Jinsi Ya Kukaanga Samaki Vizuri Bila Kushika Chini Na Kuungua

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Kuna wakati unahitaji kuandaa kitu rahisi, kitamu na kinachotumia muda mfupi. Basi huyu samaki ndio chaguo mahsusi kwa wakati kama huo. Ni samaki mwenye viungo vichache lakini mtamu sana. Ni vizuri kwa kumla kwa ugali, maana huyu samaki akiiva vizuri anaweza kuliwa hadi miba.#samaki #jinsiyakukaangasamaki #samakiwakukaanga #sato
    Mahitaji
    Samaki sato
    Limao 1
    Chumvi kijiko 1 cha chakula

КОМЕНТАРІ • 10