Bony Mwaitege - MWALIMU (Official lyrics Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
    Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
    MUNGU AKUBARIKI SANA.

КОМЕНТАРІ • 289

  • @tanzaniabusesupdates5311
    @tanzaniabusesupdates5311 4 місяці тому +16

    Nyimbo ambayo popotee penye graduation ni lazima ipigwe hii sio ombi iwe nursery,primary, secondary,vyuoni na n.k hapo umekamata kila sehemu aseee.. kila DJ lazima awe nayo hiii

  • @SystTimwanga
    @SystTimwanga 2 місяці тому +2

    Hakika Mungu ni muweza wa yote azidi kukutunza siku hadi siku kwa kutuhuburia mambo mema🎉

  • @AbelLazaro-y4p
    @AbelLazaro-y4p 4 місяці тому +3

    Mi toka 2009 toka apo nikaanza kuzifatilia, Kuna wimbo unaitwa 《mama 》ndoo nilianzia kuskiliza pamoja na wimbo 《maisha foleni 》endelea kumtukuza mungu niko Dr

  • @AnnaMathias-h3s
    @AnnaMathias-h3s 2 місяці тому +1

    Ila uwalimu ni wito kweli me zile home work mwanangu anazopewa nyumbani tu zinanitoa jasho kumfundisha walimu mungu hawabariki

  • @FredLui-jd8yw
    @FredLui-jd8yw 3 місяці тому +1

    Mtumishi mungu akupe afya tunawetegemea sana.....from kyela mbeya

  • @Danieli-df9nz
    @Danieli-df9nz 4 місяці тому +4

    Huyu nimwamba ila analala Sana Bila kutoa nyimbo piga kazi mwaitege

  • @tukuyufm.
    @tukuyufm. 4 місяці тому +4

    Walimu tujuane HAPA.

  • @Muloko
    @Muloko 3 місяці тому +1

    Mungu amubariki sana mtumishi wake bony kwa nyimbo nzuri

  • @yohana_antony
    @yohana_antony 4 місяці тому +2

    Ubarikiwe baba mchungaji

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 3 місяці тому +1

    Amina! Mungu atujalie heri sana,maana kazi ngumu sana lakini Kwa msaada wa Mungu tunafanikiwa mno❤💯👏

  • @yamfashijerosette7094
    @yamfashijerosette7094 4 місяці тому +3

    Iyi ndirimbo ninziza yesu aguhe umugisha

  • @AnnaMathias-h3s
    @AnnaMathias-h3s 2 місяці тому +1

    Walimu mungu awabariki kwani uwalimu ni wito

  • @manyanyazakaria
    @manyanyazakaria 4 місяці тому +4

    Wimbo mzuri sana Kwa kweli walimu wa kila sekta watafurahi kusikia umewakumbuka walimu🙌🙌🙌🙌

    • @ISAIAHBARASA-x2m
      @ISAIAHBARASA-x2m 4 місяці тому

      Iam teacher from Kenya and I am proud of it. I just like your songs man of God, from MKE MWEMA to MWALIMU. Be blessed.

    • @BonyMwaitegeOfficial
      @BonyMwaitegeOfficial  4 місяці тому

      Asante

  • @SekatafiShabani
    @SekatafiShabani Місяць тому

    Ukweli kupitia wimbo huu nawapa salamu walimu wangu, ( milele ( na sebaru na shemdoe na bibiana na singano na kabonda na singano na jambia na chakae na umii , ukweli Mimi niseme Asanteni mulitukisha bali kielimu, pale shule ya msingi mbongoi wilaya ya lushoto tarafa ya mlola kata makanya kijiji cha mdando muheza, pia niwape Asanteni walimu wangu wadini kina sheh daudi na sheh riziwani na sheh swahibu na sheh Amdi na sheh amdala na sheh muhamadi na sheh imamu na sheh asumani fumu na sheh juma hale mungu awape umri mrefu tuendelee kupata elimu kutaka kwao na mungu na Sisi wanafunze atujalie ufahamu mzuri

  • @chaumueisaackindji3864
    @chaumueisaackindji3864 2 місяці тому

    God bless you dear brother
    Your songs are inspired by the Almighty God! As a man, nothing I may do for you, indeed, I contribute saying that God bless much more in the Might Name of Jesus Christ our Lord and Saviour, AMEN AMEN AMEN

  • @gutsylucabee205music
    @gutsylucabee205music 4 місяці тому

    Bonnie ww ni singer composed sana napenda content zako Gutsylucabee from 254 nipitie huku kwangu msupport kijana wenu unit is strength 💪 na spread good news about Jesus Christ 🙏🫶

  • @SekatafiShabani
    @SekatafiShabani Місяць тому

    Ukweli Mimi niseme tu, kupitia huu wimbo naomba niwape Asante walimu wangu, ( bilele mrangi na bibiana na shem

  • @BenjaminHenry
    @BenjaminHenry 4 місяці тому +2

    Hii imeenda. Itachezwa sana graduation hii.

  • @MRJ1308
    @MRJ1308 3 місяці тому

    Afadhali kuwakumbuka walimu wengine hawatambui mchango wao kabisa

  • @aimejustenahayo8934
    @aimejustenahayo8934 4 місяці тому +6

    Burundi wakwanza nipe like zangu

    • @REDEMPTAMAKONGA-tp4kw
      @REDEMPTAMAKONGA-tp4kw 4 місяці тому +1

      Habari? Naomba nisaidie kupata namba za wachungaji walioko burundi au nitumie namba yako ya whatsup

    • @BonyMwaitegeOfficial
      @BonyMwaitegeOfficial  4 місяці тому +2

      asante

    • @JudicaelleGatali
      @JudicaelleGatali 4 місяці тому +1

      ❤❤❤Dios te siga bendiciendo , como quisiera que mi hijo siga tu ejemplo💖💖💖🙏🙏🙏

  • @EvarMahenge
    @EvarMahenge 2 місяці тому

    Zamani tulijuaga walimu wapo mashulen tu kumbe hata makanisani walimu wapo wimbo mzuri sana na maana kubwa🙌

  • @jovialbenofficial
    @jovialbenofficial 4 місяці тому +1

    Hapo kwa a e i o u nimepafurahia SANA kk na Mtumishi-Mwenzangu katika SHAMBA LA BWANA 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Masebrain
    @Masebrain 4 місяці тому +1

    amen nyimbo nzuri sana mtumishi wa mungu ,.

  • @dominicnyabuto714
    @dominicnyabuto714 4 місяці тому +1

    Ev DOMINIC Nyabuto kutoka Kenya bony tuende mbele na injili

  • @emanuelwanyonyi9980
    @emanuelwanyonyi9980 4 місяці тому +2

    Kwa asilimia Mia moja bony hana mfano n mtunzi mkamilivu

  • @emmakulatamulongo6547
    @emmakulatamulongo6547 2 місяці тому

    Ooooo yes tunashukuru mwaitege mtumishi wa mungu kutambua hilo

  • @EmeryIradukunda-y9s
    @EmeryIradukunda-y9s 4 місяці тому +1

    Nyimbo nzuri sana,Tena ya ukweli Hongela sana

  • @lucaslupaso5824
    @lucaslupaso5824 3 місяці тому

    Pastor nabarikiwa sana na hasa kwa darasa lako la uimbaji. Ila naomba hii beat niifanyie kazi

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 3 місяці тому

    Ukweli ndo huo mwalimu ndo Kila kitu mtumishi wa MUNGU umeimba Kwa kuongozwa na MUNGU ni wimbo ambao sitausahau mpaka kufa kwangu naomba serikeri iwangalie walimu wasisubiri mshahara tu katikati ya mwezi kuwepo na posho walimu wote muwe na maisha marefu mbeke za MUNGU.

  • @ENOCKSAM1015
    @ENOCKSAM1015 4 місяці тому +1

    Kazi nzuri sana

  • @ElishaChristopher-jr1qm
    @ElishaChristopher-jr1qm 2 місяці тому

    Mungu akubariki sana baba kwa wimbo ulio beba maudhui makubwa sana

  • @Victorc.
    @Victorc. 4 місяці тому +1

    GOD BLESS YOU MWALIMU

  • @modestkonga9318
    @modestkonga9318 4 місяці тому +2

    Asante Sana babaangu,kwa ufunuo huu,nadhani wewe ni wa kwanza kufunuliwa hili,wamesahaulika,be blessed my dad

  • @EricBurundi257
    @EricBurundi257 4 місяці тому +2

    Na Wewe Bony Mwaitege ni Mwalimu

  • @iannjoroge2037
    @iannjoroge2037 2 місяці тому

    Hogera sana bony nyimbo nzuri saana God bless you

  • @DjunaKashira75
    @DjunaKashira75 4 місяці тому +1

    Hongera sana sana mutumishi wa Mungu. Wimbo mzuri kabisa

  • @tumainipeter458
    @tumainipeter458 4 місяці тому +2

    Uko viziri mtumishi

  • @davidmbuyu1575
    @davidmbuyu1575 4 місяці тому

    En tout cas papa que le Dieu du très haut vous bénis encore et qu'il vous ajoute la sagesse 👏👏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @TomWafula-g7e
    @TomWafula-g7e 4 місяці тому +1

    KAZI nzuri kaka,twangoja video

  • @ianikada7330
    @ianikada7330 4 місяці тому +2

    Asante sana kwa kukumbuka walimu kupitia nyimbo zako za Injili.Mwenyezi Mungu akupe uzima na ujasiri zaidi katika kazi yako Baba.🇰🇪

  • @laurentfitina7898
    @laurentfitina7898 2 місяці тому

    hakika nimebarikiwa na content nzuri sana .

  • @ManenoKanyika
    @ManenoKanyika 4 місяці тому

    I enjoy your songs because I'm able to read 🔥🔥🔥

  • @John-pv1xr
    @John-pv1xr 4 місяці тому

    Kabsa barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @AndrewSimatanga-rs4cf
    @AndrewSimatanga-rs4cf 4 місяці тому

    Me being a secondary teacher am blessed! Thank you bonny mwaitege for singing us a song. Love you from Zambia

  • @luganomwakalinga7891
    @luganomwakalinga7891 4 місяці тому +1

    Asante Kwa wimbo mzuri.

  • @mananababra5260
    @mananababra5260 4 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @FaithKananu-q1c
    @FaithKananu-q1c 3 місяці тому

    Keep up the good work, man of God be blessed

  • @francisotuke3426
    @francisotuke3426 2 місяці тому

    ma me mi mo mu kweli alipambana Mwalimu

  • @emanuelfitani3042
    @emanuelfitani3042 4 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hongera San brother bon Kaz nzur🎉🎉🎉🎉🎉

  • @vibrating8689
    @vibrating8689 4 місяці тому

    Dedication to my brother

  • @ErnestFomo
    @ErnestFomo 4 місяці тому +5

    Muimbaji WA nyimbo zaijili bony mwaiyege Ni muogoni Mwa waimbaji wazamani nilio wapenda sana adi leo

  • @DastanNyaki
    @DastanNyaki 3 місяці тому

    Bongo la ngoma barikiwa sana

  • @eliaisack156
    @eliaisack156 4 місяці тому

    Kaka balikiwa sana japo nilipenda nipate no zako za cm tufanye colabo

  • @benjamingikundi
    @benjamingikundi 4 місяці тому +1

    Great song mtumishi

  • @Sarielnkurufi
    @Sarielnkurufi 3 місяці тому

    Barikiwa sana mtumishi

  • @daudimhoha320
    @daudimhoha320 4 місяці тому +1

    Yesu.nimwalimu.orijino

  • @GRPMtv
    @GRPMtv 4 місяці тому

    He is able more grace to you sir

  • @Kaskile-db9dd
    @Kaskile-db9dd 4 місяці тому

    Kazinzuri❤❤

  • @Encky3v
    @Encky3v 4 місяці тому +1

    Baraka zakutosha 🎉🎉🎉

  • @princesumary7356
    @princesumary7356 4 місяці тому +1

    Ayonimambo ya kijamii kunawatu wakuyasema!!tuambie kuusu Mungu ndokazi aliyokupa.

    • @martinwilson3357
      @martinwilson3357 4 місяці тому

      Kwan hujui kam uimbaj n Sanaa nakaz yake nikuelemish jamii au hujaona kam anaelimish jamii juu ya umhim wa mwalim ktk jamii! nivizur kam kitu hukijui ukakaa kimy

    • @tegemeantenga102
      @tegemeantenga102 4 місяці тому

      Punguza hasira,,,mbele Kuna mteremko mkali

    • @FredLui-jd8yw
      @FredLui-jd8yw 3 місяці тому

      Unamatatizo ya akili, hujui uwimbaji n Sanaa,punguza kelele ,na wivu .sasa watu wa kuwasemea n akina nani, 😂😂😂

    • @princesumary7356
      @princesumary7356 3 місяці тому

      @@FredLui-jd8yw wakuwasemea ni wewe🤣🤣

  • @MANMChurc
    @MANMChurc 4 місяці тому +1

    Tunalisubilia goma

  • @GmemoMeshack
    @GmemoMeshack 4 місяці тому +1

    Barikiwa Sana Baba 🙏

  • @ElizabethJamson
    @ElizabethJamson 4 місяці тому

    Amen Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @BENCBOYOFFICIAL193
    @BENCBOYOFFICIAL193 4 місяці тому +2

    🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @philipotienoochiengochieng2871
    @philipotienoochiengochieng2871 3 місяці тому

    Good work. Bonny

  • @AlloiceOkeyo
    @AlloiceOkeyo 4 місяці тому

    Ni sawa sana

  • @CANAANTZ_TV
    @CANAANTZ_TV 4 місяці тому

    MUNGU azidi kukuinua ktk utumishi wako

  • @MWAMPAMBA
    @MWAMPAMBA 4 місяці тому

    Barikiwa

  • @danielhenry-pi6db
    @danielhenry-pi6db 4 місяці тому +1

    Wimbo mzuri

  • @gracetasha8737
    @gracetasha8737 4 місяці тому

    Much love all the way from Zambia❤❤

  • @nabiibikemwayowele
    @nabiibikemwayowele 4 місяці тому +1

    Wimbo Powa sana

  • @kichwachafamilia
    @kichwachafamilia 4 місяці тому

    Asnt mungu kwazawad bony❤❤

  • @FredyBuhofelaOfficial
    @FredyBuhofelaOfficial 4 місяці тому

    Hakika

  • @manyenyemahona9489
    @manyenyemahona9489 4 місяці тому +1

    Nyimbo nzuri

  • @AbelLazaro-y4p
    @AbelLazaro-y4p 4 місяці тому +1

    Kazi nzuri

  • @rebekabethueli1859
    @rebekabethueli1859 4 місяці тому +1

    Thanks mtumishii wa Mungu. Mungu mkubwaa kutokaa aeiou Leo hii mwalimu thanks madam bomboo wanguu bila wewe nisingejuaa kusomaa

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 4 місяці тому

    Thank you ❤

  • @happyndosite3073
    @happyndosite3073 4 місяці тому

    Wow! Wengi wanatudharau sana walimu😢.. Huu wimbo umenifuta machozi na kunibariki sana.. Umetuheshimisha sana walimu.. Ubarikiwe sana Baba..

  • @kenethemeka195
    @kenethemeka195 4 місяці тому

    Nice song

  • @carolynewerunga9112
    @carolynewerunga9112 3 місяці тому

    Amen 🙌🙌

  • @Bekita-nz7bq
    @Bekita-nz7bq 4 місяці тому +1

    Hii nayo ni tamu aje ❤❤❤

  • @RaphaelJacksonOfficial
    @RaphaelJacksonOfficial 4 місяці тому +1

    Amen sana baba

  • @evalynebarake
    @evalynebarake 4 місяці тому

    Nakutambua bonny toka uimbe was make mwema,nasikia roho yangu ikitulia Na nyimbo zako Sana.ubarikiwe sana

  • @Enockmranga
    @Enockmranga 4 місяці тому

    🙏🙏🙏🙏 safi mtumish God bless you

  • @jeanettegloria6244
    @jeanettegloria6244 4 місяці тому

    Amen

  • @arorinyabuto1254
    @arorinyabuto1254 4 місяці тому

    Wimbo mtamu...tuheshimu walimu

  • @hilarymatheka5048
    @hilarymatheka5048 4 місяці тому

    Special dedication to my teachers all the way from Muukuni primary school,Makueni Boys High school and currently Mount Kenya University...God bless you

  • @denisijosephat
    @denisijosephat 4 місяці тому

    ubarikiwe mtumixhi Kwa kazi Yako nzr ,by pastar Denice j nipo Kagera w.ya muleba

  • @ErnestFomo
    @ErnestFomo 4 місяці тому

    Mungu akupe maisha marefu

  • @eliamtinda7222
    @eliamtinda7222 4 місяці тому

    Much blessings to you bro!

  • @paulinanduku2748
    @paulinanduku2748 4 місяці тому

    To all teachers in the building feel appreciated ❤we cherish you

  • @alexmakau2738
    @alexmakau2738 4 місяці тому

    Huku kenya song sako huaga inatubaliki san 2nasupili song

  • @molojohnstone9534
    @molojohnstone9534 4 місяці тому

    Great song bro, keep up 👏👏

  • @eliamanirakiza5127
    @eliamanirakiza5127 4 місяці тому

    Amen,walimu watu muhimu sana kwa jamii,barikiwa sana mtumishi.Huwa wakati mwingine: najiuliza kwanini madaktari walipwa pesa kuuubwaa zaidi ya walimu walio pambana tujuwe kusoma.This world is not fair.Mbarikiwe sana walimu na hasaa,wadarasa la kwanza,Mungu awabariki sana

  • @samwelmwakasyuka2966
    @samwelmwakasyuka2966 4 місяці тому

    Ndagha ni mbombo jha kyala Kikolo..

  • @derickboniphace-ci9jn
    @derickboniphace-ci9jn 4 місяці тому

    Asantee baba tamuu hii

  • @MANMChurc
    @MANMChurc 4 місяці тому

    Bonny ameludi ujana kila wiki goma jipya😂😂

  • @EZRALWESHA-gn4wm
    @EZRALWESHA-gn4wm 4 місяці тому

    good song for all teachers may GOD bless you bonny

  • @Valentinomichael367
    @Valentinomichael367 4 місяці тому

    🧠 🙌🙌 🙏🙏

  • @isaacsikaundi1172
    @isaacsikaundi1172 4 місяці тому

    Nice song🇿🇲🇿🇲🇿🇲