makange ya samaki (sato) ni mazuri sana😋

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 6

  • @homecookingtz2488
    @homecookingtz2488  Рік тому +4

    Makange ni jina la mtu alie kua anamiliki baa dar es salaam (hapa ndipo recipe ya makange ilitokea)na hapo bar walikua wakitengeneza kuku alie lostiwa na waliipa jina la makange.jina kamili aliitwa Robert makange alisha fariki na alikua mwandishi wa habari na mmiliki wa gazeti kipindi cha tanu.(nimeipata mtandaoni kama unajua vizuri kuhusu pishi hili la makange comment chini)

  • @jantsjefta8381
    @jantsjefta8381 11 місяців тому

    Nzr

  • @user-gm1dy7ud9n
    @user-gm1dy7ud9n 6 місяців тому

    Hogera

  • @loycemallya167
    @loycemallya167 10 місяців тому +1

    Asante kwa kunipa ujuzi..!! So vipi kama unapika makange ya familia ya watu kama 6? Hapo kwenye kutumbukiza samaki utafanyaje kwa samaki zote 6? Nijibu pls..🙏🏻

    • @homecookingtz2488
      @homecookingtz2488  10 місяців тому +1

      Kama una sufuria au fryingpan kubwa unaweza kupika zote kwa pamoja ila viungo vinaongezeka mfano karoti,vitunguu,nyanya,hoho,au unaweza kupika rost kwenye sufuria moja kubwa hakikisha umekadiria yakutoshea samaki sita,baadae ukawa una chukua samaki wawili au watatu kutengemea na ukubwa wa combo chako unachanganya na ile rosti unakadilia tu ya samaki wailing au watatu,unafanya ivyo mpaka wote waishe