Pika Samaki Sato kwa Njia Hii Utapenda /Fish Curry /Tilapia Recipes /Tajir's kitchen Swahili Flavor
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- RECIPES ZENGINE KAMA HIZI ⬇️.
JINSI YA KUPIKA SAMAKI MBICHI KWA NJIA RAHISI SANA / FISH CURRY ➡️. • SAMAKI MBICHI /JINSI Y...
JINSI YA KUPIKA SAMAKI WA KUPAKA MTAMU SANA /FISH TIKKA ➡️ • Samaki wa Kupaka /Jins...
MAPISHI YA SAMAKI TAMU SANA /GLAZED SALMON FISH ➡️ • SAMAKI /MAPISHI YA SAM...
Mchuzi wa Samaki wa Nazi /Tilapia Fish in Coconut Cream /Fish Curry/ Sangaro ➡️ • Mchuzi wa Samaki wa Na...
Samaki/Jinsi ya kupika Samaki wa Kuoka Mtamu Sana /Samaki Sato /Tilapia Baked Fish ➡️ • Samaki/Jinsi ya kupika...
Samaki /Mapishi 5 Tafauti Ya Samaki /Samaki Mbichi /5 Recipes Of Fish/ Samaki Wa Kukaangaa ➡️ • Samaki /Mapishi 5 Tafa...
Samaki /Jinsi ya Kukaanga Samaki Aliekolea Viungo /Spices Fried Fish ➡️ • Samaki /Jinsi ya Kukaa...
Kamba wa Kupaka /Jinsi ya Kupika Kamba wa Nazi /Prawns Curry Recipe /Mapishi ya Shrimp Recipe ➡️. • Kamba wa Kupaka /Jinsi...
FACEBOOK : TAJIRI'S KITCHEN ➡️ / tajiris-kitchen-100334...
INSTAGRAM : TAJIRI'S KITCHEN ➡️ ...
#swahilirecipe #fishcurry #tilapia #samaki #mapishiyakiswahili
Recipe zote mashallah samaki watamu but ntaendea iyo recipe ya pili samaki wa nazi ju nimetamani😋😋
Najua wapenda vya Nazi 🤣🤣🤣 shukran
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 wacoast na vya nazi 😂😂
MashAllah zote nimependa ila ya pili ya nazi nimeipenda zaid coz haina mafuta . I will definitely try this . ❤❤❤
Walkumsallam wa rahmatullahi wabarakatuhu my love 🌹 utakuja Burundi 🇧🇮 tupike wotee Ishallah maana wewe wa pika na usafi kama mimi. Niko bado job Oman 🇴🇲 my daer
Shukran sana habibty ❤️
Maa shaa Allah 🥰 you're the best naskia utamu kabla hata sijakula
Shukran dear
asante sana Dada. Bwana aku bariki sana . amen.
No jokes This is awesome 3 fish recipe n supper 3 types results!! Wow my favorite Chief Tajiris kitchen ur 2 good cooking hand's. Amen from Tanga Tanzania
Thank you so much for the support 🥰
Super recipes!! 😊 I’ve tried them all today. Love love love ❤️ thanks for sharing!
Most welcome. Thanks for the support 🥰
Iyo ya kukaanga ndio 👌👍
Thank you for another wonderful sharing👍👌🤩
Most welcome dear
Tuko pamoja dada
Nakupika magugu maji dada fupikie
I can only imagine the aroma of you ur kitchen❤️❤️❤️utamu wa kweli ❤️
Ooh yes hun, mautamu kama yote hapo 😍
Iko vizuri
Mzuri sana, assente. Nta jaribu hizo ma recipes.
Karibu sana
Masha Allah nitajaribu😍
Wonderful I must try this
I will try this thanks nzuri sana
Ma Sha ALLAAH
Nice👍Thank you for sharing❤👍
Jamani jamani.... Mate membamba hunidondoka weee utamu mtupu, hasa huyo samaki wa nazi nenda sega market nkatafute nazi😋😋🇰🇪
🤣🤣🤣Wajulia sana
Mashallah mashallah looks yummy 😋
Shukran hun
Yaallah umenikumbusha nyumbani
🤣🤣🤣
😋yummy......the best
Thank you
Masallah you reminded me back home,Yumm
Yeah, home sweet home 😊
Nice
Delicious....
Welcome back...we missed u
Thank you so much hun. I missed y'all too❤
mashaaAllah hyo ya naz Amazing
Wajulia 😍
Curry powder Ni nn
Wanavutia sana...
Alafu niwatamu sasa😉
Asante sana. Yummy yummy 😋
Karibu sana
Mashallah 👌😋
Mashallah pish Zur san
Fish, this is my favorite dish.
I know yeah 😉
Sawa Halima
Looking good! You made it look so easy, keep sharing your recipes please… I’m subscribed!! 🥰
Thank you so much
MashaAllah yummy
Shukran
❤
Huyo wa nazi ndio amenimaliza... Hatoki kichwani mwangu
🤣🤣🤣
Kwene kutaja viungo umeshika limao ukasema kitunguu thoum
Nili kumic mumy ni mda ujapost, afadhar umeletea pish zuri
Yeah mm nimewamic zaidi pia. Busy kiasi lakini nimerudi sasa. Shukran sana Mpenzi wangu.
Asante
Mbona unatumia elastic gloves kuandaa samaki jamani?
Yeah, Marekani tunatumia. Hizo ni gloves specially za jikoni ukitaka kutumia. So, sioni ubaya wake coz nafundisha mapishi sio nn cha kuvaa.
Oooo,sawasawa nimekuelewa sana,asante kwa ufafanuzi
Hi I like thr pot ..where do I get it ..
I just bought at the store close to where I live.
🤩🤤🤤
Tatizo mnaweka maviungo mengi mno samak au mboga yoyote unakosa ladha halis unakuwa unaskia ladha ya viungo tu
Una uhakika na unacho ongea? Basi wewe chemsha na chumvi tu ule mpishi bora wewe.
Hii umenimaliza😂 ila ni kuchapia tu
Cjawai kumezeaa mate mapishi ya simu ila haya wallah nisiwe muongo napiga nguchu za matee tuuuu😂😂😂
🤣🤣🤣 hapo ni utamu tu
Huyo samaki wa pili hatuweki mafuta
Naomba unifundishe kutegeneza Carrtpoda
Ndio nn hiyo?
❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hizi samaki umepika na dakika mbili mbili,,kichwa kimeiva ndani kweli kwa kua alikua mbichi🤨?
Angalia video vizuri na uskize kwa makini dadangu utaelewa
@@parmenamungatana5142 nimeskiza na nimeelewa,,i know what am saying
But maybe you didn't hear clearly... Just rewind
Hapana haujasikiza vizuri, anyway nilitumia dakika 4 kugeuza upande mwengine.
@@zenahyusuf46 Your wrong.
😂😂😂😂😂😂😂😂 unashika tomato alafu unasema kutungu maji
😂
🤣🤣🤣 ni video umeenda speed
Nice