Kinachoendelea Israel na Palestina ni Uonevu na Dhulma - Tundu Lissu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 274

  • @shabanadam4476
    @shabanadam4476 10 місяців тому +4

    Well spoken Tundu you're among few clever people we have got in Tanzania

  • @salumomar5234
    @salumomar5234 16 днів тому +1

    Safi sana lisu nakupenda sana kamanda wangu

  • @HusseinNkuna
    @HusseinNkuna 11 місяців тому +9

    Daah Leo mzee wangu tundo ameongea mambo ya maana sana mungu ammbariki🙏

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 11 місяців тому +13

    SAFIIIIII SANAAA TINDU LISU WEWE NDIO UNAJUWA HISTORY

  • @bakarikaoneka1080
    @bakarikaoneka1080 10 місяців тому +3

    You are an honest man.

  • @JafariAbdallah-ot9gp
    @JafariAbdallah-ot9gp 11 місяців тому +4

    Dah!walah sikutegemea kama tundu lisu ungeongea ukweli huu mungu akuongoze Kwa Kila la kher

    • @jumannengohengo7823
      @jumannengohengo7823 11 місяців тому +1

      Huyo mwamba huwa mkweli hajaligi dini penye ukweli!

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 11 місяців тому +4

    Leo Mh niko pamoja na wewe yani umejilipua hakuna kiongozi anaweza sema hayo asante mheshimiwa

    • @Golanh4786
      @Golanh4786 11 місяців тому

      Ni inchi yeyote inayodhulumiwa hapa afrika kwa maslahi ya mzungu marais wote wa afrika wanaogopa kusema alafu baadaye washatoka madarakni ndo utawasikia wanazungumza

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 11 місяців тому +2

    Asante kamanda lisu. Watu wengi hawaelewi ukweli

  • @farajiharuna6600
    @farajiharuna6600 11 місяців тому +4

    Leo ndo nimekuelewa LISU ubalikiwe umesimama kwenye kweli na haki

  • @h77-f8m
    @h77-f8m 10 місяців тому +1

    Tatizo la watanzania hawapendi kusoma vitabu Lissu waaleze ndugu yangu mungu akubariki

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 11 місяців тому +4

    Mungu akubariik

  • @aminamkumba3549
    @aminamkumba3549 11 місяців тому +16

    Wakiristo wengi wanaungana na wayahud katikati mauaji ya dhuluma kwa sababu ya chuki yao dhid ya waislam ila wapo wakiristo Masha Allah, Allah atawalipa kheri zao wamesimama na haki kupinga mauaji ya dhuluma wapo pia wa Israel wanapinga kabisa mauaji ya gaza na wanaslogan yao, NOT IN OUR NAME FREE FREE PALESTIN, mnaounga mauaji ya gaza take this, Wats goes around comes around wallah ipo siku Allah atayaleta kwenye majumba yenu

    • @mwigarleysaid5406
      @mwigarleysaid5406 11 місяців тому +3

      Watalipwa kwa matendo Yao mema Siyo kwa kuunga mkono. Israel and Palestina.
      Hata ukiwalilia Palestine Kama una dhambi unapotea bado 😭😭💔

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 місяців тому +1

      Mmm jambo Moja achaneni na hao watu kuwachkozawatawamaliza 😅😅

    • @raymondjohn3798
      @raymondjohn3798 11 місяців тому +1

      Sidhani kama vita Ile inahusu udini,Ila inaonekana nisiasa,hasa katika wizi wa ardhi,wenye nguvu wanawaonea wasio kuwa nanguvu!!,Ila pia nimegundua waarabu niwanafiki Sana, ilitakiwa wasimame nakuungana ili waisaidie Palestina, lakini nimefatilia kuona watafanya nini lakini Hawaja jibu bado,wakati Wanawake na watoto wengi sana Zaidi ya watu elfu tatu wamekufa!😢

    • @aminamkumba3549
      @aminamkumba3549 11 місяців тому +1

      ​@@raymondjohn3798 ile sio vita yale ni mauaji, sababu hakuna sheria ya vita inayofuatwa, baadhi ya nchi za kiarabu hawaungi mkono Palestine sababu zina protection na depency agreement na Uingereza
      Kwamba zipo zinazolindwa na zipo zinazotegemea Uingereza
      Oman, Kuwait, Bahrain, Saudia protection agreement tangu 1798, Dubai, abudhab na zingine dependency agreement so usishangae Kwa nini hawajigusi kwa chochote hata kupeleka maji

    • @nicolausminja689
      @nicolausminja689 11 місяців тому

      Wakristu wachache wajinga ndio wanaeza kuunga mkona mauaji yanayofanywa na israel.rekebisha kauli.

  • @NajmaMaawiya
    @NajmaMaawiya 10 місяців тому

    Mungu nimkubwa ❤

  • @HamisiJoseph-e6v
    @HamisiJoseph-e6v 10 місяців тому +2

    Kiongozi imara kiongozi bora Mungu akutunze milele daima tundu lisu kiongozi mwenye upendo wa kweli

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 11 місяців тому +4

    Jamaa unanyooshaga sana, ila bongo wajuaji wasiojua ni wengi ndio maana hawakuelewagi

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 11 місяців тому

      Watamuelewaje mataahira kibao nchi nzima

  • @elmiaxmed6870
    @elmiaxmed6870 11 місяців тому +4

    Uko sawa kbsa mzee

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 11 місяців тому +12

    Uonevu mkubwa sana!!

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 10 місяців тому

    Wewe Mnyaturu mwongooooo!!!!!Waisraeli walipopelekwa Kanaan Waarabu hawakwepo. ISRAEL ❤❤❤❤❤❤

  • @ibrahimmaulid2704
    @ibrahimmaulid2704 11 місяців тому +2

    Tundu lisu uko SawA kabisal laxima kuwe na mataifa mawili

  • @raymondjohn3798
    @raymondjohn3798 11 місяців тому +4

    Well said Sir Tundu Lissu my president,true kabisa ,wale waisrael fake Wana discrimination Sana Kwa wapalestina,.

  • @ramla6068
    @ramla6068 11 місяців тому +4

    waislamu tanzania mchagueni asubuhi na mspema

    • @mshanaakbar3687
      @mshanaakbar3687 10 місяців тому

      Anayo haki ya kikatiba kuchaguliwa na wala sio vinginevyo

    • @salumomar5234
      @salumomar5234 16 днів тому

      Mimi ni muislam tayali nishampa kura yangu jamaa anajuwa sana na nampenda

  • @SuleIman-g7m
    @SuleIman-g7m 11 місяців тому +3

    Ukweli unauma, ila ulichoeleza ndivyo ilivyokua. Mi nawaombea dua binaadam wenzetu wanateseka na mauwaji huko gaza.
    Na laana kubwa iwaendee waliounda mzozo huu mpk dunia inakosa aman kupita wao. Amerika na uingereza

  • @hassanbuscar650
    @hassanbuscar650 11 місяців тому +11

    Lissu a man of truth

  • @hawa6052
    @hawa6052 10 місяців тому +1

    Hongera ❤

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 10 місяців тому +3

    Ndio maana
    Mwl nyerere
    Haja fungua
    Ubalazo nchini
    Hadi amefariki

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 11 місяців тому +5

    Ubarikiwe Leo Mara yakwanza kuongea ukweli nimekusoma

    • @ommyyoutube6117
      @ommyyoutube6117 10 місяців тому

      Huyu huongea ukweli kla siku sema hua hamumsikilizi vizuri kwa sbb ya vyama

    • @ezekielmwadomba4675
      @ezekielmwadomba4675 10 місяців тому

      Kwani siku nyingine? 🤔

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 11 місяців тому +2

    Very good lissu

  • @shabbymakapane
    @shabbymakapane 11 місяців тому +9

    Katika Siku Zoooote Leo Umeongea Point

    • @williammbuzimai5744
      @williammbuzimai5744 11 місяців тому

      Humuelewagi tu,
      Hiki kichwa ni level nyingine

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 11 місяців тому

      @@williammbuzimai5744 Labda kwako Weww

  • @hamedyahya9291
    @hamedyahya9291 11 місяців тому +10

    kweli kabisa tundu risu wambie wajinga wasijua histolia. ya palestina watu hawa majizi tu

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 11 місяців тому

      Huyo lisu lini watu wakamsikiza huyo😊😊

    • @hamisimuhammad3656
      @hamisimuhammad3656 11 місяців тому

      ​@@annasolomon9855ndy Leo Sasa watu tunamsikiliza

  • @charlesnassary6689
    @charlesnassary6689 10 місяців тому +2

    Lisu naomba tupambanie Tanzania

  • @HawaMohamed-g7c
    @HawaMohamed-g7c 10 місяців тому +2

    Hapa nakuunga mkono❤

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 15 днів тому

    GENESIS 12:2-3
    And I will make of thee great nation and I will bless thee name great and thou shall be a blessing
    3 And I will bless them that bless thee: and curse him that curseth thee: and in thee shall all families of the earth be a blessing.

  • @hawa6052
    @hawa6052 10 місяців тому +1

    Unaakili sana

  • @ValerianaKilumile
    @ValerianaKilumile 11 місяців тому +1

    Nakushauri umuulize Yesu aliye mhamisha Ibrahimu kutoka Iraki hadi Israeli

  • @RamadhaniMwandambo-fx9sb
    @RamadhaniMwandambo-fx9sb 11 місяців тому +3

    Hapa tuko pamoja lissu, unaongea points tupu

  • @mizemudushame3676
    @mizemudushame3676 11 місяців тому +4

    Kweli kabisa

  • @feysalramadhan8541
    @feysalramadhan8541 11 місяців тому +5

    Saf sana kwa kutoa history

    • @LawrenceMwazembe
      @LawrenceMwazembe 11 місяців тому

      Hajui hiyo history amedakia juu juu tu hajui chanzo

  • @ShaftMwiinga
    @ShaftMwiinga 11 місяців тому +4

    Good

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 15 днів тому

    Lisu kumbuka Rehema & Neema (Grace & Mercy) ni zaidi ya Sheria (Law) GALATIANS 3:10

  • @mahmudahmad5369
    @mahmudahmad5369 11 місяців тому +3

    Umeongea kweli mheshimiwa hao wanajiita wakiristo hata yesu mwenyewe hawamjui vizuri ni chuki za kidini zimewaingia katika damu zao.

    • @patrickmunishi2277
      @patrickmunishi2277 10 місяців тому

      Pole sana kwa bahati mbaya ukristo sio dini sasa,

  • @mathiasmichael9915
    @mathiasmichael9915 10 місяців тому

    Ukipigana na Israel ni kwamba unakuwa unapigana na Mwenyezi Mungu mwenyewe wa mbinguni aliyeishinda miungi yote.... Kwahyo kuweni makini sana

    • @mbwanarajab7238
      @mbwanarajab7238 10 місяців тому

      Popote walipo Israel ,wauwawe kwa njia yoyote na Mungu hawajathamini km baadhi ya wajinga walivyodanganywa kwenye vitabu walivyoviongeza maneno ya uongo

    • @paschaljuma3312
      @paschaljuma3312 4 місяці тому

      Yani hii dunia isingekuwa na wajinga kama wewe pamgekuwa sehemu salama kabisa, bora mzee wako angetumia tu hata kinga

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 11 місяців тому +2

    Uko sahihi mwanashelia wetu.

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 11 місяців тому

    Safi sanaa nmekuelewa tundu lisu❤

  • @IsmailClassictz
    @IsmailClassictz 11 місяців тому +7

    LISSU. A MAN OF TRUTH🇹🇿

  • @MauaAbubakari
    @MauaAbubakari 11 місяців тому +1

    Waambie wajue

  • @saidabdus9014
    @saidabdus9014 10 місяців тому

    Yaan mara nyingi unaongeaga pumba lkn Leo umepita ktk vazi lako halisi la kutetea haki kuwazindua wasiojua ukweli Mungu akuongoze ktk haki daima pamoja nasi.

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 10 місяців тому +2

    LISU KAONGEA KI SIASA ZAID,ILA HUU MGOGORO NI WA ZAMANI SANA,TANGU ENZI ZA AKINA SAMSON NA DELILA,SASA KWA WALE WAFIA DINI AWAWEZI KUNIELEWA

  • @salemaliy1963
    @salemaliy1963 10 місяців тому +1

    Sadakta

  • @shabanramadhan2181
    @shabanramadhan2181 11 місяців тому +2

    Upo vizuri sana

  • @HuseinJomba
    @HuseinJomba 10 місяців тому

    Kwa hili tundu huko sawa kabisa

  • @SalumuKomba
    @SalumuKomba 10 місяців тому +2

    Siku moja moja huyu jamaa huwa anaongea vitu vya maana sana😮

    • @ommyyoutube6117
      @ommyyoutube6117 10 місяців тому

      Kila siku huongea vya maana ila tu tumeeka mbele uvyama hatuwezi kumuelewa

  • @SalmaShabani-mq6tc
    @SalmaShabani-mq6tc 10 місяців тому +1

    Daah hiii dhulma ipo siku itafika mwisho

  • @AlexMkwama
    @AlexMkwama 11 місяців тому +3

    Waarabu wakupa mpunga naona.
    Israel na parestina sio siasa

  • @hamisiomary9777
    @hamisiomary9777 11 місяців тому +2

    Umeelewekka

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 10 місяців тому +1

    Tundu lisu umenena watu wameandamana wamekamatwa

  • @sulemanmndeme8961
    @sulemanmndeme8961 10 місяців тому

    Lisu nilikuwa simuelewi.
    Ila hapa nimemuelewa sana.
    Naomba, hata hapa nchini chambua nchi yetu tupate kukuelewa.
    Siyo kulaumu tu!

  • @TM.Sullusi
    @TM.Sullusi 11 місяців тому +4

    Yani mwana Historia kweli unasema tatizo la hapo Palestine limeanzia mwaka 1948?😢😢😢. Ni muhimu turudi mwanzo kabisa mwa asili yao, uvamizi wa utawala wa Empires mbalimbali kama Rumi & Ottoman, tuchambue hadi hapo sasa kwenye 1948. Hao wadau wana mgogoro wenye mizizi mirefu bas tu😢😢

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 11 місяців тому

      We mpumbavu

    • @husseinc
      @husseinc 10 місяців тому

      mazuzu kweli yapo mengi waulize wenyewe zionist watakwambia hivyo na mkoloni mwingereza ndio aliyowapa ardhi ya palestina

  • @user-mb2ob6kg8z
    @user-mb2ob6kg8z 11 місяців тому +3

    Zote ni za waarabu hawa wazungu wLikuja tu ni nchi zs kihistoria banu israe

  • @rashidramadhan8998
    @rashidramadhan8998 11 місяців тому +3

    Afadhali kwa kuuzungumza ukweli

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 10 місяців тому +1

    Hivi nyie ndugu zetu si ndomnatukana Lisu,badala ya kusokiliza anachozungumza mnakimbilia kutukana tena matusi machafu bila sababu leo mnambariki.Tumieni akili ya kusikiliza kinachoongelewa.

  • @lusekeloemmanuel4569
    @lusekeloemmanuel4569 11 місяців тому +2

    Sasa kama ni historia unataka nini

  • @akimzeli5030
    @akimzeli5030 10 місяців тому

    Swadaqta.

  • @eliasmwakasaka8454
    @eliasmwakasaka8454 11 місяців тому +1

    Hapo utapoteza wanachama wako wengi wenye itikadi ya kikristo wanaoisapoti Israel

  • @mshanaakbar3687
    @mshanaakbar3687 10 місяців тому

    Umesema kweli kabisa kwa hili nakukubali

  • @paulsanga6503
    @paulsanga6503 10 місяців тому

    Seals la Israel na Hamas halianzii 1948 ,Gaza imetajwa kabla ya yesu Samson alifia Gaza ,alipo waua serikali nzima ya wafilisit,seals juli no Mungu mkuu Yehova anajifunua kwa watu wote kupitia Yesu Kristi wasiangamie juli siyo swala la kisiasa,Wala la kisheria watawla wote,wanasiasa wote,wanasheria wote wamgeukie Yesu Kristi la sivyo wote pia wataangamia

  • @IdrisaShabani-kd6ku
    @IdrisaShabani-kd6ku 10 місяців тому

    Ongelea nchi yako huku maisha magumu siku

  • @ElisanteKaaya-f9z
    @ElisanteKaaya-f9z 11 місяців тому +2

    Historia ya Israeli ulipaswa kuizun gumzia walau kuanzia mwaka 1800(K.k)Rafiki yangu nakuomba ili la Israeli nakuomba ukae mbali kabla hujatafuta laana" upesi acha huo upotoshaji

    • @mshanaakbar3687
      @mshanaakbar3687 10 місяців тому

      Hakuna laana hapo acha uzuzu Lisu kasema kweli, kwa taarifa yako ukweli ni kwamba baada ya muda sio mrefu sana America itaanguka atakuja mtawala mwingine atakae ifuta Israel

    • @LucasNtalima-wq6ok
      @LucasNtalima-wq6ok 10 місяців тому

      Ujinga mtupu huwezi kushinda na Israel ukabaki salama kwa sababu Iko kiagano pamoja na Mungu unaongea kwa sababu huelewi.

  • @irenekalinga323
    @irenekalinga323 10 місяців тому +1

    Sasa hapa umenina

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 11 місяців тому +2

    Hamas ndio mkombozi wa kweli

  • @FARAJIDIBUMA
    @FARAJIDIBUMA Місяць тому

    NDUGU TUNDU LISSU- KWELI wewe NI mwanasheria unaesimamia NA kuheshimu SHERIA. Nyerere aliwafukuza Israeli NA kuvunja uhusiano NAO KWA SABABU ya matendo YA waisraeli yalikuwa sawa NA yale YA makaburu WA Afrika Kusini. Mauaji NA madhila wanayoyapata wapalestina, Tanzania imeogopa hata kukemea tu

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 11 місяців тому +1

    Hamas hawajauwa watoto wala wanawake muheshimiwa hakuna ushahidi wowote ulioneshwa ktk chombo cha habari chochote Duniani kilichoonesha Hamas waneuwa watoto na wanawake

  • @proschesicoAllysumail
    @proschesicoAllysumail 10 місяців тому

    Rejea kwanza kwenye maandiko ya Bible, we Mpka Mungu unambishia dah

    • @MaryamIssa-y7v
      @MaryamIssa-y7v 8 днів тому

      Anabishiwa Paulo aliekuleteeni agano jipya na sio Mungu.ivi zile amri kumi Huwa mnazielewa lkn au mnakaririshwa tu.

  • @sudenwahab4110
    @sudenwahab4110 11 місяців тому +1

    Hapo umeongea

  • @mwakatundujr1674
    @mwakatundujr1674 10 місяців тому

    6 Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu;
    Amosi 1:6
    7 lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.
    Amosi 1:7
    8 Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi katika Ashkeloni; nami nitaugeuza mkono wangu uwe juu ya Ekroni; na mabaki ya Wafilisti wataangamia, asema Bwana MUNGU.
    Amosi 1:8

  • @josephinamkono5183
    @josephinamkono5183 11 місяців тому +1

    Eheee zaidiii ya miaka 3000 sasa

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 10 місяців тому

    NDG ZANGU TUSI TUKANE ,SANA SANA MUELIMISHENI TU KWA UPENDO,ÑADHANI HATA NYINYI NI MASHAHIDI, MLIPO ANZA DARASA LA KWANZA ,JE! MLIENDA MKIWA NA UFAHAMU WA KUTOSHA BILA MWALIMU??

  • @AmisseSulemane-sb4re
    @AmisseSulemane-sb4re 10 місяців тому

    Tena thulma hii inaongozwa na marekani Kwa Kila kitu

  • @ibrahimmaulid2704
    @ibrahimmaulid2704 11 місяців тому

    Dear lisu join juliasi malema now to liberate Palestine please

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 11 місяців тому

    Hujui chochote

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 11 місяців тому

      Unajua wewe na ndugu zako wayahudi

  • @enockniko9270
    @enockniko9270 10 місяців тому

    Ukiionea huruma Gaza bila kusoma biblia unakosea braza lisu

  • @mosesmulashani5124
    @mosesmulashani5124 10 місяців тому

    Joshua Mollel ni mtanzania. Aliwakosea nini Hamas?

  • @mwakatundujr1674
    @mwakatundujr1674 10 місяців тому

    Bebeni bunduki mkawasaidie kama wanaonewa, kelele nyingi hakuna chochote😂😂😂😂😂

  • @katwigayona8041
    @katwigayona8041 10 місяців тому

    Historia ya Israel huwezi kuianzia mwaka 1948 ni vizr ukanzia 103 baada ya babeli kuivamia jelusalem

  • @mwllzrmihayo
    @mwllzrmihayo 11 місяців тому

    TUNDU LISSU: hebu atusomee hapa (MWANZO 15:15-18) ATUAMBIE NCHI HIYO ILIKUWA CHINI YA WAARABU AU WAISRAELI WAKATI WA MAJUZI YESU AKIWA HAI?
    NDIYO MAANA HAELEWWKAGI HATA KWENYE KAMPENI ZAKE.
    (JE, ENZI ZA YESU NCHI YA ISRAELI ILIKUWA WAPI KAMA HAIKUWA NA WAISRAELI?) .

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 11 місяців тому

      Ao wayahudi hawaamini kitu initially yesu. Nenda kawahubiri uko kama utarudi hai.mbona hamuelewi bibilia imechakachuliwa soma toorat. Korohani tukufu Huiwezi nayo ungesoma ungeelewa nini bibilia kitabu ya wazungu wa magharibi.

  • @FestusJchunya-hc3hv
    @FestusJchunya-hc3hv 11 місяців тому

    Sio kweli sio kweli kwamba Israel ilichukua ardhi ya waarabu !! Waarabu walivamia ardhi ya waarabu,, historia ya Israel hai anzii mwaka 1948 ,, na taifa la Israel lilikuwepo miaka mingi kabla!!!

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 11 місяців тому

      kasome viziri Israeli haijawahi kuwa taifa kamsikize Mzee wa upako hata yeye anasema izraeli haijawahi kuwa taifa hapo vip

  • @PeterKalindo
    @PeterKalindo 11 місяців тому +2

    Unajifanya mjuaji mbele za Mungu wa mbinguni

    • @yohana1242
      @yohana1242 11 місяців тому

      Kumamako mungu yupi unaesem ww fala ww

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 11 місяців тому

      Wayahudi ndio mungu wako

  • @Kzm-c9u
    @Kzm-c9u 5 місяців тому

    Huyu jamaa ni mwanasheria hasemi kwa mihemko ya kidini kama wenzetu wanavyosherehekea kuuwawa kwa wanawake na watoto kisa tu ni wanauliwa ni waislam

  • @yohanaswalo4716
    @yohanaswalo4716 11 місяців тому

    Huwezi ielewa Israel Kisiasa, Kidini, Kibiashara, mpaka uondolewe Utaji huo 👉 IMANI, ni kitu Cha mbaaali!!!!! Huwezi kusoma darasani

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 11 місяців тому

      Pumba ingine hii

  • @medardkalinjuma5503
    @medardkalinjuma5503 11 місяців тому +2

    Nyamaza kimya haraka sana hujui HISTORIA ya waisraeli wewe , inawezekana husali kabisa, nani kakwambia foundation ya Israel ni ya miaka 70 , hakika unajua Elimu dunia ila ktk Imani ya Ukristo we ni kipofu kabisa, nimalize hv kwaulopokaji wako huu leo utabaki unapiga kelele Mungu hatakupa kiti kuongoza nchi hata dakika moja.

    • @abubakarimussa9131
      @abubakarimussa9131 11 місяців тому

      Wewe tuambie

    • @reej5715
      @reej5715 11 місяців тому

      Kama ww ndo unagawa hovyo viti sawa na cjui viti gani unaongelea

  • @MichaelWambula
    @MichaelWambula 10 днів тому

    Wewetundudulisu hujuwikitu kuhusu hiyovita wewedilitu nasiasa yamekushinda yatanzania utayaweza ya mashalik yakati

  • @emanuelmsigwa1927
    @emanuelmsigwa1927 10 місяців тому

    Historia unayoongea ww umeanzia mwishoni

  • @shukranionesphoro7744
    @shukranionesphoro7744 11 місяців тому +1

    Waarabu wapo Kila nchi ktk Afrika , hii inaonesha hata palestina waarabu waliivamia sio kwao pale. Lisu anatafuta uungwaji mkono wa waarabu wengi.

    • @broumaiyyah8018
      @broumaiyyah8018 11 місяців тому

      We mjinga hujui chochote we unakaza fuvuu lako hilo.kati ya israel na palestine nan kamvamia mwenzake?

    • @JafariAbdallah-ot9gp
      @JafariAbdallah-ot9gp 11 місяців тому

      Endelea kubadilisha maneno ya kweli mwishowe utbadilisha jinsia

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 11 місяців тому

      Kwao wapi?

  • @HuseinJomba
    @HuseinJomba 10 місяців тому

    Ila wa tz wengi hawajui history ya Israel kabisa

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 11 місяців тому +1

    Hao wazayuni ni wavamizi tu

  • @cristinaruka9293
    @cristinaruka9293 3 дні тому

    Ukilaani Israel umelaaniwa ukibariki utabarikiw ashindanae na bwana atapondwa kabisa

  • @crementcosmasimarawi6618
    @crementcosmasimarawi6618 10 місяців тому

    Hii story imepaa

  • @eliasmwakasaka8454
    @eliasmwakasaka8454 11 місяців тому +1

    Kiongozi utakiwi kuingilia mambo yanayohusiana na udini maana utawagawa wananchi

    • @hassankheri7593
      @hassankheri7593 11 місяців тому +1

      Ww ndo unatatizo pale akuna udini ni dhuruma ambayo akuna asiye jua ukweli labda ww hao israel wame watesa malangapi palestine kaa kimy kama utaki ukweli.

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 11 місяців тому

      Ki tanzania ni sawa we unauhusiano gani na dini ya kiyahudi

  • @LucasNtalima-wq6ok
    @LucasNtalima-wq6ok 10 місяців тому

    Nilikuwa na kuheshimu sana kumbe na wewe unampinga Mungu wayahudi hiyo Nchi wamepewa na Mungu kupitia Ibrahim,Isaka na Yakobo na ufahamu kuwa Israel wataukamata mji wa Yerusalemu Ili wajenge Hekalu.wewe umeigusa Israeli umekwisha kisiasa huwezi kuinuka na chama chako Biblia inasema atakayeilaani Israel naye atalaniwa CCM idumu milele.

  • @am2323Diaspora
    @am2323Diaspora 11 місяців тому +4

    Thanks Lisu. But can we call umoja wa Mataifa- international Community? I think it’s community of imperials who own overfill weapons. There should be a community of global South.

  • @SamirKaba-u1c
    @SamirKaba-u1c 10 місяців тому

    Serikali ya ccm Tanzania inaunga mkono serikali haramu ya kizayuni ya israil
    Serikali ya Tanzania aitizami haq iko wapi
    Watinzama tu koloni lao linaunga mkono wapi