ni historia kuandikwa tu 👍👍
Gkdt😮 to get bbbbbbbnnj@@tidbit-v12
Mimi nimsanii natafta natafta mgonga beat niwe natumia baazi ya biti zake then tunaweka kama mkataba kwamba kazi zikianza kulipa tunaangalia tunalipana vp tunakuwa tunasaidiana you tube natumia jina la DINEO TZ
Oyah niaje ofxa
Daah mwanangu me napenda San kuwa Producer. Tunaweza tuka click nikapata maujuzi kidg kutoka kwak
@@feimaker08Usha jifunza unajua?
Asante Sana
Safi sana mkuu
Asnte nimekuelewa Sana kiongozi
Maelekezo mazuri uko vizuri hongera sana
Hongera kaka kwa maelezo mazuri yanayoeleweka kabisa 💯/, mimi nina swali kidogo je ili upate vifaa vya kuanzia unatakiwa uwe na kiasi gani cha fedha ambayo utaweza kupata vifaa ambavyo vinahitajika hatua ya mwanzo ya vifaa,,?
kwa vitu ambavyo ni vipya kabisa ukitaka kuwa na vyote nilivyovitaja hapo KWENYE VIDEO kasoro chumba tu .... walau uanzie na 4M..... KWA STANDARD STUDIO KIT..... UNAWEZA PATA CHINI YA HAPO KAMA UNATAKA KUNUNUA VITU USED (2.5 - 3M)
Umetufunza sana kakaaa
Nafurahi kusikia hivyo.... tuendelee kujifunza
Asante..Tafadhali nielezee type nzuri ya computer.
ua-cam.com/video/d92rpdbDgPI/v-deo.html check hii video na uniambie kama bado utakuwa unahitaji msaada
Mahadhi mbali mbali isipokuwa... singeli na taarabu
Sasa kaka cubase au studio one naipataje
Nicheck kwa bumba hiyo inayoonekana kwenye video
Ni masomo mazuri sana..Mwalimu wa Muziki,
mie nina bajet ya kununua HEADPHONE kwajili ya kufanyia Mixing na Mastering.
Je, ninunue Headphone yenye Sifa gani Kionvozi?
Maanake sina Monitor Speakers
kuna headphone nyingi nzuri kulingana na mfuko wako
..................
ukipata M Audio, AKG, KRK ,senhanser ni brand nzuri
kuna AKG kuanzia range ya 200k na kuendelea depending na model ...
naweza kukutumia baadhi ya model kwa whatsapp
@@tidbit-v12Nampango wa kufungua Local studio Vijijini Ila Mm sio producer nipo interested sana Na Muziki Naomba Unisaidia Nichukue vifaa Gani Specifically Ili nivinunue kabisa Producer ntatafuta Nikikamirisha vifaa...
Lam iwe ngap mkuu
UNAWEZA TAZAMA HII HAPA NIMEZUNGUMZIA KIUNDANI ZAIDI ua-cam.com/video/d92rpdbDgPI/v-deo.html
Bro napenda san mambo ya Production
Unaweza ukanifunza mimi nikawa mwanafunzi wako
Napenda sana kuwa Producer
@@feimaker08 karibu kijana.....unapatikana wap
@@tidbit-v12 me ni mkazi wa Dar es salaam, Gongo la mboto
@@tidbit-v12 sijui wew bro upo pande Gani
Naitaji San bro kuwa Producer mkali San na nina Nia san
@@tidbit-v12 kaka mamb vip
Nice Video.
Many many thanks @imuworld
Weka mawasiliano
Kuna email address kwenye description box hapo lakini kuanzia video inayofwata ntakuwa na number kwenye video kabisa....Karibu👍
Muzik gani una produce bro
Unafundisha music production pia?
Yeah... Unapatikana mkoa gani ?
@@tidbit-v12 nipo Dar brother
@@tidbit-v12 mim nipo Dsm
@@tidbit-v12 napatikana Dar kaka
Iv sound card Q23 ikoje naitaka hiyo
q 24 in soundcard ina option kadha ambazo watu wanazipenda .. eg inakuwezesha kuconnect speaker zinazotumia av cables kitu ambacho sound card nyingi zinasupport only jack connector (kubwa) lakini pia bei yake imepoa pia pia e.t.c ..... personaly sound Quality ya sound yake sijawaaahi isikia lakini naona watu wanaiwinda kweli
vipi naweza kupata piano midi?
Kwan soundcard zna bei gan??
Zipo za aina nyingi.. ukitaka nzuri kabsa andaa kiasi cha chini kuanzia 350k
inategemeana na brand pia number of channels badget ya kuanzia mia 500k unweza pata card nzuri kwa kuanzia
kwani bro pre-mixer haifai?
Unaposema pre mixer una maanisha mixer au digital field Recorder
Li dadavue vizuri swali lako... Be blessed kiongozi
Bro naomba contact
0755181887
vipi naweza kupata piano midi?
personal siuzi vyombo ya mziki lakini nina used berhinger mid naiuza..... other wise unaweza pata toka dukani au kutoka kwa wadau wengine
@@tidbit-v12 unaiuza shilingi ngapi?