TANZANIA Imebarikiwa Sana kumpata mtu Kama Jamal April ni baraka tosha kwa taifa, naimani kubwa Sana kwa taifa la Tanzania watakuja kukutunza vyema katika kumbukumbu ya kizazi Cha baadae , BIG UP SANA Jamal april# WASAFI MEDIA
HAO NDIO WALIKUA WANAUME WAKWELI WALISADIKISHA NAFSI ZAO.. SASA HAPA BONGO BOMU LA MACHOZI KAMTU KANATOKA MBIO KAMA KAMENDE KABATINI...💪🏻💪🏻✊🏻..KISHA KAKIMATWA NA WAHARIFU WA NCHI KANAJIITA KANAHARAKATI..KANATETEA WANYONGE HAKI HAIPATIKANI MPK NCHA YA UPANGA
Kweli kaka yangu Jamal April binadamu ni wa hovyo sana, yule unaemuona ni bora zaidi kuliko wengine, wengine wanamuona ni mbaya zaidi kuliko wengine, na yule unaemuona ni mbaya zaidi kuliko wengine, wengine wanamuona ni bora zaidi kuliko wengine, I wish you all the best of your life my brother am from in Tanzania African my brother God bless you all the time, 🙏🇹🇿♥️♥️❤️👏,
Yani hata niandike nn sipatag comment. Lakini mtu anaandika tu #kama_unapenda_The_Story_Book_km_mm_gonga_like. Anapata like zakutosha, ila sio mm. MNAFANYAJE KWANI?????
Asantee sana kwa the story book kwangu mm naichukuliaa kama darasa kwani ina maana kubwa san munguu awatangulie wasimamizi na waandaaji wa story pamoja na msomaji professor jamal Abdallah
God Bless Che Guevara he was non racist he demanded freedom all over the world, I feel crying😭😭 for how he died But God may grant him a place in heaven 👼.
Natamani ningerudi nyuma kiumri niwe kama huyu jamaa, lakini muda umeisha.shujaa wa hisia zangu che Guevara mungu na awe shahidi wako siku ya mwisho amen.
I appreciate brother🙏, ni njia mojawapo ya kuleta mabadiliko kwny jamii zetu Mungu akuzidishie kwa nia yako ili nasi tufaidike kutokana na yaliyo kwako.
Jamaa alikua mtu poa sana kwanza mzungu lakini alipigania mpaka waafrika hiyo ni roho ya kipekee sana aliamini katika usawa wa binadamu na sio races. Dunia imeshindwa kuproduce watu kama hao tena Fidel Castro, che Guevara, Gadaffi. Real heroes.
Well narrated story bwana Jamal april, mungu akikuwezesha tuletee story ya field Marshall Fidel Alejandro Castro ruz wa Cuba...ila umetisha Sana mkubwa 👍 🔥🔥..
Binaadam ni wanafki sana hata wairaq enzi hizo walimuahidi mjukuu wa mtume wetu Muhammad S.a.w kuwa wanampenda aende kwenye nchi yao awe kiongozi wao mwisho wa cku wakamgeuka wakakubali kununuliwa na mtawala kwa kupewa kiasi cha pesa wakawasaliti Hussein na mshirika wake wakauliwa leo hii wanatuekea mikelele kujikata na visu eti wanauchungu na Hussein
Asante sana Jamal kwa story hii na nyinginezo ambazo they are really very inspiring. Hongera and keep it up. Laiti watu wengi wangefikiwa na story book! Big up sana.
Ahsante sana professor maana picha ya huyu MTU naionaga tu kwenye magari kwenye sticker za piki piki lakini nikawa sijui historia yake ipoje lakini Leo nimepata jibu ahsante sana professor jamal
TANZANIA Imebarikiwa Sana kumpata mtu Kama Jamal April ni baraka tosha kwa taifa, naimani kubwa Sana kwa taifa la Tanzania watakuja kukutunza vyema katika kumbukumbu ya kizazi Cha baadae , BIG UP SANA Jamal april# WASAFI MEDIA
CHE GUEVARA will forever be etched in our memories!
Respect sana namkubali huyu jamaa nimemfatilia muda ila the story book imeniongezea kitu
Uko pw kaka
Huyu mwamba hilo neno wa hovyo analipenda kinoma😀 gonga like kama unampenda #profesa jamal
Mimi binafsi napenda sana the way anavyo li-pronaunce kwa msisitizo na uchungu eti mambo ya (HOVYO SANA)
@@visionstudios6804 😂😂
MATUSI YA DIAMOND AMCHANA HARMONIZE WAZI WAZI: ua-cam.com/video/EhmI49JzV28/v-deo.html
ua-cam.com/video/C-KKxtJMLCg/v-deo.html
Duu!!! Kumbe huyu mtu alikuwa mtu muhimu sana!!! Mungu aiweke mahara pema peponi
mungu katubariki na professor pekee anaeonfea kwa Kiswahili na kutueleweshaa vyema.gonga like kama unamfurahia pia
Kama Nawe Unaisubiria Simulizi Kumhusu Kigogo wa Afrika MUAMAR ĞÃĎĎÃFÎ Tujuane Hapo Chini 👍🏾👍🏾
Ilishapita walitolea maelezo
Nipo
Momad
Lll
Inakam lini
R.i.p che guevara shujaa wa kweli
Km nawe unamkubali tujuane kwa like
Muda wangu wote naumaliza kwako na jifunza vitu vingi kupia Story zako mungu Akupe maisha marefu nakupenda Sana 🙏♥️
HAO NDIO WALIKUA WANAUME WAKWELI
WALISADIKISHA NAFSI ZAO..
SASA HAPA BONGO BOMU LA MACHOZI KAMTU KANATOKA MBIO KAMA KAMENDE KABATINI...💪🏻💪🏻✊🏻..KISHA KAKIMATWA NA WAHARIFU WA NCHI KANAJIITA KANAHARAKATI..KANATETEA WANYONGE
HAKI HAIPATIKANI MPK NCHA YA UPANGA
😀😀😀
Kama kawaida wazee wa the story book hatuchelewi Kama umeielewa gonga like hapa💪💪
ua-cam.com/video/rxC1DSY_GqM/v-deo.html
Pamoja
Shema
MATUSI YA DIAMOND AMCHANA HARMONIZE WAZI WAZI: ua-cam.com/video/EhmI49JzV28/v-deo.html
Whtsapp number
Kweli kaka yangu Jamal April binadamu ni wa hovyo sana, yule unaemuona ni bora zaidi kuliko wengine, wengine wanamuona ni mbaya zaidi kuliko wengine, na yule unaemuona ni mbaya zaidi kuliko wengine, wengine wanamuona ni bora zaidi kuliko wengine, I wish you all the best of your life my brother am from in Tanzania African my brother God bless you all the time, 🙏🇹🇿♥️♥️❤️👏,
Kama unapenpenda the story book kama Mimi gonga like tujuwane
ua-cam.com/video/rxC1DSY_GqM/v-deo.html
MMMMH MATUSI YA DIAMOND AMCHANA HARMONIZE WAZI WAZI: ua-cam.com/video/EhmI49JzV28/v-deo.html
Napend the story book ila wana feli saut haipo sawa mweny ujuzi wa story book ni MTIGA ABDALLAH tu ao wengine wana force.
Yeah I yeah but yeah
nice
Yani hata niandike nn sipatag comment. Lakini mtu anaandika tu #kama_unapenda_The_Story_Book_km_mm_gonga_like. Anapata like zakutosha, ila sio mm. MNAFANYAJE KWANI?????
Kwani hyo like ni chakula ??
Oyah we umetixha mzee sio poa uyo muhuni nimeona tuu picha bonge la chata Kama unaikubali iyoo chata gonga like
Profesa kaongeza madakika sijui kama mumegundua ....most love from Kenya
Huyu jamaa ni genius sana. Be blessed broo, kaz nzur
Che guavara is great hero and he has good example ,no one can compare him
Asantee sana kwa the story book kwangu mm naichukuliaa kama darasa kwani ina maana kubwa san munguu awatangulie wasimamizi na waandaaji wa story pamoja na msomaji professor jamal Abdallah
The story book yatufunza mengi.long live the professor
Daaah!!!!imenisikitisha na inafundishooo sana hiii story,,,,,,,,jaman.... R.I.P......legend
God Bless Che Guevara he was non racist he demanded freedom all over the world, I feel crying😭😭 for how he died But God may grant him a place in heaven 👼.
I appreciate so much coz unatukumbusha the legends of this world who came to fight for oppressed humans.
Thanx bro
100%😎😎
@@samueltrendy6206 iii iii oo888ii600
Fighting for freedom is not for the selfish and faint hearted RIP Che Guevara
Natamani ningerudi nyuma kiumri niwe kama huyu jamaa, lakini muda umeisha.shujaa wa hisia zangu che Guevara mungu na awe shahidi wako siku ya mwisho amen.
Vizuri sn Jamal nakushauri utafute na story ya medusa
🙏🙏🙏🙏🙏
I appreciate brother🙏, ni njia mojawapo ya kuleta mabadiliko kwny jamii zetu Mungu akuzidishie kwa nia yako ili nasi tufaidike kutokana na yaliyo kwako.
Jamaa alikua mtu poa sana kwanza mzungu lakini alipigania mpaka waafrika hiyo ni roho ya kipekee sana aliamini katika usawa wa binadamu na sio races.
Dunia imeshindwa kuproduce watu kama hao tena Fidel Castro, che Guevara, Gadaffi. Real heroes.
wew ni professor kweli hicho kipande cha stor ya mfalme imenifunza asante sana
Big up the story book unatupea taarifa tusizozipata kwa urahisi
If you like the story book like tukisonga
Asante saana kwa simulizi hii mr Jamal wengi wetu naamini tulikuwa tunayiona pica yake ila tulikuwa hatujuwi kuwa alikuwa ni mtu gani
kweli kabisa
Me nilikua najua ni mvuta bangi
CHE GUEVARA lijendiii never die
CHE GUEVALA leo nimejua ukweli duuh
Upofizur san mzeee wakuchambua mambo mbalimbali unatupatia elimu mzur sana mungu akubariki
Kazi nzuri... Big Up... Nasubiria stori ya Mfalme Suleiman maana najiuliza wale wake 700 na mahawara 300 ilikuwaje kuwaje
We jamaa...mbona umenifanya nicheke sana
Wake buku, mwaka mzima harudii mwanamke
😆😆😆😆😆
Hahaha live io me mwenyw naisubir muuni alii kua anakulaje wte awo
Professor wewe ni hatariii sanaaaa ,,,,,you deserve this uko deep sana@Jamali_April@king_kittah_Jasiri....mpe support kubwa.....
Huyu ndiye mtetezi wa wanyonge Mungu ampe pepo njemaa amina
BWANA alitoa BWANA alitwaa jina la BWANA lihimidiwe Amen
Duuuuuuh RIP che Guevara Mungu akuone hakuna baya uliotenda,,,,
Jamal April,umetisha Sana,, WCB 4 life
Nimependa story na ushauri uliotupatia mwishoni😍🙏 Ntaufanyia kazi na Mungu atusaidie sote kuuelewa na kuuishi ujumbe huo 🙏💖
All Legends Fall In Making. R.I.P Che Guevara✌
Chadema
Chadema
RIP chadema
Twendeni hivyo hivyo msiitaje tu ccm yakawa mengine hapa tukazimiwa hadi vpn
ua-cam.com/video/C-KKxtJMLCg/v-deo.html
Legends don't die....
#Che you will live in our hearts forever. #RIP
Che Guevera alikuwa legend. Alimusaidia sana field marshall csstro katk nchi ya cuba miaka ya 1964 .
Be blessed jamal mungu akuongezee miaka uzidi kutuhadithia hadithi hizi tamu sana much love from Kenya 🇰🇪
Thank you
story book imenipa mambo nisiyoyajua
Nilikuwa naona picha tu za huyu Guevara but sikujua lolote kumhusu
asante sana
Jamal ningependa kurequest story ya fidel castro..be blessed 🥂
MATUSI YA DIAMOND AMCHANA HARMONIZE WAZI WAZI: ua-cam.com/video/EhmI49JzV28/v-deo.html
Heee sawa
cheguevara, pia mtoa story, na ushauri wako, basi safi
I love this stories. I love the narrator. Live long
Profesional jamal nakukubal sn .....ata mtiga abdallah anataman kuwa kama wew......
MATUSI YA DIAMOND AMCHANA HARMONIZE WAZI WAZI: ua-cam.com/video/EhmI49JzV28/v-deo.html
wasafi we are the best radio and television in tanzanian and africa
Wi the best jamal mustaf naipend the story book
Professor kama professor nakubali sana mzee wa kazi
Nipeni japo 10 tu
Jah bless u man Che Guevara penda xana Ww mwana harakat makn
Madin haya yanapatikana wasafi tu
MATUSI YA DIAMOND AMCHANA HARMONIZE WAZI WAZI: ua-cam.com/video/EhmI49JzV28/v-deo.html
Bonge moja la kipindi kudadadeekii🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿WCB mojaaa kubwaa hiyoo
P1 sana
Deep, still thinking about it. uendelee kuishi mkuu. @Che the man.
Che your are our legend and u will be in our memory everyday#RIP
Akumbukwe r.i.p
A voice of yours jamal😍😍😍♥️♥️♥️
Merci Jamal april kwa kila kitu
Tunangoja hii ya Titanic gate iliyoangamiza maisha ya watu 5 situated near zlizopita 2023 anybody who is waiting gonga like na comments ahsante
I'm appreciate your efforts broda @Jamal April professor kizazi Sana 🇹🇿
Well narrated story bwana Jamal april, mungu akikuwezesha tuletee story ya field Marshall Fidel Alejandro Castro ruz wa Cuba...ila umetisha Sana mkubwa 👍 🔥🔥..
I ❤️ this
Jamal 💪✊
Thanks jamal sikuwahi kujua historia yake aisee baonaga watu wanavaa tu tishirts za dura yake big up🙏👏👏👏#RIPthelegendaryCheguevara
Binaadam ni wanafki sana hata wairaq enzi hizo walimuahidi mjukuu wa mtume wetu Muhammad S.a.w kuwa wanampenda aende kwenye nchi yao awe kiongozi wao mwisho wa cku wakamgeuka wakakubali kununuliwa na mtawala kwa kupewa kiasi cha pesa wakawasaliti Hussein na mshirika wake wakauliwa leo hii wanatuekea mikelele kujikata na visu eti wanauchungu na Hussein
Thanks u Jamal for very story..unatupa muongozo muzuri sana
Imeniuma sana haswa huku mwishoni huyu jamaa hakuwaza kuwa na watoto,hakuwa mbinafsi kbs! Leo hii watu hawa hawapo tena😭😭😭😭
Wewe ni zaid ya daimond ..hamonize..na alikiba .unatupa story nzur sana tunajifunza sio wao wanao imba taarabu siku hizi
Mjubaa haha
Appreciate keep us with more history. That brings change in our mind
O5hhtu6oj oh o poo 9l9opoop0p opp
Nipo huku kwao nshatembelea Nyumbani kwao, sehemu alizo fanya kazi etc, ni maarufu sana huku katika provincia ya CÓRDOBA!
haaaaa hongera
Professor Jamal mustafa unanifunza kitu kipya kila Sikh(nakukubali Sana)
Tangu niijue Vizuri Marekani na wajomba zao Uingereza, siwapendi, yani namkubali sana President Kiduku
😂😂
Vipi kiduku akiomba mechi ya kirafiki aje tanzania tufanye mechi ya kirafiki ili atesti makombora yake😂😂
Kiduku hapend usenge
WCB is The kingdom of TALENTS
Kweli kbxaa
Rest in peace Che Guevara
Kama unamkubali jamali gonga like fasta
Up vzr profesa👍👏 nataman kuskia na story ya Sir Isaac Newton🥺🥺
😂😂😂😂 genius
Ahsante kaka jamal kuna mpumbavu mmoja nilikuja muuliza akaniambia huyu alikua mwimbaji mkubwa.
Noma sana .. prof jamal ... umetisha tena🔥
Asante sana Jamal kwa story hii na nyinginezo ambazo they are really very inspiring. Hongera and keep it up. Laiti watu wengi wangefikiwa na story book! Big up sana.
Nakubal jamal
Ebhana bro Jamal umetisha sana hii story niliisubir kwa hamu mimi nakuita wewe "manju"
Che Guevara we will never forget you Rip✌️
Wewe kaka unasauti imetulia sana
Viva comando mi mwana true history hakika haki yako utaipata mbinguni R.I.P
Daah Leo nasikia story ya shujaa wangu
Good story more like to de story book japo hapana elew Swahili am German
WCBFORLIFE unajua saaana Professor...
Cheguavara namkubali xana asee
One love to Che Guevara 🙌
Hakuna kama wasafiiiiiiii
Viva comandoo che guevara haki itapatikana mwisho wa siku r.i.p
Nataman niwe kama Che Guevara,Nakupenda thana dr Che Guevara
Akili mingi Sana we jamaa,,,big up to ur story book
Ahsante sana professor maana picha ya huyu MTU naionaga tu kwenye magari kwenye sticker za piki piki lakini nikawa sijui historia yake ipoje lakini Leo nimepata jibu ahsante sana professor jamal
Napenda sana asantaaa kwa story book
Respect to CHE GUEVARA...
🇧🇭🇧🇭🇧🇭
Hujui kuelezea mtafteni Mtigah Abdllah
Unajua kutunga
Wachache sana, wenye mawazo kama ya che,
Nakubari mzee baba nijifuza vitu vingi
Namkubali Sana huyu mwamba jamal tunamsubiria huyu jamaa