Hongera sana wimbo nimuzuli sana mungu akuinuwejuzaidi veronica kama unasikiliza wimbo huku ukisoma koment kama mimi tujuwane hapa namungu akubaliki ameen
Dada Vero kuna kisa cha mwanamke mmoja umetoa dah kimenigusa sana sijui huyo mwanamke Mungu alimuumba na moyo gani jaman watu wanapoteza bahati hatari baraka kweli alipoteza bahati kubwa sana. Natumai umenielewa namaanisha kisha cha nani huyu ni Mariam kama hutojali naomba niunganishe nae asante
Ikoo vizur sanaaa MUNGU aendeleee kukutumiaaa na nimependa ulivyo mshirikishaa na Bm Imekaa good good???? naisubiriii na ile ngoma yakoo ya Kwanzaa kabisaaa nami nakungoja Bwana
Hongera kwa ushuhuda huu ... roho wa mungu abakinawe. Nguvu hiyo ni ya Mungu pekee...... muda ukifika tutakutana. Barikiwa mm ni mwenzako ikosiku tutakutana. Siri hio utamwambia mnaeendana nae
Hakika Mungu anaishi nimesikiliza huu wimbo umenigusa maana hata mimi kuna kipindi nilimba wimbo kimasihara lakini siku moja nikapita kwenye moto ndipo nikamkumbu Mungu kupitia ule wimbo hatimae nikavuka salama nipo nikasema hakika Mungu yu hai hata sasa
Mi hapana na ni mmoja wa mashabiki wako wakubwa ..kwa hapa hapna...unafaa sana kumfanyia mtu kanseling ili ainuke tena na kuelekeza Jambo ila usiimbe utapotea
Kumbe unaimba tu sio simulizi pekee🎉🎉🎉
Mashallah kipenzi changu dada Vero unakipaji kikubwa cn
Huwa siachi kusikiliza huu wimbo ubarikiwe sana daVero
Naikubali kweli......uko vizuri dada from kenya
Nilikua sijuh kama unaimba dada vero napenda sana nyimbo zako Mungu azid kukubariki zaidi na zaidi
Da Vero kumbe tena unaomba 🎉🎉 hongera
Hongera sana wimbo nimuzuli sana mungu akuinuwejuzaidi veronica kama unasikiliza wimbo huku ukisoma koment kama mimi tujuwane hapa namungu akubaliki ameen
Naomb uniunganihe nae
Dada Vero kuna kisa cha mwanamke mmoja umetoa dah kimenigusa sana sijui huyo mwanamke Mungu alimuumba na moyo gani jaman watu wanapoteza bahati hatari baraka kweli alipoteza bahati kubwa sana. Natumai umenielewa namaanisha kisha cha nani huyu ni Mariam kama hutojali naomba niunganishe nae asante
Nakupendaga sana da veroo😘😘😘😘😘😘😘🌹🌹🌹🌹
Sauti nzur.
Ndo sauti y’a pili eee!!!
Kumbe u mzur hvyo
Ikoo vizur sanaaa MUNGU aendeleee kukutumiaaa na nimependa ulivyo mshirikishaa na Bm Imekaa good good???? naisubiriii na ile ngoma yakoo ya Kwanzaa kabisaaa nami nakungoja Bwana
Niwewe kweli au pacha wako umeweza pk umeweza tena Mungu akuweke
Barikiwaaaa mama was simulizi
Mungu akubariki xna cc vero unawakilixha kwny report ya leo na kuimba love it❤
Unasauti nzuri Sana dada Vero
Hongera kwa ushuhuda huu ... roho wa mungu abakinawe. Nguvu hiyo ni ya Mungu pekee...... muda ukifika tutakutana. Barikiwa mm ni mwenzako ikosiku tutakutana. Siri hio utamwambia mnaeendana nae
Jaman honger San dada Veronica wimbo mzur nimebarikiwa san
Wimno mzuri sana hongera da veronica Mungu akuvushe mbali zaidi❤
Um blessd kwakwel n siri hatuwezi eleza vyote..... Brikiwa dada Vero
Mbon sion nyimbo zingine😘😘
Asante kwa wimbo mzuri❤❤❤pia Umependeza Sanaaa,yani kira nguo imejuwa kukukaa ❤❤❤sijajuwa Nauzuri wako ndoumecangia sijuwi🤷
Hakika Mungu anaishi nimesikiliza huu wimbo umenigusa maana hata mimi kuna kipindi nilimba wimbo kimasihara lakini siku moja nikapita kwenye moto ndipo nikamkumbu Mungu kupitia ule wimbo hatimae nikavuka salama nipo nikasema hakika Mungu yu hai hata sasa
Nakupenda sna nabarikiwa na ww skuzote
Ameen na hiwe ivyo kwa utukufu wako🤗🌹
Vero we mzuri mno sauti nzuri simulizi unaiweza hongera
Wow unaweza sana da vero❤❤
Dada Veronica Kila nikisikiliza huu wimbo hakika nabarikiwa Sana, Hakika Mungu ametenda Mengi Maishani mwangu 🙏🙏
Mungu azidi kukuinua Veronica💕💕💕💕💕💕💓💓💓💓💓
Hongra sana Mungu akubarik
Video nzur Dada Veronika , nitakupigia soon ,
Dada vero dah napata machungu Sana'a na huruma juu ya mwanamke huyu Mariam simulizi yske Kama huy
Nakupendaaa mnooo my
God bless you sister Vero❤❤❤
Nakupenda sana da vero
Da vero we ni mzuri kama wimbo wako kwakweli hongera sana. Shape, sauti, rangi, oooh umebarikiwa
Nakupenda sana dada natamani cku nitowe simulizi yangu
😍🥰Mimi Nakupenda sana nyimbo nzuri Ubarikiwe
Wimbo unanibariki sanna uu
Hats niseme kwa lugha ambazo hazifafanuliki siwez kumuliza Yale MUNGU anayonitendea,,,,,,,, be blessed dada
NAOMBA MSAIDIE NAMBA ZAKE
Eeeh dada kumbe unasauti Nzuri na wajua kuimba kiasi hiki?!!!!!. Mungu aendelee kukupa maujuzi zaidi tuu..
Huu wimbo narudia kuangalia ila unanipa nguv sana
Barikiwa sana mtumishi
Hongera sana dada angu Mungu aendelee kukupa mafunuo zaidi ya haya
Hongera sanaa
👏🏼👏🏼👏🏼❤❤❤🙏🏼🙏🏼Veronica
Da vero unasauti nzuri sana hongera je kama mtu una story yako ya maisha anakupataje ili aweze kushea
Dada vero be blessed more
Sauti nzuri sana🔥wimbo ndo balaa..Raha kumuimbia Mungu 🙏🏽
Kweli ametenda maajabu kwenye maisha Yangu THANKS GOD
Yani napenda sauti yako sana
Nabarikiwa sana dada kila ninapousikiliza wimbo huu aswa nikikumbuka nilipotoka kwel ni siri yng iyo god bles u my sister
Jamani da vero unabariki moyo wangu Mungu akuinue zaidi
Kumbe na huku upo..? Hongera sana mdada
Kumbe uko na kipaj Cha kuomba hongera sana
Safi sana 🙏👏👏😘 dada hongera sana
Iko vzur dada Vero Mungu akuinue zaid
Nyimbo hiii imenibariki dada Mungu azidi kukutumia
Sauti yako dada nzuri mnoo😋😋😋😋😋😋😋
Wow! Dada Veronica wimbo mzuri sana ubarikiwe my sister
jaman Dada unajua kuimba saut pambe mungu akujalie afya njma
Very nice song vero..God bless u more and more
Had rahaaaaaa
video iko poa sana mungu akusaidie.
Uko mzuri
Waooow Asante Sana Dada Veronika Kwa song🎵 zuri lenye mashairi matam kama asali from oman 😘❤️❤️
😂😂😂 Magupaaaaaa. video nzuri dada yangu mzuri
Woooooow barikiwa sana veronica Frank
Hongera Sana dada Vero kwa kazi nzuri🙏🙏🙏🙏🙏
Saf sana mpendwa
jamani Vero wimbo mzuri umependeza sana nakupenda bureee mungu akubariki sana
Uko poa dada veronica I love you
Safi sna
Waoooo...waooooo...nasema waooooooo Kazi nzuri,wimbo mzuri nabarikiwa sana...M/Mungu akupe kibali chakuendelea kumtumikia zaidi...hongera sanaaa...tunasubiri video ya hawezi niachaa sasaaa
Tunasubir dear dear...barikiwa mno
Daaah umetisha mpnz ubarikiwe saana aisee tunasubir nyimbo zingine video zake
Dada ukovizur mzee hanafaidi
Unaonyesha mtamsana
Sauti nzuri sana ❤❤❤❤
Barikiwa dada vero mungu akubariki
Waooooooo dada yetu Veronika uko vizuri mnooo
The song is very nice bigger up sana mungu akupe maisha marefu
Napenda sana sauti yako we dada,Mungu akubariki sana.
Hongera
Mungu azidi kukuinua lov.kazi nzuri
Safi sana
Hongera kwa kazi nzr ... Video nzr , ushuhuda mzr pia
Your too talented dada Veronica Simulizi
🌷💃Wooo
ONGERA SANA DADA VERONICA
NYIMBO NZURI IMENIBARIKI
Naomba number ya wasap ili kupata simlizi
Unanibariki sana ubarikiwe sana
Safi sana Vero Mungu akuinue zaidi
Barikiwa dada vero video zuri sana
Kazi nzuri!
Mi hapana na ni mmoja wa mashabiki wako wakubwa ..kwa hapa hapna...unafaa sana kumfanyia mtu kanseling ili ainuke tena na kuelekeza Jambo ila usiimbe utapotea
Wimbo mzuri hongera saana
Dah!! Nakupend sana
Hongera sana wimbo mzuri sana
kazi nzuri Mungu azidikukupa mafunuo zaidi
Mungu akubarki sanaa dada
Laurencia Mwalongo hongera mbena Wa yesu
Hongera Dada Vero, Nyimbo nzuri na video amazing
Kazi nzuri sana dada vero
You're too a singer
Kwa kweli Siri yangu maana uhhhh.
Good song, Verro huu wimbo unanikumbusha simulizi ya Aginita hivi hukuiwekaga you tube?
all the way from temeke sokota da V. Frank nakuelewa Sana!!!
Wow sister vero i like it godbless u🙏🙏
Dada Vero huu wimbo bhna sijisikii kuacha kuutazama yani kila mda naisi kuupenda bule