Beem Media
Beem Media
  • 45
  • 37 065
Equalizer sio Crossover? Mafunzo ya Vitendo katika Karakana iliyoandaliwa na TAG - Benson E. Msechu
TAANZANIA ASSEMBLIES OF GOD IDARA YA MUZIKI NA UIMBAJI DMS JIMBO LA MASHARIKI KATI KASKAZINI CHINI CHA ASKOFU DR GEOFREY MASSAWE ILIANDAA KARAKANA MAALUM KWA MAFUNDI MITAMBO NA WANA MUZIKI.
Equalizer inatumika kupunguza au kuongeza ujazo wa sauti uliombo kwenye makundi mbali mbali za sauti ili kuipa toni au rangi Muziki.Crossover imejengwa na FILTER na hivyo zina uwezo wa Kuzuia/ Block kulingana na mwinuko wa filter (Filter slope).
Mhandisi Benson Msechu ambaye ni Mwandishi, Mkufunzi kwenye Mwaswala ya Kutawala Vifaa vya Muziki amekuwa msaada mkubwa kwa wadau wa Muziki kutokana na Neema aliyopewa na Mungu ya kufundisha watu elimu ya sayansi ya kutawala Vifaa vya Muziki kwa Lugha Rahisi.
Beem Media Limited pia imeaandaa workshop/karakana maalumu December 02_2024 ambayo ni J3 ijayo itakayofanyika Beem Media Limited Goba Njia Nne.
Kwa mawasiliano:
Benson E. Msechu
+255752025991
E: benmsechu@gmail.com
Переглядів: 213

Відео

Mbinu za Kuondoo Sauti za Puu Puu (POP Sound) na Kuongeza Usikivu Vifaa vya Muziki- BENSON E. MSECHU
Переглядів 6353 місяці тому
SEMINA YA WACHUNGAJI NA MAFUNDI MITAMBO ILIYOANDALIWA NA JMAT. Katika semina hiinimeonyesha kwa vitendo namna ya kutambua ala mbali mbali za Muziki pamoja na mbinu za kuondoa makelele kwenye vyombo vya Muziki. Sauti za Puu Puu (Pop Sound) ni sauti zinazokera...Midundo ya besi kupita kiasi inayopelekea kufunika (mask) matamshi ni tatizo kubwa sana kwenye nyumba nyingi za Ibada. Sauti yoyote isiy...
Fahamu Mackie DL16S Digital Mixer Inavyorahisisha Kutawala Vifaa Vya Muziki - Benson E. Msechu
Переглядів 2063 місяці тому
Mara Nyingi Makanisa madogo na ya kati huwa hayana nafasi ya kutosha kwa ajili ya Fundi Mitambo Kutawala Vyema Vyombo vya Muziki. Mackie DL 16s Digital Mixer inakupa uhuru wa kutawala vifaa vyako kupitia kwenye Simujanja na hivyo kuwa rahisi kwako kwenda rehemu yenye usikivu mbaya wakati wa ibada na kurekebisha kidigitale. Endapo ungependa kupata Kitabu cha Kutawala Vifaa vya Muziki: Kanuni za ...
Semina ya Wachungaji na Mafundi Mitambo PT_1: Speech Intelligibility - Benson Msechu
Переглядів 3223 місяці тому
Semina ya Wachungaji Na Mafundi Mitambo iliyoandaliwa na Jumuiya ya Marithiano na Amani Tanzania - JMAT. LENGO: Kutoa elimu kwa wachungaji na mafundi mitambo njia bora za kutawala vifaa vya Muziki ili kudhibiti sauti zilizozidi zenye madhara kwao na majirani. UELEWA WA MATAMSI (SPEECH INTELLIGIBILITY) Ujazo mkubwa wa sauti unaathari kwenye usikivu na hasa eneo la masafa ya juu kuanzia 2KHz mpak...
JMAT & NEMC WAANDAA SEMINA YA SAUTI NA MITETEMO ILIYOZIDI KATIKA NYUMBA ZA IBADA - BENSON E. MSECHU
Переглядів 3944 місяці тому
JMAT Goba wakishirikiana na NEMC waliandaa semina kwa wachungaji kuhusu sauti na Mitetemo iliyozidi katika nyumba za ibada siku ya Tarehe 15_Aug 2024 iliyofanyikia Goba katika ukumbi wa ZALZU Njia nne. Napenda kushukuru uongozi wa NEMC bila kumsahau Meneja wa NEMC, Glory Kombe kwa kunipa nafasi ya kutoa elimu hii kwa watumishi wa Mungu, Utukufu kwa Mungu peke Yake. Tafiti za kisayansi zinaonyes...
Madhara ya Sauti Kubwa: Shinikizo la Juu la Damu, Usikivu, Ukuaji wa Mtoto tumboni - Benson Msechu
Переглядів 6074 місяці тому
Hili ni Darasa la Kutawala Vifaa vya Muziki: Kanuni za Msingi - Level One. Hapa tunafundisha hatari za sauti kubwa kwa binadamu. Tafiti zinaonyesha kuwa unaposhindwa kuvitawala vifaa vya Muziki sio tu upo hatarini kupoteza usikivu bali yapo madhara mengine nje ya kushindwa kusikia kama madhara ya shinikizo la juu la Damu, kuathiri ukuaji kwa watoto wakiwa tumboni na hili ni muhimu wamama wajawa...
Jackson Kimaro - BCIC WAPO anaeleza alichojifunza ktk Darasa la Kutawala Vifaa Vyako vya Muziki
Переглядів 1374 місяці тому
Darasa hili lilikuwa la siku Tatu, Maelezo haya anayazungumza Jackson kimaro siku ya Pili. Darasa hili ni ngazi ya 1 (Level 1) kwa maana hiyo zipo tatu. Ni Darasa la Vitendo na Nadharia ambapo mwanafunzi anapata fursa ya kufanya kwa vitende na kuuliza maswali. Benson Msechu akishirikiana na Hubert Msuya walitoa elimu kwa nadharia na vitendo. Endapo ungependa kujiunga na group la whatsapp ya Kut...
Darasa la kutawala vifaa vya Muziki;Level 1 Benson Msechu
Переглядів 6404 місяці тому
Darasa siku Tatu la Nadharia na Vitendo la Kutawala Vifaa vya Muziki: Kanuni za Msingi: Daraja la Kwanza (Level One). Darasa hili limefanyika katika kituo cha Beem Media kilichopo Goba Njia Nne. Wanafunzi wamepewa fursa ya kupata uzoefu kwa kufanya kwa matendo kile walichojifunza pamoja na Kupatiwa Kitabu cha KUTAWALA VIFAA VYA MUZIKI: KANUNI ZA MSINGI kama rejea itakayowasaidia kuwakumbusha wa...
17. Jifunze namna ya kuunganisha na KuSet Crossover. 2Way, 3Way, Crossover Point - Benson E. Msechu
Переглядів 1,3 тис.5 місяців тому
Nimedadavua kwa kina zaidi ili kukujengea uwezo wa kutumia kifaa cha crossover kiusahihi zaidi. Kitabu cha Kutawala vifaa vyako vya muziki: kanuni zaMsingi sasa Kinapatikana. Weka order kupitia namba yangu wa hapo chini. Tutakuwa pia na darasa la Kujifunza namna sahihi Ya kutawala vifaa vya Muziki mwisho wa mwezi wa Saba: Tarehe 29-31 July, 2024. Tuwasiliane kwa maelezo zaidi. Benson Msechu ni ...
16 JIFUNZE KIFAA CHA CROSSOVER_DBX 234XL - BENSON MSECHU
Переглядів 3,8 тис.6 місяців тому
Ukifahamu Msingi wa Mwanzo wa kitu chochote utakuwa na uwezo mkubwa wa kuepuka uharibifu wa vifaa unaotokana na kukosa maarifa sahihi ya kuvitumia vifaa vyako vya Muziki. Nimekuweka Msingi utakao kusaidia kuelewa zaidi namna Crossover inavyofanya kazi ili kukupati Muziki Mzuri na kuvilinda vifaa Vyako. Nikujulishe Kuwa Kitabu cha KUTAWALA VIFAA VYAKO VYA MUZIKI: KANUNI ZA MSINGI sasa kinapatika...
15 SABABU ZA KUUNGUZA SPIKA:NGUVU YA UMEME (SPEAKER POWER RMS, PEAK, PROGRAMME, PMPO)- BENSON MSECHU
Переглядів 2,7 тис.7 місяців тому
VIPIMO VYA SPIKA UWAZO WA SPIKA KUHIMILI NGUVU YA UMEME(POWAR HANDLING OF SPEAKER) Hapa nimefafanua Nguvu ya Umeme ya Spika(power rating of spika), RMS, Programme Power, Peak Power pamoja na PMPO. wengi huwa wanapoona vipimo hivyo nyuma au mbele ya spika huwa vinawachanganya sana na kushindwa kujua kipi ni sahihi. Nimekufundisha kwa kina tofauti za hivyo vipimo, lakini pia nimekufundisha namna ...
14 VIPIMO VYA SPIKA (SPEAKER SPECIFICATION): UFANISI WA SPIKA (SPEAKER SENSITIVITY) - BENSON MSECHU
Переглядів 8568 місяців тому
Kushindwa kufahamu namna ya kutafsiri Vipimo vya Spika (Speaker Specification) kunaweza kukupelekea mara zote kuwa nanua Jumba la spika na kuacha kununua spika. Maeneo mengi utakuta wamebakia na majuba/box za spika kutokana na kuungua mara kwa mara. Kwenye Maandiko matakatifu Biblia inasema; Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa. Jifunze pamoja nami ili uokoe gharama za uhalibifu wa SPIKA...
13 KIWANGO CHA SHINIKIZO LA SAUTI (SOUND PRESSURE) LA SPIKA NA AFYA YA MASIKIO - BENSON MSECHU
Переглядів 6549 місяців тому
Sikio la Binadamu husikia mabadiliko katika shinikizo la sauti (sound pressure). Unapoongea, mapafu yako yanatuoa pumzi iliyobeba nguvu (Force) ambayo hiyo Force ndiyo inaenda kusukuma chembe chembe za hewa. Kwa kuwa kwenye hewa (Atmospheric air) ni midiamu inayovutika kama rubber band.... basi kinachotokea zile chembe chembe zina tikisika na zinapotikisika zinagongana na zenzake zilizokaribu.....
12 JIFUNZE KUHUSU AUDIO COMPRESSOR (KIKANDAMIZI CHA SAUTI) - BENSON MSECHU
Переглядів 9229 місяців тому
12 JIFUNZE KUHUSU AUDIO COMPRESSOR (KIKANDAMIZI CHA SAUTI) - BENSON MSECHU
11 JIFUNZE NAMNA MACKIE PROFX16V3 INAPOTUMIKA NA LAPTOP COMPUTER - BENSON MSECHU
Переглядів 9069 місяців тому
11 JIFUNZE NAMNA MACKIE PROFX16V3 INAPOTUMIKA NA LAPTOP COMPUTER - BENSON MSECHU
10 JIFUNZE MACKIE PROFX16V3 INAVYOTUMIKA KWENYE MUZIKI WA LIVE - BENSON MSECHU
Переглядів 1,8 тис.10 місяців тому
10 JIFUNZE MACKIE PROFX16V3 INAVYOTUMIKA KWENYE MUZIKI WA LIVE - BENSON MSECHU
9. AUDIO MIXER YAMAHA MG 16XU: JIFUNZE HPF | COMBO INPUT | UUNGANISHAJI WA LAPTOP - BENSON MSECHU
Переглядів 6 тис.10 місяців тому
9. AUDIO MIXER YAMAHA MG 16XU: JIFUNZE HPF | COMBO INPUT | UUNGANISHAJI WA LAPTOP - BENSON MSECHU
8 AUDIO MIXER INPUT: UNAWEZA UNGUZA VYOMBO VYA MZIKI KWA SAUTI NDOGO - BENSON MSECHU
Переглядів 2,8 тис.10 місяців тому
8 AUDIO MIXER INPUT: UNAWEZA UNGUZA VYOMBO VYA MZIKI KWA SAUTI NDOGO - BENSON MSECHU
7. JIFUNZE AUDIO MIXER: MTIRIRIKO WA SAUTI (AUDIO SIGNAL FLOW) - BENSON MSECHU
Переглядів 1,1 тис.10 місяців тому
7. JIFUNZE AUDIO MIXER: MTIRIRIKO WA SAUTI (AUDIO SIGNAL FLOW) - BENSON MSECHU
6 FAHAMU EQUALIZER NA ATHARI YA MAJENGO KWENYE SAUTI YA VYOMBO VYAKO VYA MIZIKI - BENSON MSECHU
Переглядів 1,2 тис.11 місяців тому
6 FAHAMU EQUALIZER NA ATHARI YA MAJENGO KWENYE SAUTI YA VYOMBO VYAKO VYA MIZIKI - BENSON MSECHU
5 MAJIBU YA MASAFA YA VIFAA VYA MZIKI (FREQUENCY RESPONSE OF MUSIC EQUIPMENT)
Переглядів 68211 місяців тому
5 MAJIBU YA MASAFA YA VIFAA VYA MZIKI (FREQUENCY RESPONSE OF MUSIC EQUIPMENT)
4 FAHAMU MATUMIZI YA FREQUENCY BANDS KWENYE EQUALIZER (EQ) NA AUDIO MIXER - BENSON MSECHU
Переглядів 1,4 тис.11 місяців тому
4 FAHAMU MATUMIZI YA FREQUENCY BANDS KWENYE EQUALIZER (EQ) NA AUDIO MIXER - BENSON MSECHU
3 SAYANSI ILIYOPO NYUMA YA VYOMBO VYA MZIKI: SAUTI NI NINI ? - BENSON MSECHU
Переглядів 1,1 тис.11 місяців тому
3 SAYANSI ILIYOPO NYUMA YA VYOMBO VYA MZIKI: SAUTI NI NINI ? - BENSON MSECHU
2 MUUNDO WA VYOMBO VYA MUZIKI UNAOTUMIKA MAENEO MENGI - BENSON MSECHU
Переглядів 61211 місяців тому
2 MUUNDO WA VYOMBO VYA MUZIKI UNAOTUMIKA MAENEO MENGI - BENSON MSECHU
1 Kutawala Vifaa Vyako vya Muziki: Kanuni za Msingi - BENSON MSECHU
Переглядів 1,3 тис.11 місяців тому
1 Kutawala Vifaa Vyako vya Muziki: Kanuni za Msingi - BENSON MSECHU
JAMES & REHEMA Wedding Ceremony. Oct 28, 2017 By Beem Media Ltd
Переглядів 706 років тому
JAMES & REHEMA Wedding Ceremony. Oct 28, 2017 By Beem Media Ltd
JENIPHER"S PRE-WEDDING. Sept 21, 2017. By BEEM MEDIA LTD
Переглядів 526 років тому
JENIPHER"S PRE-WEDDING. Sept 21, 2017. By BEEM MEDIA LTD
DENICE & ASTED Wedding Day. Aug 12, 2017. By BEEM MEDIA LTD
Переглядів 166 років тому
DENICE & ASTED Wedding Day. Aug 12, 2017. By BEEM MEDIA LTD
PIUS & JESCA Wedding Day. Sept 30, 2017. BY BEEM MEDIA LTD
Переглядів 306 років тому
PIUS & JESCA Wedding Day. Sept 30, 2017. BY BEEM MEDIA LTD
Musa & Mariam Wedding Ceremony. Dec 09, 2017. BY BEEM MEDIA LTD.
Переглядів 1176 років тому
Musa & Mariam Wedding Ceremony. Dec 09, 2017. BY BEEM MEDIA LTD.