Mtaalam Mhandisi Michael Kyando nafurahi Sana na najifunza mengi Sana kuhusu vyombo vya moto. Me ni mfuatilaji wa kipindi cha usafiri wako cha ITV. Ahsante sana na kazi njema
Kaka, ni gari ipi ni nzuri barabara zenye Rough roads,muddy areas milimani.gari zipi ni best zaidi kwa hali ya barabara nilizotaja hapo juu;Subaru forester, lexus,Rava4, Vargad,land Cruizer
Ntajuaje sasa gari yangu kua ina piston ngap ili niwezee kugawanya na idadi ya cc nilizoona kwenye card ya gari ili niweze gawanya kujua kila piston itachukua kias gan?
Asante nahitaji Elimu hii sana nataka kujua gari japo kwa uchache tu, so helpful yan
Hongera sana Eng. Kyando kwa kuanzisha channel hii ambayo itawasaidia watu wengi katika kufanya maamuzi kuhusu ukubwa wa injini ya gari.
Hongera kwa hatua hii muhimu katika kutuelimisha hususani kuhusu vyombo vya moto pamoja na usalama wake.
Keep it up engineer
Mtaalam Mhandisi Michael Kyando nafurahi Sana na najifunza mengi Sana kuhusu vyombo vya moto. Me ni mfuatilaji wa kipindi cha usafiri wako cha ITV. Ahsante sana na kazi njema
Mhandisi miaka kadhaa napenda sana elmu juu uitoayo juu ya magarii
Nimependa kipindi chako.Elimu nzuri sana.
Kazi nzuri Mr Kyando
welcome
Hongera sana brother
Somo zuri sana!
Somo zuri sana..
Asanteh sana kwa elimu
Hongera sana kwa jinsi unatoa utalaam kwa ufanisi na kwa upendo ili mtu aelewe
Unaweza mzee
Nzuri sana broo endelea kutoa taaluma .
Safi teacher nmekuelewa sana pindi liko vzur
Ahsante sana mwalimu
Eng. Anajua anacho kifanya bigup
kwa elimu hiyo ata mm naweza kuwa fundi magari asante kwa elimu nzuri
Costa Japan kiasi gan
Ahsante
Mafunzo ya gari za gia
Kaka, ni gari ipi ni nzuri barabara zenye
Rough roads,muddy areas milimani.gari zipi ni best zaidi kwa hali ya barabara nilizotaja hapo juu;Subaru forester, lexus,Rava4, Vargad,land Cruizer
Land cruiser ni class nyingine. huwezi kuweka kwenye kundi moja na hizo rav 4 au vanguard.
Tupo pamoja...upo vyema kaka
naomba kuuliza engine ya cam 24 valve D.4 vvt i huwa zinakunywa sana mafuta naomba kujibiwa
Kasome vizuri physical chemistry, nguvu ya injini hailetwi na joto bali na change of state, yaani mafuta (liquid) kuwa moshi (gas)
Mhhh, asante kwa mawazo ila jaribu kusoma na kusikiliza vizuri
Napata elimu ya Msingi sana
Safi
Thanks for this
Kaka nimeipenda hiyo unaweza kunifundisha nikawa fundi mkubwa
🎉🙌🙌
Umetumaliza hatuna hata suali la kukuliza
Kuna yenye cylinder 5
Ntajuaje sasa gari yangu kua ina piston ngap ili niwezee kugawanya na idadi ya cc nilizoona kwenye card ya gari ili niweze gawanya kujua kila piston itachukua kias gan?
Angalia idadi ya spark plug au Nozzle
Navip nikihitaji kujifunza
Hiyo back music ni makelele na inaondoa umakini Kwa msikilizaji.
Naomba kujua utofauti wa Toyota vanguard v6 na toyota vanguard 2.4
Hapo sijajua maana yake ni nini?
tuwasiliane. 0762244647
honngera tichaa
Cc naweza isoma wapi mtaalamu
kwenye kadi ya gari yako
Asante
Unapatikana wapi .
Nice Mwl
Swali ni Je! tairi za mbele na nyuma lazima kipimo cha upepo kifanane ? Gari langu nyuma upepo ni 35 mbele ni 30 ni sawa?
mwezi wa tatu naanza vipindi vya matairi
Ukirekebisha nosels gari itakua katika ubora mzurii?
ndiyo
Mbona Spark Plug iko moja tu katika hizo Piston brother au nimeangalia vibaya?
Hiyo ni kwa ajili ya maonesho au kufundishia
Mafunzo ya gari za gia