Mch Moses Magembe - DHAMBI YA ULIMI | IBADA YA JUMAPILI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 62

  • @FrankMichael-us4dr
    @FrankMichael-us4dr 7 місяців тому +9

    Wapendwa wa kwa magembe mnaraha sana nineema sana kupata mtumishi kama huyu kwa kanisa la sasa lililo halibika hapa ukiikosa mbingu kwa kutaka mwenyewe tu

  • @Patience.67
    @Patience.67 Місяць тому

    Watching from kenya Nairobi

  • @WinifledyMbugi-ur1hq
    @WinifledyMbugi-ur1hq 7 місяців тому +3

    Baba wa Imani uliyebaki ni wewe pekeako,

  • @GibsonAbas
    @GibsonAbas 4 місяці тому

    Amen be blessed Pastor

  • @user-jn3fl8wp5b
    @user-jn3fl8wp5b 7 місяців тому +1

    Nabarikiwa Sana na mahubiri yako nikiwa Kenya,,,maungu wa uzima akuzindishie baba

  • @rahelynocha642
    @rahelynocha642 3 місяці тому

    Hallelujah 🙌🏾

  • @ministersilayo2768
    @ministersilayo2768 7 місяців тому +1

    Hii ndio injili sasa.... Safi sanaaa. Ubarikiwe sana Pastor

  • @kondamurhabazi5832
    @kondamurhabazi5832 7 місяців тому +1

    Mchungaji karibu huku Drc. Tunakuhitaji saaaaaaaaaaaaaaana dady

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 7 місяців тому +1

    Kwakweli tanzania neema ipo kuna na NENO la MUNGU MKUU la KWELIKWELI

  • @pastorbyamungubarnabas4820
    @pastorbyamungubarnabas4820 Місяць тому

    Amen

  • @nsenga_cento
    @nsenga_cento 7 місяців тому +1

    Mchungaji, leo kafinya jipu! Mungu atusaidie kabisa.

  • @user-po1qk1jf7v
    @user-po1qk1jf7v 7 місяців тому +10

    Watoto wa gembe mkiikosa mbin gu dunia itawashangaa

    • @mshanimacka7998
      @mshanimacka7998 7 місяців тому +1

      Hujafikiria sawa sawa katika neno hili,.Mtu haendi mbinguni kwasababu wazazi wake ni wachungji au title yoyote ile.ya utumishi wa Mungu. Bali yeyote amchaye Bwana

    • @saimonseleka8792
      @saimonseleka8792 7 місяців тому

      ​@@mshanimacka7998hujamuelewa ni kama

    • @saimonseleka8792
      @saimonseleka8792 7 місяців тому

      Kuna watu wana vichwa vigumu makanisani ndg😅
      Acha kabisa...

    • @AnethSwila-tw9mv
      @AnethSwila-tw9mv 7 місяців тому

      Hajasemea watoto wa mwilini amesemea watoto wa rohoni ambao ndio hao kanisani na siyo aliowazaa​@@mshanimacka7998

    • @Patience.67
      @Patience.67 Місяць тому

      Dah mimi niko kenya natamani ningepata mchungaji kama mch magembe

  • @EmmanuelMakomango
    @EmmanuelMakomango 7 місяців тому +1

    Bwana apewe sifa?
    Naomba kujua taarifa za semina za hapo kanisani, natamani kuja kwenye semina hapo kanisani. Mm Niko Zanzibar, nisaidie mch Yohana..Amen

  • @StellaStanley-gz6fz
    @StellaStanley-gz6fz 7 місяців тому +1

    BWANA YESU asifiwe Mchungaji, Mungu awasaidie jamani mitambo ikae Sawa maana mtandao unakatakata

    • @damasmathias0072
      @damasmathias0072 7 місяців тому

      Jana kulikuwa na shida ya umeme.....
      Lakini mitambo yenyewe iko vizuri

  • @lukapastory
    @lukapastory 7 місяців тому +1

    EXCELLENT MY FATHER, JESUS CHRIST MAY BE WITH YOU FOREVER .

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 7 місяців тому +1

    Kwa kweli Yesu nisaidie

  • @victorsamaytu3487
    @victorsamaytu3487 7 місяців тому

    Utaishi maisha marefu sana mtumishi wa Bwn,msema kweli ni mpenzi wa Mungu

  • @annastaziakimaro3042
    @annastaziakimaro3042 2 місяці тому

    Jamani huyu mzee anaviwango vya kusema ukweli ambavyo wachungaji wengi wanaogopa

  • @KaijageSauza
    @KaijageSauza 7 місяців тому

    Mungu wa mbinguni apewe sifa tupo pamoja.nipo kasumbalesa

  • @davidbenson661
    @davidbenson661 5 місяців тому

    Mungu akutunze sana mtumishi wa Mungu

  • @user-fk8vt3sx6g
    @user-fk8vt3sx6g 7 місяців тому

    Mch mitambo inasumbua sana tunashindwa kupata vema ,ubarikiwe napenda huduma yako upo sahihi sana ,,by Kisetu

  • @gokudenzel7871
    @gokudenzel7871 7 місяців тому

    Amen servant of God. Preaching the truth that so many people dont like. Ulimi kiungu kidogo matatizo mengi. Nimenyeyeka nijifunze. God bless you mch. Magembe na familia yako na wakristo ambao wako tayari kugeuka kubadilika na kuwacha njia mbaya na kutumia ulimi kwa utukufu wa Mungu. Edith

  • @emmanuelthomas4967
    @emmanuelthomas4967 7 місяців тому

    Nakubaliana nawe Mtumishi wa MUNGU.nilikataa kuchanganywa kwenye ubatizo na wasio kuwa na ndoa.

  • @rahellubandila1928
    @rahellubandila1928 7 місяців тому

    Ubarikiwe baba heri la saba pamoja na amani, heri la saba pamoja na Yesu

  • @clinton3168
    @clinton3168 6 місяців тому

    Nafadhaika sana Inapo katakata yaani sikipati hiki chakula na aman

  • @user-wh3zd2vs8g
    @user-wh3zd2vs8g 7 місяців тому

    Mchungaji Bwana Yesu asifiwe samahani mjitahdi kuweka mitambo sawa inakata kata

  • @wanyemalusao4525
    @wanyemalusao4525 7 місяців тому

    Ubarikiwe Baba kwa Neno na Barikiwa saana 🎉

  • @celinaphysoo4919
    @celinaphysoo4919 7 місяців тому

    Bwana Yesu asifiwe, naomba kuuliza kanisa la huyu mchungaji lipo wapi yaan kanisa analolihudumia Yeye

  • @user-po1qk1jf7v
    @user-po1qk1jf7v 7 місяців тому +2

    Hii ndoo ibaada

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 7 місяців тому +1

    Weeeuh 😂😂mchungaji basi njoo Kenya 🇰🇪 baba.

  • @IsaacLameck-nz8yr
    @IsaacLameck-nz8yr 7 місяців тому +1

    Babu karidi nimefurahi

  • @AnaniasBenedict
    @AnaniasBenedict 7 місяців тому

    Yesu ni Bwana tunajengeka

  • @yudaseleman8320
    @yudaseleman8320 7 місяців тому

    Amina,mtumishi tuko pamoja

  • @StephenButotoMbarato
    @StephenButotoMbarato 7 місяців тому

    AMINA BABA YETU. IENDE MBELE INJILI

  • @imani5279
    @imani5279 7 місяців тому

    Karibu kenya baba mchungaji

  • @brightjoseph498
    @brightjoseph498 3 місяці тому

    Injiri inayopeleka mbinguni

  • @upendoshija2235
    @upendoshija2235 7 місяців тому

    Barikiwa sana baba

  • @FeySteve-ij8ps
    @FeySteve-ij8ps 7 місяців тому

    Kwakweliiiiii baba unatumiwa na MUNGU

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 7 місяців тому

    Fundi naomba urekebishe mitambo vizuri

  • @daudimwashambwa1777
    @daudimwashambwa1777 7 місяців тому

    Ameen

  • @josephwanyonyi3125
    @josephwanyonyi3125 7 місяців тому

    Nakupata mpashara hapa Kenya. Ubarikiwe sana mzee.

  • @rahelhango9236
    @rahelhango9236 7 місяців тому

    Ameen Baba

  • @user-du8er4bm7f
    @user-du8er4bm7f 7 місяців тому

    Baba utafika mini goma drc

  • @eliphaznkurunziza7405
    @eliphaznkurunziza7405 7 місяців тому

    Amina

  • @enossimon6803
    @enossimon6803 6 місяців тому

    Mimi naomba namba ya mchungaji magembe nisaidie sana

  • @liliankamolo9798
    @liliankamolo9798 4 місяці тому

    Ni ukweli mtupu

  • @mshanimacka7998
    @mshanimacka7998 7 місяців тому

    Mitambo inasumbua jamani khaa

  • @Delachance-xs6rb
    @Delachance-xs6rb 7 місяців тому

    Dady tunakuitaji huku DRC.

  • @user-po1qk1jf7v
    @user-po1qk1jf7v 7 місяців тому

    Tena tunatamani wote tuje huko kwaajiri yakwetu ya kweri

  • @pastorbyamungubarnabas4820
    @pastorbyamungubarnabas4820 Місяць тому

    Naweza pata namna gani email address ao number ya simu ya mchungaji Moses Magembe namna gani
    Please I need your help

  • @elizamsemwa3161
    @elizamsemwa3161 7 місяців тому

    Amen