FULL MDAHALO-IPI DINI YA MANABII MDAHALO-MASHEIKH SHAFII,MBOGO,IBRAHIM NA MCHUNGAJI DANIEL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 82

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk День тому +2

    Waislam kazi ipo kuwaelimisha wakristo maana vichwa ngumu hawafahamu ila waislam tusichoke kwani muongozaji ni Allah,
    Tuwaombee dua wakristo wakiona haki waifuate, Aamiin.

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 години тому

    Hao jamaa ata Bibilia yenyewe wanaikataa,Live kabsaa,nawahurumia wafuasi innocent wanafuata kishabiki,..ata hayo maneno ya YESU pia wanayakataa ,duh! SubhanaAllah

  • @FathiyaAnwar
    @FathiyaAnwar День тому

    We mchungaji wewe utachomwa wewe.ngoja ufe ndiyo utajuwa June july. mungu akusamehe kwa kejeli na upoteshi kwa wa naadamu wa Mollah ww wazi ni njaa ndiyo inapeleka uwe na kibri.mungu akusamehe sana na akuongoze kabla hujafa Amin

  • @IbrahimIbrahim-r2x
    @IbrahimIbrahim-r2x 3 дні тому +1

    Mashallah manshallah nlisubilia sana kwa hamu mijadara kama hii

  • @OmariShuli
    @OmariShuli 2 дні тому +1

    UISLAAM NDIO DINI YA MITUME WOTE.
    Qrn 4:163-164.
    Qrn 42:13
    Aya hizi zinatufahamisha kwamba ujumbe alokuja nao Mtume Muhammad ndio huohuo walokuja nao MITUME WOTE. Tangu NUH as hadi ISA IBNU MARYAM.
    Na ujumbe wenyewe ni:-
    "...MUABUDUNI MWENYE EZI MUNGU(MMOJA TU), KWANI HAMNA NYINYI MUNGU MWENGINE ISIPOKUA YEYE..."
    Ujumbe huu ndo ulobebwa na neno "لا اله الا الله" (HAPANA MOLA ANAEPASWA KUABDIWA KWA HAQQI ISPOKUWA MWENYE EZI MUNGU TU)
    Anapo simama mtu mbele za watu akatangaza; "HAPANA MOLA ANAEPASWA KUABDIWA KWA HAQQI ISPOKUWA YESU(MWANA WA MARYAM).Mtu huyo ana dini za KIPAGANI za kuabudu viumbe.

  • @mbwanasendaro4707
    @mbwanasendaro4707 3 дні тому +1

    Allah aqbar

  • @IbrahimIbrahim-r2x
    @IbrahimIbrahim-r2x 3 дні тому +4

    Napenda kushauri andaeni mjadara mkubwa alafu muwaite waadhiri wote wa kiislam na waadhiri wote wa kikristo akiwa myahudi,yohana omary na mwalim chaka wa mussa na wengine

  • @glorianyevu
    @glorianyevu 2 дні тому +2

    Uislamu naulibali hatakama mm ni mkristo

    • @Matalatala267.
      @Matalatala267. 2 дні тому +1

      Mimi mi mkristo ila uislam ndo dini ya kweli kabisa

    • @SaidiMazaila-g3o
      @SaidiMazaila-g3o 2 дні тому

      Bdo hamjachelewa ndugu zangu karibuni.. katka uislamu🙏

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 2 дні тому +1

      ​@@Matalatala267.Kama umelijua ilo chukua maamuz ndugu kabla ya kuondoka kwenye mgongo wa ardhi

  • @Salimmikwanga-g1z
    @Salimmikwanga-g1z 3 дні тому +1

    Hawa wakristo ni wa hvo kwel

  • @AntonyManeno
    @AntonyManeno 3 дні тому +2

    Ni Nani Kamsilimisha Mhamad😢😢 Kama Hamjui Basi Mhamad Ndie Mwenye Dini Ya Uisilam😢😢😢 Wala Sio MUNGU🎉

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 2 дні тому

      kbs

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 2 дні тому

      Kuingia uislam mpaka usilimishwe. Watu wote wamezaliwa waislam

    • @johnsonbernald11
      @johnsonbernald11 2 дні тому

      Uislam ndio dini pekee duniani yenye ukweli na haki ​@@Catherine-mh8sw

    • @khamismachano2374
      @khamismachano2374 День тому +1

      Ukisema ivyo utakasema kwani yessu amesema kwenye kitabu kp kuwa yy mkristo

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 День тому +2

      Anthonymaneno- ikiwa una lengo la kujua - ukielekezwa kiungwana utaelewa - ikiwa unalengo la kukashifu - ningumu kupata faida - mm nitauliza adam , noah , abraham ,mosses , aron , daudi , zacaria , daniel hawa woote dini yao ni ipi kwa maandiko naomba ?
      Kisha nitakujibu hilo swali lako wala sio ushindani..

  • @AmranSeif-e4f
    @AmranSeif-e4f 3 дні тому +1

    Kaka yangu usicoki kuwa fundisha wakristo ukweli endelea mungu atakulipa maana wako wengi hawajuwi ukweli wanafwata wacungaji wao nambaya zaidi wacungaji hawana ujuzi wakutosha wanatia pesa mbele usicoki kaka yangu endelea kuelimisha wakriston

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 3 дні тому

      Kwa hiyo mchungaji hayo anayoongea anatunga au anasoma vitabu vya kiislamu? Sikiliza kwa umakini halafu tafakari, kukaririshwa na kuamini ulichokaririshwa haitakusaidia chochote sikiliza pande zote kwa utulivu uone kama hutagundua kitu

  • @MussaMusssa
    @MussaMusssa День тому

    Jina la mtu haliwez kua dini danieli

  • @hassandinhoosmail6378
    @hassandinhoosmail6378 3 дні тому +2

    Huyu Mchungaji ana Chuki binafsi. La'anatullah caleyhi.

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 3 дні тому

      Chuki zipi wakati anasoma vitabu vyenu? Hivi kwa nini mkiambiwa ukweli mnasema ni chuki? Kwani yupo anatunga au ni vitabu vyenu? Kwani hayo anayosoma yanahitaji kufundishwa na wakati yapo wazi dah😂

    • @khloevibe7569
      @khloevibe7569 2 дні тому

      we nae ka msenge

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 День тому

      ​@@mobutu3884 mm napenda tueleweshane kwafaida , walimu wengi huwafumba wasio jua na watu wa kawaida kwa hoja na hila na mwalimu hutumia hoja hio hio kupinga kitu wakati akija siku ingine hutumia hoja hio km kitetezi kwake - hili ndio linakua shida kubwa - inakosa ukweli na uchamungu ...
      Binafsi nauliza ukweli unaokusudia km upi hapo? Kwani unaweza kusema kwa maandiko adam ,noah ,abrahm mpk mosses na daudi walikua dini gn kwa maandiko?

  • @hamisikeneth2332
    @hamisikeneth2332 2 дні тому

    Hapo ushindani unakua mgumu kwa sababu kilichoandikwa kwenye bibilia hata kwenye kuruan pia hivyohivyo kwahiyo kwanza tujue bibilia imeandikwa na nani na koroani imeandikwa na nani

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 3 дні тому

    Shafii mlekebishe mitambo yenu inakatakata

  • @EddyOthman
    @EddyOthman 2 дні тому

    Kwakua Danieli ametumia Quran kuthibitisha hoja yake basi awasomee wakristo wenziwe na aya hii: Quran 3:67

  • @abdallahhamisiiddi4513
    @abdallahhamisiiddi4513 День тому

    Akili ndogo sana ,unaanzaje kusilimu wakati dini hakuna?ukiona mtu anasilimu ujuwe dini ipo,kuwa kafiri kazi sana

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u 2 дні тому

    Waasilam wengi maamuma kaz yao kuitikia tu wanaambiwa Adam.msilam wanaitikia ziro

    • @zainabzanzibar1518
      @zainabzanzibar1518 День тому

      Sasa na wewe unaeambiwa Yesu Mungu unakubali Tena sasaivi mnaliabudu lile zungu mcheza filam eti yeye ndie Yesu mnakubaliivi wewe utawaambia nini waislam heri ukae mbali

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 День тому

      Kweli wengi maamuma - binadamu wengi hawapendi kujifunza na wengi hujiona wanajua - Mwenyezimungu atuondolee ujinga..
      Nilikua naomba faida kwako , je adam , noah ,abraham ,mosses ,aron ,daudi walikua dini gn? Naomba na ushahidi wa kimaandiko ili tufaidike ...

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 День тому

      Acha ujinga wewe waisilamu niwasomi wadini Yao sio sawa na wakristo mnasomewa na wachungaji Tena kwa wiki maramoja sisi waisilamu tunakwenda madrasa kilasiku tunaswali kilasiku nyie mnafuatatu ujinga wakuambiawa sasa hivi mnaenda kusherekea krismas nahaipo kwenye maandiko ya bibilia sasa sijui mlitoa wapi mafutavitu ambavyo hayapo sasa hivi papa wa Vatican ameruhusu ushoga LGBTQ mfano katholic chach angrykan charch namengine kibao nabado mnafanya kwani nimakanisa mangapi mapasta na wachungaji na maaskofu wanafungisha ndoa zajinsia Moja auhamjui??? Sasa hii ndio dini ya mungu kweli??

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 3 дні тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daah ila Daniel mwankemwa kweli mbishi

  • @spartachize122
    @spartachize122 3 дні тому +2

    Maana ya neno "Kristo" Ni mtiwa mafuta, alafu mnasema ndio dini yenyewe hio? Wakati kwenye Biblia hakuna neno Ukristo ni dini...... Yaani hawa watu unaeza jaribu kuwaskiza mwaka mzima hautawalewa maana wanapindua pindua mambo tu😢😢😢

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 3 дні тому +1

      Bro Biblia iliandikwa kabla ya quran so hata quran ikiandika uislamu ndio dini na Biblia isiandike haifanyi ukristo kutokuwa dini kwa sababu quran ilikuwa inaandika kwa kukopi Biblia. Hata wewe ukiandika saizi kitabu chako ukasema sparta ndio nini ya haki mbele za Mungu, hiyo haitafanya ndio iwe kweli sababu unaangalia kile ambacho hakijaandikwa katika kile kitabu kilichotangulia halafu unakiandika wewe ili badae uje uaminishe watu kuwa upo sahihi😂.jaribuni kutumia ubongo tu kwa kufikiria na sio kukariri. Dini ni njia na Yesu kristo ndie njia yenyewe shida mnadhani dini ni kama kakifaa fulani hivi 😂

    • @MaryNjeri-d6y
      @MaryNjeri-d6y 2 дні тому

      sasa kuwa hakuna Neno kuwa Ukristo ni Dini hio si hoja mana kinacho stahili ni kuelewa Dini ni nini. Mana Dini sio kipande cha nyama ama cha dhahabu ila ila Dini ni Imani km unaamini Uchawi basi Dini yako ni Uchawi na km unaamini Uislam basi ww n Muislam na unastahili ujue chimbuko la Uislam ila km ww unaamini Kristo basi Dini yako ni Ukristo na unafaa kujua chimbuko la Ukristo ni nini? Na Aya iko inayo sema muaminini yye ndie mwanangu mpendwa ninaye pendezwa nae ambae ni Kristo nasi tunaamini Kristo mana Kristo Yesu n Neno la Mungu na tunaamini Hilo Neno na ndio Dini

    • @HawaBakari-u6q
      @HawaBakari-u6q День тому

      Tatizo akil ndogo sana inabidi msaidiwe kufikiri sometime,Leo Kuna nimemuliza dini ya manabii akasema n uyahudi haya dini ya yesu alufundisha n ukristo kwa yesu kaleta dini mpya haaa hapa yesu mungu alivyokufa kopi yake ilibaki kwenye kitu Cha enz Yan siasa nyingn duu me moagan lakin waislam wamenyioka pia ndo chanzi Cha ustarab Dunian ila kama we unadai Dunian hakuna dini bass ww ufaham wako mdogo sana inabid usaidiwe kufiria😂😂😂

    • @spartachize122
      @spartachize122 День тому

      @HawaBakari-u6q waambie maana naona hawaelewi ata kidogo

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 День тому

      @@HawaBakari-u6q Labda nikuulize swali, quran haimtambui Yesu kama ni Kristo?

  • @SaidAlnaamani-z1o
    @SaidAlnaamani-z1o 3 дні тому

    Huyo Daniel nikupiga kelele tu Hana lake jambo

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 3 дні тому

      Si kwa sababu anaongea ambayo hutaki kuyasikia? Na ni mambo ambayo huwa hamuambiwi hivyo hamjazoea 😂 ila ndio ukweli maana anasoma vitabu vyenu

    • @SaidAlnaamani-z1o
      @SaidAlnaamani-z1o 2 дні тому

      Wewe soma Yohan 17/3 kama hukufahamu basi wewe umepoteya

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 2 дні тому

      @@SaidAlnaamani-z1o sasa ina shida gani hiyo yohana 17:3 malizia kwa kusoma na 5 ndio uone jinsi mnavyomfahamu Yesu baada ya kuzaliwa na Mariam na mkaaminishwa hivyo, hiyo 5 itakufumbuaa kitu kama ni mwelewa

    • @elifasinimpagaritse7902
      @elifasinimpagaritse7902 2 дні тому

      @@SaidAlnaamani-z1o 5 Na sasa Baba nipe mbele yako ule utukufu niliokuwa nao pamoja na wewe hata kabla dunia haijaumbwa.

  • @Shillingi
    @Shillingi 3 дні тому

    Tatizo ni kua auliza yye ajibu yeye sasa anauliza nn na hajaongea ni ipi ya kweli

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u 2 дні тому

    Sasa kama Ibrahim alikua msilam alikua anaokozwa nanini wakat wasilam muongozo wao quan wenye akir na waelewe

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 День тому

      Kwa utaratibu mzuri wa kujifunza - ibrahim na babaake adam na noah walikua dini gn? Naomba kwa maandiko ndio tufumbuane akili

  • @Shillingi
    @Shillingi 3 дні тому

    Eti kasilinu akiwa na miaka 10 wakati huo ata sai kijana wa miaka 10 haina haja asilimu yye muisilamu tayri nani kamsilimisha😂😂

  • @halifaisuja5082
    @halifaisuja5082 3 дні тому

    Huwa siwaele.....unasoma quran ambayo huyo unayomkataa unakisoma kitabu hicho...sasa tuwaelewe vp

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 3 дні тому +1

      Kwani hao masheikh wanavyosoma Biblia huwa wanaikubali? Au unaona upande mmoja 😂

  • @khadijaabdul3573
    @khadijaabdul3573 3 дні тому

    Sema Wakristo wamenyimwa nuru ya uelewa yaani akili haziwez kuwaza kabisa. Kabla ya mijadala matendo yao tu wakitafakar kwa makini wanauacha

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 3 дні тому

      Sasa wewe iliyepew nuru ya uelewa, uislamu una nguzo 5 ili uwe umekamilika, na hakuna uislamu kama hakuna hizo nguzo, sasa katika hizo nguzo 5 unaona zinawagusa manabii waliotangulia kabla ya mohamad? Au kabla ya mohamad kulikuwa na nguzo zingine? Jaman hata kama quran inasema manabii waliotangulia walikuwa waislamu, kwa hiyo nyie hamtaki kuhoji hilo, au ndio mnaambiwa ni dhambi kuhoji mambo yaliyokwishaandikwa😂

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 2 дні тому

      ​@@mobutu3884kila umma unakuja na utaratibu wake. Kama hulijuwi hilo.

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 2 дні тому

      ​​​@@mobutu3884 Nguzo za uislaam;-
      Nguzo ya kwanza- KUKIRI KUWA HAKUNA MUNGU ANAEPASWA KUABDIWA KWA KWELI ISIPOKUWA MWENYE EZI MUNGU TU.
      Kwa kuwa tunamjua Mwenye ezi Mungu kwa kupitia Mitume, ni lazima umkiri huyo mtume aliye kujulisha Mwenye ezi Mungu.
      Sisi Mtume wetu ni Muhammad, tunasema: Hapana Mungu anaye pasa kuabdiwa kwa kweli ispokuwa Mwenye ezi Mungu, na Muhammad ni mja wake na mjumbe(mtume)wake.
      Na hivyo hivyo kila umma ulitakiwa ukiri hilo. Na hiyo ndiyo SHAHADA.
      Na ndiyo iliyopo kwenye andiko hili la yohana 17:3. "....WAKUJUWE WEWE MUNGU WA PEKEE NA WA KWELI...."
      Nguzo ya pili ya uislaam ni Kuswali. SWALA NI IBADA ANAYOIFANYA MJA KUONYESHA;- UDHALILIFU, UTEGEMEZI, UNYENYEKEVU,MAPENZI UTWIIFU NA USIKIVU KWA MOLA WAKE. Na kujidhalilisha kwa daraja ya mwisho kabisa ni kuweka paji lako la uso ardhini kumsujudia Muumba wako.
      NA HILI WAMELIFANYA MITUME WOTE.
      Nguzo ya tatu ya uislaam ni:- KUTOA ZAKA.
      Kama ilivyo swala, ni mahusiano kati ya Mja na Muumba wake, basi zaka ni kutengeza mahusiano kati ya mja na mja mwenzake, kwa kutoa sehemu ya mali yake- hali ya kumtwii Muumba wake-katika kukidhi haja za wanyonge ndani ya jamii.
      Je halikuimizwa hili na Mitume walo tangulia? Je zaka huikuti ndani ya bibilia?
      Nguzo ya nne ni;-
      KUFUNGA(SWAUMU),
      Kufunga ni kujizuilia kunywa, kula na matamanio mengine ya kimwli-hali ya kumtwii Muumba-kwa kipindi maalumu.
      Kila umma waliwekewa utaratibu wao wa kufunga.
      Sisi ummat Muhammad saw. tumewekewa mwezi mzima na kuanzia alfajiri hadi jua linapo kuchwa. na umma nyingine waliwekewa utaratibu wao.
      Je hukuti kufunga kukizungumzwa ndani ya bibilia?
      Nguzo ya tano ni Hijja.
      Hijja ni kuikusudia nyumba ya Mwenye ezi Mungu (KAABA) iliyoko MAKA kwa ajili ya ibada. lakini kwa yule atakayekuwa na uwezo.
      Kwa khabari zisizo shaka ni kuwa KAABA ilijengwa na Baba wa imani NABII IBRAHIM akisaidiwa na Mtoto wake NABII ISMAAIIL. Na baada ya kuijenga akawafundisha wakazi wa maka wa wakati huo utaratibu mzima wa ibada ya hijja.
      Mimi siku hizi nasikia midomoni mwa wakristo wakitaja kwenda hijja huko Jerusalemu. sijui na wewe walisikia hili? hebu kaliulize vizuri.
      IBADA ya hijja iliendelea kwa utaratibu huwo ulofundishwa na Nabii ibrahimu kwa miaka mingi, hadi hapo shetani alipoingilia kati wakaanza kuingiza mambo mengine, hadi kufikia takriban miaka mia tatu kabla ya kuzaliwa Mtume Muhammad saw. kukaingizwa-ktk mji wa Makka-Masanamu.
      Hadi kutumilizwa Mtume Muhammad ndio kuisafisha Kaaba kuiondosha ibada ya Masanamu na kuirudisha hijja ktk mfumo wake sahihi.
      Ukisoma baadhi ya vitabu vya historia vinawataja baadhi ya mitume walio kuja na kutekeleza ibada ya hijja. Bali kama nilivyo sema; ni ibada inayohitaji uweza.
      Amma kutahiriwa, pia ni milla/utamaduni wetu waislaam tuliorithi kutoka kwa babaetu Nabii ibrahim, ni sunna ilotiliwa nguvu. amma kuwa ni siku ya nane au ya saba au ya ngapi hilo si muhimu, kwani hata Ibrahimu alipoletewa amri hiyo alikuwa mtu mzima na akatahiriwa na hata Mwanawe Ismaaiil na wote waliokuwa pamoja naye walishapita siku nane lkni wote walilazimika kutahiriwa na Wana wa Esrael walipokuwa jangwani hawakutahiriwa, na baada ya kuvuka mto yordani wakiwa na Yoshua ndipo wakatahiriwa wote.
      Huwo ndio uislaam na hiyo ndiyo dini ya manabii.
      Je ndugu yangu, na wewe umo? kama umo basi Mshukuru Mola Mlezi, kama haumo basi jitahidi uwemo?

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 День тому

      ​@@mobutu3884km lengo ni kufundisha ningependa tuelewashane - Mwenyezi Mungu alie umba mbingu alituma kila nabii na kila mtume kwa lengo la kuja kumtangaza Mungu mmoja - na kila zama na kila nabii wa kila umma walikua na sheria zao na taratibu zao ambazo Mungu aliwaekea kwa kupitia nabii huyo -
      Nguzo hizi tano ndio tulizopewa umma huu wa mwisho - kwani wafuasi wa Mussa pia walipewa taratibu zao ambazo hazikua km watu wa zama zengine...

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 День тому

      ​@@mobutu3884uko sahihi kuhoji - lkn je ww unaweza kuthibitisha ibrahim mafundisho yake? Na je sheria za watu wa noah na ibrahim unazifuata ss?
      Kila nabii huja kumtukuza Mwenyezi Mungu mmoja wa kweli- kisha yeye ndio huweka utaratibu watu wa zama waafanya ibada vp-