kama kuna subra mimi binafsi huwa nayo hapa nchini kenya mjini Mombasa, ni subra ya the story book....nawapenda sana watanzania na mwalimu professor Jamal...................
Usiombee mtu hivo 😢.anaongea swahili akuna mtu anaweza sikia alf auwawe kwa nn waliochunguza ili afikie kuipata hii taarifa ni wngpy ..koma na uteme hayo mate mabaya ya kuongea hili jambo kwa jamal
Yaani profesa Jamal hii ni zaidi ya story Yaani unatupa elimu ya nguvu ambayo wengi tulikuwa hatuifahamu,asante sana na hongera mno,yaani story zako ni tamu mwanzo mwisho
Dark Web #TOR : the Onion Router 🌹 ...... Cryptocurrencies.... , NFT's ..... 🌹🌹 Thanks Jamaal nimekukubali umefungua macho ya WA Tz at some points #Stay Blessed Bruh ... ✍️☝️✌️
Hii ya darkweb,Umeitoa tu ili ipite.Kwa ukubwa wa tamthiliya zako,this one was kinda shallow au kuna namna hukuwa free kuichambua kiundani.umeiweka kinadharia zaidi,I wish ungeichambua kama vile ulivoichambuaga Time travelling.it was convincing and ilikuwa inafikirisha mtu.Ya leo braza iko normal sana,But all in all,Great job brother. Unatufundisha mengi sana
nilishaingia huko mwaka 2017 kilichonikuta sijawahi kumsimulia mtu mpaka leo kiasi kwamba niliamua kutumia hata hili jina la kamdudu ambalo sio utambulisho rasmi. dunia ina mambo nyie acheni 🙌
kama kuna subra mimi binafsi huwa nayo hapa nchini kenya mjini Mombasa, ni subra ya the story book....nawapenda sana watanzania na mwalimu professor Jamal...................
👏
Du.....
blessing u
MWANANGU UNAJUA SANA HADI UNAKERA GOD BLESS YOU PROFESSOR JAMAR APRIL 🇹🇿
From USA tuko pamoja one blood Tanzania my country,
IKITOKEA UMEKUFA GAFRA WEWE JAMARI BASI TUTASEMA UMEUWAWA NA HAO UNAOWACHUNGUZA KILA SIKU
Ni point kdg
Usiombee mtu hivo 😢.anaongea swahili akuna mtu anaweza sikia alf auwawe kwa nn waliochunguza ili afikie kuipata hii taarifa ni wngpy ..koma na uteme hayo mate mabaya ya kuongea hili jambo kwa jamal
Kwa kweli jamal anatisha
Mashallah unasimulia vizri sana na lafudhi ya lugha ini safi sana
Muombe dua Mwanadamu mwenzio
nilidhani nishajua kila kitu mtandaoni ,kumbeee.. asante sana profesa jamal
😂😂😂😂😂🤒🤒🤒🤝🤦🤦👤👤👤
But huwez tumia darkweb coz ni tabaka la giza sana huwez ingia watumiaji wengi tuna vpn sana
🤣🤣🤣🤣
Amkeni jamani kabla ya wale wa nguvu za kiume awajacomment 😂😂😂
One love from Mozambique 🇲🇿 admin
😂😂😂😂
mozambiq kumbe mnaongea kiswahili??
Ndugu yangu naomba namba zako za wasap
😁😁😁
Tuletee story kuhusu bitcoins Jaman nadhan kuna mambo ya kujifunza kuhusu hzo pesa
Diamond anatakiwa akutumie sana katika maisha yake biashara zake zitakuwa juu sana
Anguka nayo 🇰🇪🇰🇪 2024
Ni The Srory Book Niliyokua Naingojea Kwa Hamu Sana, Toka Useme Utailezea, Leo Nafsi Yangu Imefurai Sana, Nimejifunza Kitu.
My Best storyteller.Bigup Jamal.much love from Kenya
Jamal April Mungu Akubariki sana kwa kazi yako nzuri 👏👏
Yaani profesa Jamal hii ni zaidi ya story
Yaani unatupa elimu ya nguvu ambayo wengi tulikuwa hatuifahamu,asante sana na hongera mno,yaani story zako ni tamu mwanzo mwisho
kabisa yaani ata mimi nilivo sikiliza nikajikuta ghafla nasisimka na akili kutanuka
Kaka mungu akuweke na ujasiri siku zote tunajifunza vitu vingi kupitia ww hongera na Asante Sana kwa wasafi 🙏🙌🙌❤️
Lot of love from 💓💓 Nairobi Kenya 🇰🇪..
Dark Web #TOR : the Onion Router 🌹 ...... Cryptocurrencies.... , NFT's ..... 🌹🌹 Thanks Jamaal nimekukubali umefungua macho ya WA Tz at some points #Stay Blessed Bruh ... ✍️☝️✌️
SASA NIMEONA NJIA ZA KIGOGO ZILIKUA ZIPI 😂😂😂 AHSANTE SANA PROFESSOR
😅😅kumbe
mapemasana nimejileta hapa kabla ya watu elfu moja kufika😎😎😎
Mwaaaa
Yes hii story ameisimulia mtaalam sasa,,, thanks for this bro
Congratulations April listening from 254,,
I being an IT specialist I like the way you have explained it
Good
Perfect Explanation
Ni Undergraduate..? ya kozi gani.?
Good help me
@@thebbc0001 L
LL
0
0
King of the story book 📖 professor #Jamal 🔭
It's true
Much love from Kenya 🇰🇪
@Vallency Macdonalds Tutakosaje kuijua😂
Am from Kenya, l like this stories
Professor unatisha kaka one love from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
All I Wish I Could Reach the Dark Web And See How Things are there
Much love from burundii 🇧🇮 Jamal
Good jamal
Ujawahi kukosea kila ukitoa story inakuwa 🔥 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The dark web is just a reflection of how dark can human souls be
Sifahamu vitu vingi sana... much respect 2 u bro
Ongera kwa kaz nzur Jamal mungu akujalie
I was waiting for this thank you Jamal, watching from 254 Nairobi Kenya
Mashaallah napendaga story zako sana nakufatilia kutoka👉🇩🇪
Bradh jamal mungu akupe umri mrefuu maan unanifany nijue vitu vingi sn
tunapenda ubunifu wako na kutuletea ladha tofauti tofauti professor jamar 🤝🤝
Huyu jamaaa genius ,sio mtu wa kawaida
Kaka jamally God bless for you Aisee Umenifanya nijuwe vitu vingi pia niongeze Elim zaidi kwenye IT
Baba wewe ni noma sana,kwa sababu nilijaribu alafu nikaona baasi ya vitu vyangu kwenye serikali papo hapo nikatoka from USA
ulijalibu
Living legend 🔥 ,the story book
The only one on Story Book In Africa right Now Ni Jamal April Bro Keep Moving Bro Unajua Mpk Unachosha an Duuh may god bless u 🙌
I know the dark web, Mr professor because
I am a system administrator/ great job mr professor
Mkuu naomba nisaidie kama unaweza jahazi linazama😢
Kama unaweza nisaidie nijibu ili nikutumie whatsapp no
Uwo mtandao nimzuri mpaka nautamani aisee🔥
Njoooo nkuungeee kaka
ukiona mchezaji kapaisha penalt au kipa kapigwa tobo kombe la dunia ujue keshauza mechi gonga like kama umeipenda hii 😂
😂😂😂😂😂 Sibet tena
@@issahdaless8265 😂😂😂😂
Nahisi mancity wanafanya sana huu mchezo bana
@@issahdaless8265usiogope kubet ila hamia tu kwenye darknet na wewe.
😂😂😂😂😂😂
Meilleurs enseignements mon professeur "" je t'aime bien depuis la RDC
one of the best story ever
kabisa
Hii ya darkweb,Umeitoa tu ili ipite.Kwa ukubwa wa tamthiliya zako,this one was kinda shallow au kuna namna hukuwa free kuichambua kiundani.umeiweka kinadharia zaidi,I wish ungeichambua kama vile ulivoichambuaga Time travelling.it was convincing and ilikuwa inafikirisha mtu.Ya leo braza iko normal sana,But all in all,Great job brother.
Unatufundisha mengi sana
Huwez ingia wala hawez ingia kukufunza sehemu ambayo ukiingia tu unakutana na madhambi kibao
Huwezi chambua kama hujui,tafuta tor browser kajifunze mwenyewe
Pia in the beginning amekwambia kuwa hiyo.sehem inamazambi kwann asimulie kiundan
Ulikuwa wapi uchambue...acha wivu ,💀💀
Tu es très fort en cherchant des histoires
Kweli kabisa Jamal , si kila uhalifu unaotokea eti mamlaka zilishindwa kuuthibiti!!!, Lahasha👏👏.
Nakushukuru sana mungu akusaidiye ufike Bali 🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
U explained as if u are an IT specialist, big up jamal
1111
Thanks for the information,,still doing more research about the dark web , much appreciative from kenya
Keep going so far you’re doing well I’m watching you from 🇺🇸
The story book ibaki milele...!!
I appreciate 👊 you deserve to be called professor ✨👈
Stor ni nzuri sana dhid kutuelimisha asante
Muwe mnakuja na suluhisho la tunapo shindwa tuweze vipi,nje na hivyo inakua tumejua ambacho hatukiwezi,haisaidii
Moja kati ya watu wanaonifany ni feel nipo tz ni Jamal we love you guy😘😘😂😂👏
The professor Jamal April💥🤝
Nimependa sana kujua mengi ila si haba umenijuza mingi kk asante profesa jamal mungu akubariki sana uwepo wako ni muhimu amin.
Mungu akjaalie kaka, unatufumbua machoo
Big lesson bro..big up
God bless you ❤️❤️❤️much love from Zanzibar Stone Town
Stori inalidhisha,umeeza vizuri sana
Congrat Jamal April.... Listening from 974🇶🇦
Please jamal investigate for us area 51
Mzee Baba unatoa sili ya kamb ...sema kwakua mwanangu amna noma
Jamal unanifanya nijuwe mambo bila kisomo. Niko Moz
Kubwa nyingine hii, Kudos Prof Jamal💪💪💪
Unajua xn mwanangu... Cjawah pitwa na cmuliz zko kk kiukwel naona kabisa na mm najua vingi kupitia ww kk.. The story book is my favorite.
From 254 🇰🇪 🇰🇪 Jamal uko sawa,
Jamal uko vzr kweny kuchambua vitu.
Daaa kaka unachunguza mambo ambayo ni hayari sana mimi naomba mungu akulinde daima
Law enforcement I'm here for education purpose only and not to be a future victim of a hacker ... Maana hamkawii na layer yenu hii(web) mnayotuchora
Budaaaa jamal, you genious bro. U make story book popular worldwide.
Thanks so much Jamal napenda Sana story book Uganda, Bronzs
Thanks professor Jamal
One of talented people in the world
Mungu akubariki Sana broo
Unatufundisha vitu ambavo hatukuwahi kufikiria kama tutavijua good
Nampenda uyu jamal toka Zambia
Professor unajua mpka bax 🔥🔥🔥
Next Level Mr Jamal
Appreciate All Team Members Big Up
Leo domeelewa kwenye sm yangu kuna mafaili mengi lakini sijui Yana kazi gani mim natumianga matatu tu fc..op..yu
😂😂😂😂😂
Mungu akubaliki nasimurizi zuri👏
From +254 🇰🇪 you are really professional
Thanks alot brother you are of great help to our nation
🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫hatali sana musijee tumaiaa maan ukiingia kizembe mpka sm yaweza zimwa sm zetu zenyewe tecno na infinkx
The best storyteller in the world 🔥🔥🔥🔥
nilishaingia huko mwaka 2017 kilichonikuta sijawahi kumsimulia mtu mpaka leo kiasi kwamba niliamua kutumia hata hili jina la kamdudu ambalo sio utambulisho rasmi.
dunia ina mambo nyie acheni 🙌
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ama hakika ndio maana nimejikuta the story book naipenda sana
Kaka jamal naomba niwe mwanafunzi wako plz hili ni ombi langu kutoka moyoni 🙏
Hii ni zaidi ya thamthilia ya Osman bey... Big up Jamal... April
the story book imeisha au
Brother hiki kipindi chako n kizuri mno.kipaji chako ungekiweka mashuleni hakuna mwanafunzi ambaye angefeli au kutopenda shule.
Ni kweli kabisa
Now nimepata jibu, film nyingi za korea maadui wanapigana na kuuwana kisa flash ambayo imebeba special browser. Kumbeee😢
Akili mingi mpaka basi nimeinjoy mara dufu
Fatilia the story Book utajua vingi sana
Much love from 🇿🇦
Hivyo technology ipo juu sasa
Uko vizuri sana mbaba
Uwezo wa kuchimba mambo bg the way uko safi heshima kwa wahariri wako tunaomba profile la mh Freeman Mbowe
GOAT in opposition politics