UTAPENDA MAISHA YA MCHUNGAJI HANANJA, JUMBA LA KIFAHARI, NIMECHIMBA DHAHABU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2023

КОМЕНТАРІ • 126

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому +13

    Nakupenda sana mchungaji hananja una mafunzo mazuri sana mungu akubariki kwa nguvu zote

  • @haroldtarimo8399
    @haroldtarimo8399 Рік тому +6

    Huyu mchungaji Mungu kampa karama ya kipekee
    Mungu wetu mwema akubariki sana

  • @TheMakala21
    @TheMakala21 Рік тому +3

    Napenda sana kumsikiliza huyu mzee! i get everything from him; I lough, I learn e.t.c

  • @jackmeshack
    @jackmeshack Рік тому +1

    Mchungaji ananibariki lakini huyu dada hafai kwa jamii ya wakristo hana adabu kbisa unavaaje ivo nyumban kwa mchungaji shukru Mungu ni mzee.

  • @wiseman845
    @wiseman845 Рік тому +3

    Mwandishi ulitakiwa kumsalimia sio kumwambia heshima yako, chenga Sana ndg mwandishi.

  • @reginameitavan4032
    @reginameitavan4032 Рік тому +4

    Amina Mchungaji,barikiwa sana kwa maneno yenye hekima

  • @user-yp3he9qg1s
    @user-yp3he9qg1s 4 місяці тому

    Mungu akuzidishie umri baba Mimi ni muislam Ila nakuelewa sana mchungaji Hananja

  • @geofreymasija7170
    @geofreymasija7170 Рік тому +8

    mchungaji Mwenyezi Mungu akutie nguvu vijana wako tunajifunza kutoka kwako

  • @GraceHyera-pb4lk
    @GraceHyera-pb4lk Місяць тому

    Mchungaji huko vzr sana unasema kweli kabisa

  • @faithmarcho-yf3sb
    @faithmarcho-yf3sb Рік тому +3

    Ur words always medicine to my heart more annoiting pastor😅

  • @ChristopherSeti
    @ChristopherSeti 2 місяці тому

    Noma sana

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 6 місяців тому

    Napenda maisha ya Maaskofu wetu wana elimu ya kushiba na wala hawatafuti ufahari kwenye mitandao❤❤❤

  • @elisaezra
    @elisaezra Рік тому +2

    Ubarikiwe Baba Mchungaji 🙏

  • @eliyamanandi1133
    @eliyamanandi1133 Рік тому +1

    Amen. Munge akubariki Mchungaji na huduma yako.

  • @user-pk5re8hj9o
    @user-pk5re8hj9o 7 місяців тому +1

    Ubarikiwe sana baba Hananja

  • @upendomsuya8961
    @upendomsuya8961 Рік тому +1

    Mungu akubariki sana kwa Massage nzito kwa Vijana 😍🙏

  • @zambanirockfirefightingsupplys
    @zambanirockfirefightingsupplys 7 місяців тому +1

    Huyu ni pastor na nusu

  • @BensonBen-ce5wd
    @BensonBen-ce5wd Місяць тому

    muwe mnava vizuri mkienda kwa watumishi

  • @negredorapha7591
    @negredorapha7591 Рік тому

    Appriciet..Mzee dini mambo mengi wakt zimeletwa...😄😄 Nakubaliiii unawachana...sana Kuishi mara moja tyu...tunao 😄

  • @nasambulilian380
    @nasambulilian380 Рік тому

    Hongera sana na kupata veema sana ni kiwa saudi Arebia 💓🇸🇦

  • @upendo82
    @upendo82 Рік тому +3

    Ishi sana Pastor! Karibu tena KCMC

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 Рік тому +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @gracealexander1450
    @gracealexander1450 Рік тому +1

    AMEEEN AMEEEN MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI WAMUNGU AMEEEN AMEEEN

  • @filimonmpinge6039
    @filimonmpinge6039 Рік тому +2

    Mtangazaji ningekuwa mm ningekufukuza unaenda kumuhoji mchungaji umevaa mapaja nje

  • @aureusnchimbi7243
    @aureusnchimbi7243 Рік тому +2

    have long laifu babaaaa🙌🙌

  • @tajirimichael6242
    @tajirimichael6242 Рік тому +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @peterbalyagati7834
    @peterbalyagati7834 Рік тому

    Mungu akubariki , akuongezee maisha marefu

  • @damiangarang1900
    @damiangarang1900 Рік тому +1

    Mze baba nakuelewa sana. Karibu tena Namanga border.

  • @nasambulilian380
    @nasambulilian380 Рік тому

    Amen 🙏🙏🙏God bless you somuch Amen

  • @dominicrobert266
    @dominicrobert266 Рік тому +1

    Huyu mchungaji anazungumza kweli kabisa, nimempenda.

  • @ibrahimshilinde6129
    @ibrahimshilinde6129 Рік тому +1

    Mwenzako anatumia sadaka na hazina Kodi Wala tozo

  • @nemeskulaya3962
    @nemeskulaya3962 Рік тому

    Unafufua tumaini jipya kwa kila anayekuckiliza, usiache kusema hadi Mungu atakapochukua pumzi yke. Mungu akupe miaka zaidi neno lake lizidi kutamalaki.

  • @NtanunuraWillsonBaru
    @NtanunuraWillsonBaru Рік тому +2

    Mchungaji mungu akubaliki Sanaa waafrka tungekuwa wote tumeelewa kuwa kutafuta pesa na kusali sio kuwaza maombi tu eti mungu atafanya miujiza hapo ndio tulipokwama walioendea wote wanawaza kutafuta tu.

    • @festonwilly
      @festonwilly Рік тому +1

      Asante mchungaji kwa wote wenye kupokea mafunzo yako wainuliwe wote wanao yasikiliza kutuinuwa kufanya kazi ktk kuomba Amina mchungaji

  • @lilianchuwa4324
    @lilianchuwa4324 Рік тому +1

    Safi sana mchungaji

  • @husseinally4932
    @husseinally4932 6 місяців тому

    Nyinyi waandishi wa habari munakwenda kwa mchungaji Kisha unavaa kama unakwenda Kwa msanii wa bongo vleva

  • @yagwishaheke2524
    @yagwishaheke2524 Рік тому +1

    Nakuombea Hakika Mungu akupe mwisho mwemaaa Hakika

  • @aishahaisha4941
    @aishahaisha4941 Рік тому

    Aki ww Mzee love you for free non stop talker i say barikiwa

  • @meshackmathias2198
    @meshackmathias2198 Рік тому

    Ubalikiwe sana Baba

  • @halfankipande9903
    @halfankipande9903 Рік тому

    Duuuh' mch' mungu azidixhe kwako"

  • @martndeus6326
    @martndeus6326 Рік тому

    Asante mchungaji mungu akusimamie

  • @oscarmkumbo7451
    @oscarmkumbo7451 Рік тому

    Amen

  • @seyugajii1978
    @seyugajii1978 Рік тому +2

    kama vijana wezangu munamuelewa huyuu mjungaji links zeen jaman 👋👋

  • @user-mr9sl6rf9e
    @user-mr9sl6rf9e 5 місяців тому

    Jamani nimepata kitu mimi kama kijana

  • @user-tz1pj6wx1m
    @user-tz1pj6wx1m 7 місяців тому

    Unaenda kwa mchungaji umevaa suruali tena ya kubana,baba mwenyewe kavaa kiheshima

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 Рік тому

    Ubarikiwe kwa kweli

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 Рік тому +1

    Maombi yanafungua njia
    Maombi yanahamasisha
    Maombi ni kama chumvi kwenye chakula

  • @jumakassim1690
    @jumakassim1690 Рік тому +1

    Ila nimejifunza jambo hakika sito choka kupambana

  • @fredrickkaaya
    @fredrickkaaya Рік тому

    Nimekuelewa mkuu sana

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Рік тому

    Mchungaji yuko vzr

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 Рік тому

    Kweli kabisa 😀😀😀

  • @justiceshelukindo
    @justiceshelukindo Рік тому

    Fact

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 6 місяців тому

    Safi sana

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 Рік тому +1

    🤝💪

  • @user-ur3pw2rw8r
    @user-ur3pw2rw8r 6 місяців тому

    Uhakika mzee

  • @jonasmalungu3922
    @jonasmalungu3922 Рік тому +3

    Unavaa nguo za kihun kwa mchungaj

  • @daudykasherente8667
    @daudykasherente8667 Рік тому +1

    Mchungaji bana

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 Рік тому

    Mzee sijamaliza interview Ila nimekwelewa sana

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    🙏

  • @tajirimichael6242
    @tajirimichael6242 Рік тому +1

    Kuwa mtu wa maana unajitengeneza

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 Рік тому

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @user-tz1pj6wx1m
    @user-tz1pj6wx1m 7 місяців тому

    Vaa nguo za heshima maana unaenda kuntembelea mweshimiwa

  • @mwajumakitoro8582
    @mwajumakitoro8582 Рік тому

    Mtangazaji upo vizuri kwa sauti na maswali yenye uweledi tatizo mpangilio wa mavazi hapa nivae nini pale nivaeje

    • @user-tz1pj6wx1m
      @user-tz1pj6wx1m 7 місяців тому

      Kabisa,hata mimi nimemnanga,kila vazi lina sehemu yake

  • @benedictaustard5583
    @benedictaustard5583 Рік тому

    Mchungaji mwenye busara sana huyu!

  • @ramadhaniseifuledi513
    @ramadhaniseifuledi513 Рік тому

    Kobe Ana nyumba yake

  • @yagwishaheke2524
    @yagwishaheke2524 Рік тому

    Computer 🖥️

  • @Abdulhaqamin-vy5kn
    @Abdulhaqamin-vy5kn 6 місяців тому

    Mimi hapa muslamu lakini namkubali huyu jamaa.. anaongea ukweli..ndugu zangu tumsikilize..yuko real

  • @switbertchambulikazi3372
    @switbertchambulikazi3372 Рік тому

    Iwe na nasafa kisaha pozi siyo ndiyo....sgr

  • @aliethmgode389
    @aliethmgode389 Рік тому

    Mungu akubariki sana Mchungaji

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 Рік тому +3

    Heshima yako vipi?sema shikamoo

  • @williammockey800
    @williammockey800 Рік тому +1

    😃😃😃

  • @georgejacson
    @georgejacson Рік тому

    Mungu Yu mwema

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 Рік тому

    Hii media ni bure kabisa unaenda kufanya interview na mchungaji umevaa suruwali imetoboka magotini yaani hujui kujifananisha na mazingira

  • @lucymwakitalima8033
    @lucymwakitalima8033 Рік тому +3

    Kweli Dunia imeharibika unaenda najinsi ya michango kwa mtumishi

    • @freddynyamwala3440
      @freddynyamwala3440 Рік тому

      Kwa kweli zingatia basi dada mwandxh mavazi ck nyingne pole lkn.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому

    Ubarikiwe Hananja

    • @ephraimnkemwa9862
      @ephraimnkemwa9862 Рік тому

      Mchungaji hananja umetishaa meseji yk imetufikia binafsi nakukubali mnooooo

    • @catherinemhagama7505
      @catherinemhagama7505 Рік тому

      Mwandishi unapokwenda kwa mtu Kama huyo nenda nguo za heshima. Mch. Ana matunzo Sana hasa kwa vijana

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 Рік тому

    DARASA HURU

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 Рік тому

    Sichoki kumsikiliza Hananja anamafundisha mazuli

  • @matendoandrewmgeni1135
    @matendoandrewmgeni1135 Рік тому +1

    Kwahyo nasisi tuwe na nyumba Kama ya hananja? Kuwen na intro nzuri

  • @husseinhussein9971
    @husseinhussein9971 Рік тому +4

    Heshima yako ndio salamu gani?

    • @bryanlimbi326
      @bryanlimbi326 Рік тому

      Punguza ushauri , kila mtu ana mambo yake ..

    • @bryanlimbi326
      @bryanlimbi326 Рік тому

      Punguza ushauri , kila mtu ana mambo yake ..

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 Рік тому

    Mwishoni imenibidi nicheke sio kwa ubaya

  • @alfonsimwalongo9164
    @alfonsimwalongo9164 Рік тому

    Mbavu zangu matufali umeniiba kweli

  • @jumakassim1690
    @jumakassim1690 Рік тому

    😂😂😂😂we kaz yako nikuacha

  • @malkiagaspa4534
    @malkiagaspa4534 Рік тому

    Et eshima yako ndo nn baba yako ndo unavyo msalimia uko kwenu

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 Рік тому

    Unaongea pumba. Kwamba mchungaji kumiliki mjengo na Kijana kumiliki mjengo kipi cha ajabu??

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @alexshabani2830
    @alexshabani2830 Рік тому

    Mimi muimbaji plomo mnaenseshaje

  • @kazimilykulwa2516
    @kazimilykulwa2516 Рік тому

    Tunge kuwa na wazee kama hawa 10 tusinge kata tamaa

  • @tricemollel6739
    @tricemollel6739 Рік тому

    Yaani kweli napenda mafunzo yako pastor!!!

  • @jumahalifa6436
    @jumahalifa6436 Рік тому

    Uyu mzee anaongea pont kubwa mno yakimaisha nakiroho na anafundisha nakukutia moyo SISI vijana

  • @kivatirokitojo657
    @kivatirokitojo657 Рік тому +15

    Kwanini hizi media hazina maadili,unajua wasifu wa mtu unaenda kumtembela lakini wewe unaenda kinyume na madili, Huyu ni mchungaji mwenye mafunzo ya kimungu kijamii basi na wewe Kaa mkao wa kuelimisha kimavazi na hata madili Yako

  • @imanidemai5863
    @imanidemai5863 Рік тому

    @pendo uyo ni tom boy

    • @salhamohamedi6167
      @salhamohamedi6167 Рік тому

      ninashida yakwenda kanisani kwamchungaji uyo maana namkubali sana ila sujui kanisalake liko wapi naomba mnielekeze

  • @patrickpgm6369
    @patrickpgm6369 Рік тому

    yan nyie kila nyumba ni jumba la kifahari

    • @angelsulle7177
      @angelsulle7177 6 місяців тому

      Nyumba ya kujengewa ni saw na mtumba wa mnadani

  • @emanuelkisanga3429
    @emanuelkisanga3429 Рік тому

    all in all anaongea too much🙃

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣Nakwer tukitoka kanisani kawe kwenye usafiri mtiyani🙏

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 Рік тому

    Kama huwapi kazi shetani anawapa kaz daaah umejua kunichekesha sana mchungaji hahahaha

  • @reginaldtarimo-kf1ye
    @reginaldtarimo-kf1ye Рік тому

    Mchungaji uko vizuri sana ila mwanahabari unauliza mawsali ambayo majibu yake unayo.kuhusu nyumba na gari kwa umri huo unahoji nini hapo?

    • @user-tz1pj6wx1m
      @user-tz1pj6wx1m 7 місяців тому

      Hana la maana,mzee kama huyu alitaka apange,kwanza alikua mtumishi wa umma kabla ya uchungaji

    • @user-tz1pj6wx1m
      @user-tz1pj6wx1m 7 місяців тому

      Mwanahabari hajiekewi

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 Рік тому

    Mchungaji unaongea harakaharaka

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 Рік тому +3

    Yani nyie watangazaji au wandishi wakutafuta habari sjui mkoje! Sasa nyumba nayo ni kitu chakushangaa mpaka kuhoji mtu kafanyaje? Ndo maana huwa nawaambia kila sku! Nyie watanzania bado sana! Mtu unashangaa nyumba! Shangaa mtu kujenga meli, kununua ndege! Kitu kama nyumba au gari mbona vya kawaida sana hivyo!

    • @bryanlimbi326
      @bryanlimbi326 Рік тому

      Sasa wewe si uendelee na uzungu wako utuache watanzania na yetu.. kinakuuma nini !?

    • @sherdkihombo9294
      @sherdkihombo9294 Рік тому

      Dish lako limeyumba?

    • @msafirizakayo539
      @msafirizakayo539 Рік тому

      Mzeeee huwa unanipa nguvu ya kupambana Sana

    • @tasansamweli3766
      @tasansamweli3766 Рік тому

      We ndo hujapata kitu ila wengine tume input madini

  • @piliibrahim4057
    @piliibrahim4057 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣🤣