🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA EDGAR SEHEMU YA 12 - JUNE 25
Вставка
- Опубліковано 24 чер 2024
- 🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA EDGAR SEHEMU YA 12 - JUNE 25
-
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
Efmtanzania:
TWITTER:
Efmtanzania
FACEBOOK:
Efmtanzania:
Mungu pekee atupe hekima kwenye maisha tunayoishi maana mambo ni mengi na ya kutisha otherwise kutoboa ni kipengele.hii simulizi imenitisha mmh
Mwisho wa hii simulizi bila YESU hawatoboi Edgar aliokoka Niko hapa nakula popcorn
Ni kweli kabisa bila YESU KRISTO kutoboa ni kipengele sana
Edger anatakiwa aende kanisam tu
Da vero unatutisha sana kuhusu mahusiano
Nenda kwenye MAOMBI ndo Dawa peke yake
Mwisho wa siku akisimama na Mungu atafanikiwa aachane na mambo ya ushirikina
Story inasisimua sana
Da Vero matangazo mengi sana alafu muwe mnatoa izo namba za mganga😂😂😂😂
Unataka kwenda EE 😂😂😂😂
HAPPY BIRTHDAY DADA VERO MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU UENDELEE KUTUSIMULIA SIMULIZI ILOVE YOU❤❤❤❤❤❤❤
Vero unaharibu rangi yako ya asili
Jamani 😂
Kwani ni mweusi?
Asante edgre umetufundisha tusukilize wazazi
Atar ya maisha jaman
Da Vero Nipo Makongo Juu nasubiri simulizi
Inasisimua Sana
Vero punguza story asee
Edger aende kanisani tu.
Punguza matangazo
@@emmanuelkisonga bila matangazo hana kazi hapo, kaz ya redio ni matangazo, ndio yana ingiza pesa
Mwacheni Vero atupe raha