TUNDU LISSU "PROFESSOR JAYNilimuona AKIWA MZIMA sasa ANATEMBELEA WHEELCHAIR/SIWAJUI WASANII WA BONGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 33

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 10 місяців тому +3

    Mtu yeyote mwenye upendo,hekima mwenye huruma,mwanajamii,lazima atende haya ya Prof JAY.Mungu ambariki kuisaidia jamii.

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 10 місяців тому +6

    Makamanda hao, hata wewe bado unaumwa wiki tz wiki ubelgiji hosp ila bado mnapambana 💪 sema tu mpango yu hai

  • @fidelisstephen6833
    @fidelisstephen6833 10 місяців тому +1

    Proud of you Mnyatruu mwenzangu

  • @ASALABOY
    @ASALABOY 10 місяців тому +2

    Uyu Dada mwamba sana anaga makuu mpambanaji sana Napenda sana na sana n sana 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇲🇿🇲🇿

  • @kabotezeey8474
    @kabotezeey8474 10 місяців тому +1

    From hip hop to ubunge then CEO of Foundation God knows everything

  • @foibennjeje7730
    @foibennjeje7730 10 місяців тому

    Mungu akulinde j

  • @ahmadamohamed1907
    @ahmadamohamed1907 10 місяців тому +2

    2017 nawe toka umerudi kutoka ubelgiji zaidi ya miaka 2 imepita hapa ndipo kipimo cha utu wako

  • @deodatangereza960
    @deodatangereza960 10 місяців тому +1

    Professor j ni MTU WETU atuachie,asijikombe kombe kwake.

    • @agnessima5032
      @agnessima5032 10 місяців тому

      Anajikombaje kwani?? Kwa hiyo yeye aliposalimiwa na pr. J hospitali ndo tuseme pr. J alijipendekeza?? Lisu anafahamu nini uzito au mazito aliyopitia na anayopitia prof. J ndio maana amejumuika naye.

  • @PatrickKiula
    @PatrickKiula 10 місяців тому

    Mungu amsaidie

  • @issachina9443
    @issachina9443 10 місяців тому

    huyu dada good presenter

  • @FrancisDaka-pe3xd
    @FrancisDaka-pe3xd 9 місяців тому

    Pr jay komaa hilo ulilo anzisha nizuri zaidi kuliko mwanasiasa yeyote

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 10 місяців тому

    Tatizo lawatangazaji wetu hufkria bongo flava nikitu kikubwa hv kilamtu lazima ajue hongera sana lisuu kwakumtoa nishaiii

  • @paulmsape163
    @paulmsape163 10 місяців тому

    Kweli hujafa hujaumbika, Mungu amtie nguvu kijana wake

  • @yusuphadamu4371
    @yusuphadamu4371 10 місяців тому +1

    mungu aendelee kumpa nguvu na faraja ya maixha yake,🙏🙏

  • @EustacheKasongo-j5g
    @EustacheKasongo-j5g 10 місяців тому

    God to help you prof 😢and have mercy on you 😢😢😢😢😢😢😢

  • @jutomzelu3692
    @jutomzelu3692 10 місяців тому +2

    Makamu wa mwenyekiti wa chama, hajapata kumuona mwanachama wake kwa muda mrefu

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 10 місяців тому +2

      Mambo mengi sana muda mchache: huyu hospitali Nairobi na Ubelgiji; huyo Muhimbili na India!!! Tumshukuru Mungu wameonana leo❤

    • @ahmadamohamed1907
      @ahmadamohamed1907 10 місяців тому

      @@1961nungwi yupo zaidi ya miaka 2 anahangaika na bandari ameshidwa kwenda kumuona mwenziwe huyu ubinaadamu wake ni mdogo sana

  • @patnakituma4244
    @patnakituma4244 10 місяців тому

    Kwa kweli inaumizaa

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 10 місяців тому

    Mjomba leo sijamsoma Sasa ulivyorudi na wewe kwanini usimtembelee

  • @MashakaMashaka-t1f
    @MashakaMashaka-t1f 10 місяців тому

    Pole

  • @FrancisDaka-pe3xd
    @FrancisDaka-pe3xd 9 місяців тому

    Kama haujawaihi muona mshirika wako utatambua umuhimu wa wananchi

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 10 місяців тому

    Uende kwenu wewe sio wa Tz. Ukale unakopeleka mboga.

  • @ulimwenguswed6394
    @ulimwenguswed6394 10 місяців тому

    Yani uyo mtu sio powa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 10 місяців тому

    👊✌👍.

  • @songombingo108
    @songombingo108 10 місяців тому +1

    Hujafa hujaumbika

  • @deodatangereza960
    @deodatangereza960 10 місяців тому

    Hana lolote njaa tupu hapo.
    Atuachie nchi yetu aende huko kwa mabwana Zake,mchonganishi mkubwa!
    Wananchi tufumbuke macho na akili.

  • @janiafaomaa5120
    @janiafaomaa5120 10 місяців тому

    SHOGA LAKI BELJIUM TUDU LISSU

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 10 місяців тому +1

      Ujinga unawaumiza Sana nyie CCM.. Berigum alikwenda kutibiwa....

    • @muhsinikoki4060
      @muhsinikoki4060 10 місяців тому

      we mavitu

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 10 місяців тому

      @@muhsinikoki4060 Wewe ni Andazi... Ccm na Andazi ni mtu na Mke mwenza.....

  • @YasintaKisholi-z5j
    @YasintaKisholi-z5j 10 місяців тому

    Hujafa hujaumbika