- 22
- 252 005
KYANDO MOTORS TV
Tanzania
Приєднався 25 бер 2020
Karibu Kyando Motors TV, kwa elimu kuhusu gari lako.
🔴Usisahau Ku-Subscribe na kuruhusu kengere ili kupata notification kila tunapoweka video zetu.
🔴Usisahau Ku-Subscribe na kuruhusu kengere ili kupata notification kila tunapoweka video zetu.
FAHAMU KAZI ZA MFUNIKO WA REJETA (RADIATOR CAP) KWENYE MFUMO WA UPOOZAJI WA INJINI
Mfumo wa upoozaji wa injini unafanya kazi muhimu sana na katika mfumo huo kuna kifaa kinaitwa mfuniko wa rejeta (radiator cap). Mara nyingi kifaa hiki huchukuliwa poa na mafundi na hata watumiaji wa magari. Sasa chukua nafasi na pata muda kidogo sikiliza na kuangalia umuhimu na namna invyofanya kazi. Karibuni Kyando Motors TV
Переглядів: 2 203
Відео
KAZI ZA THERMOSTAT KWENYE MFUMO WA UPOOZAJI WA INJINI NA HASARA ZAKE KAMA UTAITOA
Переглядів 2,2 тис.10 місяців тому
#car #thermostat #automobile Thermostat ni switch inayotumia joto kufanya kazi ya kufunga na kufungua. Mafundi wengi wamekuwa wakitoa kwa kisingizio cha kwamba inatumika kwenye nchi za joto. Pata elimu yake kwa haraka.
NAMNA YA KUKAGUA MFUMO WA BREKI (HATUA KWA HATUA)
Переглядів 1,1 тис.10 місяців тому
#kyandotv #car #brake BREKI NI MFUMO WA KUDHIBITI MWENDO KASI WA CHOMBO CHA MOTO, KWAHIYO, ILI UWE SALAMA WEWE NA CHOMBO CHAKO PAMOJA NA WATUMIAJI WENGINE WA BARABARA, NI VYEMA UKAWEKA BREKI ZAKO KATIKA HALI USALAMA MUDA WOTE WA MATUMIZI YA GARI LAKO
KARIBU TUJIFUNZE NAMNA YA KUKAGUA DISC BRAKE KWENYE MFUMO WA BRAKE WA DISC ROTOR
Переглядів 1,2 тис.11 місяців тому
KWENKWENYE VYOMBO VYETU VYA MOTO, BREKI ZINA NAFASI KUBWA YA KUKUEPUSHA NA AJALI NA HATIMAYE KUOKOA MAISHA YAKO, YA WATUMIAJI WENGINE WA BARABARA PAMOJA NA CHOMBO CHAKO KWA UJUMLA. HATAHIVYO, LAZIMA UZITUNZE ILI ZIKUTUNZE - KARIBUNI
DONDOO ZA NAMNA YA KUENDESHA GARI KWA MASAFA MAREFU (LONG DRIVING TIPS)
Переглядів 911Рік тому
KUENDESHA GARI KWA MASAFA MAREFU KUNAHITAJI ELIMU MAALUMU ILI KUTUNZA USALAMA WAKO, CHOBO CHAKO NA MAZINGIRA KWA UJUMLA, KARIBU TUJIFUNZE KWA PAMOJA
TUJIFUNZE MATUMIZI SAHIHI YA DOUBLE ROUND-ABOUT (BARABARA YA MZUNGUKO YA NJIA MBILI)
Переглядів 3,3 тис.Рік тому
Kyando Motors TV inakuletea somo zuri la matumizi ya double round about ili kuepusha ajali na misongamano isiyo ya lazima. Karibuni
TUJIFUNZE MATUMIZI BORA YA BARABARA YA MZUNGUKO YA NJIA MOJA (SINGLE LANE ROUND ABOUT)
Переглядів 5 тис.Рік тому
Pata elimu ya matumizi bora ya barabara ya mzunguko (round about) ya njia moja ya kuingia na kutoka
TUJIFUNZE KUSOMA GEJI YA JOTO LA ENGINE (ENGINE TEMPERATURE GAUGE)
Переглядів 2,2 тис.Рік тому
Ni muhimu sana wakati wa kuendesha gari lako kufuatilia joto la injini na kufahamu kiwango chake na kuzuia kuchemka (engine overheat) na kusababisha uharibufu mkubwa. Karibuni sana
TUJIFUNZE NAMNA YA KUENDESHA GARI WAKATI WA USIKU
Переглядів 6 тис.Рік тому
TIPS FOR NIGHT DRIVE #kyandomotorstv #car #nightdrive Kujifunza jinsi ya kuendesha gari kwa usalama wakati wa masaa ya usiku kunaweza kuwa na faida nyingi. Miongoni mwa faida hizo ni uwezo wa kujikinga na hatari zinazoweza kutokea barabarani wakati wa giza. Kuelewa mbinu za kuona vizuri, kutumia taa kwa ufanisi, na kuwa makini zaidi kunaweza kusaidia kuzuia ajali. Pia, kujua namna ya kudhibiti ...
NAMNA YA KUTUNZA GARI LAKO WAKATI MVUA INANYESHA
Переглядів 1 тис.Рік тому
FAHAMU NAMNA YA KUTUNZA GARI WAKATI WA MAJIRA YA MVUA
JINSI YA KUENDESHA GARI WAKATI WA MVUA
Переглядів 5 тис.Рік тому
#cars #rain #driving Karibu kwenye video yetu mpya inayozungumzia mbinu bora za kuendesha gari wakati wa hali mbaya ya hewa, haswa wakati wa mvua! Kuendesha gari wakati wa mvua kunaweza kuwa changamoto, lakini katika video hii, tutakufunza hatua za kuchukua ili kuwa salama na kuwa na safari yenye utulivu.
MATUMIZI YA TAA YA OILI YA INJINI (ENGINE OIL LIGHT)
Переглядів 1,7 тис.Рік тому
JIFUNZE UMUHIMU WA TAA YA OILI YA INJINI ILI ULINDE INJINI YA GARI LAKO
NAMNA YA KUENDESHA GARI YENYE INJINI BARIDI (COLD ENGINE DRIVE)
Переглядів 1,5 тис.Рік тому
#cold #engine #car
TUNARUDI KWA NGUVU
Переглядів 115Рік тому
TEGEMEA ELIMU YA MAGARI NA USALAMA BARABARANI KILA WIKI SASA
KYANDO MJ - IFAHAMU AIR CLEANER/FILTER YA INJINI YA GARI LAKO
Переглядів 6 тис.3 роки тому
KYANDO MJ - IFAHAMU AIR CLEANER/FILTER YA INJINI YA GARI LAKO
ZIJUE ALAMA ZA USALAMA KWENYE GARI LAKO
Переглядів 81 тис.4 роки тому
ZIJUE ALAMA ZA USALAMA KWENYE GARI LAKO
NAMNA YA KUSOMA NA KUTAMBUA MATUMIZI YA ALAMA ZA KWENYE DASHBOARD BY KYANDO MJ
Переглядів 47 тис.4 роки тому
NAMNA YA KUSOMA NA KUTAMBUA MATUMIZI YA ALAMA ZA KWENYE DASHBOARD BY KYANDO MJ
UCHAGUZI WA GARI KWA KIGEZO CHA UPATIKANAJI WA SPARE PARTS BY KYANDO MJ
Переглядів 2,7 тис.4 роки тому
UCHAGUZI WA GARI KWA KIGEZO CHA UPATIKANAJI WA SPARE PARTS BY KYANDO MJ
NAMNA YA KUCHAGUA GARI KWA KIGEZO CHA RANGI BY KYANDO MJ
Переглядів 11 тис.4 роки тому
NAMNA YA KUCHAGUA GARI KWA KIGEZO CHA RANGI BY KYANDO MJ
Background sound ipo juu sana inatukosesha kupata usikivu wa somo muhimu.Ahsante
🎉🎉
Sauti Haiko Sawa Kabisaaa😢
Wewe engineer upo vizuri sana.
Mwalimu naomba ushauri natalka kununua gari aina ya nissani extraill
Kaka asante kwa elimu na endelea ivyo ivyo
ABBs
Kwa Nini gari yangu hupungua maji kila nitembeapo na dalili ya kuchemka
❤❤❤
Kelele sana
3:14
Asnt mana nataka kujifunza gari
Huwa nakuelewa sana Injinia
Kyando mpo vizuri sana naomba ushauri kuhusu bishara ya garage
❤❤
Asante Kaka Mimi naita valelian mwanafunzi ufundimagar kunaswali nimeulizwa etikwanini tunatumia tairza magari yeusi nalami nyeusi
Naitatwa Athumani mm gariyangu taa yachek injini inawaka nimebadirisha sensa mpaka nimechoka nataka kujuwa inasababisha nann
Jarb kuchange rejeta cape,,dislocated terminal za betry n kurudisha,,,kuchange oil n oil filter n air filter
Kama spid Mita aifanyi kazi check engine haizimi
Asante mwalimu
P1 Sana fundi nimekuelewa mungu ajaalie maisha malefu
Si mnunuwe maiki sauti inasikika kwa tabu ,bado mpo kizamani
Naomba kujua vizuri kuhusu hizi alama utajua kuwa gari yako inashida endapo zitawaka ukiwa unaendesha au ukiwa unawasha?
Asante
thanks for instructions ,god bless your heart🙏
nawezaje kujua kwamba namba hii ni sahihi kwenye rejeta ya aina hii??
Shukran natumaini wengii watapata kujifunza mamb mengii
Ticha Ally
Nikienda safari, nikipaki reserve tank huwa limeliwana coolant kwa nje, na taratibu ujazo huwa unapungua. Leakage huwa wapi na inasababishwa na nini? Hii haitaniletea madhara kwenye injini?
Asante Mwl Ally kwa kutuelimisha
International instructor
Mwalimu wetu Ally ni mtu na nusu asee🙏🙏🙏🙏🙏,,.
Teacher kyandoo
Gari yngu yngu kuna wakati inawaka injini light ya manjano kwa mfano nikitembea zaid ya speed 80 lkn nikipunguza mwendo inaondoka. Naomba ushauri wko fundi
Nazipenda kazi zako kaka
Video ina makelele
Jamaa yuko vizuri saana tumtumie huyu kama nchi kwa mafunzo mtandao kwa ajili ya vijana wetu.
Ahsante sana Engineer Kyando
Unaweza mzee
Je? Kama imewaka na nikaendelea kuendesha gari kwa siku mbili kuna shida?
Safi sana ubalikiwe kiongozi kwa dalasa
Safi
Naomba namba
gali ndogo tutumie vifuniko namba ngapi?
soma namba ziliandikwa juu ya mfiniko husika. Hata injini ya za gari ndogo hazifanani/hazilingani
Gari yangu coolant ipo juu kidogo ya minimum kwenye reservoir tank.lakini nikitembea umbali kama wa km Tano maji yanajaa kwenye reservoir tank mpaka maxim mum je? Gari inakuwa na tatizo....nipo makete kata ya Matamba lakini gari haichemshi na milima ni mikari balaa
Huenda ukawa na tabia ya kuongeza maji kila asubuhi au kila unapowasha gari. Hatahivyo, sio dalili nzuri maji kujaa mpaka yamwagike. Mtafute fundi afanye ukaguzi wa kina
Shida ukipigiwa simu tuje kwenye workshop yako hutoi majibu sahihi,sasa unaongea matatizo tu msaada hutoi
Pole sana, naomba tuwasiliane mkuu. Huenda nilikuwa kwenye ratiba za mikoani
wewe kwangu umekuwa ni mwalimu wangu
Karibu sana
Yaan napata Elimu 😂kubwa naanza kuelewa ata sijui lini nitashika steringi ya gari 😅ila mpk kuja kuishika nimeshajua mengi 😅
Karibu sana
Asante sana baba yangu yaan hatimae nimepata mwalimu wa kunifundisha kuendesha gar hivi baba MTU kuja kwako kumfundisha kuendesha mpk KUJUA inachukua mda gan mpk MTU KUJUA kuendesha gar na kujua Sheria zote za balabalan samahani baba naomba kujua
Tafuta chuo kilichokaribu na tumia mafunzo haya kwenye kuongeza elimu yako
Asante kwa elimu,na bado naendelea kujifunza kutoka kwenu
Karibu sana
Baba nikija NIT nakutafuta
Karibu sana
Sound Iko juu
Pole na samahani sana, tutarekebisha