DCRC Tv
DCRC Tv
  • 177
  • 127 415
WHERE IS GOD IN HARD TIMES? | MUNGU YUKO WAPI KATIKA NYAKATI NGUMU? | BISHOP JOSHUA SERWADDA | DCRC
Karibu tusikilize mahubiri ya kina na yaliyojawa na nguvu za Mungu kutoka kwa Askofu Joshua Serwadda.
Kanisa la Dar Calvary Revival Church lipo Tabata Shule, Dar es Salaam, Tanzania karibu na kituo cha polisi Tabata.
Usisahau like, comment, na subscribe kwa mahubiri, mafundisho na sifa zaidi. Share video hii na ndugu jamaa, marafiki na yeyote ambaye anaweza kufaidika na ujumbe huu. Pamoja, tujenge jamii iliyojaa imani na kumjua Kristo!
Ungana Nasi:
Facebook: Dar Calvary Revival Church
Instagram: Dar Calvary Revival Church
Barua pepe: darcalvary@gmail.com
Asante kwa kutazama, na Mungu akubariki wewe na familia yako!
We are about to listen to a detailed sermon full of God's power from Bishop Joshua Serwadda.
Dar Calvary Revival Church is located in Tabata School, Dar es Salaam, Tanzania near Tabata police station.
Don't forget to like, comment, and subscribe for more sermons, teachings and praise. Share this video with relatives, friends and anyone who can benefit from this message. Together, let's build a community full of faith and knowing Christ!
Connect With Us:
Facebook: Dar Calvary Revival Church
Instagram: Dar Calvary Revival Church
Email: darcalvary@gmail.com
Thanks for watching, and God bless you and your family!
Переглядів: 32

Відео

SOMO: BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU | DR. SAMWEL KIJA
Переглядів 56Місяць тому
Karibu tusikilize mahubiri ya kina na yaliyojawa na nguvu za Mungu kuhusu Zaburi 23: Bwana Ndiye Mchungaji wangu Kutoka kwa Dr. Samwel Kija. Hakika Bwana ndiye mchungaji wetu. Kanisa la Dar Calvary Revival Church lipo Tabata Shule karibu na kituo cha polisi Tabata. Usisahau like, comment, na subscribe kwa mahubiri, mafundisho na sifa zaidi. Share video hii na ndugu jamaa, marafiki na yeyote amb...
UWEPONI | BOAZ DANKEN | DCRC
Переглядів 546Місяць тому
Karibu katika Ibada ya Uweponi karibu tutazame kwa pamoja sehemu ya Ibada ya kusifu na kuabudu ya Uweponi tulipo hudumiwa na Boaz Danken kutoka Dar Calvary Revival Church iliyofanyika tarehe 30/06/ 2024. Usisahau like, comment, na subscribe kwa mahubiri, mafundisho na sifa zaidi. Share video hii na ndugu jamaa, marafiki na yeyote ambaye anaweza kufaidika na ujumbe huu. Pamoja, tujenge jamii ili...
SHUKRANI KWA MUNGU WETU | UWEPONI
Переглядів 43Місяць тому
Kanisa la TAG - Dar Calvary Revival Church tunakukaribisha jumapili hii 30/06/2024. Jumapili hii ni jumapili ya Shukrani na kuketi Uweponi mwa Mungu wetu. Karibu ili kwa pamoja tumshukuru Mungu kwa kutulinda, kututunda na kwa yale yote aliyotutendea tangu mwaka umeanza. Usisahau like, comment, na subscribe kwa mahubiri na mafundisho zaidi. Share video hii na ndugu jamaa, marafiki na yeyote amba...
TANGAZO LA UCHUMBA | WALLES & HAPPYNESS
Переглядів 119Місяць тому
Karibu tutazame vijana wetu Walles na Happyness walipotangaza uchumba wao jumapili ya tarehe 23/6/2024 kanisani Dar Calvary Revival Church, Tabata Shule, Dar es Salaam. Usisahau like, comment, na subscribe kwa mahubiri na mafundisho zaidi. Share video hii na ndugu jamaa, marafiki na yeyote ambaye anaweza kufaidika na ujumbe huu. Pamoja, tujenge jamii iliyojaa imani! Ungana Nasi: Facebook: Dar C...
KUVUNJA KIBWETA CHA MARHAMU | MCH. ERESH TCHAKUBUTA
Переглядів 29Місяць тому
Karibu kwenye mahubiri yetu mapya, Kuvunja Kibweta cha Marhamu, yanayotolewa na Mchungaji Msaidizi Mch. Eresh Tchakubuta katika Ibada ya pili tarehe 23/06/2024 kutoka Dar Calvary Revival Church. Usisahau like, comment, na subscribe kwa mahubiri na mafundisho zaidi. Share video hii na ndugu jamaa, marafiki na yeyote ambaye anaweza kufaidika na ujumbe huu. Pamoja, tujenge jamii iliyojaa imani! Un...
Somo: Malezi katika Kristo | Mahubiri na Nabia Matukuta
Переглядів 36Місяць тому
Karibu kwenye mahubiri yetu mapya, Ulezi katika Kristo, yanayotolewa na Nabia Matukuta katika Wiki ya Watoto kutoka Dar Calvary Revival Church. Katika ujumbe huu wa moyoni, tunachunguza changamoto na furaha za malezi kwa mtazamo wa imani yetu katika Kristo. Gundua kanuni za kibiblia na hekima ya vitendo juu ya jinsi ya kulea watoto wako kwa upendo, neema, na nidhamu, kufuata mfano uliowekwa na ...
WIKI YA WATOTO | WATOTO WAKICHEZA NA KUIMBA
Переглядів 97Місяць тому
Watoto wakionyesha vipaji vyao vya kuimba na kucheza katika kilele cha wiki ya Idara ya Watoto katika kanisa la Tanzania Assemblies of God - Dar Calvary Revival Church Ungana Nasi Facebook: Dar Calvary Revival Church Instagram: Dar Calvary Revival Church
SOMO: MUNGU AMETUTENDEA MAKUU | GLORY T. MTEGO
Переглядів 41Місяць тому
MAHUBIRI WIKI YA WATOTO SOMO: MUNGU AMETUTENDEA MAKUU | GLORY T. MTEGO Karibu tusikilize kwa pamoja mahubiri yaliyojawa na Nguvu za Mungu huku tukikumbuka matendo makuu aliyotutendea Mungu kutoka kwa watoto wa DCRC. Ungana nasi Facebook: Dar Calvary Revival Church Instagram: Dar Calvary Revival Church
MOYO WA UPENDO NA KUJITOA | MIAKA 85 YA TAG NA MIAKA 45 YA DCRC
Переглядів 502 місяці тому
MOYO WA UPENDO NA KUJITOA | MIAKA 85 YA TAG NA MIAKA 45 YA DCRC
KARIBU KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 85 YA TAG | MIAKA 45 YA DCRC
Переглядів 652 місяці тому
KARIBU KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 85 YA TAG | MIAKA 45 YA DCRC
Usipange kukosa #darcalvaryrevivalchurch #Uweponi @dcrctv
Переглядів 1184 місяці тому
Usipange kukosa #darcalvaryrevivalchurch #Uweponi @dcrctv
Vipaumbele ambavyo Mungu anavizingatia
Переглядів 846 місяців тому
Vipaumbele ambavyo Mungu anavizingatia
Misingi ya Imani - DCRC Praise Team
Переглядів 2607 місяців тому
Misingi ya Imani - DCRC Praise Team
NINASIRI - DCRC PRAISE TEAM x BOMBY JOHNSON | CHURCH PERFORMANCE
Переглядів 1,6 тис.7 місяців тому
NINASIRI - DCRC PRAISE TEAM x BOMBY JOHNSON | CHURCH PERFORMANCE
Kwa nini Krismasi?
Переглядів 427 місяців тому
Kwa nini Krismasi?
IBADA YA JUMAPILI MWISHO WA MWAKA
Переглядів 937 місяців тому
IBADA YA JUMAPILI MWISHO WA MWAKA
Kongamano TAG WWK Section ya Tabata
Переглядів 10810 місяців тому
Kongamano TAG WWK Section ya Tabata
Mama Mch Namwenje akitoa neno katika Kongamano la Wanawake TAG WWK Section ya Tabata
Переглядів 10710 місяців тому
Mama Mch Namwenje akitoa neno katika Kongamano la Wanawake TAG WWK Section ya Tabata
Uweponi
Переглядів 1,2 тис.11 місяців тому
Uweponi
Uweponi Coming
Переглядів 46011 місяців тому
Uweponi Coming
Kutana na Mtu Atakeye Badili Maisha yako
Переглядів 10011 місяців тому
Kutana na Mtu Atakeye Badili Maisha yako
ZIKO SABABU MAELFU - Zanzibar Ambassador Choir
Переглядів 54 тис.Рік тому
ZIKO SABABU MAELFU - Zanzibar Ambassador Choir
Nanyamaza Zanzibar Ambassador Choir
Переглядів 43 тис.Рік тому
Nanyamaza Zanzibar Ambassador Choir
Wiki ya Uinjilisti
Переглядів 97Рік тому
Wiki ya Uinjilisti
Matendo ya Mitume Sura ya Tatu 3
Переглядів 129Рік тому
Matendo ya Mitume Sura ya Tatu 3
Semina siku ya 7 Kubadilishwa Jumapili ya Pasaka
Переглядів 30Рік тому
Semina siku ya 7 Kubadilishwa Jumapili ya Pasaka
Semina siku ya 7 Kubadilishwa EASTER SUNDAY
Переглядів 21Рік тому
Semina siku ya 7 Kubadilishwa EASTER SUNDAY
Semina siku ya 6 Kubadilishwa
Переглядів 42Рік тому
Semina siku ya 6 Kubadilishwa
Semina siku ya 5 Kubadilishwa
Переглядів 52Рік тому
Semina siku ya 5 Kubadilishwa

КОМЕНТАРІ

  • @Patience763
    @Patience763 2 дні тому

    Amina nabarikiwa nikiwa Kenya 🇰🇪

  • @amedeuscomfort790
    @amedeuscomfort790 24 дні тому

    Hakika hajawahi shindwa 💪

  • @agnesNdonde
    @agnesNdonde Місяць тому

    Wala hajawahi kushindwa

  • @agnesNdonde
    @agnesNdonde Місяць тому

    Amen 🙏

  • @francepam9832
    @francepam9832 Місяць тому

    Beautiful people beautiful music, good sound..... ❤❤❤❤ lyrics on fire!!! good job!!

  • @hafidhissa4405
    @hafidhissa4405 Місяць тому

    Kwani nyie Makafiri mukienda Kanisani munaenda kufanya nini? Au ndio mziki naona hamuna ibada 😢😢

  • @kalrawahy218
    @kalrawahy218 Місяць тому

    Hapana mzanzibar hata mmoja hapo

  • @AnicethSebastian-lm9fk
    @AnicethSebastian-lm9fk Місяць тому

    Mungu ni muweza wa yote hakika mtayashinda katika yy awatuaye nguvu

  • @Daviswebe
    @Daviswebe Місяць тому

    ❤❤❤ Mungu awabariki saana DCRC, jumapili lazima niwepo

  • @Patience763
    @Patience763 Місяць тому

    Amina MUNGU awatangulie kwa hio process

  • @ednalugano2906
    @ednalugano2906 2 місяці тому

    Hakika ziko sababu elfu mara elfu za kumsifu Yesu Kristo.

  • @gkcchief2802
    @gkcchief2802 2 місяці тому

    I like this good music 🎶 mbarikiwe sana

  • @rosemichael5268
    @rosemichael5268 2 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @user-xo4xq6rr3f
    @user-xo4xq6rr3f 2 місяці тому

    Iko sawa hii naipenda

  • @FridahMwandoe-di5tn
    @FridahMwandoe-di5tn 3 місяці тому

    Mungu awainue 4:39

  • @FridahMwandoe-di5tn
    @FridahMwandoe-di5tn 3 місяці тому

    Mungu awainue 4:18

  • @FridahMwandoe-di5tn
    @FridahMwandoe-di5tn 3 місяці тому

    2:16 Mungu azdi kuwainua

  • @FridahMwandoe-di5tn
    @FridahMwandoe-di5tn 3 місяці тому

    Kwa Yesu ,si ng"oki

  • @FridahMwandoe-di5tn
    @FridahMwandoe-di5tn 3 місяці тому

    Kwa Yesu sing"oki

  • @user-un5ke9tz9b
    @user-un5ke9tz9b 3 місяці тому

    Saf ❤❤❤

  • @berntv9800
    @berntv9800 3 місяці тому

    Mungu aangalii mavazi Bali nafis yako hongera Sana kwa kumtukuza mungu bila kujali mavaz kanzu Ni vazi hata yesu alivaa na mitume wote

  • @JosephGithinji-iq5cd
    @JosephGithinji-iq5cd 3 місяці тому

    Barikiweni hio wimbo iko juu

  • @user-vo9jg5wm5s
    @user-vo9jg5wm5s 4 місяці тому

    My favorite music

  • @giftmwambungu
    @giftmwambungu 4 місяці тому

    Ni sehemu ya kuvuna watu kwa Yesu( hiyo nyimbo ni moja ya nyavu

  • @EstherKessy-yx8kb
    @EstherKessy-yx8kb 4 місяці тому

    Amen baba

  • @faithleonard2866
    @faithleonard2866 4 місяці тому

    Mbalikiwe sana

  • @densonKakete
    @densonKakete 5 місяців тому

    DCRC TAG 2024.Baraka zifurike kwetu wana family.abarikiwe JESUS CHRIST

  • @paulokaflete6557
    @paulokaflete6557 5 місяців тому

    Wapenda Tarabu wamefulahi hapo yesu hayupo

    • @alfredpaulmombury2893
      @alfredpaulmombury2893 Місяць тому

      Wewe ni boya.Hizo nyimbo zinazoimbwa makanisani melody yake imetoka wapi?Mungu hakupanga ni melody Gani aimbiwe,Kila kabila Lina haki ya kumwimbia kikwao.Ulitegemea Zanzibar upeleke melody za congo upate watu?Kula mlenda ulale.

  • @paulokaflete6557
    @paulokaflete6557 5 місяців тому

    Mambo yahovo Tarabu mpaka kanisani kama unaweza kaimbe majumba sita kwa mosesi magembe

  • @nenenelly1878
    @nenenelly1878 6 місяців тому

    🎉Amen🙏

  • @user-dt1mg7jg5q
    @user-dt1mg7jg5q 6 місяців тому

    Ari Na Moyo wa kusifu huyu Yesu n'nazo Na sing'oki Wala sibanduki ng'o. Nina sababu. Njoo n'takueleza.

  • @user-cm4vn2cj9c
    @user-cm4vn2cj9c 6 місяців тому

    Kabisa liko sehemu Gani nipo unguja

  • @AnicethSebastian-lm9fk
    @AnicethSebastian-lm9fk 6 місяців тому

    Barikiweni

  • @lydiamburia4113
    @lydiamburia4113 7 місяців тому

    NINASIRI WELL DONE DCRC PRAISE TEAM x BOMBY JOHNSON FOR THE POWERFUL DELIVERANCE CHURCH PERFORMANCE.

  • @Daviswebe
    @Daviswebe 7 місяців тому

    Amina Mungu awabariki hii ni nzuri 😍😍😍

  • @kamaumaina8759
    @kamaumaina8759 7 місяців тому

    Sitosheki na huu wimbo.. Yapendeza sana

  • @AnithaMgeni
    @AnithaMgeni 7 місяців тому

    With jesus love from Tz bara koooye watu wanaookoka Yesu ni Bwana

  • @petermshenga6589
    @petermshenga6589 8 місяців тому

  • @BENARDBARASA-ze6nm
    @BENARDBARASA-ze6nm 8 місяців тому

    Kweli yesu yupo na yu hai na anawatetea walio wake

  • @AnicethSebastian-lm9fk
    @AnicethSebastian-lm9fk 8 місяців тому

  • @AnicethSebastian-lm9fk
    @AnicethSebastian-lm9fk 8 місяців тому

    Pamoja ktk kuikuza injili

  • @dcrctv
    @dcrctv 8 місяців тому

    Angalia video yote kwa kugusa link hii hapa ua-cam.com/video/l96OmxiBYvI/v-deo.html

  • @user-by9rj7dt5w
    @user-by9rj7dt5w 9 місяців тому

    Asanteni kwa nyimbo zenu 🎉

  • @mariummdemu5790
    @mariummdemu5790 9 місяців тому

    🤍🤍🤍

  • @Rose_Obiero
    @Rose_Obiero 9 місяців тому

    Kwa kweli ziko sababu maelfu 🥳🥳🥳🥳🥳

  • @marthapaschalsaranga5479
    @marthapaschalsaranga5479 9 місяців тому

    🙏🏽❤

  • @yonahwanyamamusee2340
    @yonahwanyamamusee2340 9 місяців тому

    Wau..indeed we have reasons why we praise him

  • @user-ri5fi5rw4f
    @user-ri5fi5rw4f 9 місяців тому

    Mungu awabariki Wana Zanzibar

  • @emertonmwakina8593
    @emertonmwakina8593 9 місяців тому

    God bless you 🙏🙏 continue going to preach gospel

  • @judithokonji1028
    @judithokonji1028 9 місяців тому