Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

TANGAZO LA UCHUMBA | WALLES & HAPPYNESS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 чер 2024
  • Karibu tutazame vijana wetu Walles na Happyness walipotangaza uchumba wao jumapili ya tarehe 23/6/2024 kanisani Dar Calvary Revival Church, Tabata Shule, Dar es Salaam.
    Usisahau like, comment, na subscribe kwa mahubiri na mafundisho zaidi. Share video hii na ndugu jamaa, marafiki na yeyote ambaye anaweza kufaidika na ujumbe huu. Pamoja, tujenge jamii iliyojaa imani!
    Ungana Nasi:
    Facebook: Dar Calvary Revival Church
    Instagram: Dar Calvary Revival Church
    Barua pepe: darcalvary@gmail.com
    Asante kwa kutazama, na Mungu akubariki wewe na familia yako!

КОМЕНТАРІ • 2

  • @Patience763
    @Patience763 Місяць тому +3

    Amina MUNGU awatangulie kwa hio process

  • @AnicethSebastian-lm9fk
    @AnicethSebastian-lm9fk Місяць тому

    Mungu ni muweza wa yote hakika mtayashinda katika yy awatuaye nguvu