UWANJA WA KINONDONI WA ZINDULIWA RASMI | KINONDONI VUMBI LA PEPEA KUTOKA KWA WAPENZI WA MPIRA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • Jambo la kwanza lililotufanya tufike hapa ni kwamba zile ndoto zetu zimetimia. Tulianza na dhamira tulikuwa tunataka tuwe na kitu kama hiki (tuwe na uwanja wetu). Dhamira ya kuwa na timu miaka takribani Saba iliyopita. Tukisema sisi kama Kinondoni ni wakusanya ushuru. Tunaendeshwa na wananchi wauza karanga, wauza maji na vidogo vidogo wanavyochangia kwa halmashauri ya Kinondoni- Meya Manispaa ya Kinondoni Meya Mh Songoro Mnyonge
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 21

  • @VenanciModrick
    @VenanciModrick 3 місяці тому

    Wanahabari wa mchongo hamjatwonesha uwanja zaidi ya kupiga store

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 3 місяці тому

    Kabla ya kuanza mahojiano mngetuonyesha uwanja wenyewe, na vyumba vya wachezaji nk

  • @mrpaulbinezekiel110
    @mrpaulbinezekiel110 3 місяці тому +1

    Tunazidiwa na KMC

  • @immasaid2938
    @immasaid2938 3 місяці тому

    Huyo meya ako na akili sana ya biashara

  • @osmundmtavangu
    @osmundmtavangu 3 місяці тому

    Huyu meya ndo anatakiwa kuwa waziri wa michezo.

  • @Hamissi-s1f
    @Hamissi-s1f 3 місяці тому

    Acha uwongo mwadishi mwenge sio katikati ya jiji

    • @salumalriyamy
      @salumalriyamy 3 місяці тому

      Katikati kati ya Kijiji sio?

    • @NM-yl2uw
      @NM-yl2uw 3 місяці тому

      sasa mwenge wapi au unakariri tu

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 місяці тому

      ​@@NM-yl2uw Mimi naishi maeneo haya haya ya Mwenge. Katikati ya jiji (City Centre) ni Posta sio Mwenge.

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 3 місяці тому

    Wizi mtupu huo kwakweli mbna hakuna sehemu ya kukaa watizamaji wa mechi uwanja mzima???

    • @petermogha7025
      @petermogha7025 3 місяці тому

      Baba shukuru hata kidogo Kuna vyam karine hakuna kitu

  • @mrpaulbinezekiel110
    @mrpaulbinezekiel110 3 місяці тому

    Simba tumeshindwa hata kutengeneza uwanja kama huu

    • @JumaaBoriKidogo
      @JumaaBoriKidogo 3 місяці тому

      Simba inaviwanja zaidi yahivi ttz jogràfia tu

  • @MrishoMambo
    @MrishoMambo 3 місяці тому

    Kmc hawajajenga uwanja sema manispa yakinondoni ndio imejenga uwanja

    • @husseinmejja8041
      @husseinmejja8041 3 місяці тому

      Kwani kmc c ndio timu ya manispaa 😅

    • @papiasdyausa176
      @papiasdyausa176 3 місяці тому +1

      KMC maana yake ni Kinondoni municipal council

    • @MohamedyMsagati
      @MohamedyMsagati 3 місяці тому

      Umeandika pumba Sana

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 3 місяці тому

      Nini maana ya KMC? Na timu hipo chini ya nani? Upumbavu mtupu umeropoka

    • @petermogha7025
      @petermogha7025 3 місяці тому

      Hapo ni elimu ya uelewa tu​@@damianmcba9525