Mch Moses Magembe - UNABII WA SIKU ZA MWISHO | Mwanzo wa taifa la Israel

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 56

  • @DieudonneMAHANGO-ws3do
    @DieudonneMAHANGO-ws3do Місяць тому +1

    Amen 🙌

  • @meshackikalinga6633
    @meshackikalinga6633 9 місяців тому +8

    Naitwa meshack kalinga nipo songea naabidu kanisa la E.A.G.T nakufatiria sana nakupenda nimtoto wa mwendo wasaa mbilinyi

  • @bugomasipola9075
    @bugomasipola9075 9 місяців тому +1

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu.

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 9 місяців тому +3

    Asante sana baba Moses Kulola wetu uliyebaki tunakusikia sana baba,MUNGuU atusaidie

  • @nsenga_cento
    @nsenga_cento 9 місяців тому +3

    Jambo sana. Mimihuwa ninabarikiwa sana na mahubiri maana, licha ya kunibadilisha, ni kamaa niko chuoni cha Biblia chenyewe kabisa.

  • @NdangaSeleman
    @NdangaSeleman 9 місяців тому +2

    Amina sana nipo mbeya nawafuatiria

  • @esthernapewa7302
    @esthernapewa7302 9 місяців тому +2

    Naomba Mungu uishi milele mchungaji

  • @rahellubandila1928
    @rahellubandila1928 9 місяців тому +3

    Mungu tutunzie mtumishi wako huyu mlinde Bwana

  • @PaulNtabobaKoya
    @PaulNtabobaKoya 9 місяців тому +1

    Nakufuata mchungaji kwa mafundisho,mimi ni mchungaji ntaboba koya wa Congo Kinshasa

  • @nancyisoyi8164
    @nancyisoyi8164 9 місяців тому +5

    Bwana YESU ASFIWE!!
    🤗Nafuatilia kipindi toka Paris Faransa 🇫🇷 MUNGU Azidi kuwabariki kwa Mahubiri na INJILI YA YESU
    IIende Mbele na IENDELEE🙏🏾

  • @nallymwamba1330
    @nallymwamba1330 9 місяців тому +1

    Ubarikiwe Baba napata kuyasikia mambo magumu na mazito nisiyoyajua YESU atupe kushinda

  • @byusaajumapili6750
    @byusaajumapili6750 9 місяців тому +1

    Bwana akubariki mchungaji unasema kweli ndivyo ilivyo

  • @IsayaSchone-kt7uq
    @IsayaSchone-kt7uq 9 місяців тому +1

    Daah nabarikiwa sana ,Mungu akujalie neema ya kuishi sana ili tupata vtu ambavyo Mungu amekupa kwa ajili ytuu..

  • @nancyisoyi8164
    @nancyisoyi8164 9 місяців тому +2

    Hallelujah hallelujah hallelujah

  • @nancyisoyi8164
    @nancyisoyi8164 9 місяців тому +2

    Niligundua wakati mtumishi wa MUNGU anapogusia mambo kadha wa kadha
    Huwa kunakatishiwa katishiwa mawasiliano ili tusiskiye yotee
    Sauti huwa inatoweka-toweka ghaflaa
    Sio mara ya kwanzaa;
    Zaidi ya mara hata mia
    Mimi nafuata sana mahubiri ya baba mchungaji🙏🏾na ninasema tunarukishwa rukishwa wakati,
    na hatupati-pati vyema mahubiri kwa sababu ya kukatiwa katiwa maneno.

  • @jastinemwambi2307
    @jastinemwambi2307 9 місяців тому +3

    Nimebarikiwa sana na mafundisho Yako pamoja na familia yangu.Mungu azidi kukutia nguvu.

  • @reginaavit2603
    @reginaavit2603 9 місяців тому +1

    Yesu hawezi kutuacha tupo tee. Utukuzwe ee Mungu wetu

  • @SaimoniLongi
    @SaimoniLongi 9 місяців тому +2

    Amina baba mungu akubariki sana nimebarikiwa sana

  • @DavidAlexandre-ui4nw
    @DavidAlexandre-ui4nw 3 місяці тому

    Mungu akuongezeye upako

  • @JuliaMkura
    @JuliaMkura 9 місяців тому +1

    Nimeshikwa na wevu wakukuona mtumishi mombasa

  • @desderiakinalilo-xe7vw
    @desderiakinalilo-xe7vw 9 місяців тому +2

    Nakufatilia sana babangu napata mafundisho nyeti sana Mungu akubariki Sana akuzidishie cku za kuishi utufundishe mengi zaidi

  • @eliphaznkurunziza7405
    @eliphaznkurunziza7405 9 місяців тому +1

    Nataka nishukuru Mungu Pia Na mtumishi wake baba nakushukuru sana kwa kupokea simu yangu from Burundi Bujumbura

  • @salahsadi3908
    @salahsadi3908 8 місяців тому

    Amina sana Baba ubarikiwe injili yenye mafta ya Roho mtakatifu inafaa sana kwa kaniaa la Sasa

  • @samsontv9449
    @samsontv9449 4 місяці тому

    Bwana Yesu asifiwee baba Mungu akubariki sana kwa kuendelea kuisema kweli ya Mungu pasipo kupindisha Mimi pia ni kijana ambaye Niko Morogoro masomoni naomba namba za mawasiliano ya Mchungaji

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 9 місяців тому

    Baba karibu kahama na ushetu

  • @simonsadala8510
    @simonsadala8510 9 місяців тому +2

    Nabarikiwa nkiwa nda ya yesu

  • @IsayaSchone-kt7uq
    @IsayaSchone-kt7uq 9 місяців тому +1

    Aminaa

  • @JuliaMkura
    @JuliaMkura 9 місяців тому +1

    Watu Wana barikiwa

  • @beatricemayodi9858
    @beatricemayodi9858 9 місяців тому +1

    Asante Sana Nairobi Kenya.

  • @godfreymwenesho1770
    @godfreymwenesho1770 9 місяців тому

    Jaman uje na Mpanda Katavi Baba Mch

  • @JuliaMkura
    @JuliaMkura 9 місяців тому +1

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @maigeridhiwani9490
    @maigeridhiwani9490 9 місяців тому +2

    Ameni mtumishi

  • @mtangag774
    @mtangag774 9 місяців тому +2

    Yaan mm hapa kila siku lazima niingie kuangalia

  • @gidongowi-o7u
    @gidongowi-o7u 9 місяців тому

    Nakupata vizur mchungaji nikiwa hapa washington marekan,, ubarikiwe sana kwa kutuletea neno la Mwenyez Mungu

  • @nancyghati8434
    @nancyghati8434 7 місяців тому

    You are a blessing to me.

  • @gasperpatrick
    @gasperpatrick Місяць тому

    Safi sana baba

  • @abiudjustine7947
    @abiudjustine7947 3 місяці тому

    Hakika ni Neema juu ya neema

  • @EsterVictor-b9i
    @EsterVictor-b9i 9 місяців тому

    Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu,

  • @suzannemollel650
    @suzannemollel650 9 місяців тому

    Mungu leta watu kama hawa ktk kipindi hiki kigumu ili waseme kweli yako

  • @ZawadiChusi
    @ZawadiChusi 9 місяців тому +1

    Amen

  • @mbajimargarette7146
    @mbajimargarette7146 9 місяців тому +1

    Naomba no. Mheshimiwa mzee magembe

  • @FunnyDarypink
    @FunnyDarypink 9 місяців тому

    Amen Zanzibar itakuwa mwezi wa ngpi

  • @nancyisoyi8164
    @nancyisoyi8164 9 місяців тому +2

    Mimi kusema kweli nabarikiwa sana sana sana
    Hapa Faransa, hadi leo sijapata kupatana na Muhubiri Halisi, mwenye msimamo na kutojali kama akatatorokwa kwa injili ya Kwelikweli
    Wahubiri wengi huzingatia umati, matoleo na zaka hawataki washirika watoroke😂kwa kuambiwa kweli

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 7 місяців тому

    Pastor be assured una vijana wanaokuja kuendeleza hayo na kazi uliyofanya na unayofanya ya kutupandia knowledge is not in loss

  • @daudrobertmatonange9636
    @daudrobertmatonange9636 9 місяців тому

    Katavi lini baba

  • @godfreymwenesho1770
    @godfreymwenesho1770 9 місяців тому

    Uje na Mpanda Katavi

  • @salahsadi3908
    @salahsadi3908 8 місяців тому

    Kanisa

  • @victoriandalahwa-sm6hq
    @victoriandalahwa-sm6hq 9 місяців тому

    10:46 tutakuomba namba zako za simu tafadhali Mtumishi wa Mungu

  • @victoriandalahwa-sm6hq
    @victoriandalahwa-sm6hq 9 місяців тому

    Tunaomba namba ya simu.yako.mtumishi wa Mungu Rev Magembe 13:57

  • @yudaseleman8320
    @yudaseleman8320 9 місяців тому +2

    Angekua mwamposa watu wangekua wako weng umu hawataki ukwl watu

  • @daudrobertmatonange9636
    @daudrobertmatonange9636 9 місяців тому

    Tukumbuke na katavi baba

  • @BabajoshuaKizito
    @BabajoshuaKizito 8 місяців тому

    M

  • @bugomasipola9075
    @bugomasipola9075 9 місяців тому

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu.