'KESI YA AFANDE', MAHAKAMA YAAMUA HAIWEZI KUTOA AMRI YA KUMKAMATA, MADELEKA KWENDA MAHAKAMA KUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • #trending #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 102

  • @revocatusmtiro8463
    @revocatusmtiro8463 Годину тому +6

    Dah Kama Mahakama Haina uwezo wa kuamuru mtuhumiwa kukamatwa basi hakuna mahala pa kukimbilia

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 Годину тому +5

    Mungu akulinde wakili msomi

  • @raufuuledi8098
    @raufuuledi8098 2 години тому +10

    Duuuh, hii ni hatari wanainajisi sheria na kushusha hadhi ya mahakama

  • @FloridaAdelinus
    @FloridaAdelinus 2 години тому +7

    Makonda alisema kwamba Serikali hii haitoi HAKI akasema hivi ukiwa na malalamiko usiende mahakamani nenda kwa mtu wa CCM au Makonda akusidie, sasa (KISABO) au Madeleka angalia namna ya kwenda kwa MAKONDA labda utapata msaada. Labda kuna simu imepigwa kutoka ngazi za juu namkumbuka aliyesema mahakama uwa inapigiwa simu kutoka ngazi za JUU.

  • @AnzamenMariki
    @AnzamenMariki 26 хвилин тому

    Usikate tamaa mh wakili.Watanzani zaidi ya mil 60, tuko nyuma yako. Bravo!.

  • @LuluAquai
    @LuluAquai Годину тому +2

    Subhaanallah!!!...mpaka hatua hii naamini huyo mama anahusika na hii tuhuma kwa 90% kaka wasongeshe,usichoke naona kabisa wamechokoza manyigu,nakuaminia kaka

  • @OptionsLimited-l4s
    @OptionsLimited-l4s Годину тому +3

    Nchi mbovu kabisa Hii , Hapa Afrika

  • @JoyceJulius-r6g
    @JoyceJulius-r6g Годину тому +6

    Ila hii nchi nimeona mtu bola tutafute pesa tu kiukwer maana bila ela utateseka sana ivo tutafute pesa jamani

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 Годину тому +3

    Nawaombea nyie mlio chukua taaluma hii ya sheria nakujitoa kwaajili ya taifa na watu wote ,Mungu awaepushe na kilamipango mibovu ya adui Ameen....!!!!!!!

    • @LuluAquai
      @LuluAquai Годину тому

      Aamin rabbilg'aalamin

  • @boniphacewambura1427
    @boniphacewambura1427 31 хвилина тому +1

    Kama una amini mahakama ipo chini ya huyo afande gonga like

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Годину тому +3

    Lostam alisema simu Moja tu hakimu anakubali

  • @EdenMcharo
    @EdenMcharo 2 години тому +3

    Sheria zetu kama kupiga ramli

  • @ViolethMazengo-nd8cy
    @ViolethMazengo-nd8cy Годину тому +2

    Sasa watanzania ndio tuelewe hii nchi imeweka sheria mballiii wanaangalia huyu ni nani dahhh

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq Годину тому +2

    Hawa ndio wanasheria tunao wataka wenye msimamo na wanaoijua sheria

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja Годину тому +2

    Madeleka usikate tamaa.Unawamudu hao,,iwe jua iwe mvua huyo afande lazima afungwe.

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 Годину тому +2

    Changamoto kubwa sana

  • @Globaletz
    @Globaletz 45 хвилин тому +1

    Huyu wakili Mbona anaongea Pumba 😂

    • @AbdillahSalimu
      @AbdillahSalimu 9 хвилин тому

      Pumba ipi ??

    • @AbdillahSalimu
      @AbdillahSalimu 7 хвилин тому +1

      Hapana. Wakili kanyoosha maelezo wewe ndio umekomet pumba

  • @loitengia4217
    @loitengia4217 Годину тому +3

    Madeleke anajua sana

  • @kingngojea
    @kingngojea Годину тому +1

    Hii ndio bongo bwana mwenye pesa cheo ananguvu kuriko serikali Yuko juu ya sheria ohoo

  • @kingngojea
    @kingngojea Годину тому +1

    Akosee masikin sasa utasikia sheria inavotafsiriwa hiv unakwenda jera iwe fundisho Kwa mwingine kumbe kosalako sio lileumetenda ila kosalako ni kukosa nguvu pesa na cheo

  • @AugustinoKatula
    @AugustinoKatula 2 години тому +2

    Haki huwa haichagui mkubwa Wala mdogo.
    Wasomi tuache kujichanganya let we be fare.

  • @saidmtetwa4363
    @saidmtetwa4363 Годину тому

    Big up Madeleka, keep it up .

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 57 хвилин тому +1

    Sheria ametengenezewa mlala hoi

  • @roselynsesoa2477
    @roselynsesoa2477 57 хвилин тому +1

    Hakuja huyo kaenda kwa mganga kuzima case huyo

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 2 години тому +3

    huyu akatulie inaonekana anashindana na watu wakubwa hawawezi

    • @justardzelphine6526
      @justardzelphine6526 Годину тому +2

      Mkubwa ni Mungu tu asiyeonekana,

    • @LuluAquai
      @LuluAquai Годину тому

      Acha upuuzi ww,unadhani huyo kama mm na ww tusiojua haki zetu,tunaenda kama Nyumbu

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 2 години тому +4

    Madeleka kila kesi yupo,piga hela mkuu

  • @MarryMassawe-wr2zi
    @MarryMassawe-wr2zi Годину тому +1

    Tums namba kaka tuchange

  • @kapingageorge7635
    @kapingageorge7635 Годину тому +1

    Jmaaa kanyoookaa sana

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Годину тому +1

    Siku kutawala ukibadilika Kwa hii katiba viongizi wata akimbia kwasababu Sheria zitawageukia

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Годину тому +1

    Bunge lilipitisha Sheria Zina wakaba wenyewe na bado

  • @SaidaEgwaga
    @SaidaEgwaga 40 хвилин тому

    Ni kweliiii kabisa mahakama zetu mifumo yao ni mibovu mibovu mnooooo.hilo liko wazi.kwanza lugha zao ni chafuuuu na pili hawana maadili

  • @MuharamiBakari
    @MuharamiBakari Годину тому +1

    Mungu ana waona hakuna haki hapa Mungu ata wachoma moto hao wote wanao nyima haki za watu

  • @januarysila1569
    @januarysila1569 Годину тому +1

    nishida sana ichi hii

  • @KingKong-gu5qn
    @KingKong-gu5qn 53 хвилини тому

    Hii nchi ni ya watu maalum ndio muyaone

  • @benardkinde8496
    @benardkinde8496 Годину тому

    Madeleka usife moyo tupampanie haki itapatikana Mungu wa haki yupo acha wajichanganye Mungu hajawahi kuwaacha salama wazalimu madeleka wewe fanya kila hatua kwa haki utakuja ona Mungu atawashugulikia wote wanaofanya uzalimu juu ya kesi hiyo hatatokea mutu anaamka tuu anatuma watu wakafanye jambo baya hata kama madeleka usingewashitaki Mungu asingekaa kimya angewashugulikia kwa kiwango cha aibu kabisa

  • @LetlhogonoloMokotedi
    @LetlhogonoloMokotedi 33 хвилини тому

    Chini ya uogozi huu wa CCM ni mbovu sana

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips Годину тому +1

    CCM CCM HIVI HII NCHI MNATAKA TUIFIKISHE WP

  • @athumanisudi891
    @athumanisudi891 29 хвилин тому

    Ndio maana nasemaga cku zote kuwa mahakama ni ya mungu tu na haki ipo kwa mungu peke yeke hizi zingine ni mbwembwe tu.

  • @LetlhogonoloMokotedi
    @LetlhogonoloMokotedi 30 хвилин тому

    Viva madeleka viva

  • @AbdillahSalimu
    @AbdillahSalimu 11 хвилин тому

    Huyo afande atajutakupanga lile shambulizi na kuzaliwa kazi anayo 😂

  • @MarryMassawe-wr2zi
    @MarryMassawe-wr2zi 57 хвилин тому

    Naomba msichoke

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 52 хвилини тому

    Mtuhumiwa anapigiwa cm hapokei wakili wake pia hapokei duh! alafu unaambiwa nchi hii inaongozwa kwa misingi ya kisheria

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 2 години тому +1

    Haya Wakukaya mgana Madeleka umeiona hiyo?

  • @NdelilioKaaya
    @NdelilioKaaya Годину тому

    duu
    Jamaica tukimbilie wapi sasa
    kweli haki hakuna
    nenda mbele wakili
    mwabukuzi uko wapi jmn

  • @RhodaKibona-w9j
    @RhodaKibona-w9j 17 хвилин тому

    Mungu bado yu hai,atateta nao

  • @hashimposho-ju6nz
    @hashimposho-ju6nz 40 хвилин тому

    Kwanini hakimu aliesimamia kesi kwa mara ya kwanza alihamishwa tatizo lilianzia hapo kuna kitu hakipo sawa

  • @AbelJohn-tx4in
    @AbelJohn-tx4in 20 хвилин тому

    Jamani watanzania ni watu wa ajabu sana, leo hii mnalalamika kama mahakama zimefikia hapa basi hakuna pa kukimbilia, halafu nyinyi wenyewe mnasema hakuna mbadala wa ccm, ccm ni chama pekee kinachojali maslahi ya wananchi, com mbele kwa mbele wapinzani mtaisoma namba, kwa hiyo Msilalamike, mnayataka wenyewe, wakisema tunataka maamuzi au uchunguzi ufanyike na vyombo cya kimataifa mnasema hii ni nchi huru inauwezo wa kufanya maamuzi kwa haki bila kumuonea mtu, tana wengine wanenda mbali zaidi na kutukana matusi nyie mnaotaka vyombo vya nje kwa ajil ya uchunguzi hamna jipya sisi tuna imani na vyombo vyetu vya ndani, tuna imani na serikali, kiko wapi sasa, mtajuta na bado

  • @MarryMassawe-wr2zi
    @MarryMassawe-wr2zi 52 хвилини тому

    Huyu hakim keshapewa fungu kwanini akufokeewa

  • @rajabumtuga7372
    @rajabumtuga7372 29 хвилин тому

    nilicho gundua mtu akikukosea malizana nae mtaani tu sabbat hakuna wa kumtetea masikini. we mvizie maliza tu
    ukimkosa yeye ata kizazi Shake unamalizana nacho. inauma sana

  • @evancemichael5489
    @evancemichael5489 46 хвилин тому

    Kiashiria tosha kuwa huyo mama anahusika 100% wanatafuta mbinu ya kumnusuru. Ni aibu kwa chombo kinachosimamia sheria

  • @roselynsesoa2477
    @roselynsesoa2477 58 хвилин тому

    Watuachie tuchukue Sheria mikononi tu...

  • @Globaletz
    @Globaletz 50 хвилин тому

    MADELEKA KUMA SANA 😂

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 21 хвилина тому

    TZ INANUKA IMEJAA NA MASHETANI WATUPU // WASHENZI SERIKALI. TUTACHUKUWA SHERIYA MIKONONI MWETU SASA. POTELEYA MBALI WACHA TUONE.

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 Годину тому

    Imeisha hiyo madeleka pole baba We kapumzike tu hapa hakuna kitu kabisa

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 16 хвилин тому

    Hata hao waliohukumiwa wataachiwatu kwamwendo huo

  • @NdelilioKaaya
    @NdelilioKaaya 56 хвилин тому

    mwabukuzi njoo msaidie kamanda

  • @roselynsesoa2477
    @roselynsesoa2477 Годину тому

    Haki haitopatikana kwa hilo la kukingiwa kifua

  • @ViolethMazengo-nd8cy
    @ViolethMazengo-nd8cy Годину тому

    Kwanza huyo hakim ameaangalia pesa mbele hapo zimetoka kweli

  • @Zuleajuma-q5n
    @Zuleajuma-q5n Годину тому

    Ndio mjuwe hata hao wanao tekwa na askali nikweli

  • @ViolethMazengo-nd8cy
    @ViolethMazengo-nd8cy Годину тому

    Ila tukumbuke huyu fatuma ndio alitenda lile kosa la yule xy kwa hiyo wamembeba

  • @Veni584
    @Veni584 Годину тому

    Kwa hiyo kesi imeishia hapo

  • @emanuelpeter2489
    @emanuelpeter2489 Годину тому

    Madeleka take five to make ten👊

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 Годину тому +1

    Magufuri pamoja na mambo mengine watu hakuyapenda, lakini angekuwepo huyu afande angeijua mbivu na mbichi

  • @SmilingApron-zw6ne
    @SmilingApron-zw6ne Годину тому

    IVI NAOMBA KUULIZA SWALI; HII KESI YA BINT DOVYA MLALAMIKAJI AU ALIYEWASHITAKI WALE WALAWITI NI MADEREKA? AU NI JAMUHURI NDO ILIWAKAMATA? KAMA JAMUHURI NDO ILIYOWASHTAK NA KUWAHUKUMU NI SERKAL KWA NINI MADEREKA ANASEMA MAHAKAMA INA UPUNGUFU?

  • @colletatesha5265
    @colletatesha5265 Годину тому

    Madeleka mi sjakuelewa kina nyundo walionekana live wakitenda kosa

    • @AyoubAbdullrahmanAmir
      @AyoubAbdullrahmanAmir 7 хвилин тому

      Colletatesha5265..Acha uvivu wa kufikir unasema kina nyundo walioneka live wanatenda ndio hao hao kina Nyundo wameonekana live wakisema wametumwa na afande hamka ww acha kulala.

  • @KasimJandaSahani
    @KasimJandaSahani 2 години тому

    Kanaasikali wangapi wakodani huyu asikali ananini maajabu hayajamani

  • @ramadhanimumba
    @ramadhanimumba Годину тому

    Kwani kila maamuzi ni lazima ushinde ndugu wakili!

    • @roselynsesoa2477
      @roselynsesoa2477 55 хвилин тому

      Lazima ashinde ndio kutokana na ujinga huu wa Fatuma Kigondo

    • @ezekielshija9251
      @ezekielshija9251 39 хвилин тому

      Sasa utashinda au kushindwa vipi kama kesi haisikilizwi?

  • @MarryMassawe-wr2zi
    @MarryMassawe-wr2zi 57 хвилин тому

    Kwan yeye nani

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 Годину тому

    Nikisema wa ccm wengi so wasomi ni wajinga wajinga hawajui Shelia nafikili nitakuja sijawatuka kujiuzur nak ni eshima

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 2 години тому +1

    Hakim msenge mla Rushwa! Bwege ana mpango kamwe hatokuwa Jaji mpaka nwisho wa Maisha yake!

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 2 години тому

    Mrema alisema ichi hiiii

  • @LeonardPhilimon-p2u
    @LeonardPhilimon-p2u 2 години тому +1

    Sasa kama Mahakama imekuaje imekua hivyokama kijiwe cha wahuni yaani hakimu amekosa madili huyo kwa maelezo hayo

  • @RhodaKibona-w9j
    @RhodaKibona-w9j 29 хвилин тому

    Fuuuuuuuu,fuuuuuuuu,

  • @eliasmwanawima1129
    @eliasmwanawima1129 Годину тому

    Wasio mjua mdaleka ndio wanao mwamini kwasisi tunae mjua kuwa ni mpigaji na mpenda umaarifu hatuna time nae,kisheria hapo hamna kesi

    • @BorchertWilliam
      @BorchertWilliam Годину тому +2

      Km huja wahi kusingiziwa kesi au kufungua kesi ukitaka haki kaa kimya ww rusindo,,! Wengi tunajifunza vitu tulivyo jua.. tuliza nyashi upakwe mafuta

    • @boniphacewambura1427
      @boniphacewambura1427 23 хвилини тому

      Kuna wasenge huwa mnaongea pumba halafu mm nahisi wewe ni shetan au mtoto wa shetani

  • @LeonardPhilimon-p2u
    @LeonardPhilimon-p2u Годину тому +1

    Huyu kuna mtu anamsaidia sio bule kwa mwendo huo kuna shida sana kwenye mahakama zetu walalahoi na tusiokuwa na vyeo tutaonewa sana daah hii inchi kama hatuna katiba na usimamizi mtu anajiamulia kisa yeye kamanda wa police sawa waendelee kulindana tu

    • @Globaletz
      @Globaletz 43 хвилини тому

      Huyu Wakili ni Msenge tu

  • @MarryMassawe-wr2zi
    @MarryMassawe-wr2zi 55 хвилин тому

    Huyu hakim keshapewa fungu kwanini akufokee