Bony Mwaitege - TAFUTA AMANI (Official lyrics video)
Вставка
- Опубліковано 11 чер 2024
- Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
MUNGU AKUBARIKI SANA.
Mungu akubariki Sana bwana Bonny nyimbo nzuri Sana tunaomba mukono kwawimbo wakwako Asante Sana ...
Hakika Baba MUNGU. akubaliki sana kila nyimbo unayo itoa hua inakua msaada kwangu kiukweli MUNGU akubaliki mno na aendleee kukutumia zaid na zaid
KAZI NZURI SANA KAKA🎉🎉🎉 NIKWELI KABISA
Barikiwa sana Broo 👏👏👏
Ujumbe mahususi kwa vijana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sijauelewa mtumishi niwe mkweli sitaki unafiki. Barikiwa Sana mtumishi
Mungu naomba uniondolee roho ya hasira in Jesus name amen 🙏..Nice song be blessed 🙌 more Bony Mwaitege
Pongezi kaka ujumbe muhimu sana
Mtumishi ubalikiwe sana kwa nyimbo unazotoa munqu aendelee kukubaloki sana
Mungu akubariki sana..
Tuhakikishe tunaipeleka on trend
Amen ubarikiwe sana ❤
Amen Amen Amen 🙏 God bless you 🙏❤
Kazi nzuri Baba
Amani muhimu hakika,
Hasira hasara nzuri sana mtumishi wa MUNGU
Namba 1 comments
Powerful message
Asante Sana Baba Kwa Kazi nzuri unayoifanya kupitia nyimbo zako zilozo na mafunzo.Mwenyezi Mungu akuzidishie baraka na hekima zaidi 🇰🇪
Naipenda sana
Amen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
🎉🎉🎉👏👏👏👏❤
❤🎉🎉🎉🎉
🎉
7🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉